BIG SUNDAY LIVE - FEROOZ | NIPE 5, NIKUSAIDIAJE
Ойын-сауық
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Пікірлер: 116
This was really cool my long time fan Ferooz, nipe tano was just and it's still a hit.. "Niiiite sajo aka mental" ebwana safi sana ngoma yanikumbusha mbali sana. Be blessed my legendary, from Kenya tunawakubali sana.
Huyu jamaa jembe..Songa zake bdo zina teste kubwa Sana🇰🇪💯 #Ferruz
Ferouz ni Fundi ambae kichwa chake kilikuw kinawaka vizur kweny uimbaji koras ndo atar I respect your Legacy, changamot zipo ila akuna kam wew katik ulio yafany generations zinachange ila ulichofany bado kinaishi
Nimekumbuka mbali mpaka nimelia nimemkumbuka marehemu dada yangu mungu amrehemu🙏 alikuwa anapenda saana huu wimbo 😭😭🥰
@D-Man.B-Free
2 жыл бұрын
Poleni Sister,kazi ya Allah
@salhamrisho8138
2 жыл бұрын
@@D-Man.B-Free miye Sister si brother 😇😊
@munaahmed8499
2 жыл бұрын
Pole kaka yng kuna mvulan pia kule kwetu alikuw aupenda sana huu wimbo nipe 5 now ameathirika nikimtizama najikuta naumia kweli kweli
@salhamrisho8138
2 жыл бұрын
@@munaahmed8499 asante mamy but miye ni msichana naitwa salha siyo mwanaume 😇😊🇴🇲🇹🇿
@salhamrisho8138
2 жыл бұрын
@@munaahmed8499 pole
FEROOZ kitambo kbs unanikumbusha enzi zangu nimekuwa ninapenda kuskia music yako nakupenda sanaa from🇦🇪🇧🇮
Amin usiamini Hawa ndo wenye kiwanda Cha music wanastaili Bigg respect ma br feruz dazz nunda ngwear proffesor j dully Sykes chiddy Benz tid pnc comment na wengine tuwape heshima zao km tupo pa1
❤❤ u from Kenya...starehe taught us alot💪💪🌹
I remember nikiwa Mdogo nikiskiza hii nyimbo I was like maskini so ana ukimwi hatoweza kuimba tena...
@dickaugustino2214
2 жыл бұрын
Same to i ,nilidhani kweli anaukimwi so any tym he is gonna die,that was my thoughts...but it was just educating the views and listeners
@manuecleverlye1984
Жыл бұрын
Sound 😂😂😂
Legendary. Keeping the good music alive!
We Lil Ommmy ni mkali Mwana we mnyyaaaaaamaaaa Nimependa vibe umemsaport mwamba hadi nimeenjooooy Shaaaraaaaaap dude
Mad respect kwa legend himself
Dah jamaa still yupo na utam wake sema hawamshiki mkono kumrudisha kwenye ubora ule he is a true legend
Acha mapinduzi yaendelee Cloud walitesa sana wasanii hapa nchini 😭😭
@mariellerashidi4649
2 жыл бұрын
Profile yako kila ngambo nakukuta🤣🤣🤣🤣
Duhuu nyimbo jaman inanikumbusha mbali sana jaman nyimbo zaza mani zilikuwatamu sana basitu
@mwarimwagakitu475
2 жыл бұрын
Ila bado iko na ladha. Nyimbo za sahii mbovu tu hazikaagi sana zinaisha utamu ela zazamani ndiyo nyimbo
Izo Nyimbo Zikipigwa Hata Ukiwa Unakula Nyama Leo Utakumbuka2 Wakati Ulipokua Ukila Bamia Uko Nyuma Tena Na Kilio Juu Kama Ulikuako Na Masela Na Wakafa Wakati Huo We Wacha2
Uyo kaka alikuwa najuwa imba saana
Mr police police police man napendanga nyimbo za uyu kaka Bure wellkam back ferouz
100% this was cull ...yani kitw kina miaka but dahh balaa unyama sana ... tbt ingine hatar 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The man is legend
Daah ume nikumbusha mbali mno broo wewe ni fire ....♨️
Those days when music was music
Mapinduzi gani yamefanyika wakati matabaka kwa Wasanii yanaendelea, why Msanii akiwa na mahusiano na WCB akienda Radio ama TV pinzani ni Sheeeeda kwake, Ferooz badilika huna energy ya show zaid ya kuruka ruka na kuvaa mlegezo
😢😢nakubuka bali fruz🔥🔥
Ferooz unajitahid sana kwenye muzic
I love the show from our legend
Mbona watu wengi lakin saut mbili? Love you #ferooz
Umeanza kung'aa kdogo tena bro Ila acha madawa so mazur❌❌❌❌❌❌
Mapinduzi bado yana endelea ferooz💯
🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇴🇲miss moor 👊👊👌
og sana nipe 5
hao watt wa chuo apo wote hawawez kumuenjoy kama wamezaliwa 2002 wakt hiz nyimbo znatamba walkua wadg sana
huyo madam ako na kelele mingi sana kuliko msanii mwenyewe.... niko apa juu ya ferooz sio kwa yy
YES YES YES!!!
Ferooouz🔥🔥
Huyo Mdada ni tatzo ferooz anasubiri kwenye kuimba
ngada sio poa alikuwa msanii ambae nyimbo zake zote naimba mwanzo mwisho daaaa 🤭🤭 sijui kama atarudi vilee kama mwanzo
Yani huu wimbo umeniacha', nimelia daa
Ferooz big up sana
Hayu ndie msanii Bora sikina daimond wakuja kutu haribia watoto wetu
Big up brother 😍😍😍😍😍
Viva ferooz
Hapo wengi sidhan kama walikua washajua matumiz ya hzo nyimbo. Cc ndio tuliozitumia miaka hyo aiseee yaan ilikua bonge la vibe ukiwa club
Mupeni support mwana ainuke tena basi
Legendary
Namkumbali
Nimefurahi kukuona burooo una sauti insha allah utasimama tena
Old is gold
Ferooz nakumbali
🔥🔥🔥🔥🔥
Unyama mwingi
Hiki kijamaa hiki daa basi tuu nataman nirudishe muda nyuma coz jamaa alikua anaimba mazee ni hatar sana namic sana hizi vibe aisee
Huwana tamanigi hizinyimbo zirudi kamaza mani hila basitu ayiweze kani
Na Ashley ana bidi aitwee
Msanii anaitwa aimbe anaimbisha wattu
Nakubali
Ferooz Anassema a luta continua,kkkkkk
Feruzi miaka mingi sikusikihi mtuwangu
Show show
❤️❤️❤️❤️
Nahuzunika xna baada yakuxkia huu wimbo ndio kipindi ambacho naachana na ex wangu. Ferooz xijiu alikwama wap?
@abelbufumbe790
2 жыл бұрын
🤣🤣
😍😍💃💃
Remember the time
Mzigo umefka mahala paka
😇😇👊
Niceeee
Yaukweli hii
Mzki wake unaish
😘😘😘😘😘😘😘🇴🇲🇹🇿💃oyoooooooh
legendary
Kizazi kaka
Mkalii
Mzee wamasaut
Uko juuu kakabnakumbuka sijuibhao making kiba walikuaga wapi
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
ttzo wasanii wabongo makelele matupu huskii hata wanaimba nn
Weweee wa2 ni kuruka 2
Ni kuimba ama ni kelele
Hi n fire kuliko
nkbl feluzi
Sema zilipendwa
@franciskianga9950
2 жыл бұрын
acha shbo
Huyo demu kelele tu atoke hapo
kashaacha bange kwani
Naaam
Wa dislike 2 wachawi wa konde 😬😬😬
Nandy kazimia studiokzread.info/dash/bejne/l5OpuJdvlK_afaw.html
Wadada hapo angekua kawaida Ali kiba , diamond au konde looh Kuna watu Hadi wangepigwa na boy zao
@009biafra8
2 жыл бұрын
HAMOKINYESI hana nyota ya watoto wa kike labda ungemueka hapo Rayvany na jux ila sio hamokibonge mziki wake n wa masera
@mahmoodalghefeili5370
2 жыл бұрын
@@009biafra8 utakufa cku c zako unazitumia vibayachuki zako
@009biafra8
2 жыл бұрын
@@mahmoodalghefeili5370 Hàmokinyesi ananuka haogi wanaomshabikia n kwa sababu anamtukana Mond ila sio kwamba ana mziki wa kufanya madada wampende Elewa hivo kama ulikuwa hujui
Nyimbo mpya ya Roma kzread.info/dash/bejne/eZlt3Kahf5rNqLA.html
❤❤ u from Kenya...starehe taught us alot💪💪🌹