Watoto Jela
Katika makala maalum tunaingia katika gereza la wanawake la Langata ambapo tunadhihirisha maisha ya watoto waliozaliwa baada ya mama zao kupewa vifungo vya zaidi ya miaka kumi, je maisha kwa watoto hawa huwa vipi ikizingatiwa kuwa wao hujipata katika mazingira hayo pasipokupenda
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on www.ktnkenya.tv
Пікірлер: 85
Uhuru,Uhuru Uhuru,hao watoto kuna siku Mungu atasikia kilio chao,mmeshindwa kutafuta njia mbadala,kuwafanyisha hao wamama kazi za jamii,kama kulima,kumwagilia huku wakirudi nyumbani kulea hao watoto.Laana inasababishwa na kitu kidogo sana.
Dear Lord Jesus Christ help me to make the right decisions in life so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
Wezi.watarajiwa
mungu asaidie hawa watoi aki
Mungu ni mwema ipo siku atasikia kilio cha hawa wakina mama pamoja na watoto hawa,kiukweli jamani nataka niwaambieni kitu jela siyo kuzuri na anaefanya mpaka unaenda jela huyo siyo binadamu ni mnyama tumuombeni mungu atunusuru na maisha haya ya magereza...Aamiin
Wah mungu awasaidie nawatoto wao
Thanks KTN for updating us.
Its sad kua mtoto atazaliwa na akae jela but most of the tym the best place to be especially for children under five yrs is with the mother Thanks God to whoever came with that great thought of a day care so that atleast the children can still c there mothers in the evening cause if there is a problem the mother will know
Haki ni uchungu sana...I just wish the president can free them...Mungu awafariji
Kenya! Watoeni wamama hao wapeni kifungo cha nje. Vipi mnatesa watoto hawajakosea.
they look happy that's my happiness
Watoto wakae na mama said they will get the best care. Mambo ya relatives kado
Jamani hao wtt kweli imeniuma sana duuuuu😭😭😢😢
Dear Lord Jesus Christ help me to be an all-rounded responsible person in life so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
poleni mungu awa fariji
Kwani! Uhuru Kenya akuna.kama munafunga ata watoto? Poleni!
haki si hao wanawake wamefungwa juu ya tumakosa twa ujinga na watoi wanateseka
Aki poleni sana MUNGU awatie nguvu
poleni sana
Nalay kenya muwe munangalia makosa km mwanamke ajaua bc nivzr wapewe kifungo chanje tu kwayule mjamzito au mwenye
yaani serikali mna roho mbaya yaani mtoto azaliwe afungwe akulie jela kueni na roho jameni achieni hao wamama
@mohamedomarhasan5377
5 жыл бұрын
Salama Kadzo Sio Kuacha hao wamama isipokua watoto hawana makosa na kisheria serikali ilikuwa inatakiwa wachukue hao watoto na kuwapeleka kwa ndugu wa huyo mwanamke au wapelekwe ustawi wa jamii
Kenya kenya mungu anawaona
Oh so sad may the lord make they ways out for this Alle women 🚺 hier
Watoto wanazidi miaka mitano wachukuliwe na mume ,au Ndugu akae ulaiani
I think kids should not be in such environment.They should be given to their relatives or to children home
God is in control
Jamani siwatolewe hao wa mama
Serikali ilikuwa infikirie mtoto hana kosa jela za America au Europe kwa kuwa wanajua sheria vizuri Mimi niliona mwanamke amefungwa miaka mingi kwa kuua na kuuza madawa ya kulevya na alipofungwa jela alikuwa na mimba ndogo baada ya miezi 9 akazaa watoto 2 aliknayi wiki 2 kisheria mtoto hawezi kukaa jela ni kinyume ya sheria basi mama na baba ya Yule msichana walikuja jela na kuchukua watoto wote 2 na kama hawakuja hao wazazi wake watoto wangepelekwa ustawi wa jamii serikali inawatunza kwa kila kitu mpaka shule yaani kila kitu
Mm hadi nalia jamani eeee Mungu wangu jamani
hey dat bad to here
Waliopatwa na msimba tunawapa pole!
Afadhali wakae uko... Wasitolewe relatives watawadhurumu.. Ama waache awa wamama watoke
Yaaniii😵😵😵 hata nakosa la kusema😥😥😥😥😥
Kenya jameni nafung ata watoto shame Kenya
Woiii😭😭😭
am hapi for taking gud care of kids in fact thy luk healthy n jovial
😭😭😭😭😭✍
Watoto mwawapeta vipi jela
So sad , wakenya hawana huruma
😭😭😭😭😭😭
Mungu yuko nanyi
@hamdsw696
7 жыл бұрын
Hellen Atieno wakiweka watoto huko lini kenya itakuwa haina climinals nimbaya kabisha yani tu seme ata mtoto ni mfungwa kwahivyo hao wamama wamemariza kifungo juu ni wawiri kwa wawiri to the lagester
Mujipee nguvu,
I think those children are safe with their mothers in prison.Atleast in there they are protected from perverts who roam around.
@JohnDoe19xx
7 жыл бұрын
Daka Duku you are a piece of shit ... for what reason should those kids be in prisons they don't deserve that
😭😭😭😭
MAMA pekupeku, DUA DUA NIMUHIMU
Wh president them?
free them 😭
so sad
Maria Monday episodes
Lakini mungu anasababu yenu kuwa jela sinalakuogeza
Shada sio crime. Its God's creation... Kenya!!!
hawa watoto wamezoe maisha ya jela mna wachafua maroho wakitoka kwenda raiya watakua majambazi wa kubwa hawatajali kufungwa jela ndio watakuwa wabaya kabisa
@beatricenicholausiwasa7601
7 жыл бұрын
kweli hao watoto wakitoka watakuwa majambazi
@mamapekupekupilipilimuwash9016
7 жыл бұрын
Beatrice Nicholaus I was a eeee wakua majambazi wakubwa ju watakua washa zoea maisha ya jela hawaoni shida
Too bad i think it'll be better if you free them jmn
Kwani makosa gani walifanya,watoeni,mzigo unazidi.
Watoto wachukuliwe na relatives jameni
Kenya muko na sida plz fungulia hawa wako na watoi juu hawa watoi awesi pata elimu nzuri
Omani siku yoyote unayotaka kurudi unarudi hulazimishwi kukaa
Jaman 😢😢😢😢
NIKWELILABDA..DRMAKUFULITRANDIOMTINDOWAOHASAAIRPORT
This is not fair
@violetvayo8358
5 жыл бұрын
Small kids ,God is with you
Kama Kenya is free these children could Be free. These children must be looked out by government. If there is no government this is what you get. In short Kenya is not free. Men of Kenya stand and free your women and children. If you can't GOD will do and dont say that they don't respect you. It is you who didn't take your authority. If you are in control why are these children doing in prison. You have left your women alone and the children. Kwanini mnataka tiba ingine which dont cover women and their children. You think GOD dont see your failure.. Nyinyi tafuteni ukubwa wa watu falani wacha MUNGU atetee wanawake na watoto wao
KUNGURU TENA
Sasa unaifananisha omani na jela
Maskini hana mwenyewe aki serikali ya kenya ni bure na vile wako corruption.. Si kwanza mfunge wenye wamekula mali ya uma.. Achilieni hai wamama hawana makosa
mi bora huko jela mwenyewe namuona nitanenepa mimi niko Oman wanangu siwaoni ila kwa imo sina raha kwa kweli najikaza tu ndo natafuta
@lkshmykomar5472
3 жыл бұрын
Nljuwa nmm tu naishi ya kuliya klasku nawawazz wanangu muda wote nashinda kwenye imo ewe mola wetu tusaidiye 😭
@amiryally660
3 жыл бұрын
Kwani tatizo nini kwanini msirudi?
@mrsochu-hv7bm
3 жыл бұрын
@@amiryally660 bado tunatafuta
@amiryally660
3 жыл бұрын
@@mrsochu-hv7bm mnatafuta nini uku mnateseka au sijaelewa?
@mrsochu-hv7bm
3 жыл бұрын
@@amiryally660 tuna tafuta maisha kaka
Oh how do they get pregnant in prison???🤔🤔🤔
@davidnjoroge800
4 жыл бұрын
Wengi wanakuja wakiwa expectant,and once they deliver sheria inasema akifikisha 4years family ya mamake wamkujie..
I have nothing to say just pray for them
Na jela watu hupaka make-up kumbe 🙄🙄🙄🤭