Wiki hii ndani ya Zanzibar Part. 1. Maeneo ya mjini Kikwajuni Maisara Mnazimmoja @DiscoverZanzibar.

#discoverzanzibar
#zanzibar
#zanzibartowns

Пікірлер: 8

  • @abeidahassan-tk7re
    @abeidahassan-tk7re Жыл бұрын

    Mapinduzi Daima CCM juu juu juuzaidi

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Жыл бұрын

    Mashaallah mvua rahaaa

  • @nurudinjafferji
    @nurudinjafferji Жыл бұрын

    Government needs to improve the drainage and rad system, it looks very messy during the rainy periods.

  • @discoverzanzibar

    @discoverzanzibar

    Жыл бұрын

    That's true brother

  • @abeidahassan-tk7re
    @abeidahassan-tk7re Жыл бұрын

    Njia kama bao lasooo

  • @aishaaliy8519

    @aishaaliy8519

    Жыл бұрын

    😂😂😂😂😂 uwwiiiiiiiiiiiiii..nicheke kwanza

  • @iriswanjala7863
    @iriswanjala7863 Жыл бұрын

    Ingekuwa vyema kama mngeonyesha maeneo mazuri nazuri ya Pemba na hasa maeneo au mitaa ya matajiri ili ulimwengu uwezeze kujua na kufahamu kuwa Pemba kuna mahala pazuri pazuri badala ya kuonyesha umaskini mwingi katika nchi yenu ili ivutie wageni kuja huko na kuamua kuishi. Video nyingi zinaonyesha umaskini tu uliopo kwa nchi yenu, na hali mavloga wa nchi zingine hawaonyeshi sehemu mbaya za nchi zao.Kwahivyo ninawashauri mtembelee maeneo mazuri ya nchi yenu ili mueze kuheshimika.

  • @discoverzanzibar

    @discoverzanzibar

    Жыл бұрын

    Ahsante sana kwa comment ila huwa tunaonesha maeneo yote bila kujali mazuri au mabaya. Pemba bado kuna maeneo mengi ambayo hatujafika ila inshaallah tutafika kote