Chimbuko la Waswahili ukuaji wa Kiswahili na wazungumzaji asili wa Kiswahili

Katika lugha zote zenye asili ya Afrika Mashariki, Kiswahili ndicho kimetaifishwa katika mataifa mbalimbali kando na kuruhusiwa kuwa lugha rasmi katika makongamano mbalimbali ya kimataifa. Isitoshe lugha hii inafunzwa hadi vyuo vikuu si Afrika Mashariki pekee bali katika vyuo mbalimbali Ughaibuni. Katika sehemu ya pili ya makala haya maalum, John Juma anakufunulia ukuaji wa kiswahili na wazungumzaji asili wa Kiswahili.
Watch KTN Live www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya

Пікірлер: 10

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380Ай бұрын

    Wewe ni mrongo hauna ukweli kiswahili leo ndio imekuwa ni ushirika Lakin kina wenyewe

  • @fikafikan8484
    @fikafikan848410 ай бұрын

    Ww mzee ni mrongo kiswahili chimbuko lake ni amu ww mzee hapo ni mrongo

  • @habelkalume9011
    @habelkalume90115 жыл бұрын

    Kiswahili nchanganyiko wa kiarabu,kipotugoli na kibantu

  • @mualim3777

    @mualim3777

    4 жыл бұрын

    duh!!!

  • @mualim3777

    @mualim3777

    3 жыл бұрын

    KISWAHILI ni Lugha kamili inayojitosheleza na wala si mchanganyiko

  • @asilclub
    @asilclub7 жыл бұрын

    LUGHA YA KISWAHILI YOTE IMEZALIWA KUTOKA LUGHA YA KIARABU

  • @najeebjumabhalo6152

    @najeebjumabhalo6152

    7 жыл бұрын

    بورتوريكو Si kweli waarbu walipokuja walikikuta Kiswahili.

  • @uledimtumwa3045

    @uledimtumwa3045

    6 жыл бұрын

    Acha uongo, ni kiarabu pia!!!???

  • @mamloahmed5486

    @mamloahmed5486

    5 жыл бұрын

    Hawana alphabet zao wamechukua kwa wengine au wameiba kwa wengine ndio maana waswahili wanaonekana dhulumati na wezi

  • @mualim3777

    @mualim3777

    4 жыл бұрын

    Unachosema si Kweli. Naomba jifunze asili ya waswahili; Waarabu,Wachina, Waomani na wengine walipokuja waliwapata Waswahili tayari.

Келесі