#EXCLUSIVE
Ойын-сауық
#EXCLUSIVE: MWANAHERI ATAMBA - ''NAANZAJE KUACHIKA na UZURI WOTE HUU? MTOTO WANGU ANA MAMA WAWILI''
#MWANAHERI #MWANAHERI #MWANAHERI #MWANAHERI
#EXCLUSIVE #EXCLUSIVE #EXCLUSIVE #EXCLUSIVE
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Пікірлер: 104
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
Ila dada imelda wewe n muandishi bwanaa upo vzur sijawahi kuboeka kwenye mahojiano yako😍
Mashallah! She is so humble and grateful, i like her ❤. May God bless her Much
Ila kama ni kimakonde aisee unakipatia sana mwanaheri aisee hongera
Mashaallah,m/mung akuepushe na husda za wanadam ♥️♥️♥️
🤣🤣🤣 mbona ANVESESARIIIIII ila Imelda unatutia aibu wenzio jamani khaaaa 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🤣🙌🙌
Mashallah, kataka kufanana na Rihama.
@stellamwasha1409
Жыл бұрын
Niliona hivo hivo
Binafs sijaona Zawadi au kitu vizuri zaid ya mtoto wangu
Filter zinasaidia xaan kumbe unakitambiiii
USIOMBE MTOTO TU OMBA MTOTO MWEMA
Na mpenda sana madam simba 🎉🎉ana juwa kuvyaa huyu 💃mwanaher
Mashallah
Anaongea kwa hekima, umkute yupo kimadam Simba sasa 😀😀😀utajua hujui.
Amefanana na wathailand sura
Mashaalah mtoto ni furaha sans
Nimekupenda sana mwana heri NIMEJIFUNZA KITU KUTOKA KWAKWOO....
Allahumma Amiin 🤲
Ukweli ndoa ni watu wawili mwanamke mara nyingi akitaka ndoa isiendelee kuwepo itavunjika mwanamke utaachwaje
Ndoa inapangwa na ALLAH hongera sana
Yaani nimekupenda maana umeonyesha kujielewa
My schoooool of shanghaaaaniiiii l will neeeever for get youuuuu
Dada ni mcute mashallah ❤
Asantee da mwanakheri naomba kazi😢
Nakupenda my
Ongela mwaya
Mmefanana Hadi raha
Dada usijimalize,hamna anayeingia kwa ndoa ili aachane
Jiamin mama enjoy enjoy
Masha Allah ❤❤❤ le Madame simbaa love you baby ❤❤❤❤
Kabisa
I love her so much she never disappoint us.
Kweli anajuwa sana madam simba Hila vitimbi vyake balaa 😂😂😂
Wow mashallah Fatma wajina wangu Allah akukuzie kitoto chako
Mbona Anivesesary lkn ndugu mwandishi?
Never say Never
Nlikuwa najiuliza mwanaheri mbona anajiaamini hivi kumbe ana kiglass pembeni
@KATEMBO682
11 ай бұрын
Kiglasi cha kamnyweso au?! Sijaelewa!!!
Mashaallh kujiamini raha mungu awabariki
Mwanamke kujiamini. Heheee!
Imelda punguza mikon hiyo duuu
Umezariwa mtwara, umesoma elimu ya msingi shangani na familia yako ipo leluwe. Unakataa vipi kimakonde baada ya kusema ni chakwenu ndomaan unaweza kuongea
Team vibonge na timu vifupi madam Simba kwenye ubora wake
Muache uhasidi wengine mpe hakiyake nimrembo
Mkorogo nao unatamba nao🤣kwa kweli sura nzito
Ila maadam simba umetuulia "hujambo nini" wetu 😘
@Kalssambabo-gv6uh
Жыл бұрын
Kabisa kaua afuu mbea balaa anagombanisha aunty' zai na namama Ana
Yule mkongo kumbe ulimuacha?? Afadhali
Si aseme ukwli kua anaish na mwaume mungne na nidaktari! Tena wanaish pika pakua, Anaficha nn sasa kuachana si kitu ch kawaida
@chayogasperi9783
9 ай бұрын
Mmmh. .
So tuseme hajawahi kuachika amezaliwa akaolewa au hana ex mwenzetu mxuuu
Kamuuwa bibi Anna ww . Sasa mbona picha mbili zaharusi? Kisha iti hawujaacha . Ni mme moja wala niwatu mbili tofahuti??
@bintmwadarashi5177
Жыл бұрын
Angalia vzur mume n uyo uyo
@RandB_Channel
Жыл бұрын
@@bintmwadarashi5177 ok sura kabadirika unaweza zani eti niwana umme 2
@happylynguya3464
Жыл бұрын
@@RandB_Channel Hata mimi nilijua ni wawili tofauti.
Mfyuuuuuuuuuuuu eti mzuri tumbo kama fuko la zibara
Watu wa fupi sisi ni wabishi kinoma😂😂
@eli-shammaaloyce6133
11 ай бұрын
Nitabia yako
Muongo mkubwa wewe c umeshaachikaga muda mrefu unaishi na baba epty mumeo alishakuacha.acha kupotosha jamiii
@ZainaMasoud-ty9qv
11 ай бұрын
😂😂😂😂😂kivumbi leoooo😂😂😂 aseme ukweli au tumsaidie kusema ??? Kwann amfiche baba iptisam lkn😂😂😂
Mamdogo umefanana na mtoto wako
Tupo Dodoma tunazipatajee?
Jamani kafanana na riyama
Hovyooo mashavu kama panya buku.muonekano huo kwiooo
Muongo shoga siyo kwamba hupost,umeachwa kwa skendo ya usagaji weww na rayuu,na juna jipya unaishi kijichi kwa mama sima umefulia😂😂😂
@mwajumamwajuma55
Жыл бұрын
Mmh we 😢
@estertiffa-ew5id
Жыл бұрын
Eeh kumbe😳😳😳
@shamsahasan2748
Жыл бұрын
Kumbe unamjua😂😂😂😂😂 lete vitu mwaya
@moshendinda1950
Жыл бұрын
Mh! Kweli 😢
@SalamaAkilimali-ly3bu
Жыл бұрын
Mmh
Kwa uzuri gani masikini na mishavu kama anapuliza moto.
@rizikiabdalla2501
Жыл бұрын
Mhhhhh mtihani ulitaka aseme vp mkosowee munguu au
@magejuliani5293
Жыл бұрын
Ha ha haaaa
@monnahamour9892
Жыл бұрын
wivu utakuua😂😂
@sabihaibrahim143
Жыл бұрын
Hee sio uzuri ndoa kipo anachokiona wewe hukijui wazuri wa sura wapo wengi hawajawahi kuolewa kutwa kuvunja nazi
@ukhutfatumah1154
Жыл бұрын
Kumekucha comment za waja mhhh😂
Ushauri wa ngozi na urembo karibuni sana kwenye page yangu