Wanakijiji wa Kamolo Teso Kaskazini waathirika na mafuriko

Wanakijiji wa Kamolo katika eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia wameitaka serikali ya kaunti kuingilia kati na kuwaokoa kutokana na janga la mafuriko yaliyosababishwa na mto Kamolo kuvunja kingo zake. Mafuriko yameharibu mashamba na nyumba za wakazi hao.

Пікірлер: 1

  • @worrylesstv
    @worrylesstv22 күн бұрын

    Alafu please wale mnapendako kuwatch comedy videos naombako mnipitieko Leo tafasali nafanyako comedy 😂