Zitto: Nimeachiwa Huru, Naisubiri Serikali Mahakamani
Subscribe / uwazi1
Zitto Aachiwa kwa Dhamana, Aisubiri Serikali Mahakamani
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana leo Jumanne jioni baada ya kushikiliwa na polisi akihojiwa jijini Dar es Salaam.
Zitto baada ya kuhojiwa katika Kituo cha Polisi cha Chang’ombe mkoani Temeke sasa alihamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Ado Shaibu amesema baada ya Zitto kuhojiwa kuhusu aliyozungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za udiwani zilizofanyika Kijichi Jumapili Oktoba 29,2017 aliachiwa kwa dhamana.
Shaibu amesema Zitto aliyewakilishwa na wanasheria Venance Msebo na Steven Mwakibolwa alidhaminiwa na watu wawili na alitakiwa kurudi kituoni hapo Jumatatu Novemba 6,2017. Hata hivyo, amesema alikamatwa tena.
Subscribe / uwazi1 FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM:
Пікірлер: 41
Naichukua sana siasa ktk maisha yangu ila napenda kiongozi yoyote yule anayefanya vzr ktk kazi za ujenzi wa taifa bila kujali chama chake wanasiasa kazi kwenu
Mungu mbariki Zitto
Pambana kwa sasa tunakutengemea kwa upizan huku tukisubili jembe letu liimalike
pole zito
Dah nihatali jamani m yangu macho zitto usiludi nyuma endelea mbele
watz bna, ,,, saiv n hongera kwa zto yakimpata magum zaid , apambane na hali yake...... ,,,,,politician mkiskiliza maneno ya waandshi wa habar mtaumbuka
Aisee
Tanzania eeeee nchi yanguuu
Viva Zitto Zuberi Kabwe wewe ni Mshindi tu kaka
Saf zitto hata sisi wananchi tunalaani vikali mambo yanayofanywa na serikali ya sasa.mungu akutie nguvu
Taifa la watu wasio hoji limekufa!
sio Kama hivyo
lakini mimi toka nimeanza kusikia kutazama haya mambo mbona wa chama tawala hawakamatwi nahuwa wanamakosa tu
KUIWA NA UFUNGUZI WA MIRADI YA KIMAENDELEO CAMELA ZA KUHESABU,LAKINI KWENYE USHILAWADU HAPATOSHI NANI KATULOGA WTZ.
Acha nikae kimya
Pambana kaka
Pambana Hall yako zto unabwabwanga nn mdomon mwako kazi kuongea uongo tu.
usikwamishwe mheshimiwa ni mbinu tu za kukuogopesha
Nimekuona kilungi Emili kilungi
zitto usirudi nyuma pambana nimechoka udkiteta