ZUCHU:AMWAGA MACHOZI WAKATI AKIELEZEA SAFARI YA MAISHA YAKE YA MZIKI/NILITAMANI KUACHA MZIKI

Ойын-сауық

#wasafi #refresh

Пікірлер: 284

  • @Miriam84Akizimana
    @Miriam84Akizimana4 жыл бұрын

    Diamond is not only a musician but a wise business man! He knows what to do, how to do, where to do and how to do it. So let us pray and be proud of him. Tanzania oyeee East Africa oyeee

  • @rahimhemedi5453
    @rahimhemedi54534 жыл бұрын

    salute sana kwako bi dad ZUCHU gonga LIKE kama unamkubali zuuuuuCHU

  • @TheNaturalThingsss

    @TheNaturalThingsss

    4 жыл бұрын

    steve

  • @fatumashaban9452

    @fatumashaban9452

    4 жыл бұрын

    steve laswai nimekubali mwanadada

  • @fatumashaban9452

    @fatumashaban9452

    4 жыл бұрын

    steve laswai nimekubali mwanadada

  • @ElieMbayo-sk9cg

    @ElieMbayo-sk9cg

    5 күн бұрын

    Ukwapi petit issa

  • @ryanajarao4765
    @ryanajarao47653 жыл бұрын

    ZUCHU you are the BEST and you have a big talent love u from west africa "Mali" 🙌🏾🙌🏾🙌🏾😍😍♥️♥️♥️♥️.

  • @jay-sr3js
    @jay-sr3js4 жыл бұрын

    Yaani mpka nimetokwa na chozi Love from kenya nipeeni likes jamani

  • @ZawadiBirya
    @ZawadiBirya4 жыл бұрын

    ❤️ her spirit. Khadija raised a humble daughter.

  • @jenifferfalnadesseaus5671

    @jenifferfalnadesseaus5671

    4 жыл бұрын

    Indeed...

  • @simp1eone
    @simp1eone4 жыл бұрын

    Im from West Africa and in all of africa - i can say Diamond is the ONLY musician who is not selfish, he got big and famous, and was not selfish about it and and brought many many artist on board with him and he keeps doing that. I dont speak swahili but i pay very good attention to his career and i love his music - i also follow him on social media. Though he has a busy dick- which is unfortunate, i can never take away this from him that he is a good business man and always helping his fellows in the industry or other tanzanians who are talented and want to sing or sign them on. I always see whenever another singer releases an album or song he will promo it on his instagram page. You guys should really appreciate him cos in West Africa - its not like this. I cannot name one person who become big and famous and said ok now that i am big i am going to help 3 or 5 other artist. Not PSquare, not Davido, not Dbanj, not 2face not Sarkodie - None of these guys - absolutely none. I have never even seen them even SIMPLY promoting another artist music on their instagram page like DIAMOND DOES. A BUNCH OF SELFISH ARTIST. Don Jazzy helped a few but he is not a famous singer. I am talking about famous singers. Just for this alone i take my hat off the Diamond and say May GOd continue to bless you.

  • @elsieabilaabilamusic980

    @elsieabilaabilamusic980

    4 жыл бұрын

    powerful input. very very true!! Diamond is generous .

  • @mchinatz6009
    @mchinatz60094 жыл бұрын

    dah kwanza zuchuu anaonekana mrembo pia anasauti nzuri namuombea kwa mungu afike mbali sanaaaa WCB 4 life

  • @officialyoungrickwke757
    @officialyoungrickwke7574 жыл бұрын

    Lazima zuchu afanikiwe...Gonga like hapo juu ya zuchu

  • @primesultan1150
    @primesultan11504 жыл бұрын

    God bless u dada

  • @suleimanjuma4376
    @suleimanjuma43764 жыл бұрын

    Mond bna ako naroho nzuri anatoa wasanii wadogo kimziki alafu wakishakua masupa star wanaleta dharau nakujifanya wamefika

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha20483 жыл бұрын

    Daa machozi yamenitoka umeniliza ZUCHU 😭😭 ❤️❤️ ZUCHU

  • @InnohubGroup
    @InnohubGroup4 жыл бұрын

    Forget about all the money and fame Diamond platnumz has, being on the same panel as Zuchu and listening to her acknowledge how wasafi has made rayvanny, lavalava superstars, that's the most important asset he will ever own. He sleeps satisfied and remembers those who gave him a chance too and it all have one origin, God..

  • @martinm.magaiwa9853

    @martinm.magaiwa9853

    4 жыл бұрын

    Sure.This one, big up Simba.Lakini hawa wanawake wanamchanganya, asipochunga aisee, atakuwa Mac Muga.Mi ni ashiki wake mkubwa ila kidogo anafifia, arejelee kipindi like Cha Mdoyo wangu, My Number one.Alikuwa 🔥

  • @filomenabarongo693

    @filomenabarongo693

    4 жыл бұрын

    👌🏽

  • @mariamramadan6154
    @mariamramadan61544 жыл бұрын

    Simba bna unamoyo bna mpaka MTU analia mashaAllah😍😍😍

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid53604 жыл бұрын

    We Zuchu toa nyimbo alafu tuachie cc mashabiki tutamaliza kilakitu

  • @cheuperajabu9617
    @cheuperajabu96174 жыл бұрын

    sisi ndo wcb mashabiki fanya pw tukuonyeshe mambo

  • @salumsumbu3845

    @salumsumbu3845

    4 жыл бұрын

    cheupe kasema

  • @nurdin.mndeme3447

    @nurdin.mndeme3447

    4 жыл бұрын

    sure

  • @zulfahaji4666

    @zulfahaji4666

    4 жыл бұрын

    Sauti ya maongezi yaki km mama yako mzazi

  • @salumflo4741

    @salumflo4741

    3 жыл бұрын

    @@nurdin.mndeme3447 0

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota4164 жыл бұрын

    Yani zuchu nilikupenda lkn kwa utulivu na ukarimu ulio nao yani ni wazi una hekma sana yani nimeongeza kukupenda zaidi, hongera sana mama khadija kwa malezi mema na mazuri, hakika zuchu ndie msanii w kike mwenye kuimba vizuri na hekma, Mungu azidi kumfanya kuwa mtulivu siku zote, hongereni sana wcb nina wapenda sana tena sana, nyie ni kiboko ya madalali in Tz

  • @fababindawood8363
    @fababindawood83634 жыл бұрын

    Km umeckia you know you know gonga like hpa kwa Zuchu aaake 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌎🌎🌎💪💪💪💪

  • @twahabuiddy9612
    @twahabuiddy96124 жыл бұрын

    Karibu my dada kwenye chama letu nakupenda 😘😘😘

  • @patiencenimmoh3956
    @patiencenimmoh39564 жыл бұрын

    Zuchu ni vizuri sana hukukata tamaa sababu Mungu ana mipango ya kila mmoja wetu.... Kuna mtu anakata kitunguu humu, naomba utoke nje tafadhali sababu mashavu yangu yameloa😭😭😭😭

  • @mrspeter9487

    @mrspeter9487

    4 жыл бұрын

    Hahahaahahaha yaan wewe

  • @noelaspirian2242

    @noelaspirian2242

    3 жыл бұрын

    Mambo minoela napenda nyimbo zako

  • @noelaspirian2242

    @noelaspirian2242

    3 жыл бұрын

    Zuchu

  • @noelaspirian2242

    @noelaspirian2242

    3 жыл бұрын

    @@mrspeter9487 n

  • @noelaspirian2242

    @noelaspirian2242

    3 жыл бұрын

    @@mrspeter9487 n

  • @millionbill7587
    @millionbill75874 жыл бұрын

    She is so real, humble and down to earth hope fame doesn't change her

  • @tayanaliss9713
    @tayanaliss97133 жыл бұрын

    Jesus I need a translation. I love this girl and I really want to get in her story too

  • @boubacardiaw1529

    @boubacardiaw1529

    3 жыл бұрын

    Me too. 😆

  • @benjaminkimaro6361
    @benjaminkimaro63614 жыл бұрын

    WCB for Real Yaan Nouma sana Chama LA wajanjaa🙌🙌🙌🙌🙌 Kim's B Papa..

  • @iammusic3404
    @iammusic34044 жыл бұрын

    Usilie my love😭😭😭

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213Ай бұрын

    Jamani muacheni mtoto,mnampa mawazo sna,tumuombee tucmseme vbaya,anapitia changamoto mpaka KUFIKIA hapo alipo,tumuombee bado ni mtoto 🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️

  • @nicerahkathambi4081
    @nicerahkathambi40813 жыл бұрын

    Zuchu have really felt you.....nimetokwa na machozi pia...

  • @meyeomar7821
    @meyeomar78214 жыл бұрын

    Hichi kizazi kibovu kweli mungu awaongoze watoto wetu kwenye mema sio hawa wanaorithi dhambi na kwa mungu mukajisifu pia

  • @ayuushdescssfulldy5235
    @ayuushdescssfulldy52354 жыл бұрын

    Keep going zuchu 🤗

  • @ntirampebaodila5237
    @ntirampebaodila52374 жыл бұрын

    Kazur kanasauti nzur maashaallah kaza dada udafika mbali

  • @osamasaid813
    @osamasaid8134 жыл бұрын

    Yes zuchu has everything

  • @edwinr.wilson964
    @edwinr.wilson9644 жыл бұрын

    Zuchu msafi, huyu dada yuko vizuri anatakiwa asikate tamaa, ila kazuri sn kanafaa sn ktk music na pia kakitulia nikawife material ... Ni mzuri kwakwel .... Tofauti na hawa wasanii wengine wa kike magugu maji .. ZUCHU MAMA UNAWEZA, MM NI SHABIKI WAKO WA KIUMENI....🤑

  • @mariathbatenga1556
    @mariathbatenga15564 жыл бұрын

    Zuchu I love keep on

  • @diallokimbumbu7843
    @diallokimbumbu7843 Жыл бұрын

    Zuchu, nakuelewa.Nawapenda sana, naupenda mziki wako Zuchu.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan63654 жыл бұрын

    Mashallah, hongera sana

  • @khalidikibakuli132
    @khalidikibakuli1324 жыл бұрын

    Zuchu Mdada mkarim sana ongera sana

  • @safinagurti922
    @safinagurti9224 жыл бұрын

    Zushuu you know you know jaman had huku mimi nalia tu kaza butu mama utafika mungu yupo nawewe

  • @emanueluledi5616
    @emanueluledi56164 жыл бұрын

    Daaih maisha ni safali ndefu sana asante wcb

  • @bahatibuzinza7463
    @bahatibuzinza74634 жыл бұрын

    Uko mikono salama. Wcb for life forever.

  • @makambomtambalasafari7607
    @makambomtambalasafari76074 жыл бұрын

    God bless you my sister kazamwendo tu utafika, pia mvumilivu tu

  • @lucymwangi1813
    @lucymwangi18134 жыл бұрын

    She sings better than Tanasha😍

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza29244 жыл бұрын

    Zuchu umeniliza my 😭😭😭😭

  • @veryan3606

    @veryan3606

    3 жыл бұрын

    .daaaaaaa pole xan unanifanya na mm nilie😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @allybakari2740
    @allybakari27404 жыл бұрын

    Umeniliza dada maisha Ni safali ndefu sana

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub68654 жыл бұрын

    Blessed zuchu

  • @dolimwaki6484
    @dolimwaki64844 жыл бұрын

    Nimesubscribe kwasababu Ya huyu mtoto anaongea vizuri kanigusa

  • @tiemoue_tz7122
    @tiemoue_tz71224 жыл бұрын

    very talented

  • @babiryesalha1455
    @babiryesalha14553 жыл бұрын

    Jah bless your hustle

  • @hamisihassan2620
    @hamisihassan26204 жыл бұрын

    Miss you know

  • @alfredmsambaa1443
    @alfredmsambaa14434 жыл бұрын

    Na ukawe na mafanikio tele mdada nakuombea 🙏🙏

  • @duncankoitatoi4141
    @duncankoitatoi41413 жыл бұрын

    Excellent Don't give up

  • @glorykareem4791
    @glorykareem47914 жыл бұрын

    Stop crying zuchuuuuuuuu babyyyyyy love take kissssss

  • @janethjustin5256
    @janethjustin52564 жыл бұрын

    Duuuh Zuchu anaongea kwa nidhamu Sana na anaheshima kubwa 😍😍😍

  • @letisiamakonda3873
    @letisiamakonda38734 жыл бұрын

    ZuchuMasauti 🙌

  • @adventurekaskazini2238
    @adventurekaskazini22384 жыл бұрын

    Kama kuna mahali umeskia Zuchu akimtaja harmonize gonga like tujuan😂😂

  • @mariamothman7404

    @mariamothman7404

    4 жыл бұрын

    😁😁😁

  • @selemankishema5780
    @selemankishema57804 жыл бұрын

    Kama wazungu fulani vile!!!! No uno, off course, because unalia utalia saana bado naona mama kopa unafurahi saana umepata mrithi mzuri ata ukitangulia sadakatujalia yako safi saana.

  • @hawa4968

    @hawa4968

    4 жыл бұрын

    aaaa. Mtihan

  • @bahatimaftah1839

    @bahatimaftah1839

    4 жыл бұрын

    Sadakatun nin

  • @salmasoso9839

    @salmasoso9839

    4 жыл бұрын

    Dah sidhani km uko sahihi

  • @hawa4968

    @hawa4968

    4 жыл бұрын

    @@salmasoso9839 huyuu kamanisha kinyume chake

  • @habibakhalfan1065

    @habibakhalfan1065

    4 жыл бұрын

    Acha/tu_khadija_kopa_Amemsahau_kabisa_Allah_kila_mka_nimkosefu_lakin_usidhihirishe_Mungu(hapendi

  • @nadiahussein5892
    @nadiahussein58924 жыл бұрын

    This is wcb

  • @bonbea4081
    @bonbea40814 жыл бұрын

    Big up sana dadake

  • @rufaiguruboy7677
    @rufaiguruboy76774 жыл бұрын

    waBongo kizungu chao will be like "you know" aki "you know"

  • @jackgees6143
    @jackgees61434 жыл бұрын

    love zuchu

  • @MegaGreen70
    @MegaGreen704 жыл бұрын

    Ilo jicho ....mmmmh wwoooooo!

  • @kulwaalphonce4172
    @kulwaalphonce41724 жыл бұрын

    Bad kakutoa ki music na bad ukfanikiwa tena umkimbie km kina konde c ndio shkran hzo

  • @rahmssalum3163
    @rahmssalum31634 жыл бұрын

    Umefika penyewe lkn mkishakua maarufu ooh wasafi hivi sijui vile

  • @ShakiraSadick-lx3fh
    @ShakiraSadick-lx3fh3 ай бұрын

    Ooh zuchu ww mvumilivu sana

  • @mahsneermohammed2107
    @mahsneermohammed21074 жыл бұрын

    Tu nakukubali Zuchu ww ni msanii mkubwa dalili zinaonesha kama unaweza kufika mbali,Chibu nakuombea umry mrefu sana uweze kusaidia wengi kwa imani yako nzuri Simba babalao+254

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo6934 жыл бұрын

    Ila mtangazaji jamani!Duh!.Sijasoma comments za wengine .But,duh!!!

  • @annslifestyle
    @annslifestyle4 жыл бұрын

    Walai Tazania na hii kizungu yenyu waaaaaa mtanimaliza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anyway kenya we love u

  • @alexmurithi1327

    @alexmurithi1327

    4 жыл бұрын

    They're trying

  • @daprince7545
    @daprince75454 жыл бұрын

    U no u no kizungu kilikuja na meli u no

  • @shangwekamando2599

    @shangwekamando2599

    4 жыл бұрын

    Wee Huyu anaongea ngeli humpati

  • @dripplord995
    @dripplord9954 жыл бұрын

    You know 😪

  • @yusuphmwengu24
    @yusuphmwengu244 жыл бұрын

    Vyema

  • @elizabethmwakibigili3849
    @elizabethmwakibigili38493 жыл бұрын

    You know, you know, ina maana hujui kiswahili

  • @gossipspecialtv7011
    @gossipspecialtv70114 жыл бұрын

    🔥🔥

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah70794 жыл бұрын

    Mnakujaga mkilia ivo mkishatoka mnanza dharau mfano harmo.

  • @lipymuscat4779

    @lipymuscat4779

    3 жыл бұрын

    kweli kabisa

  • @rukiasalehe8043

    @rukiasalehe8043

    3 жыл бұрын

    Kabisaaa

  • @ruuspicyasmr1694
    @ruuspicyasmr16944 жыл бұрын

    You know ni nyingi ZUCHU....

  • @subrynerysegerow1323

    @subrynerysegerow1323

    4 жыл бұрын

    ruwayda habib kawaida

  • @benbenedict2720
    @benbenedict27204 жыл бұрын

    Zuchuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @stevewonder9431
    @stevewonder94313 жыл бұрын

    please if someone could translate it in english it will be verry cool

  • @cassimoomary3548
    @cassimoomary35484 жыл бұрын

    Imani

  • @Obeth-bx8cu
    @Obeth-bx8cu Жыл бұрын

    Yooooh you is winner

  • @SefuSefuDjumaSelemani
    @SefuSefuDjumaSelemani5 ай бұрын

    Asante kukuwa na uvumilivu kabisa leo uko kati ya miroire ya wcb.

  • @jevahkavishe8576
    @jevahkavishe85764 жыл бұрын

    You know zimezid

  • @kemobamba8187
    @kemobamba81874 жыл бұрын

    diamond platnumz 👊👊👊👊👊👊👊👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴🇹🇿🇹🇿☝️☝️☝️☝️🇩🇪🇱🇷

  • @aluwiyahussein1948
    @aluwiyahussein19484 жыл бұрын

    I love u zuchu

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika24474 жыл бұрын

    Acha kizungu Zuchu !

  • @safiyajussa9420

    @safiyajussa9420

    4 жыл бұрын

    You know............. you know 😀

  • @josphinewakio6423

    @josphinewakio6423

    4 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @safiyajussa9420

    @safiyajussa9420

    4 жыл бұрын

    @@mwinyiali kujua kizungu sio ttzo ata mm najua je unapuzungumza bas tumia lugha moja uweleweke sio you know 😁alafu kila jambo analirejea ilo ilo kama nn achane kingereza moja kwa moja km kiswahili kinampa tabu.

  • @davidmkanza6338
    @davidmkanza63384 жыл бұрын

    Good

  • @mamboyake4520
    @mamboyake45204 жыл бұрын

    Analia akikumbuka njia amepetilizishea na mamaye za kishirikina ..utazilipa tu mwaya..tulia ujapo la mgambo likilia utaitika tu mwali

  • @ibrahimkanuto3514
    @ibrahimkanuto35144 жыл бұрын

    Sijui kwann nakuwaga na mashaka sana na watu wanaotoa machozi nmeona hili suala tangu nikiwa mdogo huwa ni wasaliti nakumbuka pia hata huyu mmakonde

  • @emmanueljoseph2576

    @emmanueljoseph2576

    4 жыл бұрын

    😂😂😂

  • @latifamohamedi8404
    @latifamohamedi84043 жыл бұрын

    Honger zuch

  • @rajabmnyimwa3126
    @rajabmnyimwa31264 жыл бұрын

    Kwa hiyo kitu unachokijua ni You Know

  • @saidymangwelu9627
    @saidymangwelu96273 жыл бұрын

    the twinnis

  • @snazzywar6491
    @snazzywar64914 жыл бұрын

    Emational jwl dada ang😂😂

  • @gochamso
    @gochamso4 жыл бұрын

    wagonjwa wa korona wametoroka Aman hospitali @

  • @fatmahissa1068
    @fatmahissa10684 жыл бұрын

    U know u know hoovyoo

  • @mulekyaanibo3092
    @mulekyaanibo30922 жыл бұрын

    Merci

  • @Nayz.comedi
    @Nayz.comedi13 күн бұрын

    Zuchu iam love you

  • @AmudMahamudu
    @AmudMahamuduАй бұрын

    Kaswida

  • @abrahaminess520
    @abrahaminess5204 жыл бұрын

    Oussiliyé dada wangu

  • @johndahelenaagostinhoagost3188
    @johndahelenaagostinhoagost3188 Жыл бұрын

    Diamond platnumz nakubali sana, harmonize kwani amitoka wampi? Harmonize bado dogo 2 mwambie mbuzi wenu uyo afugue domo lake.

  • @ZuwenaZuwena-oe9kk
    @ZuwenaZuwena-oe9kk2 ай бұрын

    Jaman.umepambana🎉🎉🎉

  • @juliusfelister894
    @juliusfelister8944 жыл бұрын

    you know you know nyingiii🤣🤣🤣

  • @theodoraevalisto4576

    @theodoraevalisto4576

    4 жыл бұрын

    Kweli aise

  • @ItsThedon2Lorenzo
    @ItsThedon2Lorenzo4 жыл бұрын

    😭😭😭😭

  • @fatmahassan6497
    @fatmahassan64974 жыл бұрын

    You know

  • @kabeyamutanda5118
    @kabeyamutanda51183 жыл бұрын

    Bien

  • @peterchibukumakomeo3031
    @peterchibukumakomeo30313 жыл бұрын

    Nafahamu kuwa kuweza kwenda huko mbele unahitaji lugha nyengine ya kigeni, lakini tukiongea wenyewe kwa wenyewe wala haipendezi kurushia rushia hicho kiingereza ndani yake.

Келесі