Wakazi wabomoa vibanda na majengo Umoja Nairobi.

Fujo, vurumai na uharibifu zilitanda katika barabara ya Manyanja katika mtaa wa Umoja hapa jijini Nairobi baada ya wakazi wa mtaa huo kufanya maandamano na kubomoa vibanda na majengo kando ya barabara hiyo. Wakazi hao wanadai kuwa majengo hayo yamejengwa kwenye ardhi iliyotengewa upanuzi wa barabara, hali ambayo imesababisha msongamano mkubwa wa magari eneo hilo.

Пікірлер: 49

  • @Kipash
    @Kipash Жыл бұрын

    When any govt fails to deliver, mwananchi shall do it for the sleeping fellows.

  • @petermakaumutuku9150
    @petermakaumutuku9150 Жыл бұрын

    People are very powerful. They can make you or destroy you..

  • @ramamfunga-jl6tl
    @ramamfunga-jl6tl Жыл бұрын

    Ingekua azimio wangesema ni uharibifu wa Mali ya umma,alafu watu wangekula teagas kinoma

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Жыл бұрын

    People are starting to act where state is failing...

  • @Mo-wk3rg

    @Mo-wk3rg

    Жыл бұрын

    We should have acted from 2007

  • @bonfasmallah3692
    @bonfasmallah3692 Жыл бұрын

    If the state cant act let the public take charge

  • @geoffreyomollo3171
    @geoffreyomollo3171 Жыл бұрын

    Uchunguzi gani na anajenga kwa barabara inafaa mandamano phase 2 ipitie Hapo ndo kieleweke🤣🤣🤣🤣🤣

  • @grammamresh8848
    @grammamresh8848 Жыл бұрын

    Hongera wakenya

  • @kalibouykalibouy_ke9307
    @kalibouykalibouy_ke9307 Жыл бұрын

    Huo kijana anabonga facts ma yut wanaumia huku nje alfu mtu anajenga kw barabara ajey

  • @spottemgottem5781
    @spottemgottem5781 Жыл бұрын

    Wawawa😂😂😂hii Kenya watu wanaeza tia 1kg chumvi kwa skumawiki ya 5/=.kasee ashataja serikal yote,😿

  • @matts6894
    @matts6894 Жыл бұрын

    Citizens have taken the power they donated from the leaders. Aggressive James Orengo always says it.

  • @bentaaumrau8532
    @bentaaumrau8532 Жыл бұрын

    God job

  • @mauriceshilabula4574
    @mauriceshilabula4574 Жыл бұрын

    Hehe. kenya sai ni vilio tu.

  • @Irandabale
    @Irandabale Жыл бұрын

    Kazi ya polisi.....!

  • @tommosigisi3705
    @tommosigisi3705 Жыл бұрын

    Ruto atawasaidiaje na yeye ndiye mwizi mkuu wa Mashamba ?

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Жыл бұрын

    God Almighty, Waaaa hi ni maneno gani jameni wooiyie Kenya yetu 😢

  • @christinepauls3950

    @christinepauls3950

    Жыл бұрын

    Kwani pia wewe umenyakua barabara pahali?

  • @unclemchespeaks3094

    @unclemchespeaks3094

    Жыл бұрын

    Bado uko hai🤔🤔🤔

  • @eriminahmshai

    @eriminahmshai

    Жыл бұрын

    Kenya inastahili iwe nikenya yakila mtu na si yawenye wako na pesa kubabaisha watu pesa ni yako

  • @Mo-wk3rg
    @Mo-wk3rg Жыл бұрын

    Sasa swale mdoyi alinyanganya paka kofia yake ya Christmas....it's a terrible thing on his head

  • @kennedyokoth3126

    @kennedyokoth3126

    Жыл бұрын

    Unaangalia news ama kichwa ya Swale mdoe😂😂😂

  • @saidibrahim5931
    @saidibrahim5931 Жыл бұрын

    Nani aliwapatia ruhusa kujenga kwa barabara, this corrupt government and corrupt Nairobi County Watakula hongo mpaka lini

  • @judymoraamachongo99
    @judymoraamachongo99 Жыл бұрын

    Hiii ni kenya kweli😢😢😢😢

  • @mosesvuguza9726
    @mosesvuguza9726 Жыл бұрын

    Good luck Kenyan

  • @vanyoike2384
    @vanyoike2384 Жыл бұрын

    Hamu hitaji serikali chukueni chenyu ka vile Mungu alipanga ila Si kwa mipango ya mtu binafsi

  • @queenmwangui411
    @queenmwangui411 Жыл бұрын

    😮😮😮😮lord

  • @Agneskiki1
    @Agneskiki1 Жыл бұрын

    Nifikisheni hata 100 subscribers watu wangu ❤love you guys

  • @sylviawambui748

    @sylviawambui748

    Жыл бұрын

    Ok,nishakufikisha 86 nipitie nami

  • @dukeofrideshare

    @dukeofrideshare

    Жыл бұрын

    ​@@sylviawambui748 hata mimi naomba subscribers tafadhali. Nitashukuru sana nikipata hata moja !

  • @sylviawambui748

    @sylviawambui748

    Жыл бұрын

    @@dukeofrideshare nimekufikusha 40, nipitie pia

  • @sylviawambui748

    @sylviawambui748

    Жыл бұрын

    Nimekupitiya na umenilenga🥰

  • @dukeofrideshare

    @dukeofrideshare

    Жыл бұрын

    @@sylviawambui748 pole nimecheki message saa hizi. 🥰. Nimekupa pia mimi. Thanks tu sana , my dear 🥰

  • @mysteryencyclopedia1609
    @mysteryencyclopedia1609 Жыл бұрын

    SI Christmas Father Christmas 🎄

  • @pamelagatwiri7983
    @pamelagatwiri7983 Жыл бұрын

    What's happened in our nation???

  • @stellaanyango9335
    @stellaanyango9335 Жыл бұрын

    Alafu watasema ni Raila 🙄🙄🙄🙄🙄

  • @maskarena2544
    @maskarena2544 Жыл бұрын

    RUTO NDIYE MWENYEWE

  • @thebandit9507
    @thebandit9507 Жыл бұрын

    Mbona hawajarusha teargas?

  • @dominicat3
    @dominicat3 Жыл бұрын

    This is all JTM pastors work I'm sure

  • @sammakafu178
    @sammakafu178 Жыл бұрын

    dynasties hakuna finyilia hustler

  • @kadengebenendect6257
    @kadengebenendect6257 Жыл бұрын

    Wakenya wamechokaa kila mahali

  • @topscorer9836
    @topscorer9836 Жыл бұрын

    Lakini polisi wanakuanga wapi

  • @aspdlsp2420

    @aspdlsp2420

    Жыл бұрын

    @TOP SCORER Wao hutokea tu sazile wanataka kuteargas wajaluo

  • @maryannngugi3695
    @maryannngugi3695 Жыл бұрын

    This started small, with one citizen. There is no stopping now, because when it was first tried, government did not speak or act against it fast enough. Why should citizens do this for themselves? Where is the government? Why should people resort to this? Who is sleeping on their job? What needs to change? Hakukuwa na intelligence? We need some corrections done, urgently, otherwise some hormones that have been excited will cause too much trouble.

  • @MichaelMengo

    @MichaelMengo

    Жыл бұрын

    You asked a very good question. Kenya is a funny country where certain people are above the law

  • @cleophaskubasu

    @cleophaskubasu

    Жыл бұрын

    People are the government. It’s a Re-public 😂😂😂

  • @saidibrahim5931

    @saidibrahim5931

    Жыл бұрын

    What about kujenga kwa barabara?

  • @maryannngugi3695

    @maryannngugi3695

    Жыл бұрын

    @@saidibrahim5931 where was the government when that happened? Where was the chief, ass chief, nyumba kumi, sub county commander? Why must citizens do this for themselves? Where are the laws of the land? Tuko same page. Except I see failure from far, it should never have happened this way

  • @maryannngugi3695

    @maryannngugi3695

    Жыл бұрын

    @@cleophaskubasu aki, Someone failed them. It's an evil trend. I hope it ends very soon