BODDA MOHSEN:KIUNGO ALIEONESHA KIWANGO BORA AFCON KATIKA JICHO LA SIMBA SC

Спорт

Simba Pro tunafahamu kua Simba sko katika harakati za kusaka vipaji na sasa wanatupia macho katika kikosi cha FC Nouadhibou na kuangalia kwa ukaribu ubora wa kiungo wa Time ya Taifa ya Mauritania ambas ni Bodda Mouhsine
je ana ubora gani na ataweza kun'gaa katika kikosi cha miamba ya soka la Tanzania Simba SC?
Dullah kama kawaida yake anatupa majibu
Dullah Hassan napenda kuwakumbusha kua ili kujiunga na group letu la simba pro hakikisha unanchek kwa namba 0626629644
utaungwa na wenzio wallopo maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi ya Tanzania
Tunadhaminiwa na NWAKA HARDWARE wauzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi
wanapatikana Kariakoo mtaa wa kipata na Sikukuu
Wasiliana nao kwa namba 0655155096
Pia mimi Dullah Hassan napenda kutoa Shukran kwa wanasimba Pro members waliotoa kidogo chao kwaajili ya kukamilisha ununuzi wa vifaa vya media yetu nasema Asanteni sana

Пікірлер: 8

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko44003 ай бұрын

    Umefanya hivyo kwa nia njema ya kuisaidia Simba lakini wale wanaosubiri jicho la Simba lione mchezaji wao wamuchukue unaweza kukuta wanamuchukua dirisha kubwa. Hongera kwa uchambuzi mzuri.

  • @omaraha6974
    @omaraha69742 ай бұрын

    Bodde mohcine to wydad Athletic club ✌️

  • @SimbaProSupporters

    @SimbaProSupporters

    2 ай бұрын

    Congratulations bro

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig3 ай бұрын

    Unajuwa sana mwamba

  • @user-bf3mm5wu1s
    @user-bf3mm5wu1s3 ай бұрын

    wew mwamba sanaa😊

  • @amourjuma1807
    @amourjuma1807Ай бұрын

    Huyu ndo mchambuzi sasa

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko44003 ай бұрын

    Viongozi wa timu yetu pendwa Simba Sports Club napendekeza Kijana wetu huyu Dulla Hassan ashirikishwe ktk scouting ya Wachezaji wetu kabla ya usajili. Ana kitu ambacho Simba inaweza kufaidika nacho.

  • @Nasrah_alley
    @Nasrah_alley4 ай бұрын

    Huyu mkaka sijui kama kuna mchambuzi anamzidi hapa Tanzania

Келесі