Chalamila awasili Mbagala, apokelewa na nyimbo ‘bao moja Sh10 milioni’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewasili eneo la Mbagala Mzinga baada ya wananchi kufunga Barabara ya Kilwa inayounganisha Jiji la Dar es Salaam na mikoa ya kusini, kwa madai ya kuchoshwa na ajali zinazotokea kila siku.
Chalamila amewasili eneo hilo asubuhi ya leo Mei 17, 2024 na kupokelewa na wananchi hao wakiimba ...goli moja milioni 10 halafu barabara mbovu.
Wananchi hao wamefunga barabara hiyo kutokana na ajali iliyotokea usiku wa jana Alhamisi Mei 16,2024 na kusababisha vifo vya watu wanne.
Kutokana na kufungwa kwa barabara hiyo kuanzia asubuhi ya leo kumesababisha foleni kubwa ya vyombo vya moto na watumiaji wengine wa barabara hiyo.

Пікірлер: 16

  • @kiluwaselemani4246
    @kiluwaselemani42462 ай бұрын

    Chalamila mm binafs nakuelewa sa naomba fatilia zaid 🙏🙏🙏

  • @MauaMsonjoma
    @MauaMsonjoma2 ай бұрын

    Daaaah tunazaraulika Sana tunaoishi Barbara ya kilwa😢

  • @user-pi7wk5yb8e
    @user-pi7wk5yb8e2 ай бұрын

    Kwamala ya kwanza mznga inaongelewa kwenye vyombo vya habali tupo nyuma sana ajali zinatokea azionekani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole74382 ай бұрын

    Hapo wamesema ukweli bao moja shs milioni 10 asikiye hayo Mama wananchi wamechoka

  • @user-ih7nl5nv3c
    @user-ih7nl5nv3c2 ай бұрын

    Uyu kiongozi makini sana majibu yake mazur

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko1172 ай бұрын

    Nzur mmeanza kuelewa kuwa nyie mna power kuliko dola

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde45082 ай бұрын

    Leo ndo Serikali inaona Baada ya Ajali,

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela94702 ай бұрын

    Safi kwa uamzi wananch

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын

    Eeee inabidi tujirinde wenyewe wakati mwingine wananchi hongereni Kwa umoja saafi

  • @Madizizi
    @Madizizi2 ай бұрын

    Nilikaa masaa 4 kwenye foleni leo ya niile sehemu kilasiku ajali

  • @user-uh5gk3vb4i
    @user-uh5gk3vb4i2 ай бұрын

    Lini ?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole74382 ай бұрын

    Ni kama barabara za Morogoro Road zilitakiwa nane toka kufa kwa Magufuli imeachwa kutengenezwa sasa inaua watu yeye kazi kusafiri kutwa kycha kama hakuna Wasaidizi wake kuwanyima wenzie ridhiki tu

  • @moodsraj1
    @moodsraj12 ай бұрын

    Hiii cjawai kukaa miezi miwili bila kusikia tukio. Kiukwel njia sio rafiki kabisa tena wameidharau kama njia ya mtaani vile

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson96632 ай бұрын

    Shida yawanasiasa niwaongo sana wanatoa maneno matam nakuishia mbele

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo53062 ай бұрын

    Watu wananunua magoli vitu vyamaana km hivyo wanaviangalia kila cku

  • @ChiluMaster-music

    @ChiluMaster-music

    2 ай бұрын

    Ikitengenezwa Ii barabara nais itakuwa sku kuu

Келесі