FUMARISON MJEJE - NIMEKUCHAGUA
Ойын-сауық
Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
TIKTOK: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04
Пікірлер: 23
Asante studio
Mashallh mol akubariki ❤❤❤❤
Mashaallah Allah akuzidishie
Jamaa anajua
Dogo anajua Hadi anakera
kipaji sio bahati
waooooo👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Unajua sana jamanii❤❤❤❤😂😂
Mashalah bro
Wasafi midia
Uko pow sana
Awesome poet ❤❤❤
Maxhaallah hongera fumau
Mashallah
Wawooo ❤❤
MashaAllah
Wiki iliyopita nimemkuta zanzibar huyu
sina usemi walai dah
Safii
❤❤❤❤
❤
Jamaa anjua sannnnnnnnna❤
Wajina mashallah