2hours 40mins. SWAHILI WORSHIP SONGS BY DANIEL SIFUNA. DAMU YA YESU, MAISHA YANGU, ANGALIA BWANA.

NYIMBO ZA MAABUDU/KUABUDU NA KUMTUKUZA MUNGU
NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO
ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA.
#Alone with God.
#relaxing worship songs
#relaxing Tenzi za rohoni
#Tenzi za rohoni mix
#nyimbo za wokovu mix
#Kenya Tanzania best praise and worship songs
peaceful Tenzi za rohoni
#Daniel Sifuna
Facebook Daniel Sifuna
Tiktok Daniel Sifuna
Instagram Daniel Sifuna
CALL/ SUPPORT 0746298853
GOD BLESS YOU

Пікірлер: 724

  • @marypaulo1363
    @marypaulo13638 күн бұрын

    Nikiwa manyara nimebarikiwa na nyimbo zako hakika maisha yangu ni wewe unajua baba

  • @EverlyneKerubo-ei7jm
    @EverlyneKerubo-ei7jm23 күн бұрын

    Mungu wangu unajua maumivu ya roho yangu nisikie ee mungu wangu

  • @redemtakatheu8986
    @redemtakatheu89866 күн бұрын

    Hakika bwana unajua maisha yangu ya ujane barikiwa sana mchugaji mungu akuinue zaidi AMINA

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula964222 сағат бұрын

    Hakika,Mungu ni mkuu na atukuzwe milele katika Yesu Kristo mwokozi,heshima na nuru tele kwetu♥️🇹🇿🇮🇱💯

  • @nancyjebet5706
    @nancyjebet57065 күн бұрын

    Be blessed my brothers nimebarikiwa sana kwa nyimbo za maombi ❤❤❤❤❤❤

  • @HellenNzisa-nz7et
    @HellenNzisa-nz7etАй бұрын

    Be blessed so much your songs usually touch my heart so much continue praising God❤❤❤

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen❤❤❤❤

  • @raelobiele3328
    @raelobiele33285 күн бұрын

    Asante pastor kwa nyimbo za kuleta imani yetu kwa kristo

  • @user-lt6sl5tw9g
    @user-lt6sl5tw9g12 күн бұрын

    Aki hisi zako bro sinamibariki Sana wakati nmekwasika huwa zinijenga najibata Niko Sawa God blessed you pastor end continue to your talent 🙏🙏🙏👏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    9 күн бұрын

    Aaaaaamen

  • @JacksonOundo-ix9zo
    @JacksonOundo-ix9zo26 күн бұрын

    Mungu unikumbuke Kwa Yale magonjwa yanayoniandama naamini ya kwamba wewe ndio daktari mkuu eee mungu uniponye.Amen

  • @benjaminkisavi9017

    @benjaminkisavi9017

    24 күн бұрын

    Hzi moyo😮

  • @secregen7219

    @secregen7219

    23 күн бұрын

    Amen

  • @user-vu9kf3ki5q

    @user-vu9kf3ki5q

    23 күн бұрын

    have faith in your prayer and God will answer your prayer

  • @Abigael-jd8dy

    @Abigael-jd8dy

    7 күн бұрын

    Pokea uponyanji Kwa jina la yesu

  • @GladysWanzala-jh6ig
    @GladysWanzala-jh6igАй бұрын

    Uinuliwe viwango vingine mtumishi wa mungu

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen🙏🙏🙏❤❤❤

  • @glorianaftal3012

    @glorianaftal3012

    24 күн бұрын

    Honestly this mix is making me change my ways....be blessed mtumishi 🙏🙏🙏

  • @Mwalimumkare-tq2hp

    @Mwalimumkare-tq2hp

    13 күн бұрын

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu bwana akuinue viwango vingine

  • @susanwawire4361
    @susanwawire43619 күн бұрын

    😢😢ooh yesu sikia maombi yangu Hallelujah 🙌 yesu ndio kimbilio langu usiniwache 😢😢

  • @HellenSifuna-cj8ex
    @HellenSifuna-cj8ex6 күн бұрын

    Mungu akubariki sana kaka,kwa kipaji chako na sauti tamu inayonitia moyo wa kusikiza nyimbo zako,ninappsikia nyimbo zako nasahau shida zangu na kuamini kwamba kuna siku nitafanikiwa na nitapanguzwa machozi yng 🙏🙏🙏🙏🙏🙏barikiwa kakangu

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    6 күн бұрын

    Aaaaaaamen amen❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏

  • @miltonmuia8420
    @miltonmuia84209 күн бұрын

    Daniel mungu aendelee kukuongeza nguvu nyimbo zako uwa zanijenga sana barikiwa sana sana

  • @salomemuresia9507

    @salomemuresia9507

    9 күн бұрын

    You are a God send to deliver broken hearted souls😊

  • @nicks6482
    @nicks6482Ай бұрын

    I salute the Kingdom of heaven Kwa sauti tamu uliopewa

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen❤❤❤

  • @user-lx1vn4bq8j
    @user-lx1vn4bq8jАй бұрын

    Number 8 and 26 aki ninabarikiwa sana mtumishi wa mungu ubarikiwe pia AMEN LORD 😅😅

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Aaaaamen❤❤❤❤

  • @JudithChebet-wj3ir

    @JudithChebet-wj3ir

    25 күн бұрын

    God bless their children who worship Him

  • @helenhelen8483
    @helenhelen848315 күн бұрын

    Wow nimependa sana kuabudu hizo nyimbo zanibariki sana tuned from doha Qatar 🇶🇦

  • @PaulineAkumu-om7oo
    @PaulineAkumu-om7oo18 күн бұрын

    Praise God pst....naposikiza hizo worship zako, najipata nikiwa connected na zinanisaidia kuflow kwa maombi sana. May God bless you na Mungu akusidishiye neema ya kufanya kazi yake zaidi na zaidi

  • @ChekwechSilas
    @ChekwechSilas29 күн бұрын

    Barikiwa sana man of God

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    29 күн бұрын

    Amen amen my brother

  • @agnethapaul6057
    @agnethapaul6057Ай бұрын

    Unatusogeza mbele za MUNGU Kwa hisia kweli. Akutumie Kwa matakwa yake yeye aliye JUU ya vyote. Barikiwa Sana.

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen❤❤❤

  • @user-tf8cv3tn2x
    @user-tf8cv3tn2xАй бұрын

    Amen glory to God in Jesus neme 🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen amen❤❤❤

  • @JevlineShali
    @JevlineShali7 күн бұрын

    Eeei mm sichoki kuskiza hizi nyimbo ❤❤glory be to God thanks a lot man of God

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085Ай бұрын

    Glory to God, baba angalia sisi wanawako

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen

  • @sifunaboaz
    @sifunaboaz9 күн бұрын

    Praise God mtumishi wa mungu... ak nabarikiwa ninaposikia hizi worship songs acha Mungu akuinue kiwango hadi kiwango. Be blessed.

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    9 күн бұрын

    Amen amen amen

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov26 күн бұрын

    Nitembelee bwana pamoja na jamii yangu naomba amen

  • @jacquie329
    @jacquie329Ай бұрын

    Lord we need you never leave us nor abandon us. You are the Father over the Fatherless.

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen

  • @jessybe-cy6pv
    @jessybe-cy6pv9 күн бұрын

    I love this songs very much 💟💟

  • @user-uj5iv2oi2g
    @user-uj5iv2oi2g17 күн бұрын

    Amen ,n'a furayi sana kwa nyimbo zinazo tu tia ki roho zaidi mungu apewe sifa kwa uduma ame kupa ku ubiri ndani ya wimbo

  • @DeborahKitheka

    @DeborahKitheka

    9 күн бұрын

    ❤🎉 Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @JanepherKemuma-ot7io

    @JanepherKemuma-ot7io

    8 күн бұрын

    Ubarikiwe sana

  • @mildredsakali2243
    @mildredsakali2243Ай бұрын

    Kwa safari yangu 😢Eh Bwana naomba uniangalie usiniache pekee yangu siwezi😢Niangalie Eh Bwana vile ulivyoangalia wanawaisraeli jagwani 😢mbele ya Faraho ukajitukuza ya kwamba wewe ni Mungu 😢 Yehovah Jire😢

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen amen

  • @Mercyobaa354
    @Mercyobaa354Ай бұрын

    Aki ninasikia hizi nyimbo i feel niko kwa church, kumbe niko kwa nyumba ya mwarabu, na zinanitia nguvu za kufanya kazi hata kama nakaribia kukata tamaa,...ubarikiwe sana kaka 🙏🙏🙏🙌🙌

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen

  • @SharonOndonga

    @SharonOndonga

    22 күн бұрын

    The same with me here sister,,let's believe in him all is well....tutarudi salama🎉

  • @PatrickMwangi-lx7xg

    @PatrickMwangi-lx7xg

    20 күн бұрын

    God as with you don't bother yourself

  • @RomonahMmboka

    @RomonahMmboka

    20 күн бұрын

    Very touching messages aki..❤❤❤❤😢😢😢🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🙏🏼🙌🏽🙌🏽 tuangalie Bwana aki

  • @user-fi8ou2ld3v

    @user-fi8ou2ld3v

    19 күн бұрын

    l am blessed nikisikia izi wimbo ata kaa nimekaa 2years bila kuenda Church namini too mungu ako nami uku gulf l wish nikifika kenya nijoin your Church

  • @mawazokashindi4516
    @mawazokashindi451613 күн бұрын

    Amen mungu akubariki akupe mahisha marefu amen 🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🇦🇺🎻🎻💃🏿💃🏿

  • @RachelSteven-kx3ml

    @RachelSteven-kx3ml

    13 күн бұрын

    😊

  • @user-ju4mi1qx5b
    @user-ju4mi1qx5b23 күн бұрын

    Mungu akubariki sana sana mwanangu kwa Utumishi huu kuna jambo kuu bwana anataka kukupandisha viwango❤❤❤❤barikiwa

  • @user-ly2oh4kr4g
    @user-ly2oh4kr4gАй бұрын

    nimekubali bwana imenibariki...na imeweza be blessed mtumishi

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen❤❤❤❤❤

  • @MagretIsige

    @MagretIsige

    15 күн бұрын

    Amen 🙏

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi472619 күн бұрын

    Umepakwa mafuta kijana Mungu akuinue zaidi hizi ndio maombi uniinua nikiwa Chini .....be blessed more

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    19 күн бұрын

    Aaaamen amen

  • @SimonLilako
    @SimonLilako2 күн бұрын

    Mungu anae peana akuzidishie unanbariki sana kwa nyimbo zako

  • @jacquie329
    @jacquie329Ай бұрын

    Tuangalie Baba wewe ndiwe kila kitu kwetu. Nice song❤❤

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen🙏❤❤❤

  • @mordecaiokumu4855
    @mordecaiokumu4855Ай бұрын

    God bless u my brother ur songs are blessing to many be blessed

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen❤❤❤❤

  • @MiriamNanzala
    @MiriamNanzala11 күн бұрын

    Hali nyimbo zako zina ni bariki ak mungu akuzitishe pasta

  • @user-yt8mz8yg6j
    @user-yt8mz8yg6j6 күн бұрын

    Asante mungu kwa kunibalika nafurahi mungu ♥️♥️♥️♥️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @joycepeter6541
    @joycepeter654112 күн бұрын

    Mungu akubariki Kwa huduma yako true medicine lazima hapa tupone Kwa Jina la yesu amen.

  • @olestinamalumbe5155
    @olestinamalumbe515528 күн бұрын

    Mungu akubaiki sana nyimbo Zina bariki

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    28 күн бұрын

    Amen amen

  • @FaithKyalo-cw7gr
    @FaithKyalo-cw7gr21 күн бұрын

    mungu akubariki sana mtumishi wa mungu,,,,naunikumbuke kwa maombi huu wakati wa shinda

  • @Everline-hq1ld
    @Everline-hq1ldАй бұрын

    Mungu akubariki kwa nyimbo nzuri na sauti nzuri mungu akutie nguvu na hakupe afya nzuri hinzi nyimbo zinatutia moyo ya kwamba mungu ukweli mungu anatujua maumivu yetu

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Aaamen🙏🙏🙏❤❤❤

  • @RoseMasaba
    @RoseMasaba20 күн бұрын

    Hizi nyimbo zinanibariki kweli kweli mungu akubariki sana

  • @JacklyneEmitunga
    @JacklyneEmitunga12 күн бұрын

    Amen izo nyimbo zako zinanifuraisha ssna pst Daniel Sfuna

  • @OLIVERMusa
    @OLIVERMusa4 күн бұрын

    Great job for sure nyimbo zako zinabariki wengi pongezi sana bishop.

  • @publessedkanny7408
    @publessedkanny740822 күн бұрын

    No .3 ...maisha yangu mungu ndo anajua....nimepitia kilio kiingi sana ...najua mungu anajua haya yote na nitakua mshindi naamini he will change My situation 🙏🙏🙏

  • @susanwawire4361
    @susanwawire43619 күн бұрын

    Hallelujah Hallelujah 🙌 Amen Asante bwana Asante yesu you are soo wonderful Lord of God tushike mkono yesu tusisame na majaribu ya dunia, tusaidie 😢😢ooh yes Hallelujah 🙌 ninasababu ya kukuabudu Asante baba

  • @claricewasore
    @claricewasore4 күн бұрын

    Asante ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU hizi nyimbo huwa zinanibariki na kunuinua IMANI yngu wakati nko kwenye kazini hpa saudi Arabia

  • @vivianmuyuka2974
    @vivianmuyuka297418 күн бұрын

    Hakika nyimbo zako ni dawa ya kudharauliwa,kujiona mmpweke,kukata tamaa ya maisha ninaposikiliza moyo kama ulikua umekatikakatika vipande unapona asante uzidi kutu bariki kupitia nyimbo mtumishi 🙏🙏🙏

  • @tabithalsutaisuta6285
    @tabithalsutaisuta628511 күн бұрын

    Amen🙏🙏🙏mungu azidi kukuinua hakika nyimbo zako zinanijenga kiroho

  • @Kennedykiplagat-so7yb
    @Kennedykiplagat-so7yb21 күн бұрын

    Praise the lord, we all need to be saved surely.

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov4 күн бұрын

    Tenda yesu wajue kuwa ww ni mungu wangu

  • @MartMbatha
    @MartMbatha6 күн бұрын

    God bless you,,,napenda nyimbo zako sana

  • @beatriceamissi5765
    @beatriceamissi5765Ай бұрын

    Ameena amena mtumishi hapa niko mkazi na ninaburudika Mungu apewe sifa kwa haya unayotusaidia. Asante sana❤❤

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen amen❤❤❤❤

  • @godefroidbarutwanayo3711
    @godefroidbarutwanayo371126 күн бұрын

    Kweli nimebalikiwa sana , Mwenyezi Mungu akuongezee mafuta

  • @collinswafula6766
    @collinswafula676616 күн бұрын

    Kwa hakika nyimbo zako zinanikuza moyoni mwangu,Wacha mungu akuinue viwango vya juu zaidi brother

  • @user-jv1jx2qi6c
    @user-jv1jx2qi6cАй бұрын

    Baba ni wewe unanijua kuliko wazazi wangu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen❤❤❤

  • @joashnyangau8571
    @joashnyangau85712 күн бұрын

    Kweli maisha yangu ni wewe unajua ubarikiwe sana.

  • @user-sp7cm8pm4w
    @user-sp7cm8pm4w20 күн бұрын

    Ubarikiwe saaana na Mungu akukumbuke katka siku ile iliyo kuu ya kufunuliwa kwake

  • @ThomasBenedictor
    @ThomasBenedictor11 күн бұрын

    Hongera kwa kazi nzuri ya kumtumikia Mungu Mtumishi

  • @user-km1jr3on2x
    @user-km1jr3on2x11 күн бұрын

    Mungu akubariki sana nyimbo zako zinanibariki

  • @augustinewabwile
    @augustinewabwile23 күн бұрын

    Thank you Jesus magonjwa zote sikaweza kushidwa katika jina la yesu amen 🙏 thank u 🙏 lord

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov26 күн бұрын

    Ooooh yesu wangu nimekumbali mbwana tawala maisha yangu yesu

  • @CarolineNjeka-kh5gd
    @CarolineNjeka-kh5gd12 күн бұрын

    Kwa hakika nyimbo zako n dawa ya roho yangu,,,be blessed

  • @user-iv7mn4qd4q
    @user-iv7mn4qd4q4 күн бұрын

    Mtumishi wa Bwana Daniel ubarikiwe mno hakika ww ni baraka kwetu

  • @EuniceNdambuki-mq7tx
    @EuniceNdambuki-mq7tx14 күн бұрын

    Mungu Akukumbuke mtumishi wa mungu sifa ni kwa bwana Ameeen

  • @richardmaina2963
    @richardmaina296316 күн бұрын

    Hapa ni kumrundia mungu tu maanake ziko na upako wa Hali ya juu

  • @sarahoita
    @sarahoita19 күн бұрын

    Nasikia Kama Niko mbinguni mungu akubariki sana mtumishi wa mungu ni Sarah Niko kwa kibada nikenjoi polele

  • @OgechiArika
    @OgechiArika19 күн бұрын

    Hallelujah......nyimbo hizi cnanifanya nasongea karibu na Muumba wangu Mola.

  • @jenipherworesha
    @jenipherworesha28 күн бұрын

    May our God bless you mtumishi wa Mungu

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    28 күн бұрын

    Amen amen amen

  • @user-yg9gs4vh4k
    @user-yg9gs4vh4k8 күн бұрын

    This songs one to three, eee lord l thank you for using your savant to open the broken souls, l'm in saudi bt when I put this worship l found my self crying and praying with out control until my boss can not stop me. My fellow Kenyans kweli hizi ni yakati za mwisho kama mungu anaweza take control kwa nyumba ya mwarabu ohh God glory be to you father we can't without you God, 😭😭ohh zidi kuniongeza na kusimama na mimi, 🙏🙏🙏

  • @user-cs8yj6zs3x
    @user-cs8yj6zs3x8 күн бұрын

    Unani bariki Sana mutumishi God blessed you uinuliwe

  • @justineosoro7163
    @justineosoro7163Ай бұрын

    Glory to God 🙏🙏🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen mtu wa Mungu

  • @EddahMeshack-yj6mn

    @EddahMeshack-yj6mn

    Ай бұрын

    Amen

  • @nandisaire215
    @nandisaire21525 күн бұрын

    Ni ww bwana akuna mwigine yesu wangu tujalie yalio mema ,,,tuodolee vita zote amen

  • @EstherKatheu-wp1vs
    @EstherKatheu-wp1vs17 күн бұрын

    Akh nmepata izi nyimbo nkafuraia Sana, God bless you my brother 🙏🙏🙏

  • @NancyAchieng-ng5gp
    @NancyAchieng-ng5gp20 күн бұрын

    Hsante sana ndugu ua nabarikiwa sana na hixi manyimbo xako ,,Kwaza hili nitamkemea shetani inanifikisha mahali

  • @user-cc5bs9sf5h
    @user-cc5bs9sf5h29 күн бұрын

    Hakika nyimbo zako zinanibariki sana najikuta nipo kwenye uwepo wa mungu nikisikiliza nyimbo hizi

  • @CarmodyMwafwalo-gr4rc
    @CarmodyMwafwalo-gr4rc10 күн бұрын

    UBARIKIWE mtu wa MUNGU kwa kuliinua JINA la Bwana.

  • @LenscahSayo-wg5mp
    @LenscahSayo-wg5mp19 күн бұрын

    Highly blessed ata mwarabu akinituc God yupo

  • @MAUREENNAFULA-rt1zw
    @MAUREENNAFULA-rt1zw23 күн бұрын

    Asante sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana na nyimbo zako uwende kiwango kingingine.

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi386129 күн бұрын

    From Tanzania amen 🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    29 күн бұрын

    Amen amen amen🙏🙏❤❤

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo394712 күн бұрын

    Glory and honor be unto Jesus Christ away maker,a promise keeper,a covenant keeper,a healer, a deliverer thank You Jesus Christ ❤❤❤

  • @getrudejohn678
    @getrudejohn67818 күн бұрын

    Asanteee sana mtumishi WA Mungu nabarikiwa sana na nyimbo zako,nyimbo zangu pendwa nyakati zote

  • @zipporahmunywoki3568
    @zipporahmunywoki356827 күн бұрын

    Mungu azidi kukwinua mtumishi was Mungu,sauti tamu ya kuabudu Mwenzi Mungu

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia77714 күн бұрын

    Hizi nyimbo ni baraka sana kwa moyo wangu

  • @user-vl8kd6to5b
    @user-vl8kd6to5b22 күн бұрын

    Ameeen napenda sana nyimbo zako zinanibariki zaidi Mungu ananijua zaidi ya binadamu barikiwa sana mtumishi hizi ndio nyimbo ziko kwa simu yangu nazipenda sana pia zinanibariki🙏🙏🙏

  • @MalaikaBrighton
    @MalaikaBrighton26 күн бұрын

    Aise kaka mungu akubariki sana yaani nyimbo zako zinagusa sana hata mm zinanifariji sana mungu akubariki sana

  • @alfredmulu2981
    @alfredmulu298112 күн бұрын

    Your songs are too blessing to me....requrdless of hardtime am in I know one day God will do accordingly...Amen

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    9 күн бұрын

    Aaamen❤❤❤🙏

  • @user-uq6vz3pu6u
    @user-uq6vz3pu6u12 күн бұрын

    Kwa kweli nyimbo zako huwa sina Ni bariki Sana🙏🔥

  • @aboudicell7838
    @aboudicell783828 күн бұрын

    Amen 🙏 mtumishi wa Mungu wacha Mungu azidi kukushushia kibali asante kwa nyimbo za kuabudu 🧎

  • @BenjaminMuema-dd5xw
    @BenjaminMuema-dd5xw17 күн бұрын

    Nice songs,kipafu brother.

  • @user-yg9gs4vh4k
    @user-yg9gs4vh4kАй бұрын

    Asante sana mutumishi wa bwana umefungua kifua changu nlikuwa na mambo mengi moyo wangu umekuwazito, mawazo ya mesimama lakini nimefunguliwa l have peace of mind for now, thank you lord for using soul to open broken heart and soul 🙏🙏🙏🙏

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    28 күн бұрын

    Amen🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤

  • @truphenakhagori9387
    @truphenakhagori9387Ай бұрын

    Naingia mbinguni na amani barikiwa sana My son with your team

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen amen amen mum🙏🙏🙏❤❤

  • @EmillyAkinyi-ut4xq

    @EmillyAkinyi-ut4xq

    8 күн бұрын

    ⁰0⁰0​@@danielsifuna7377

  • @alfanijohho4403
    @alfanijohho44034 күн бұрын

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @user-lx1vn4bq8j
    @user-lx1vn4bq8jАй бұрын

    Amen lord amen Jesus amen in Jesus name nice song haleluyah to Glory Amen amazing 👏 🙏 🙌

  • @danielsifuna7377

    @danielsifuna7377

    Ай бұрын

    Amen❤❤❤❤

  • @user-bw8wq8si3c
    @user-bw8wq8si3c9 күн бұрын

    I'm blessed in full thro' 🎉this songs nikiwa kwa gari yangu sitoi usiku wote sitoi naomba ubarikiwe

  • @rosechebettaboi8872
    @rosechebettaboi887213 күн бұрын

    Maisha yangu n wewe unajua baba 🙏🏻🙏🏻

  • @ThabithaObwoge
    @ThabithaObwoge9 күн бұрын

    Nimeparikiwa zana pastor Mungu akuinue juu sana amen..

  • @peterkangacha257
    @peterkangacha25716 күн бұрын

    You are the best. Keep doing good.

  • @user-vf2en7jy6q
    @user-vf2en7jy6qКүн бұрын

    Barikiwa zaidi love your songs....ziko🔥🔥🔥🔥

Келесі