DR SLAA ANAONGEA MAZITO: HATUNA RAIS, HANAUCHUNGU NA TANGANYIKA.KAGUSA KUZIMWA KWA INTERNET TZ

Пікірлер: 69

  • @marwamagere
    @marwamagere2 ай бұрын

    Samia suluhu hatufai watanganyika tumukatae Kwa nguvu zote

  • @kasimkassam9565

    @kasimkassam9565

    2 ай бұрын

    wewe sio mtanzania rudi kwenu rwanda

  • @MiriamAbdallah

    @MiriamAbdallah

    2 ай бұрын

    Samia aondoke atuachie tanganyika yetu

  • @marwamagere
    @marwamagere2 ай бұрын

    Ondoa Samia suluhu hasani Tanganyika

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances2 ай бұрын

    WATANGANYIKA WENGI HATUJITAMBUI,, TUNA WOGA na HOFU KUPITILIZA LINAPOKUJA SUALA LA KUDAI HAKI YA KWEĹI ,, KUTOJUA VIFUNGU VYA SHERIA na KATIBA,, na KUTOTAMBUA na KUTOKUWA NA UCHUNGU WA RASILIMALI ZETU ILI KUZIPIGANIA na KUZILINDA"

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko58032 ай бұрын

    Tuambie Doctor Willbrod Silaa

  • @healingclinic698
    @healingclinic6982 ай бұрын

    CCM ni washenzi sanaaaa tunapata shida ya mtandao kumbe wao ndio wameagiza hivi hiki hawa watu wana mpango gani na nafsi zetu sisi watanzania furaha yao ni kuona tunateseka tunaishi kwa shida na mateso wao wakiwa wamekaa kwenye viyoyozi ipo siku tu mtafika mwisho na nyumba zenu zitageuka magofu

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo58272 ай бұрын

    Inauma sana asante sana Dr Slaa Mungu akulinde na akubariki sad !

  • @bahatikulwa56
    @bahatikulwa562 ай бұрын

    Mungu Akubariki

  • @user-ii3xo5jw9y
    @user-ii3xo5jw9y2 ай бұрын

    Dr Slaa ni kweli hatuna njia nyingine zaidi ya Kufia nchi yetu. Tusipo kubali kufa damu zika tapakaa majiani hawa CCM hawawezi kuachia madaraka.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed26892 ай бұрын

    Maandamano yasiyo na fujo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    2 ай бұрын

    Binafsi sijawahi kuona wala kusikia.

  • @NizoTV
    @NizoTV2 ай бұрын

    Hana uchungu na Watanganyika, wamasai wanafukuzwa kwenye uasili wao bila huluma

  • @MichaelJoashi
    @MichaelJoashi2 ай бұрын

    Sema doctar

  • @adelinelyaruu3036

    @adelinelyaruu3036

    2 ай бұрын

    Wenye MASIKIO na wasikie 😢😢

  • @bensonkaduvage9549
    @bensonkaduvage95492 ай бұрын

    Dr. Slaa is right in addressing the subject matter to the standing president, kwa vile kwa mfano "why did she & her CCM ... ' Stone' on the issues of reconsolidation? Mwizi aitwe mwizi na anaeshikwa na "ngozi" Ndie mwizi wetu!!!

  • @ChanzoTvOnline

    @ChanzoTvOnline

    2 ай бұрын

    Asante kwa comment yako. Vip kwa lugha ya Slaa ipo sahihi kumkosoa Rais? Tujadili pamoja

  • @MiriamAbdallah

    @MiriamAbdallah

    2 ай бұрын

    ​@@ChanzoTvOnlinendio Yuko sahihi kama ana hofu ya MUNGU abadilike, ajitenge na genge la wahuni lililopo ndani ya CCM

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda13192 ай бұрын

    It the time ccm leadership prapar for crush social security on that effect east Africa electronics we doughty possibility of ply around before election it can be there because of fear social media

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b2 ай бұрын

    asante sana watanganyika nikweli atuna raisi Bali tunaongozwa na magenge yalio jificha nyuma ya Samia ondoeni hiki kichaka chenu Cha muungano na Tanzania iiitwe tanzanaiti jina jipya la madini yetu makubwa barani afrika na dunia ituelewe hivyo yakwamba tumeamua kutangaza madini yetu kuwa jina la nchi yetu wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro66622 ай бұрын

    Anafanya hivyo ili kimaliza Tanganyika. Tunataka KATIBA. TUFIKIE MWISHO KWA CCM WAFURAHIA

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko58032 ай бұрын

    HUJATUUDHI DOCTOR MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 ай бұрын

    Tanganyika haifuati Sheria inawaonea wananchi.

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani91412 ай бұрын

    Tatizo la wanasiasa wetu hawaaminiki na walishagundua ss watz ni rahisi kubadilishwa fikra, leo hii mwanasiasa atakueleza hoja nzito kesho akioneshwa fungu au channel ya pesa anawabadilikia. Mfano huyu Slaa wakati ameteuliwa kuwa balozi na serikali ya ccm alikuwa kimya na akawa anawaponda chadema leo hii yuko nje ya system anaongea kwa uchungu tushike lipi? Tatizo wengi wanapigania matumbo yao sio ukombozi wa Umma.

  • @healingclinic698

    @healingclinic698

    2 ай бұрын

    Aliondolewa kwenye ubalozi au uliukataaa

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u2 ай бұрын

    VIVA COMRADE SILAA....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU....WATANZANIA WOTE BILA KUJALI TOFAUTI ZETU TUIUNGE MKONO CHADEMA.

  • @bongo39
    @bongo392 ай бұрын

    Babu wa mipasho anajua kika kitu kikiwa siri au zahiri tunafanya mpango aingie tot kwa ajili ya kuimba mipasho

  • @husseinothman1257
    @husseinothman12572 ай бұрын

    Kama rais Samia angelimuacha na ile nafasi yake ya ubalozi asingeyazungumza hayo, hizo ni hasira tu kwa kutemwa. Kwani kampuni ya ticks pale bandarini ilikuwa inafanya nini na hii dp world inafanya nini au kosa la kampuni hii inatoka nchi za kiarabu ile ticks kutoka uchina kulikuwa kimya.

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy2 ай бұрын

    Tusimkufuru mungu hakuna binaadam asiekosea na kukosolewa ni wajibu kwa binaadam hakuna kosa

  • @ChanzoTvOnline

    @ChanzoTvOnline

    2 ай бұрын

    Je lugha ya Slaa ipo sahihi kumkosoa Rais?

  • @MiriamAbdallah

    @MiriamAbdallah

    2 ай бұрын

    ​@@ChanzoTvOnlineyapu kwanini asokosolewe yeye ni MUNGU? Anapaswa kijirekebisha kama ana hofu ya MUNGU

  • @bensonkaduvage9549
    @bensonkaduvage95492 ай бұрын

    Dr Slaa, usimusahau Much. Xtofa Mtikila aliye simamia na kuhubiri maswala ya Tanganyika na Watsnganyika siku zote za uhai wake!!

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro66622 ай бұрын

    Mkuu wa jeshi alileta habari kwake kuwa jeshi limejaa watu wa inje ya Tanganyika. Mbona hajafanya lo lote. Lasilimali zetu zinaisha kwa warabu. Kwahiyo yeye anapigania warabu.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu73922 ай бұрын

    Mheshimiwa Dr. Hivi Raisi anahusikanaje na Internet Aumnamchafua tu niliamini kwa umri wako ni Busara lakini badala yake

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro66622 ай бұрын

    Watu wa CCM BADO WANAONGEA UONGO MKUBWA.HIYO NDIYO ILIBAKI TU. HUYO TUTAMDHIBITI. CCM NI WACHAWI WAKUBWA

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibuАй бұрын

    Mtanganyika gani aliwahi kuwa Rais akawa na uchungu na mali za watanganyika? Nyerere aliwafanya mfike kutembea makalio nje, kuwaingiza kwenye vita bila sababu, kufanya nchi masikini ya Kutupwa, Mkapa yeye aliwapa mitaji Yote ya uma kwa watu wachache. Kikwete ndio hasemeki. Magufuli kawatia kwenye madeni makubwa

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah2 ай бұрын

    Watanganyika tuamke kama wenzetu wa Zanzibar tutetee tanganyika yetu tuache uchawa kwa CCM, wanzanzibar wanaumoja na msimamo kudai Zanzibar yao tuamke

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam95652 ай бұрын

    sasa slaaa kwenye uchaguzi utachaguwa chama gani miaka iliyo pita ulikuwa mfanyakazi wa mwenda zake leo hiii unasikilizika kama chadema au ndio upepo wa siasa mzeee

  • @marianamontoedi1318
    @marianamontoedi13182 ай бұрын

    Is 2 late 😂😂😂😂

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro66622 ай бұрын

    Kwani unaweza kuondoa title kweli? Atakapofungasha mizigo yake kwenda kwao Zanzibar au uwarabuni dr.atamwacha na urahia wake na ubalozi wake uko pale pale kwa sababu alimaliza na kuondoka kurudi nyumbani kwa heshima ya balozi. Hakuharibu kitu huko ubalozini sasa kwa nini aone shida. Kwanza kama umesoma sawasawa unaweza kumunyang'anya mtu title ila wasomi wa kuungunga ndivyo walivyo. Maana wamefika mahali walipokuwa hawategemii kabisa. Akifika kwa kudura zake Mungu pia hawezi kumkumbuka Mungu aliyemfikisha hapo. Ananza kuwadhibu watu waliokuwa na title aliyokuwa anatamani.

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d2 ай бұрын

    Nyie wapinzani ni wajinga kila hafai Nyerere hafai kaja Mwinyi nae akawa hafai Akaja mkapa nae akawa hafai Akaja kikwete nae akawa hafai Akaja magufuri ambae watanzania Wakawa wanampenda wote nyinyi pia Mkawa Hamumtaki kaja Samia pia hafai huo ni upumbavu Tu na chuki binafsi

  • @LucasCharles-vm5ig
    @LucasCharles-vm5ig2 ай бұрын

    😂

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 ай бұрын

    Viongozi wa Zanzibar waliokuwepo madarakani wametokana na DHULMA ya 2020 hawajachaguliwa na Wazanzibari wamewekwa madarakani na jeshi la na la magufuli Tanganyika.

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    2 ай бұрын

    Zanzibar unaielewa ni Unguja na Pemba na kila chama kina nguvu upande mmoja.

  • @user-eo4bl3do8k

    @user-eo4bl3do8k

    2 ай бұрын

    Rais anachaguliwa dodoma ,AKISHACHAGULIWA MKITAKA MSITAKE HUYO ANAKUWA RAIS ,,KWA HIYO WAZANZIBARI WANACHAGULIWA KIONGOZI NA MA CCM YA TANGANYIKA ,,WAZANZIBARI HAWAKUWAHI KUCHAGUWA RAIS WANAYEMTAKA ,,KURA NI UBABAISHAJI TU

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 ай бұрын

    Wacheni Ujinga maraisi wote waliopita mbona hamkuwasema, Kikwete aliwaweka Waislamu jela na kuwafungulia kesi za Ugaidi, Mashehe wa Zanzibar wamekaa jela miaka minane bila ya kosz lolote kwa wao ni Wazanzibari na walikuwa wakizungumza kuhusu Muungano.

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    2 ай бұрын

    Wakumbushe, suluhisho ni kuuvunja. Ni busara kuzungumzia kuuvunja ni hatari zaidi kuvunjika wenyewe na unaelekea huko kuliko kujadili Katiba Mpya.

  • @evelynmwaimu-vd9jo

    @evelynmwaimu-vd9jo

    2 ай бұрын

    Uko nje yahoja

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje20722 ай бұрын

    Uchawi wao ni ule mwenge unaopitishwa kila mahali ili uzidi kutupumbaza.

  • @MiriamAbdallah

    @MiriamAbdallah

    2 ай бұрын

    Daa uhakika uncle aliusimamisha

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura42842 ай бұрын

    Silaa tulia huna jipya

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud2 ай бұрын

    Ukifuatilia comments utaamini sisi watanganyika ni waajabu. hatujitambui kabisa.tunaendekeza ushabiki wa kijinga na uchawa.wenzetu Zanzibar wanailinda sana zanzibar yao na rasilimali zao.kila Rais aliyetoka Zanzibar huja na lengo la kuhamisha rasilimali za tanganyika.watanganyika tumekodoa macho tu. hao waliopewa nafasi ni chumia tumbo tu...

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    2 ай бұрын

    Kwani kuna Mzanzibar gani aliyewahi kuiongoza Tanzania.

  • @user-gw4jj5nn2n
    @user-gw4jj5nn2n2 ай бұрын

    Wewe.mnafiki.ulitusaliti.unajjisogeza.kamakawaida.ulebingo.kama.ulooita

  • @user-ig3bu6lb5i
    @user-ig3bu6lb5i2 ай бұрын

    Unamsema rais sababu alikutoa kwenye ubalozi.utasema sana.hata akija rais mwingine akikunyima nafasi utamseme hivyohivyo.acha

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-zeАй бұрын

    Dk Samia piga kazi usisikilize huyu muflisi wa kisiasa na alieshindwa masharti ya upadre, mtu mwenyewe anaelekea kupata stroke, akapumzike huko Mbulu

  • @user-ig3bu6lb5i
    @user-ig3bu6lb5i2 ай бұрын

    Doct.yote njaa.wewe kila kitu una dandia tu.kwanza tunauliza wewe ni nani?kwa sababu

  • @obeidchamila6392
    @obeidchamila63922 ай бұрын

    Ww slaa huna sera yoyote ni wivu na chuki tu unaokufanya uwe hivo msaliti mkubwa Kama ww unapata wapi NGUVU ya KUSEMA ? Acha uzandiki huo ,ulikuwa chadema ukawasaliti na NJIA zako Hadi ulipo ni usaliti mtupu mtupu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro66622 ай бұрын

    Samia anauchungu na warabu wajomba wake au baba zake. Kwni akienda Uwarabuni anatofauti gani anajipigia debe ili wamkaribishe kwao

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji1972 ай бұрын

    Huyu hana fupa la kukukugunya akipewa fupa hunyamaza kimya. Hebu mpeni tena Ubalozi ataisifia CCM.

  • @user-lw3tg3yg5b

    @user-lw3tg3yg5b

    2 ай бұрын

    Lambda wakupe wew

  • @AllyKiduka

    @AllyKiduka

    2 ай бұрын

    Huyu silaha shenan

  • @AllyKiduka

    @AllyKiduka

    2 ай бұрын

    Shetani wewe silaha ibilisi shetaniiiiiiiii wa tanzania ni silaha kipindi ya magu halikuongea hili shetani mwalimu nyerere aliyatabiri haya masherani ya ubaguzi yatatokea

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro66622 ай бұрын

    Samia anauchungu na warabu wajomba wake au baba zake. Kwni akienda Uwarabuni anatofauti gani anajipigia debe ili wamkaribishe kwao

Келесі