ASKOFU GAMANYWA. UNYAKUO KABLA YA DHIKI KUU

Ойын-сауық

Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZread : kzread.info?su...
#ChomozaTv#2023

Пікірлер: 39

  • @JonasIbrahim-wt8uy
    @JonasIbrahim-wt8uy26 күн бұрын

    Uongo huo we hata usome wapi lakini neno la mungu bila roho mtakatifu huwezi kuelewa

  • @dinairenge
    @dinairenge4 ай бұрын

    Amen Mungu tusamee kbs

  • @JohnRamadhaniMkuki-ju7bp
    @JohnRamadhaniMkuki-ju7bp8 ай бұрын

    Nakuelewa sana baba me mwanafunzi wa masomo yako

  • @JonasIbrahim-wt8uy
    @JonasIbrahim-wt8uy26 күн бұрын

    Mtasikia vita na matetesi ya vita lakini msitishwe lakini kutatokea manabii wa uongo ndo hao sasa hata walio wake watadanganywa kuwa makini na hao wachungaji

  • @davidsosthenes4479
    @davidsosthenes4479 Жыл бұрын

    Amen Baba ubarikiwe

  • @dinairenge
    @dinairenge4 ай бұрын

    Mungu tusamee

  • @NyumbaniHabariMedia
    @NyumbaniHabariMedia11 ай бұрын

    Sawa kabisa

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga850210 ай бұрын

    Umetusaidia sana

  • @petermalema5702
    @petermalema57028 ай бұрын

    HAPANA KANISA HALITAPITA KWENYE DHIKI KUU. KANISA HALIHUSIKI NA DHIKI KUU.

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani11 ай бұрын

    Unyakuo ni sasa NENO ameisharudi, Ufunuo wa Yohana 19:11-16. Malaki 3:1-6.

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani11 ай бұрын

    Siku ile ya kuokolewa hakuna ajuaye, NENO halifafaniwe kwa usomi wa lugha bali ni ufunuo wa Roho.

  • @petermalema5702
    @petermalema57028 ай бұрын

    Ooooooh

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani11 ай бұрын

    Mmoja ameokolewa mmoja ameachwa, lakini wapo wote wawili hapo hapo kama kipindi cha Nuhu walikuwepo hapo hapo,

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge36859 ай бұрын

    Ugongo. Kanisa halitapita kwenye dhiki

  • @EnockKibona-xe5hp
    @EnockKibona-xe5hp11 ай бұрын

    Mathayo 28:20 Yesu anasema nipo pamoja nanyi hata ukamilifu wa dahari! Nenohilo lina tafsri wakati uliopo! au wakati ujao?

  • @EnockKibona-xe5hp
    @EnockKibona-xe5hp11 ай бұрын

    Mzee wangu! ebu tafiti vizuri maandiko.Yesu alipo alipo ulizwa na wanafunzi alisema kizazi hiki hakita pita! Kwani kizazi kina miaka mingapi? Kama100 tangu Yesu mpaka leo! Miaka 100 bado haijafika?

  • @jeffkipkorir8722

    @jeffkipkorir8722

    13 күн бұрын

    Kuna kizazi kitacho shuhudia mti ulio katwa ukichipuka tena (fig tree). Kizazi kilicho zaliwa Israeli ikiiunuka tena kama taifa hakitapita.

  • @user-mm3ke3bd2y
    @user-mm3ke3bd2y2 ай бұрын

    .NENO LIKIRUHUSU VILEVILE TULIO KATIKA DHIKI KUU NDIYO TUNAO FAHAMU KUA VILEVILE TUKO KATIKA DHIKI KUU

  • @EnockKibona-xe5hp
    @EnockKibona-xe5hp11 ай бұрын

    Paulo alipo ongea nawathethalonike aliwambia wafarijiane kwa maneno hayo! Nawewe unatufariji?Yesu atakuja tena kimwili wakati alisha kuja kwa roho?

  • @masanjasabanja3789
    @masanjasabanja378910 ай бұрын

    SOMA DANIELI 12:1-3:ACHA KUPOTOSHA SOMA VIZURI BADO HUJAELEWA BADO. Wakati huo Mikaeli atasimama, jemadari mkuu, asimamaye upande wa wana wa watu wako; na kutakuwa na wakati wa taabu, mfano wake haukuwapo tangu lilipoanza kuwapo taifa hata wakati uo huo; na wakati huo watu wako wataokolewa; kila mmoja atakayeonekana ameandikwa katika kitabu kile. 2 Tena, wengi wa hao walalao katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele. 3 Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd7 ай бұрын

    Na wewe fundisha sio kumwambia mwenzako amekosea ukimwambia mwenzako amekosea tuambie wewe sasa ukweli wako

  • @JifunzeNenoLaMungu
    @JifunzeNenoLaMungu Жыл бұрын

    Hii SoMo limekua invalid maana hakuna mwenye akili sawa asiye jua unyakuo ni kuchukuliwa/kotolewa Arudi afundishe vizuri..

  • @obyigogo9920

    @obyigogo9920

    4 ай бұрын

    Kwa mustakabali wako

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani11 ай бұрын

    Kutwaliwa ni kuchukuliwa,sio mwili ni fikra zako kuchukuliwa toka kwenye uongo kama huo, na kuingizwa kwenye ukweli wa mitume na manabii wake. Sio mwili kutwaliwa.

  • @FloridaSyombua

    @FloridaSyombua

    6 ай бұрын

    Hii yako sio.kweli

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge36856 ай бұрын

    Nyamaza kama ujui maana ya unyakuo

  • @marionoti5760

    @marionoti5760

    6 ай бұрын

    Nawe umegeuzwa Zombi? Ukimvaa kristo, hunahaja ya kuweka kambi ya kubwabwaja juu ya unyakuo kwenye vyombo vya habari ukipoteza muda na kukwepa kuvuja jasho la haki kwa manufaa ya taifa la Mungu. Bwana wetu Yesu Kristo amesema, hakuna ajuaye saa wala siku ya ujio wake, tuwe tayari wakati wote, maana yake tumuishi kristo maisha yetu yote toka tulipomvaa Kristo. Wanao jihangaisha na kuwianisha matukio ya Dunia hii na maandiko(walikuwepo toka enzi za mitume) wanamalengo yao ya kutoa vitisho kwa wenye imani haba ili kufanikisha nia zao ovu (ni akina Yuda Eskarioti wa kizazi hiki(Pamoja na kujipachika majina makubwa ya kidini ni Matapeli)).Ufunuo upo kwa kila mwamini (pazia la hekalu lilisha pasuka katikati patakatifu pako wazi kwa kila mtu).

  • @marionoti5760
    @marionoti57608 ай бұрын

    Ili kupiga hela, Mungu wa upendo haina maana. Makanisa au vikundi vya aina hii vinahangaika na maandiko ya vitisho, ili hasa waumini watetemeke, wahofu kuwa siku za kuja kwa mwana wa adamu zimewadia kwa manufaa ya matumbo yao, hasa kwa wenye uelewa hafifu wa maandiko. Tabiri hizi zimekuwa zikifanywa mara kwa mara na wanaojiona ni wajanja toka karne ya kwanza. Matapeli hawana hofu ya Mungu wala aibu.

  • @kalebuwilliam1014

    @kalebuwilliam1014

    6 ай бұрын

    Soma biblia mkuu,hofu ya Mungu huwaleta watu kwenye toba.Ukiona unahofu nyingine jua una dhambi moyoni inakuhukumu.Watu lazima tuambiwe ukweli ili tupone.Sindano inauma ila ndo kupona kwenyewe.Ubarikiwe

  • @marionoti5760

    @marionoti5760

    6 ай бұрын

    @@kalebuwilliam1014 Kwahiyo hata matapeli wa injili wanapotafsiri kwa hadaa na uwongo maandiko matakatifu, tusiwakemee ila tuendelee kusoma Bibulia? Mbona mafarisayo walikariri Bibulia agano la kale lote lakini Yesu akawakemea kwa kutoyaishi yale waliyo yakariri, akawaita wanafiki. Hata leo kuna watu wanatembea na Bibulia lakini, matendo yao ni unafiki, kwao utakatifu ni kutokunywa pombe , masengenyo, uwongo, hadaa, na husuda, kwao sio dhambi. Nasema haya ili mzinduke. kumtumikia mungu wetu ni kwa kutumia akili zetu. kumbuka hadaa za akina, kibwetele,Makenzie na zumaridi. usifikiri waliokufa huko ni tofauti na wewe, walipofushwa. kumbuka: Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kama kinga yake. Mnahadaiwa na mtu( anayejiita mchungaji na eti anaupako), Hana tofauti na mganga wa kienyeji, mpiga ramli). Mnasoma Bibulia gani? Mumekuwa watumwa, mumeelemewa, ijueni kweli ili muwe huru, kwani pazia la hekalu lilisha pasuliwa na yesu katikati ili kila mwamini aweze kupafikia patakatifu pa patakatifu. Pole.

  • @FloridaSyombua

    @FloridaSyombua

    6 ай бұрын

    Naomba usome neno na uelewe Yesu kristo anarudi sioni ni kipi kinakuchanganya hapo,,tangu nyakati wa Nuhu watu hawakuelewa

  • @geraldndone7438

    @geraldndone7438

    6 ай бұрын

    Mpendwa! Mungu kwa upendo wake ametoa vitu vitatu;Upendo, wokovu na msamaha wa dhambi.Ukivikataa hivyo huwezi kukwepa hasira ya Mungu.mwamini na Umpokee YESU sasa ili uwe na ujasiri siku ya kuja kwake.Ukimpata Yesu umepata vyote.

  • @marionoti5760

    @marionoti5760

    5 ай бұрын

    @@kalebuwilliam1014 Ukisha jikabithi kwa Mwanadamu, na ukadhani ndiye mwenye upako kuliko wewe, mara nyingi hugeuka zombi. Unakuwa unamtumainia yeye kama kinga yako. Mfano, mtu anaye amini kwamba mazingaombwe ya mganga wa kienyeji yanamponya, ukimwambia huyo anakudanganya, aweza hata kukuzuru wakati unalomwambia ni ukweli. Uzombi wa neno la mungu umetuangamiza waafrika. Mfano; kibwetele wa uganda, zumaridi wa mwanza, juzi tu Makenzie wa kenya na wengine wengi. Pole sana mpendwa ktk Bwana, kutoka wakati wa mitume(yaani wakristo wa mwanzo) mpaka miaka takribani 1400 BK (baada ya kristo) haikuwepo biblia, lakini ukristo ulikuwepo na uliendelea kuenea pande mbalimbali za dunia kwa namna roho alivyo wafunulia. Biblia (sanamu - kielelezo cha maandishi) unayoikumbatia kila siku, ilikusanywa na warumi takribani miaka 1600 BK. Mafarisayo walikariri baadhi ya maandiko ya wakati ule wakawa wanawatafsira wengine kwa kadiri ya maono yao, Yesu aliwakemea. Pia kumbuka kuwa pazia la hekalu lilipasuka ktkt kila mtu anauwezo wa kuufikia utakatifu. waganga njaa walikuwepo hata enzi za Yesu ndio maana walimusulubisha bila hatia. Leo wanaoishi bila jasho kwa kutumia jina la Yesu ni wengi (akina Yuda Eskarioti).

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge36856 ай бұрын

    Acha Uongo wako wewe unakosea. Sana. Kanisa halitapitia katika dhiki. Angalia. Wakati wa Nuhu Na Sodom

  • @masanjasabanja3789
    @masanjasabanja378910 ай бұрын

    INASIKITISHA KUONA WAUMINI WENGI KAMA HAO AMBAO NI KONDOO WA BWANA UNAWAPOTOSHA,KAMA HAUJUI BORA UNYAMANZE MAANA FUNDISHO LAKO NI POTOFU,UNAJARIBU KUJIFISHA KWENYE LUGHA LAKINI BADO SANA HAKUNA UNYAKUO WA SIRI,FUNGU LA MATHAYO HALIMANISHI HIVYO ULIVYOTAFASIRI

  • @agnesdaud8215

    @agnesdaud8215

    10 ай бұрын

    Barikiwa Masanja maana nilitaka kumkosoa sasa nimeona umesha mariza ivyo sinahaja yakurudia Tena ila tu Hawa watu ndio wale wachungaji wauongo nasasa wapo kazini wametumwa nababayao ibilisi kuwaandaa watu waajili yakumpokea mpinga kristo yaani huyu wakwanza kuja

  • @juliusmshani6985

    @juliusmshani6985

    9 ай бұрын

    Kuna kazi kweli tatizo kubwa ni kutofautisha dhiki kuu na ghadhabu ya Mungu kiuhalisia ghadhabu ndo wanaita dhiki ukisoma math 24:29 yesu ana sema mara baada ya dhiki ndo kutakuwa na unyakua dhiki ni Ile ya mpinga kristo hapo kanisa litakuwepo duniani hiyo dhiki inapokomeshwa ndipo unafuata unyakuo Kisha inafuata ghadhabu ya Mungu Kwa walioshindwa kujitetea Imani ukisoma ufu 20:4 utaona sifa za walionyakuliwa ambao watatawala na kristo miaka 1000 aakofu anaposema kuhusu gharika au sodoma na gomora zote ni ghadhabu za Mungu Kwa wakosaji kabla ya gharika nuhu alipitia dhiki na hata lutu alipitia dhiki Kisha Mungu alileta ghadhabu Kwa waliomwasi Kwa hiyo Kwa unyenyekevu naomba tupate maandiko sahihi ya kutuaminisha kuwa kanisa hhalitapita kwenye dhiki

  • @DismasVenance

    @DismasVenance

    6 күн бұрын

    ASKOFU WANGU NAKUPENDA ILA HAPA UMECHEMKA NA UMEDANGANYWA NA WAZUNGU.

Келесі