DOTTO MAGARI SENSEMA YA RAYVANNY NA HARMONIZE WIMBO WA DUNIA WASANII WOTE KIMYA/DIAMOND/BADO MWINGIN
Ойын-сауық
Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online
Пікірлер: 38
Am from 🇰🇪Kenya I like this guy
Nacho kiona kwa sasa hakuna mtu mwenye kutesa mzki wa bongo kama harmonize 😊😊😊
He? Doto shikamoo!? 🎉🎉🎉 Sensema malundi
WCB FOR LIFE....WCB BABY FAMILY.
Umetisha ndug
🔥🔥🔥🔥🔥
Dotto acha uchawaa fanya udalali wa magariii
Mzee wa faibu😂😂😂anadasi bila biti😂😂😂
😂😂😂😂 wanyachu tupo juu
❤❤❤❤
Sensema IS good than comment ça va so good you will tell me i am from Burundi
@assuatemanuel8785
16 күн бұрын
Muhongo
Dotto magari, yule mmakonde jeuri jeuri 😹😹😹♥️
Ila bro doto rudia Hilo teke😂😂 uwiiii jamani sensemaaaaaa
Dotto tunakupenda kenya soteeee
ONGEENI YOTE ILA IKO IVI...UKIWAONA RAY NA HARMO AUTOMATICALLY UNAMUONA DAI.....LKN KWA DAI HUONI MTU....ZAIDI YA JITIHADA ZAKE....WAKUPONGEZWA NI DAI..😊
@SalumAuka
15 күн бұрын
Fala wew dai kapotea wew anachoimba hakielewek
😂😂😂😂
Jamaaa nimemuona alikuwa anaongea na tv
❤❤❤❤😂
hahahahaha dot nihatar ww
Komasava is hot 🔥
Ila Doto Magari 😂😂😂😂😂😂 Kuna siku alishiba hela za WASAFI akasema Hamjui Konde
Akuna music apo, mbona wimbo wa ovio
Hili goma la kawaid san sem kilichovutia ni kuon wawil hawa walio kuw maadui wako kweny kichupa kimoj😅
@AshaHadhidha-hj3oo
16 күн бұрын
Kweli kabsa
@MakaveliErnest-sj1tr
16 күн бұрын
unaakil bro umecoment ukwel🎉
@shaqdizo7678
14 күн бұрын
Hata goma la BARNABA NA YAMI Kali. Hakuna ngoma hapo
Wewe Wacha shobo ngoma ipi
Komasava IPO duniani, achana na takataka hiyo.
@DidasSaousien
16 күн бұрын
Matako Yako sensema ndo abari yamjini
@IbrahimuMaselo
16 күн бұрын
@@DidasSaousiensas wew ndo matako..unafanansha nymbo ya international na local song.
@DidasSaousien
16 күн бұрын
Komasava nisalami tu, Akuna kipia
@IbrahimuMaselo
16 күн бұрын
@@DidasSaousiennot jpya...ww si umeona imeenda viral kaka
@MakaveliErnest-sj1tr
16 күн бұрын
🎉
Beach, shut up. Diamond platnumz is good magician Africab is better rayvanny Harmonize 😢cry