2HOURS TENZI ZA ROHONI, NYIMBO ZA WOKOVU NA ZA INJILI BY DANIEL SIFUNA, BEST SWAHILI WORSHIP SONGS.

NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO
ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA.
#Alone with God.
#relaxing worship songs
#relaxing Tenzi za rohoni
#Tenzi za rohoni mix
#nyimbo za wokovu mix
#Kenya Tanzania best praise and worship songs
peaceful Tenzi za rohoni
#Daniel Sifuna
Facebook Daniel Sifuna
Tiktok Daniel Sifuna
Instagram Daniel Sifuna
CALL/ SUPPORT 0746298853
GOD BLESS YOU

Пікірлер: 598

  • @GodfreyShitera
    @GodfreyShitera2 күн бұрын

    Hakika hizi nyimbo zinanipa nguvu ya kumsifu mwenyezi mungu nanimemkubali kwa yoyote yenye amenitendea

  • @FredNyakundi-vq8fm
    @FredNyakundi-vq8fm7 күн бұрын

    Nyimbo hizi zaileta roho yangu karibu na Mungu, Amen Amen

  • @BeatriceDhahabu
    @BeatriceDhahabu8 сағат бұрын

    Nmeona mungu kupitia hizi mungu mungu azidi kunifungua

  • @GodfreyShitera
    @GodfreyShitera2 күн бұрын

    Zina nipa nguvu 🙏

  • @WycliffeMNgoya
    @WycliffeMNgoya2 күн бұрын

    Ubarikiwe sana tena Tele kwa kuweka nyimbo hizi pamoja!!Nirahisi sana kwa ushirika katika ibada na pia kwa tulisha roho.Keyboard na Sauti ikosawa.Asante!!

  • @KennedyJirimani
    @KennedyJirimani3 күн бұрын

    Nimeona bwana Mungu yupo pande yangu akika kupitia izi wimbo za injili

  • @BeatriceDhahabu
    @BeatriceDhahabu7 сағат бұрын

    Naomba uponyaji wa kiafya kwa jna la yesu

  • @mercyrodha7389
    @mercyrodha73894 күн бұрын

    Nijana nmeamua kusach hizi nyimbo na hakika simenibarik sana 🙏🙏🙏npo mbali na familia yangu naomba mungu wa amani anilindie

  • @everlynemabialo
    @everlynemabialoКүн бұрын

    Amen 🙏 utukufu umrudie mungu isinyimbo sinanijaza ki. Roho nikiwa nimelemewa naimani

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m7 сағат бұрын

    ❤❤❤❤❤❤ barikiwa sana mutumishi wa Mungu

  • @everlynealudah1579
    @everlynealudah1579Күн бұрын

    Hallelujah, Hallelujah, despite the challenges am going through, am feeling very much blessed 🙌

  • @christinesomoina5943
    @christinesomoina59433 күн бұрын

    Asante Yesu kwa kupata nyimbo za Kuabudu

  • @judithkogo
    @judithkogoКүн бұрын

    Mimi muimbaji but sijapata wa kunshika mkono. Hope mungu atanionekania kupitia wewe

  • @user-uj5iv2oi2g
    @user-uj5iv2oi2g4 күн бұрын

    Alléluia nyimbo zinazo leta utukufu sana tena zina utaratibu kweli

  • @KennedyIpereny
    @KennedyIpereny7 күн бұрын

    Pokea uponyaji katika jina la yesu kristo

  • @elizabethmaloba7661
    @elizabethmaloba766110 күн бұрын

    Amem l feel blessed

  • @RoseBoke-bm3ek
    @RoseBoke-bm3ek6 күн бұрын

    Amen naomba hata mm mungu aniweke hapo ww amekuweka maana mungu amekupa ngufu mingi na baraka tukisikia yimbo zako tunakuwa na moyo mwepezi na mweupe🙏🙏🙏🙏

  • @christinekidavasi6403
    @christinekidavasi640315 күн бұрын

    Hofu rohoni sina🙏🙏🙏

  • @GeorginaKurgat-ev3qj
    @GeorginaKurgat-ev3qj4 күн бұрын

    Am so blessed. Acha Mungu aitwe Mungu. Nyimbo hizi zinanitia nguvu. Ubarikiwe sana unapoendelea kutubaraki

  • @ClaudeNkeshimana-fe1ob
    @ClaudeNkeshimana-fe1ob12 күн бұрын

    Hallelujah nyimbo hizi zinanitia amani moyoni

  • @BettyNgome
    @BettyNgome6 күн бұрын

    Asaante mungu kwa baraka zako zidi kunikumbuka kwa wakati huu mgumu napitia

  • @CatherineAmanda-oh6qu
    @CatherineAmanda-oh6qu3 күн бұрын

    Aki Mimi nikisikia hizi nyimbo najikutanga nikiwa kwa anga ya kiroho nasikia nikiwa sauth arabia , riyath town

  • @ApostleWafula
    @ApostleWafula5 күн бұрын

    Ameeen nashukuru Mungu kwa maisha yangu 😭

  • @Lilly-qx6mc
    @Lilly-qx6mc16 күн бұрын

    Wimbo ni njia ya kueneza Injili thank you pastor sifuna.

  • @user-lf5ee3ok8f
    @user-lf5ee3ok8f14 күн бұрын

    ❤❤❤ mubarikiwe sana wapendwa katika BWana,sijuwe niseme Nini,Mungu awakumbuke

  • @RachaelAhori
    @RachaelAhori9 күн бұрын

    Amen Amen nasikiza had nalia barikiwa sana

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    8 күн бұрын

    Amen amen

  • @markwanjalamayende1979
    @markwanjalamayende197915 күн бұрын

    Yesu usitupite unapozuru wengine .may God bless you brother sifuna

  • @ROSECHENGO
    @ROSECHENGO14 күн бұрын

    Kazi nzuri sana mtumishi wa mungu ubarikiwa sana ameeeeeen❤❤❤❤❤❤

  • @MarylilianKisiangani
    @MarylilianKisiangani19 күн бұрын

    Mungu kutana na haja ya moyo wangu

  • @DoreenKhisa-cd7bg
    @DoreenKhisa-cd7bg11 күн бұрын

    Good job mtumishi

  • @user-uc6zs3ix1e
    @user-uc6zs3ix1e7 күн бұрын

    Hallelujah 🙏🙏napenda hizi nyimbo saaaaana beacuse hua sinanituliza Roho yangu like nimeona nimefika mwisho,nikizikiza najua nko na mungu karibu sina haya tena 🙏🙏🙏🙏👍

  • @FredNyakundi-vq8fm

    @FredNyakundi-vq8fm

    7 күн бұрын

    Amen

  • @RoseKasichana
    @RoseKasichana4 күн бұрын

    Hizi nyimbo hakika zinantia moyo ninapokua kwa shida zanifariji

  • @user-jd6io6ky9f
    @user-jd6io6ky9f11 күн бұрын

    Nabarikiwa utukufu kwa Mungu

  • @milly25477
    @milly2547720 күн бұрын

    Sifa zimurudie mwenyezi mungu

  • @Phellister
    @Phellister16 күн бұрын

    Nabarikiwa na hizo nyimbo

  • @BecheteEve
    @BecheteEve19 күн бұрын

    Amen nimebarikia .Mungu akubatiki

  • @rogermbilizi3069
    @rogermbilizi306921 күн бұрын

    Amen. Amen❤wewe ni shindig

  • @JacklineTotito-rh3im
    @JacklineTotito-rh3im11 күн бұрын

    Barikiwa Sana ndugu, wimbo wako niwabaraka sana

  • @Triza-eo7gu
    @Triza-eo7gu21 күн бұрын

    Mungu nipone homa leo in jesus name

  • @peteroloo4040
    @peteroloo404013 күн бұрын

    Bwana Yesu asifiwe . Ameen

  • @lydia2696
    @lydia269622 күн бұрын

    Amen nimebarikiwa

  • @user-zj6ki4gy4p
    @user-zj6ki4gy4p14 күн бұрын

    Amen 🙏 naomba ulinzi kwa uzao wangu

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher469718 күн бұрын

    Usiogope Mungu yupo

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    17 күн бұрын

    🙏🙏❤❤

  • @abasikimile6521
    @abasikimile652115 күн бұрын

    Amen amen amen mungu akupe uhai miaka10×10 ❤❤❤

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    15 күн бұрын

    Aaamen ❤❤❤🥰🙏🙏🙏

  • @user-nc7kq3yg7f
    @user-nc7kq3yg7f17 күн бұрын

    Mungu akubariki sana kwaku mwabandu

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    17 күн бұрын

    Amen amen

  • @MoraaLilian-fp5ny
    @MoraaLilian-fp5ny14 күн бұрын

    Amen amen hizi nyimbo za nitia nguvu kazini ninapo loose hope zinanifariji more grace upon you bro may the Lord left you to another level 🙏 ❤️ 🙌

  • @mildred9561
    @mildred956121 күн бұрын

    Ni salama rohoni mwangu🙏🙏🙏

  • @HEBRONOYOMBE
    @HEBRONOYOMBE3 күн бұрын

    Hakika hizi nyimbo hunituliza roho baada ya serikali kupomoa hekalu letu

  • @mildredsakali2243
    @mildredsakali2243Ай бұрын

    Amen aki napitia kipindi kigumu huku Iraqi 😢Naomba Mungu anione ninaposikiliza hizi nyimbo za kumtukuza 😢😩😭😭😭😭🤲🧎🙏

  • @LydiaLydia-iw6qt

    @LydiaLydia-iw6qt

    Ай бұрын

    Mungu na akuokoe dada❤❤❤

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen Mungu akupiganie na akushindanie❤❤❤🙏🙏🙏❤

  • @Billionaire-mr6et

    @Billionaire-mr6et

    Ай бұрын

    Mark 11:24.,Hesabu 14:28. Amin

  • @milkaopatia7560

    @milkaopatia7560

    Ай бұрын

    Mungu anasema yeye ni mungu wa vizazi vyote, kunalo jambo gumu kumshinda?

  • @beatriceomino6266

    @beatriceomino6266

    Ай бұрын

    Damu ya yesu ikufunika dadangu

  • @user-ic3kr6sn7r
    @user-ic3kr6sn7r2 күн бұрын

    Sitachoka kuskiza hizo nyimbo Kila cku direct online to support the ministry until it gets a million views because am so blessed day by day ❤❤be blessed Man of God 🙏

  • @BeatriceDhahabu
    @BeatriceDhahabu15 күн бұрын

    Ubarikiwe sana

  • @ceciliawanga7641
    @ceciliawanga7641Ай бұрын

    Mungu naomba uponyaji napo sikia huu wimbo magonjwa c sehemu yangu nikiwa huku Saudi Arabia 😢😢

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen mungu akuponye kwa Jina la Yesu. Wewe ni mshindi my siz Cecillia

  • @gracemuriithi4501

    @gracemuriithi4501

    27 күн бұрын

    ​@danie88899lsifuna7377

  • @RobertMunywokiMutonye-cv5yu

    @RobertMunywokiMutonye-cv5yu

    12 күн бұрын

    Be strong

  • @RobertMunywokiMutonye-cv5yu

    @RobertMunywokiMutonye-cv5yu

    12 күн бұрын

    Be strong

  • @user-eh5uw9rz3h

    @user-eh5uw9rz3h

    4 күн бұрын

    See mungu namba uniponye magonjwa yangu Yamato nisumbua

  • @user-xn9fo7db1f
    @user-xn9fo7db1f20 күн бұрын

    Amen mungu asifiwe

  • @ambunyacaroline1348
    @ambunyacaroline134822 күн бұрын

    Barikiwa sana na nyimbo hizi tamu na kumsifu mungu ....... nakuombea mungu aendelee kukupa ufunuo ili uwendele kutubariki na nyimbo tamu kama hizi ❤❤😅

  • @petermutiso5777
    @petermutiso577712 күн бұрын

    Thanks be unto lord

  • @AgripinaAugostine
    @AgripinaAugostine25 күн бұрын

    Hakika mungu atue nguvu😢😢😢🙏🙏🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen

  • @matamm2411
    @matamm241113 күн бұрын

    Hakika nyimbo hizi zinanibariki sana ninaposikiza be blessed mtumishi wa Mungu,,🙏🙏🙏🙏

  • @Josphine15
    @Josphine1510 күн бұрын

    Glory to God 🙏,hivi nyimbo zinani peanga nguvu 💪, sometimes nakwanga lonely na mawazo mingi sana 😢 but one day nitakuwa na furaha katika jina lake YESU 🙏 naamini kwake YESU 🙏

  • @user-ql2lz2hh8e

    @user-ql2lz2hh8e

    9 күн бұрын

    Nyimbo nzuri sana zenye baraka kwangu ubarikiwe sana bro❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @maryannepeter7358
    @maryannepeter735812 күн бұрын

    The songs are blessings to me ❤❤!!Kwaza ile ya kutakuwa mwanga🫶🫶My best ever💕💞

  • @mrhome4426
    @mrhome44264 күн бұрын

    Listening from Saudi and really encouraged by this songs i won't give up even if it's hard😢😢😢

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e11 сағат бұрын

    God bless you brother 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @linakene6513
    @linakene65136 күн бұрын

    May God's name be lifted high through your songs. I am blessed

  • @jonasjuma9950
    @jonasjuma995018 күн бұрын

    Currently am so much weighed down by debts and responsibilities. God may you provide for me as i listen to these masterpieces

  • @user-jt5qw3ic9q
    @user-jt5qw3ic9q23 күн бұрын

    🎉🎉halelluyah halelluyah amen amen

  • @SIMONLUTTAH
    @SIMONLUTTAH8 күн бұрын

    His songs have been of great blessing to my spirit.He's blessed spiritually. Amen Amen 🙏🙏

  • @modestamarakammbishi1127
    @modestamarakammbishi112728 күн бұрын

    Hallelujah Hallelujah,,nimekuwa na ugonjwa wa growth ndani ya jicho langu.ilikuwa inafaa nifanyiwe operation,,lakini nilisikiza hizi nyimbo na nikamini mungu,,nashukuru mungu ameniponya

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Wow glory be to God ❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏❤

  • @AseqHeed

    @AseqHeed

    23 күн бұрын

    Amen amen amen amen amen amen 🙏🙏🙏 mungu wetu nidaktari WA Kila kitu

  • @user-zj7hd6sg3y

    @user-zj7hd6sg3y

    22 күн бұрын

    Amen 🙏🙏🤲🤲👏👏

  • @RoseMtiva

    @RoseMtiva

    22 күн бұрын

    Amen

  • @timothybaraza2641

    @timothybaraza2641

    19 күн бұрын

    He is able God

  • @rodgersmulongo3997
    @rodgersmulongo39975 күн бұрын

    Sifuna unasjua kusienda bro, ulikuwanga wapi, people are being Heald, good songs

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    5 күн бұрын

    Amen amen amen

  • @user-ym8en4ex4l
    @user-ym8en4ex4l12 күн бұрын

    Napitia kipindi kingumu lakini ninapo sikia tu hizi nyimbo zako roho yangu inafurahia

  • @yohanamwantyala7898

    @yohanamwantyala7898

    11 күн бұрын

    Hakika wema wa Mungu kwetu wanadamu umekuwa dhahiri katika maisha yetu kila siku. Cheki tu hili kwa mpango wa Sifa hizo zilivyotimilika kwa yeyote aliyepata na kupata nafsi ya kusikia. Barikiwa wote mliowezesha kazi hii.

  • @marthaoguda7699
    @marthaoguda769919 күн бұрын

    Very nice song. It is true.Keep it up.

  • @abigaeljelimo5724
    @abigaeljelimo572413 күн бұрын

    Very nice and encouraging songs...God bless

  • @mildredalukudo7385
    @mildredalukudo738524 күн бұрын

    Amen amen 🙌🏽🙏🏽 good job brother 👏🏽👏🏽

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen amen

  • @jacintakisaka3902
    @jacintakisaka3902Ай бұрын

    Blessings brother 🙏🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Aaamen

  • @SamuelKayuu-hw8uz
    @SamuelKayuu-hw8uz25 күн бұрын

    Waaah good songs thanks

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen❤❤❤

  • @chepkiruimary7114
    @chepkiruimary711410 күн бұрын

    Good is good , thanks for this song

  • @abbygaelsharon497
    @abbygaelsharon4973 күн бұрын

    Very powerful 🔥❤🔥.Be blessed min Daniel

  • @marywanyama2216
    @marywanyama2216Ай бұрын

    Brother thank you so umefanya vizuri kuwaka nonstop ya 2hrs nasikiza na kubarikiwa nikiwa saudia Arabia nik

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Woooow amen amen

  • @carolinefinna4033
    @carolinefinna403319 күн бұрын

    My favorite worship songs🙏May God uplift u more brother

  • @user-ir7ti5po7r
    @user-ir7ti5po7r19 күн бұрын

    Am going through many challenges but I thank God that the songs are praising the Almighty and soothing my soul. God bless you bro❤

  • @user-dm2et2qm3z
    @user-dm2et2qm3z27 күн бұрын

    Amen 🙏🙏🙏 thenks bro

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen

  • @sharonsharon-si9iy
    @sharonsharon-si9iy12 күн бұрын

    Debt kila mahali but hizi nyimbo imenipea hope

  • @AmosObanda23Thursday16Nov8am

    @AmosObanda23Thursday16Nov8am

    12 күн бұрын

    When offered an opportunity would you do it seriously to be debt free?

  • @sharonsharon-si9iy

    @sharonsharon-si9iy

    12 күн бұрын

    ​@@AmosObanda23Thursday16Nov8amyes

  • @JacksonMutunga-bw9be
    @JacksonMutunga-bw9be22 күн бұрын

    More grace upon you, you can do greater.blessed

  • @ClaireMakotswi
    @ClaireMakotswi16 күн бұрын

    Hallelujah hallelujah glory be to God 💪💪🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @user-ob4jb7uc4m
    @user-ob4jb7uc4m23 күн бұрын

    Nice song may God bless you more 🙏🙏🙏

  • @lornahmulitani2798
    @lornahmulitani279826 күн бұрын

    Am so blessed man of God

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen ❤❤❤

  • @CharlesWanyonyi-yx1un
    @CharlesWanyonyi-yx1un8 күн бұрын

    Amen mungu tuhurumie kwa boma letu tusimamishe kwa wema wako tupanguze machozi

  • @joyjoy503
    @joyjoy50317 күн бұрын

    Amen blessed songs🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    16 күн бұрын

    Amen

  • @evelynemakokha3615
    @evelynemakokha361517 күн бұрын

    Listening to this during my fasting period. Lord hear the cry of my heart.

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    17 күн бұрын

    Amen amen❤❤🙏

  • @user-im8pr5cj3n
    @user-im8pr5cj3n5 күн бұрын

    Mungu naomba unishindie majalibu ninayo pitia kwa sasa 😭😭 ,nikisikiliza nyimbo hizi na pata faraja 🙏🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    5 күн бұрын

    Amen amen🙏🙏❤❤❤

  • @samuelnyamari5309
    @samuelnyamari530919 күн бұрын

    A day doesn't by without me listening to tenzi

  • @AaBb-uy9ko
    @AaBb-uy9ko29 күн бұрын

    Very sick while listening 😢😢hop mungu anaenda kuniponya katika jina lake takatifu amen 🙏🙏

  • @pmblessed.5580

    @pmblessed.5580

    28 күн бұрын

    Mungu akutembelee, ni salama katika Yesu

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    28 күн бұрын

    Amen❤❤

  • @user-ic3kr6sn7r

    @user-ic3kr6sn7r

    27 күн бұрын

    ​@@pmblessed.5580it's true Man of God 🙏 hata hali ikiwa ngumu shout with joy for the Joy of the Lord is our strength 🙏

  • @josendush2805

    @josendush2805

    24 күн бұрын

    ​@@pmblessed.5580o8ooo

  • @kariukijoseph1198

    @kariukijoseph1198

    24 күн бұрын

    May healing be your portion in Jesus name

  • @RuthkaremuMusyoki
    @RuthkaremuMusyoki25 күн бұрын

    God bless you man of God

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen

  • @ireneandiwa3852
    @ireneandiwa385222 күн бұрын

    🙏🙏😭😭😭mungu kutakana na haja wa moyo wangu nipee kiu ya kukujua zaidi minuko katika maisha yangu navunja mungu najua utatenda kwa wakati n mengi nimepitia lakn nina imani ipo siku utaridhisha uwepo wako ndani Yangu 😢😢😢

  • @JosephineMusimbi-zj7hp
    @JosephineMusimbi-zj7hp24 күн бұрын

    Amen may God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen❤❤❤

  • @AggreyOjango-ky1co
    @AggreyOjango-ky1co12 күн бұрын

    Ubarikiwe Sana mtumushi wa mungu

  • @florencemutuku4758
    @florencemutuku475818 күн бұрын

    I am so much blessed by your songs. God bless you

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    17 күн бұрын

    Amen amen

  • @marynambuyemusuya3125
    @marynambuyemusuya3125Ай бұрын

    I'm blessed this night.God bless you so much

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    28 күн бұрын

    Amen❤❤❤

  • @mildrednakhumicha5351
    @mildrednakhumicha535128 күн бұрын

    thank you lord your blessings

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen❤❤❤❤

  • @noelmasaviro4147
    @noelmasaviro414729 күн бұрын

    Amen amen touching songs

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    28 күн бұрын

    Amen❤❤❤

  • @RuthkaremuMusyoki
    @RuthkaremuMusyoki25 күн бұрын

    Amen 🙏🙏

  • @jerimutuli4455
    @jerimutuli445527 күн бұрын

    Kazi nzuri sana mtumishi wa mungu❤

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    24 күн бұрын

    Amen❤

Келесі