Wanafunzi wa Sua watengeneza kifaa Cha kupima afya ya Udogo.|Automatic soil testing device. @sua

hiki kifaa jinafanya kazi ya kupima pH, moisture, humidity, NPK levels kwenye udongo, kinaweza kutumia kwenye maabala za udongo, taasisi za utafiti na mashambani,
Kwa maoni, na nahitaji tupigie 0750406919

Пікірлер: 10

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb29 күн бұрын

    Hawa ndio watu tunaowataka,hongereni sana sana,Sasa mashamba yataongea ,safi saaaana,mungu wabariki Hawa jamaaaaaa

  • @ntemilulyalya6830
    @ntemilulyalya6830Ай бұрын

    Congratulations engineer

  • @jamaliadam5845
    @jamaliadam5845Ай бұрын

    Excellent Engineer 😮

  • @Dox-gb4kg
    @Dox-gb4kgАй бұрын

    well done engn.

  • @robybernard2326
    @robybernard2326Ай бұрын

    🔥🔥

  • @user-kr9xi9lo3z
    @user-kr9xi9lo3zАй бұрын

    Ongera brother

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib662114 күн бұрын

    Uko vzr je hiki kifaa kinauzwa au😊

  • @macotv2197

    @macotv2197

    14 күн бұрын

    Bado ni prototype, hazijaingia sokon Bado Kuna ishu za usajiri , IP then kitaizwa mkuu

  • @macotv2197
    @macotv2197Ай бұрын

    Guys hawa watu wapo sua@ epal laboratory kama ungenda kujionea ama kujaribubkifaa unaweza fika sua morogoro , au piga simu 0750406919

  • @miscellaneous98

    @miscellaneous98

    Ай бұрын

    Nzuri Sana hii

Келесі