Waliofanya usaili kwa mfumo wa kidigitali wafunguka hali ilivyokuwa kwenye mtihani

Jumla ya wasailiwa 2,386 wa kada ya Tehama leo wamefanya usaili kwa mfumo wa kidigitali (OATS) ikiwa ni usaili wa kwanza kufanyika tangu serikali ilipozindua mfumo huo mwaka huu.
Wakizungumza na waandishi wa habari leo jumamosi, April 6, 2024 baadhi ya wasailiwa waliofanya usaili kwenye vituo vya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamesema kuwa mfumo huo ni mzuri kwa sababu hauna mambo mengi kama ilivyo kwenye makaratasi.

Пікірлер: 3

  • @sevlineernest1497
    @sevlineernest14973 ай бұрын

    Written interview ni kwa mtandao je Oral interviw nayo ikoje?

  • @thomasnachenga795

    @thomasnachenga795

    3 ай бұрын

    Kwa nivyosikiliza vizuri oral itabaki vilevile kama ilivyosasa, yaani utatoka hapo ulipo mpaka sehem husika utafanya ana kwa ana

  • @charlesshija7371

    @charlesshija7371

    2 ай бұрын

    Nauliza huu mfumo ni kila kada????? Yani namaanisha kama mm ni fundi kuchomelea

Келесі