"DP WORLD WANAMILIKI MELI ZAIDI YA 100, WANA UZOEFU" - MBARAWA ATOA UFAFANUZI

"DP WORLD WANAMILIKI MELI ZAIDI YA 100, WANA UZOEFU" - MBARAWA ATOA UFAFANUZI
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 9

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Жыл бұрын

    Mheshimiwa. Shida si DP World kuwa na uwezo au kutokuwa na uwezo. Shida ni terms za mkataba. Shida ni hayo makubaliano. Kuhakikishiwa uwezo wa wawekezaji haijaanza leo. Hata wale waliotupiga walipigiwa debe kuwa wana uwezo. Hivyo huo mkataba ulivyo ndio tatizo. Kubali tu mkaurekebishe.

  • @laxfloop
    @laxfloop11 ай бұрын

    Huyu waziri hana aibu wala hofu ya Mungu!! Msomi kabsa!! Mmeuza bandari yetu kwa kukodisha kwa miaka isiyo na kikomo. Angalia Dp world waliwafanyia nini Djibout

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Жыл бұрын

    Hatutaki mwalabu sisi kama watanganyika mpelekeni Zanzibar

  • @lovsply
    @lovsply Жыл бұрын

    NA WAKIAMUA WASIFANYE UWEKEZAJI HUO? unatupotezea mda jibu hoja za wanasheria kuhusu mkataba

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Жыл бұрын

    Hizo meli nizakwake nasiozakwetu

  • @albetomfuse444
    @albetomfuse444 Жыл бұрын

    Tatizo sio dpw tatizo mkataba mbuvu

  • @mariej6962
    @mariej6962 Жыл бұрын

    Hivi huyu vipi?, hajui shida hapa ni mkataba . Kwani tumebisha kuwa DP world ana uwezo? Basi ombeni wawape hata kopi za mkataba wa Australia muangalizie. Mnakera mjue.

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 Жыл бұрын

    Inathibitisha wewe bure kwani huko wanamikataba ya kikoloni kama huo? Yaani yaleyale ya akina sultan kabla ya wajerumani

Келесі