Dr. Chris Mauki: Kanuni 3 za kujenga nidhamu kwenye kila ufanyacho
Wengi tunatamani sana kufanya mambo fulani au kuwa namna fulani lakini kila tunachotamani hakitokei, sababu ni kwamba hatuna nidhamu kwenye hayo tunayo yatamani au tunayo yafanya. Unafanyaje kuijenga nidhamu hiyo? Nifuatilie nikusaidie
Пікірлер: 15
Ubarikiwa
Asante na ubarikiwe
Asante Kwa ushauri
Hongera Dr. Chris, somo zuri
MUNGU mwenyezi akubariki sana
A like
Champions Never quit 💪 I love this thanks alot Sir
Love from Oman
Ssante kwa ushauri
Ubarikiwe.
Safi sana.
Natamni niongee na wew Kwa simu unipe ushauli je kunakias chchte natakiwa nichangie??
nkubli kk
KABISA KAKA,
*promosm* 😪