Experience Tanzania's First Electric Train from Morogoro to Dar es salaam City (Economy Class) 🙌

Remember to Subscribe to My Channel.

Пікірлер: 21

  • @ibrahimathiane2434
    @ibrahimathiane243425 күн бұрын

    Hummm nice pic lahore metro from pakistan or dar es salam metro proudly from senegal❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @vinny.morales
    @vinny.morales10 күн бұрын

    Sijapenda mandhari ya chooni. Mazingira yako wet sana na vitu havipo kwenye mpangilio

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc28 күн бұрын

    Safi sana tz oyeeeee

  • @godlove20

    @godlove20

    28 күн бұрын

    Kazi nzuri sana

  • @user-fl3fb5gh6b
    @user-fl3fb5gh6b28 күн бұрын

    Rip jpm

  • @godlove20

    @godlove20

    28 күн бұрын

    🙏

  • @MusirAdam-gt3vd
    @MusirAdam-gt3vd28 күн бұрын

    Pamoja sana kaka Godlove m.

  • @godlove20

    @godlove20

    28 күн бұрын

    Shukrani sana kaka

  • @samasob8233
    @samasob823328 күн бұрын

    you mean in this case you arrived after 2hr 10 minutes.... inaeleweka kwa sababu ya kusimama katika kila kituo kutoka Morogoro, safari safi sana asante kwa video

  • @godlove20

    @godlove20

    28 күн бұрын

    Part ya mwisho nilikosea ilikuwa lisaa limoja 1 na dakika 50.

  • @filamupictures9349

    @filamupictures9349

    28 күн бұрын

    1 hour and 10 minutes not two hours, infact wamefika dakika 20 kabla ya muda ulotangazwa kiwa watatumia

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon106428 күн бұрын

    duh kumbe Ina speed

  • @godlove20

    @godlove20

    28 күн бұрын

    Kuna maeneo nimeongeza speed ila average speed wakati wa safari ni around 100 -120 km per hour. Japo Inaweza fika mpaka 160 per hour

  • @sanciroandrea8826

    @sanciroandrea8826

    28 күн бұрын

    Morogoro to Dar imetumia 1h 10minutes???

  • @godlove20

    @godlove20

    28 күн бұрын

    ​@@sanciroandrea8826 1 and 50 minutes

  • @kisutabora5914
    @kisutabora591428 күн бұрын

    Kwa hio daraja la uchumi vyoo vya kuchuchumaa

  • @godlove20

    @godlove20

    28 күн бұрын

    Ndio vya kuchuchumaaa

  • @filamupictures9349

    @filamupictures9349

    28 күн бұрын

    kwa utamaduni wa tanzania na nchi nyingi za afrika na asia, vyoo vya kukaa ni uchafu na vinakwaza watu, maeneo ya watu wengi, huwa vinawekwa kwaajili ya walemavu na wazee, wengi hawapendi kushare vyoo vya kukaa na watu wengi

  • @vinny.morales
    @vinny.morales10 күн бұрын

    2nd thing, kupiga nyimbo za kisiasa kusifia chama fulani nayo hyo si sawa. Huu ni usafiri wa umma na si wa watu wa itikadi fulani tu. Kwenye hili tuacheni ulimbukeni!

  • @Assu89Ma2ly-xt4np
    @Assu89Ma2ly-xt4np14 күн бұрын

    Video nzuri lakin unaikimbiza ,bora kukata vipande ambavyo si muhim sana ili spidi ibaki kawaida

  • @timo.5449
    @timo.544928 күн бұрын

    Video bora. Hata hivyo, baadhi ya watazamaji wako wanaweza kupendelea mandhari katika kasi ya kawaida, si ya kusambazwa kwa haraka.

Келесі