WAISALAMU PEMBA WAPELEKA UJUMBE KWA DUNIA.

Пікірлер: 142

  • @tumamohammed6019
    @tumamohammed6019 Жыл бұрын

    MashaAllah Mola awabarik machozi yamenitoka kwa furaha na pia Mola akubariki raisi Mwinyi umeeka tarehe isiosahaulika mpaka kuondoka kwako tutakukumbuka Mola akubarik na nyote mlohudhuria na sisi ingawa tuko mbali tunashuhudia Alhamdulillah

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 Жыл бұрын

    Naipenda din yangu ya kiislamu❤❤❤❤❤

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 Жыл бұрын

    Pemba hongereni ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ na dr hussein mwinyi ❤❤ Allah atakujaza na kukupa agya zaid na imani na busara ❤.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Жыл бұрын

    Hongera sana Kwa hatua hii Ila nitoe angalizo kuwa Uislam ni zaidi ya kusherehekea mwaka!!

  • @rasadsaid1818
    @rasadsaid1818 Жыл бұрын

    Kazi nzuri Sheikh Rashid!! ALLAH akubaarik

  • @mrsjj8804
    @mrsjj8804 Жыл бұрын

    Wallah nimefurah kumuona mtu ambae na skia tu sauti yake ktk maelezo baada ya Habari raha Sana kwa kweli I'm proud to be muslim love you all

  • @saidalreyami6748
    @saidalreyami6748 Жыл бұрын

    ماشاءالله تبارك الرحمن الله يبارك فيكم جميعا

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 Жыл бұрын

    MashaAllah tabaraka Rahman iyo ADHIM sana kwa kizazi cha mbele

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 Жыл бұрын

    *Very BEAUTIFUL!* ❤😊

  • @nuhubamanya3346
    @nuhubamanya3346 Жыл бұрын

    Maa Sha Allah Rais Mwinyi Allah S.W akuzidishie hekma

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 Жыл бұрын

    Allah ampe umri mrefu mhe. Rais wetu Dr Hussein Ally Mwinyi.

  • @shuwekhaalsheiban9366
    @shuwekhaalsheiban9366 Жыл бұрын

    Mashaallah Allah ajaalie aendelee kila utakapofika mwaka mpya wa kiislam, hiii ni neema adhimu sana kwa waislam, Alhamdulillah.

  • @ngenzitigana5344
    @ngenzitigana5344 Жыл бұрын

    Kazi nzuri sn Ilove you islam ❤❤❤❤❤❤❤

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 Жыл бұрын

    ما شاء الله تبارك الله بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا. اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليما. MashaAllah Mungu awabariki jambo zuri sana

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Жыл бұрын

    Allah ajae iwe yenye kuendeea love u all Muslims

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Жыл бұрын

    ماشاء الله تبارك الرحمن جميل جداً

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 Жыл бұрын

    سنة جديدة سعيدة لكل مسلمين ❤

  • @artisthusnatalal3099

    @artisthusnatalal3099

    Жыл бұрын

    👍

  • @rashaadislamicgroup4213
    @rashaadislamicgroup4213 Жыл бұрын

    بارك الله فيكم

  • @taliatakhalifa8303
    @taliatakhalifa8303 Жыл бұрын

    Mashaallah kullu aam waantum bikhair

  • @Safreenfeen
    @Safreenfeen Жыл бұрын

    Aaaamin…..Allah azidi kumuonesha njia na amkinge na kila hasada baya aone baya na Aliache

  • @chimilasaid447
    @chimilasaid447 Жыл бұрын

    mashallah pemba mume songa mbele kidni ustadhi walai Ntka machozi kenya kwale akuna vitu kama hivi aki n nthamani nasi pyi kenya tuwe n sku Malum y kusherkea mwezi w kwanza w kislamu njua itakuwa vigumu mno lakin kwa yye mwenyew jabri atalwzsha inshaallah wbilah taufq❤

  • @swah555suhayl8
    @swah555suhayl8 Жыл бұрын

    MashaAllah jazakallahu Khair

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 Жыл бұрын

    Mashaallah .كل عام وانتم ب خير.

  • @user-xe9uu6wu3z
    @user-xe9uu6wu3z Жыл бұрын

    Mashallah Allah azidi kutuunganisha nakutushikamanisha waislam,,Hadi Raha WALLAHY

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 Жыл бұрын

    ALLAH AKBAR MASHA ALLAH

  • @ShuwekhaAbdullah-ez2un
    @ShuwekhaAbdullah-ez2un Жыл бұрын

    Mashallah Mashallah Allah atupe upendo zaid

  • @saadaalhabsi2517
    @saadaalhabsi2517 Жыл бұрын

    ما شاء الله تبارك الرحمن ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @huss668
    @huss668 Жыл бұрын

    Ma Shaa Allah ❤❤❤

  • @izdihaarsleyum3643
    @izdihaarsleyum3643 Жыл бұрын

    Maa shaa Allah tabaarakallah

  • @asiyasule5513
    @asiyasule5513 Жыл бұрын

    Ma sha Allah Hongere znz

  • @sinangoarashid504
    @sinangoarashid504 Жыл бұрын

    Mashaallah 😍

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 Жыл бұрын

    Allah atuzidishie kher waislam wt

  • @safiamohamed635
    @safiamohamed635 Жыл бұрын

    Mashallah tabarakk Allah Allah ajaalie iwe daima asante mungu

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 Жыл бұрын

    Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Жыл бұрын

    Mashaallah jazakumllah kheri

  • @ramlazubery1682
    @ramlazubery1682 Жыл бұрын

    Mashaallah Mashaallah. ALLAH KARIM ATUJALIE ifike na nchi nyingine. INSHAALLAH

  • @MwanajumaAbdi-ku6bp
    @MwanajumaAbdi-ku6bp Жыл бұрын

    Masha allah jazaka allahu kheir

  • @hebamuhammad7278
    @hebamuhammad7278 Жыл бұрын

    Na mm dini yangu ya wisilam na ipenda sana

  • @asharamadhan710
    @asharamadhan710 Жыл бұрын

    Mashaallah 😘😘

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m Жыл бұрын

    Masha Allah tabarqa llah kwa kufurahia mwaka wa kiislam Allah aujalie uwe na khery nyingi,mwaka huu wa 1445hijria

  • @mufydal-harousy5939
    @mufydal-harousy5939 Жыл бұрын

    Maa shaa llah

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 Жыл бұрын

    Mashallah alhamdulillah

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 Жыл бұрын

    Bida'a mpya hio poleni sana

  • @KhubeybJandaal-uz4oo
    @KhubeybJandaal-uz4oo Жыл бұрын

    Upuuz wenu,waislam haurusi,mambo ya kikafir ole wenu

  • @user-xf4rc1sx9c
    @user-xf4rc1sx9c Жыл бұрын

    Mashaallah ❤

  • @salma0000
    @salma0000 Жыл бұрын

    Mashaallah❤

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Жыл бұрын

    Maa shaa Allah

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 Жыл бұрын

    MAA SHAA ALLAH

  • @user-cv3ey6gv2t
    @user-cv3ey6gv2t Жыл бұрын

    Mashallah Mola awalinde ktk imani

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Жыл бұрын

    Mashalla Allah ❤❤❤❤

  • @lilyali319
    @lilyali319 Жыл бұрын

    Mashallah. Allah ampe umri tawili Rais wetu.

  • @user-nw7tb7hv2x
    @user-nw7tb7hv2x Жыл бұрын

    Masha Allah rahaaa❤

  • @anwaryabdallah7782
    @anwaryabdallah7782 Жыл бұрын

    MASHA ALLAH wazanzibar mshukuruni sana ALLAH kwaneema hiyo ktk nchi yenu sisitunatamani Tanzania bara lkn ndiohaiwezekani

  • @salminijuma7746
    @salminijuma7746 Жыл бұрын

    Mashaa allah

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Жыл бұрын

    Mashaallah mashaallah

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 Жыл бұрын

    Maasha allah

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw Жыл бұрын

    Mashaallah Mashaallah

  • @ramsonramadhan4156
    @ramsonramadhan4156 Жыл бұрын

    ❤MashaAllah

  • @anwaryabdallah7782
    @anwaryabdallah7782 Жыл бұрын

    MASHA ALLAH

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 Жыл бұрын

    Maashallah

  • @ChuuFilm_Qaswida
    @ChuuFilm_Qaswida Жыл бұрын

    Maasha Allah

  • @Debabaz1673
    @Debabaz1673 Жыл бұрын

    Mashallah ❤❤

  • @mwangazamwangaza1234
    @mwangazamwangaza1234 Жыл бұрын

    Masha Allah

  • @asmahchongoe1117
    @asmahchongoe1117 Жыл бұрын

    Masha allah alhamdulillah

  • @nassorahmed7956
    @nassorahmed7956 Жыл бұрын

    Alhamdulilah kwakuwa muislam wakuzaliwa

  • @zuhura.suleimanmwamwari3083
    @zuhura.suleimanmwamwari3083 Жыл бұрын

    Asante sheikh wetu kutuwakilisha huko uliko

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 Жыл бұрын

    ماشاءاللہ

  • @dalilasaliim2819
    @dalilasaliim2819 Жыл бұрын

    Mashallah

  • @saidjuma25
    @saidjuma25 Жыл бұрын

    Masha allah

  • @abdullahmanalex2306
    @abdullahmanalex2306 Жыл бұрын

    Mashaallah

  • @issabakar8470
    @issabakar8470 Жыл бұрын

    Nafurahi kuzaliwa pemba

  • @user-qw2cz8rp6v
    @user-qw2cz8rp6v Жыл бұрын

    mashaAllah

  • @kazoletv9991
    @kazoletv9991 Жыл бұрын

    Mungu atuwafikishe

  • @yusufuurungu-ht1sk
    @yusufuurungu-ht1sk Жыл бұрын

    M/MUNGU Atuzidishie kheir

  • @bakarirutengwe3036
    @bakarirutengwe3036 Жыл бұрын

    MASHALLAH ❤️ ❤️❤️

  • @user-ed3uh6pt8b
    @user-ed3uh6pt8b Жыл бұрын

    Allah aqbar

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Жыл бұрын

    Mashallah 😁😁

  • @ayoubharoub5807
    @ayoubharoub5807 Жыл бұрын

    ماسة الله يسلمك يا رب العالمين

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Жыл бұрын

    🥰🥰🥰

  • @mohamedimohamedi58
    @mohamedimohamedi58 Жыл бұрын

    ❤❤❤😢

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Жыл бұрын

    Hebu acheni uzishi kwenye din

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 Жыл бұрын

    Shukran ❤

  • @mohamedmrisho4403
    @mohamedmrisho4403 Жыл бұрын

    Tusibeze mambo si kila lililozushwa kwamba halifai. Hiyo tareikh ya Kiislamu pia haikuwepo Wakati wa Mtume ameianzisha Sayyidna Omar bin Khatwab . Tukisema kila linalofanywa hata kama la kheri ni uzushi tunaweza tukafika mbali tukawaita mpaka Makhalifa wazushi maana kila khalifa anayo aloyaanzisha ambayo hayakuepo, (kusali kwa Jamaa) Tarawekhe misikitini na mengineyo. Allah atuongoze katika hakki.Amin.

  • @hanifatanzania7258

    @hanifatanzania7258

    Жыл бұрын

    Amyn yarabiaalamyn. Waislam waliyosoma ndiyo wanapotoshawatu kwanihatamwakampya aturuhusiwikusheleekea je hawa wanaukalibisha. Masufi mtuhami Alllah atuongoze

  • @fatmaalyahyai1700
    @fatmaalyahyai1700 Жыл бұрын

    MaashaaAlla mungu aibarik amiin kwa mwaka wakkiislam

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Жыл бұрын

    Mwaka mpya basi ubadilishe hali yetu mbaya ya kiuchumi tuliyonayo uwe mwaka pia muendelezo wa mabadiliko wa sisi tunaoufurahia kwa maandamano, uongozi basi utuhurumie kutusaidia sera itakayotuwezesha neema kiuchumi Tuletewe DP WORLD ambayo wenzetu wanaikataaa

  • @alijumes3580
    @alijumes35806 ай бұрын

    Co dini

  • @salma0000
    @salma0000 Жыл бұрын

    Anaekereka na aende akajinyonge basi

  • @salwamohammed4787
    @salwamohammed4787 Жыл бұрын

    Mkono kwa mkono Hadi peponi

  • @aliomari5254
    @aliomari5254 Жыл бұрын

    Vizur ila hawachelewi kusema bidaa zile kanzu fupi

  • @dengemuhidinimuhidini3230
    @dengemuhidinimuhidini3230 Жыл бұрын

    Kwa kweli Sina la zaidi kwa raisi mpendwa WA Zanzibar , huyu ndiye raisi was pekee anaepa had hi yake , Amakweli mwinyi neema tumtunze na yéyé atutunze Allah Akbar

  • @rajabjuma277

    @rajabjuma277

    Жыл бұрын

    Wacha kutuletea siasa ccm wewe nakujuwa km mavi kafanya nn cha mana angeliwafata wanyonge mitaan akawapa chakula na madawa kashindwa misikitin ataweza mitaan

  • @mwanamkemuislamutv9369
    @mwanamkemuislamutv9369 Жыл бұрын

    Hatupingi alolifanya ni jema ama yeye kwa wema hanao ,, Hakuna kiongozi anaekaa madarqkani kwa dhula na kwa wizi na kuto kupata ridhaa za raia wake ikisha akawa mwema.. Hamuwezi tu kusema kwamba alofanya ni jema ama yeye wema hanao.

  • @abdallahselemani6423

    @abdallahselemani6423

    Жыл бұрын

    Wewe. Mwenyewe una uhakika msafi?

  • @mwanamkemuislamutv9369

    @mwanamkemuislamutv9369

    Жыл бұрын

    @abdallahselemani6423 Hakuna mwenye uhakika ila kuna makosa ya mja kwa mola wake na akiomba msamaha Allah anasamehe...ila kuna makosa ya dhula ya waja na kubwa zaidi ni kumwaka damu ya Muislamu Ana sema Allah katika hadithi al-qudusiy (hakika mimi nimeiharamisha dhula juu ya nafsi yangu basi musidhulumiane) na akasema kwenye Qur-aan tukufu (32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.) Na mtume swalla llahu alayhi wasallam anasema katika hadithi ya Abii Hurayrah «من أعان على قتل مؤمن بشطر كلمة؛ لقي الله عز وجل مكتوب بين عينيه: آيس من رحمة الله» (MWENYE KUSAIDIA KATIKA KUWAGIGA DAMU YA MUISLAMU JAPO KWA NUSU YA NENO TU; BASI ATAKUTANA NA ALLAH HALI AMEANDIKWA BAINA YA MACHO YAKE : AMEKATA TAMAA NA REHEMA YA ALLA) Sasa nambie uongozi aloupata ameuoataje na je ameomba radhi lini kwa raia wake juu ya uovo olowafanyia na jee kuna dalili zozote za kujutia na kuto kufanya tena hili? Au anajipanga kwa 2025 kuja yafanya tena haya haya. Na dalili zaonesha wazi kuwa bado hajajutia juu ya damu za waislamu zilizo mwagika kwa sababu yake bado amemchaguwa tena yule yule alikuwa sababu ya maumivu ya wazanzibari kuwa tena mwenye kiti wa tume ya uchaguzi lengo lake ni lipi? Kwa hiyo msafi kwa asilimia %100 hayupo ila kuna mambo mwanadamu akiyafanya lazima alaumiwe na kuuwa ni katika madhambi makubwa amabyo kama hakutubia kwa Allah na kuwataka radhi walio poteza familia zao kwa sababu yake yeye na walokuwa vilema basi jambo hilo lina wajibisha Moto. Kwa hiyo Hajawa mwema kwa kuidhinisha sherehe za mwaka mpya wa kiislamu wakati Uislamu kwenye moyo wake unamatatizo.

  • @wahdabintabilha3643
    @wahdabintabilha3643 Жыл бұрын

    Kichwa cha habari ingependeza kama mungeandika Zanzibar. Kwenye maelezo ndio mungefafanua kama maadhimisho hayo ya Kitaifa yamefanyika kisiwani Pemba.

  • @noffalsalim

    @noffalsalim

    Жыл бұрын

    Zanzibar si unguja tu Pemba ni pemba tu ,maaa izo ndo kauli zao .

  • @wahdabintabilha3643

    @wahdabintabilha3643

    Жыл бұрын

    Wewe usiwe mpumbavu kama wao. Zanzibar ni Unguja na Pemba.

  • @noffalsalim

    @noffalsalim

    Жыл бұрын

    @@wahdabintabilha3643 jidanganye tu

  • @mohamedali-ur6ri

    @mohamedali-ur6ri

    Жыл бұрын

    Wazanzibar wenyewe tushaelewa ; akili yako Unguja ndio Zanzibar wakati Zanzibar ni Unguja na Pemba ....

  • @sabihaibrahim143

    @sabihaibrahim143

    Жыл бұрын

    Sasa hapo Pemba etii aseme zanzibar vipi na hapo pemba na kasema wananchi Wa pemba

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 Жыл бұрын

    Kweli dini ina mambo mumezusha maulid na leo mwazusha jengine huu uzushi umeanza mwaka huuu daaa allah waongoze masufi kwwnye haki

  • @alhudhaify7810

    @alhudhaify7810

    Жыл бұрын

    Hujielewi

  • @issanassor6795

    @issanassor6795

    Жыл бұрын

    Msng

  • @hasbaallamaa749

    @hasbaallamaa749

    Жыл бұрын

    Na ww akuongoze usiwe mtu wa kuleta farka katika Uislam na usiwe mtu wa kutumia na mayahudi waliokwisha laaniwa na Bwana Mlezi

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 Жыл бұрын

    Haikuwa dini wakati wa mtume yupo jee Leo iwe dini musitudanganye sisi sio watoto wadogo bna

  • @Muhammad-el9iz

    @Muhammad-el9iz

    Жыл бұрын

    Unakusudia Nn kusema hvo?

  • @salma0000

    @salma0000

    Жыл бұрын

    Lazima uinue kidole chako tukuone, kajinyonge basi kama umeumia😏

  • @hanifatanzania7258

    @hanifatanzania7258

    Жыл бұрын

    Wazushi wamejaa zamahizi mtihanj

  • @Muhammad-el9iz

    @Muhammad-el9iz

    Жыл бұрын

    Kwani umesahau kuwa dini hii ilkuwa na nguvu hlaf ikakosa nguvu baadae itarudi Tena kuwa na nguvu ndyo maandko ynavyosema. Ssa uslete Manno kma hyo" haikuwa dini wkti wa mtume yupo jee Leo iwe dini " Yan mm kma sjkuelewa hasa nini kimekukasrisha hpo!? Wacha siasa kwenye dini niushauri tu.

  • @khalfanshahabakar7439
    @khalfanshahabakar7439 Жыл бұрын

    Kwa kweli Rais wetu anafanya mambo mazuri kila uchao.kwa ķila nyanja Mungu ampe kila la kheri.Amin

  • @rajabjuma277

    @rajabjuma277

    Жыл бұрын

    kalisha watu au kafanya nn kuna nn kipya hapo cha ajabu ngamia au faras wacha uccm

  • @aliali-gw5pq
    @aliali-gw5pq Жыл бұрын

    BIDAA MPYA UZUSHI KATIKA DINI YA ALLAH KAMA KHERI WANGEANZISHA KUADHIMISHA WEMA/MASAHABA NA WALIOTANGULIA

  • @rajabjuma277

    @rajabjuma277

    Жыл бұрын

    Watu wanafata mkumbo maulidi yalianza taratibu mpaka imefikia pahali wanakata mauno subiri utakuja kuona mengi hapo

  • @kichachu6391
    @kichachu6391 Жыл бұрын

    Inasikitisha kujivunia kuwa ni watu wa mwazo walioanzia uzushi wa kudhimisha siku ya mwaka mpya wa kisilamu kwani mtume عليه الصلاة والسلام ameshautuambia kuwa kila linalozushwa ktk dini ni upotovu na kila upotovu malipo yake ni moto wa JAHANAM

  • @khatibabass3106

    @khatibabass3106

    Жыл бұрын

    Kwani hakuna mwaka mpya wa kiislam ? Binaadam kwakweli

  • @kichachu6391

    @kichachu6391

    Жыл бұрын

    @@khatibabass3106 Mwaka mpya wa kiislamu upo lkn kuadhimisha ni uzushi ambao hauna dalili ktk sheria

  • @omarhaji2621

    @omarhaji2621

    Жыл бұрын

    Assalam alaikum hili limefanikiwa ila na swala la wanawake kutembea uchi lifikiriwe

  • @nassiralli9304

    @nassiralli9304

    Жыл бұрын

    Kwanini tunapenda kupinga mambo ambayo yanapelekea kushajihisha vizazi na vizazi daima kuweza kujuwa historia ya uislam...kuwakumbusha juu ya uwepo wa imani ya kweli ya Allah... Kukumbushana ni moja kati ya kheri kubwa na sifa kubwa za umma huu...sasa kukumbushana tarekh ya uislam katika stail kama hii hatuoni kama itapelekea kuutangaza zaidi uislam nchini na duniani..ni kama ukumbusho... Sasa hili suala la kusema uzushi linatokea wapi... Wenzetu wamekuwa wabunifu kuharibu ulimwengu...sisi tukianzisha mbinu za kuhuisha dini yetu unasikia bidaa... Hebu tuacheni hizi dini Za siasa.

  • @rajabmsinzia1715

    @rajabmsinzia1715

    Жыл бұрын

    ​@@kichachu6391Brother mbona nchi za kiarabu ambapo asilimia kubwa ya watu wake ni waislamu wanaandhimisha na huwa ni holiday katika nchi zao ?

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Жыл бұрын

    Mashallah 💗

  • @nimmy2675
    @nimmy2675 Жыл бұрын

    Maashallah

  • @abuuvanlampard2564
    @abuuvanlampard2564 Жыл бұрын

    Mashaallah