BABA LEVO afichua siri NILIWAONA NANDY na BILLNASS WAKIZAGAMUANA
Ойын-сауық
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
Пікірлер: 181
Nilianza namchukia baba levo mwisho wa siku nikajikuta nampenda kupita kiasi. Nahisi ana good heart . Na ni mwema mno
Huyu jama ni comedy😂😂😂😂 baba levo mwisho
Nikiona Title ina jina Baba Levo mimi hubonyeza haraka sana.
@richardkivuva1811
2 жыл бұрын
Baba levo mpuzi
@africaninsider
2 жыл бұрын
@@richardkivuva1811 wewe wacha kuhaha
Niwaambie tyu kuwa baba levo ana akili kuliko mnavyofikiria, baba levo hoyeee
Baba levo karibu Ufaransa tunakupenda mnoo Watanzania unatupa rahaaaaa
B Levo ba ❤ Mungu akuweke kwa ajili yetu 🤗🤣😂🤣
Huyu jamaa ni best comedian
HAKUNA INTERVIEW TAMU KAMA ZA BABALEVO
@ramsikhamis7083
2 жыл бұрын
Teeenaaa sanaa aisee....😅😅
@japhetmathayo6011
2 жыл бұрын
Kabisaaa yani
@charlesotieno6001
2 жыл бұрын
Raha saana Aisee ✌️😂
@innobugobola1694
2 жыл бұрын
Kweli
@innobugobola1694
2 жыл бұрын
Mm najiulizaga et jamaa alijui kukaslika
Baba levo Tunapenda Kwa ucheshi wake huyo muha anaga kinyongo na mtu😂😂😂
Ety wanazagamuana 🤣🤣🤣🤣🤣 Nakukubali baba levo huongei uongo Kasema koti kapewa na chui
Nakupenda MNo balevo jamani mbavu zangu Mimi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi mnajua kwa nn interviewers wengi karibu 90% huwa wanahakikisha wanampata Baba Levo..?! Answer:- Jamaa ako really sana, halafu ako upande sahihi (WCB) ambapo pia hatumii nguvu kuaminisha watu chenye anaongea ni kweli na mwsho ako FUN pia anamek sure anachekesha watu huwa..🤣🤣🤣🤣
@roi2554
2 жыл бұрын
Fact bro
😂😂😂😂... Wanazagamuana mzagamuo 🏃🏃🏃🏃🏃,alafu kuna wazagamuanaji 🤣🤣🤣🤣.Huyu jamaa namuelewa sana MWAMBWAMEEEEE
Hata kama unamchukia baba levo utajikuta unacheka tu huku umekasirika 😅😅😅
Nilikuwa ckupendag wee baba mwenye guu kubwa dunian ila kuwanzia leo me shabiki yako no1 kumbe mwananchi,, yanga oyeeeeee
Baba levo uko simple hadi raha hauvimbi. We ni comedian.😀😃
Best interview ever 😂😂😂😂tunakupenda huku U.S.A
Ila uyuu jama licha ya kumponda harmonize Ila ananifurahishaga sana
@manirakizahashim9967
2 жыл бұрын
Jamaa ana kipaji cha pekee Na pia ni mtu mzuri
@salomewandya7257
2 жыл бұрын
Saaana aiseee
@hashimuramadhan6530
2 жыл бұрын
@@manirakizahashim9967 😅
@hashimuramadhan6530
2 жыл бұрын
@@salomewandya7257 🤘
Karibu marekani tunakumisi Sana 😅😅😅😅😅
Huyu jamaa hata uki mufanyia interview ww utacheka tu. B levo manyumba.
@salomewandya7257
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
Babalevo nakukubali lakn ilo koti badilisha tngu zenj
Baba level uko juu
Baba lev ni lev zingine
Huyu jamaa vipi asingezaliwa TZ hahaha Ana burudani sana
Kabisa kuna vyakula vina sehemu yake kwenye tumbo
Akuna interview nainjoi km ya baba levo ww nizaid comed
Baba levo raha sanaaaaaaaana jmn nakupenda una kinyongo rohon mwake fraha ipo nyingii
Baba levo hua ananifurahishaaa snaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hili koti nimepewa na Rayvany 🤣🤣🤣🤣
Wanazagamuana Yan kihome home Zaid daah baba levo unavituko atar
Hahaha kula kujigalagaza b levo ba mtaalam fundi majumba
Na Hilo biriani mnatembea nalo kwenye sahani huku mnaongea na huyo baba levo anaongea mpka aje akae chini aanze kula limejaa mate 😄😄
Nitakosaje interview ya baba levo😂
@salomewandya7257
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@renildevenerand9473
2 жыл бұрын
Mi pia siwezi kukosa
Linah eti nikatae kama mmakonde 😅😅😃
@roi2554
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣alikuwa anataftia sababu ya kuliongelea hilo
inavyoonekana baba levo unamtaka sana nandy kabisaaa wewe nakufatilia mno wewe
Baba revo kweli wee sitaa
kweli
Akitulia anaongea point 🤣🤣 kuhusu Yanga kapatia kabisa Nadhani kuhusu Nand na Bill nas ni kweli😂😂
@rajabdibwa6415
2 жыл бұрын
Ndio mana nandi alikataa kutoa password ya simu😂😂
@lovenesskalenge2683
2 жыл бұрын
@@rajabdibwa6415 Kabisaa
Hili jama fala Sana Yani nacheka hatari😂😂😂
@salomewandya7257
2 жыл бұрын
Hahaha acha tu🤣🤣🤣🤣
Huyu utadhan ni mlev kumbe linaakil timam
We ndo nandi festival 🤣🤣🤣🤣🤣
Na hili joto kali la dar bado uko na sweater 😂😂😂
Diamond kwel kapata Chawa
Kweli w bro tair yna unakela mda mwingine bada y kukaslik utachekat😂😂😂😂😂😂😂
Baba levo akili hauna hakika 😂😂😂😂😂😂😂
Basi mpeni mtu Yai😂😂
@godfreybahitwa4798
2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
Hapo kwa Simba ndo umenifuhisha kwenye makalio Kuna jina🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂Baba levooo
Mtaharamu
You always make ma day!
uyo baba levo na mupend mpaka basi
Napenda hili jama
Napenda hili jamaa levo
Huyu Amt mapua kweli Ni miss behave mno
Ila please jaribun ku balance hizo Titles zenu
Hahaha balaaaa levoooo
H baba where you open book
Wew mwanume ombea sio vema wengine wanasifiwa kwa kazi nzuli wew unasifiwa ombea dah🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Yani Baba levo ukiapia to sehem lazma panoge.
😂 😂 😂 hvi Kuna mtu anamchukia babalevo kwl
Et kwenye matako kuna mo foundation 😂😂😂😂😂
Akili nyingi zinatumika kwenye kuvunja na kurudisha couple
Nawewe ukazagamuliwa.
Ngurue nzima
Yaani duniani namkubali baba levo saaana
Jamani baba levo hakosagi Cha kuomgea Ni mtu mwenye maneno mengi😆😆😆😆
Babale raisi wamachawa
Cot kapewa na rayvan yan ni mkweli sana huyu baba
But akili za baba levo ni shidaaaa aiseeeeeeee nibalaaaaaa la kigomaaaaa
😂😂😂😂😂 B levoo babaaaa😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Hivi hawatemei mate huyo anavyoongea hapo
Baba levo we atar😂😂😂😂
makalio foundation simba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Baba levo Nakupend bure
Baba levo utakula sumu, usiwe unadubukiya ivo .
Akyamungu baba lev wewe ni mnoma jamn
Uko vzl
Baba levo🤣🤣🤣🤣
Huyo alokua anapanic hapo chini kwan ndo mume wa nandy.🙄
Ni kweli simba ni kukopi kila kitu
Piga mpunga kwanza kaka mkubwa
Fundi majumbaaaa🤣🤣🤣
Yani babalevo 😂😂😂😂
Yakubu😘
hahhahahah baba levo😄😄😄
Mh hiiii njemba utacheka hata Kama ilikua umechukia anajiamini san
😂😂nikiwa na show namchukua baba levo ili t tucheke
Ati mm ni fundi manyumba kwani umenisahau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣baba levo
Gari ya baba levo $1500
Huyu jamaa wangemuweka kwenye commedy
Mbona hausemi kuhusu Diamond Na Tabia zake za kucopy. Ama watasema hizo Hauoni
mshamba ww
Mpeni mtu coca😅
Baba levo ni shida
sema jamaa liko real
Njaa utaku uwa
Simba mpooo
Escro baba levo Kond boy Tunakungoya apa congo
B levo🤣,