ANGUKO LA VIONGOZI WA KIDINI

ANGUKO la VIONGOZI wa kidini TAnZANIA laonekana. Toba Toba Toba

Пікірлер: 9

  • @rastheunique
    @rastheunique6 күн бұрын

    Eeeh Mwenye Enzi Mungu Turehemu sisi waja wako😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @richardmariki4512
    @richardmariki4512Ай бұрын

    Pata habari ya leo juu ya askofu shoo.soma nipashe

  • @marympochela7903
    @marympochela790311 күн бұрын

    Amina sana mtumishi wa MUNGU, Elijah

  • @Elijah-TheSeerTv

    @Elijah-TheSeerTv

    7 күн бұрын

    Blessings

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812Ай бұрын

    Siyo kwa viongozi wa serikali tu bali hata ndani ya makanisa wamekuwa watafuta pesa na mali hawakemei dhambi bali kulea wadhambi ila wenyepesa, hawajali maslahi ya injili bali kila jambo linaenda ki maslahi, Mungu shusha moto watu hawa wazinduke!

  • @janengaga2928
    @janengaga2928Ай бұрын

    Shusha mapigo MUNGU MKUU maana viongozi wengi wa kidini wanawaza na kufundisha na kuwa na tamaa nafedha na madaraka tu.Hawafundishi kumcha MUNGU na utakaso wa roho na mwili.Ajabu kuu

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda67092 ай бұрын

    Bora Mungu afanye hilo.....viongozi wengi wa kidini wamekuwa mabepari

  • @matiredms917
    @matiredms917Ай бұрын

    Hakika mtumishi. Viongozi wa kiroho kama Malasusa ni wanafiki kupitiliza kiasi. Hakika Mungu atampatiliza kwani amedhalilisha KKKT Tanzania kabisa. Malasusa ni msaka fedha za kanisa tu.

  • @Elijah-TheSeerTv

    @Elijah-TheSeerTv

    Ай бұрын

    Wataanguka na kufedheheshwa

Келесі