WACHAWI WAJARIBU KUMUUA MTOTO YUNIS MARA 2, APONYA WAGONJWA KUTOKA ULAYA, APEWA ZAWADI YA VATICAN..
WACHAWI WAJARIBU KUMUUA MTOTO YUNIS MARA 2, APONYA WAGONJWA KUTOKA ULAYA, APEWA ZAWADI YA VATICAN..
Mtoto YUNIS au EUNICE OGOT wa Wilayani Rorya, mkoani Mara nchini Tanzania, ameendelea kufanya maajabu katika uponyaji wake wa kutumia maji na maombi, ambapo anatibu watu wa ndani na nje ya nchi…
Mapya ya hivi karibuni ni tukio la kutibu kundi la watu waliopooza, wapatao saba kutoka nchini Djibouti, ambao walifika kwa mtoto huyo wakiwa katika hali mbaya, mwingine akiwa anasukumwa kwenye kiti cha kusukuma (Wheel Chair), lakini baada ya kuombewa na kumwagiwa maji na Yunis alipona na kuanza kutembea mwenyewe…wengine wamekuwa wakitibiwa kutoka Ulaya ambao wamepona na kumpa zawadi ya sanamu kubwa ya Bikiria Maria, yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni nane…
Maajabu ni mengi…fuatilia muendelezo huu pamoja na ushuhuda wa watu wengine….
NAMBA ZA SIMU ZA BABA YUNIS: +255 783 426 393 au +255 686 967 279
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Пікірлер: 530
Baba angu alikuwa anaumwa mwaka jana akaenda, akachukua maji na yalimponesha Glory to God
@sarablessing2176
Жыл бұрын
Ni wapi uko
@talsirakayombo8477
Жыл бұрын
Naomba mambi yake jaman
@winfridadavid4173
Жыл бұрын
@@sarablessing2176 Musoma shirati
@winfridadavid4173
Жыл бұрын
@@talsirakayombo8477 mydr sina kweli labda niongee na mzee jioni akirudi nikutumie
@talsirakayombo8477
Жыл бұрын
Sawa dr
na ibilisi awezi kufikia sister Eunice mungu azidi kuinua na mwanawe yesu Christo na mama yetu maria ubarikiwe zaidi mungu akupe nguvu nami pia niweze kufikia ubarikiwe sana sister Eunice 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
Kwa nini Mimi naamini kila kitu, kwa sababu Mama Bikira Maria ananguvu ya ajabu ya kutumia Maji, Kwokwote kule alikowahi kuwatokea watu, amekuwa anaonyesha jinsi ya kutubu, kusali, kusamehe na kutumia Maji . Na sikuzote huwa anawatojea watoto kwenye pori, ambapo kuna mawe, miti, sehem iliyotulia na iliyojificha, I love her unconditionally ❤, This is so beautiful, Nampenda sana Mama Bikira Maria hasa jinsi anayotugombania sisi Wanawake na Familia zetu. Kanisa letu wakati mwingine linachukua muda mrefu sana kutangaza mambo kama haya, she’s blessed, Mama Bikira Maria endelea kumtumia Mtoto huyu, kupitie yeye utufundishe mengi.
@mohammadoman8963
2 ай бұрын
Mh😢😢
@kambalesenzo5290
Ай бұрын
free masoni huyo
@kambalesenzo5290
Ай бұрын
bikira maria amefariki miaka kadhaa iliyo pita Hana lolote la kufanya hiyo ni imani ya kishirikina
Mungu azidi kumuinuwa mtoto huyu🙏🏽🤲🏼
Yesu alise acheni watoto waje kwangu 🙏🙏🙏
Mama Bikira Maria ni suluhisho Kweli ya dhiki zetu! Kanisa Katoliki ni Dini ya kweli yenye Neema kuu🙏🏽 Mimi ni Shahidi🙏🏽
@severinmagwaya6453
11 ай бұрын
siyo dini bali kanisa la kweli. Makanisa yapo mengi, mf. Filipi, thethalonike! Aidha, kuna madhehebu mfano Roman katoliki, Anglican, Lutheran, Arthodox Catholic, Marian Catholic nk.
@felisterandrew8741
11 ай бұрын
Mungu mwenyewe akiamua kumtumia mtu haijalishi ni dini gan
@user-gj9yw1nj2h
5 ай бұрын
Through jesusu Christ everything is possible
@user-hp2rd2md3g
Ай бұрын
Mungu anaeza tumia hata mtu hajawahi India kanisa kuonyesha mkono wake..husikii akisema KANISA LAO CATH..hawasemi chochote
God bless this little angel Eunice I know one day I will go their
@emekaarinze3693
Жыл бұрын
Thank you jesus for the life of the little girl , Amen
@marryfelician1426
Жыл бұрын
Aje na dar. Jamani
@martinatusaye8267
2 ай бұрын
Anapatikana mkuwa gani jani please u help me
Mungu yu naye Eunice na atazidi kukutunza pamoja na familia yako
Kweli Ni Karama ya kipekee🙏🏽ambayo Mariamu Mama wa Mungu huwateuwa mwenyewe Mimi ni Shahidi pia🙏🏽
Barikiwa sana wajina..nami napokea kwa Jina la Yesu
Mungu akuepushe na na roho za maadui hakika mungu nikila kitu katika maisha yetu
Mmmmmh Mungu bariki kazi ya mikono yako yunisi
@ayshamahariq6665
2 жыл бұрын
Aamiin
Amakwahakika munguanaipenda Tanzania munguibaliki alziyatanzania nawatuwake mbaliki mtotohuyu iliatuponye kwakupitiayeye
Hello naomba mungu akubariki sana kwa huduma zako nami nko na shida ile ambayo inahitaji tutuonane tu ili huweze kunisaidia ,tafadhali mniambie hii ni inch gani ili niweze kuabiri ndenge nikuje❤❤❤❤
Hongera mtoto bikra kwa kazi unayo fanya mungu akulinde
Mungu akubariki mtoto Eunice
I claim and receive my healings through Yunis in the Mighty Name of Jesus Christ of Nazareth, AMEEEEEEEN
Mungu akubariki wewe mutoto Eunice Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🇩🇪🇪🇺
@emillyzeeh1173
2 жыл бұрын
Be blessed Eunice, kusaidiea wagonjwa Amen
MashaAllah...ningelikuwa karib tyungefika from kenya
@esthermokamimathias1740
Жыл бұрын
Njooo nitakupeleka ulipe nauli niko kenya pia
mwenyez Mungu aendelee kumtumia mtoto katika uponyaji wetu na magonjwa na changamoto mbalimbali tulizo nazo...
@alialamoudi9729
Жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo ni shirki thambi isio samehewa milele muobe mola wako moja kwa moja anakusikia
Mungu habarki uyo mtoto ahendele kuponya watu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ninaamini nguvu za mungu zilipo ndani mwako, nimefunguliwa na mwanangu .mungu akutie nguvu
With God everything are possible 🙏
Mungu akubark sana Sister Eunice uendelee kuwasaidia wagonjwa na wenye shida mbalimbali.
@ibrahimsongo8440
2 жыл бұрын
Serikali usisahau kiipa hifamiliya ulinzi
@tumainimanga9233
2 жыл бұрын
Mungu Aliyampa kibar huyu mtoto tumtukuze sana
@edinahmoraa2096
Жыл бұрын
Duuh maajabu haya
@emekaarinze3693
Жыл бұрын
I Ekeoma I received my miracle baby in jesus name Amen
Mungu akulinde mtoto yunic
Asante mungu kwa hii zawadi ya uponyaji endelea kuonekania na kumfunika huyu mtoto kwa damu yako takatifu
Any angle of heaven on earth tat is here now to deliparate all siners to folllow Gods work bora uwe na imani i trust this girl mungu azidi kumwinua
Mungu akubariki Sana Sana... Kwa kazi unayofanya.
Mungu akulinde mtoto mzuri,
Mungu bariki Mtoto Eunice aendelee kuombea watu na ku wachawi wote
Mungu akulinde sana mtoto unice kwa kazi unayoifanya...
Pray for me baby Eunice and God will bless you
I heal myself,my woman Nana Adwoa Erica and my family from every deadly deseases and illness through this beautiful girl in Jesus Christ name ... Amen
@medrinemelissa
Жыл бұрын
Ntaweza kufika uko aje ..:,
@lilianchepkemoi2417
Жыл бұрын
Hi friend an from Jericho how can I get Tunis no.
@lilianchepkemoi2417
Жыл бұрын
Plus help me to get Tunis no
@lilianchepkemoi2417
Жыл бұрын
Please help me to get Tunis no.
@herbertchapaguta3733
Жыл бұрын
Hi everyone I'm very grateful l thank God .......I'm here to ask l wanna go there but l don't know the directions pliz help 🙏🙏🙏🙏 I'm zim pliz help
Amen 🙏 mungu amubariki form Uganda 🇺🇬
Wazazi hawa ni kielelezo kwetu sisi wazazi wa leo tunao asi uzazi hatutaki kuzaa,Tunakufuru, Mungu wetu Baba tusamehe🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Utuponye kupitia mtoto huyu mteule wako🙏🏽
Amen God gives you more strength
Bwana Mungu atukuzwe sanaa. Asante mama Maria.
Mungu akubaliki sana
God bless u Yunis parents
Blessing child may God continue to protect her for healing power from Almighty God IJN🙏
Am a living testimony may God bless BMG TV and sister Eunice I got instant healing, may God's name be glorified.
@AnnetShisia-pj6op
2 ай бұрын
Where does she comes from
Mama bikira maria utuguse mahari popote panamaumivu na ugonjwa usiotibika utuponye mama yetu mama wamungu tusikue🙏🙏🙏🙏.
Mimi ni evangiliste imani Bujumbura muombaji aniombea mimi na jamah langu kwa magonjwa hatuna nauli tungefika Amen
Yule mutoto mungu amubariki Sana na sisi tunaomba afike kwetu Burundi amwangiye watu maji wapone
Alichakiandaa mungu mwanadamu hawezi kukiharibu wala kuingilia amemleta mungu kwa maana
MUNGU am.bariki huyu mtoto Ampe power zaidi
Hakika Mungu anaweza anatumia watoto wadogo.hekima ya Mungu sio ya mwanadamu.kila jicho litamuona
@joylinejoy7989
Жыл бұрын
Hakika Mungu anatenda but nauliza swali naeza pataje Uyu dada Eunice nkona magojwa yenye hospital wameshindwa
MUNGU Akuepushe na nguvu za movu shetani.AMEN🙏
@linaruth8982
2 жыл бұрын
Mungu aonekane juu ya huyu mtoto.waovu watoweke katika jina la yesu.
Mungu akulinde zs uponyaji dió tunaitaji Kwa Jina la yesu
Thank you angel yunis.
Mwenyezi mungu ana makusudi yake kweli mtoto Wacha akauponye ulimwengu🙏🙏
Mtangazaji uko vizuri. Ila haiitwi goroko. Inaitwa grotto ya Bikira Maria. Ni nyumba ya mama yetu Bikira Maria mama wa mkombozi wetu Yesu Kristu
Amina 🙏
Daarh nimesikiliza miujiza machozi yananitoka mungu yupo kwa watoto wadogo
Asante mungu kwa miujiza yako
Bas haya...
Wow that is powerful God is good
thanks God for wanderfuil work is doing 🙏
Amen even Jesus started preaching when he is young so God has power heal any diseas
Mungu azidi kukubariki na kukutia nguvu katika huduma yako ,munapo ishi niwapi jamani
Very cute 😍😍😍 baby girl
Thanks be to the Lord God if the has done this, let everybody praise and pray to the Lord God amen ❤
God the Father, Son and the Holy Spirit I receive my Healing and that of my Family Right Now in Jesus Name Amen.
Mungu akubari sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Be blessed Eunice
Bikira Maria ndiye aliteuliwa kumleta Mkombozi wetu Yesu Kristo atufie Msalabani. Hallelujah thank you Jesus Christ of Nazareth.
I receive healing through her in the name of jesus christ . Amen
Mwenyezi mungu pamoja na mama wetu Maria wasidi kumlinda huyo mtoto Amina ❤
Ubarikiwe sana
@kilianidanda1609
Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni kwa Imani niliyonayo naamini nakwenda kupona na roho ya umaskini na naamini nitakuwa tajiri kwa uwezo wa mungu
Amina
Mungu alikua na sababu kuhusu mtoto mdogo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu bariki Mtoto Eunice na maombi zake zitufikia tukiwa hapa kenya
May God 🙏 bless you
Mungu akulinde na kukuongezea imani ili utusaidie waafrika wenzako chini ya maombez ya mama bikra maria
Asante Mungu
Yesu Kristo akutunze Mtoto wa Bikira Maria. Ubarikiwe sana.
Mungu akuepushe nakila baya uisha maisha marefu totoo
Mungu azidi kumlinda mtoto huyu
Amina mama Maria mama wa yesu utuombe sisi wakosefu ,jisi ulivyo katika mtoto Eunice,Amina
God can use anyone to service him more grace little may God strength you to God work
Ongera mtoto bikria nampenda xana Mambo ya lisari 🎉🎉
Thank you Jesus Christ for baby unice may you protect her Mary mother of God pray for us
Hao watu mungu anawaona wanaomtafuta kwa jicho baya mtoto yunis
It's only God grace may Almighty God bless you
Pray for me baby Eunice through the almighty name of Jesus Christ.
God blz u Eunice.
@zenamjema9272
Жыл бұрын
Jamani nhitaji kwenda naomba kuelekezwa kwa alieenda
Inavyoonesha huko musoma watu wengi hupenda uchawi mungu atamlinda huyu mtoto 🙏🙏
@issaibrahim8796
2 жыл бұрын
Uchawi upo sehemu yoyote duniani
@alialamoudi9729
Жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo ni shirki thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni ukitaka kumomba muobe mungu moja kwa moja
I believe that God protect her
Mungu ni mwema
Asante MUNGU kwa zawadi hii kubwa.
Eunice mungu akuzidishie kipawa ..utuokowe wachawi wanatu oneasana
Mungu awe nawe wakati wowote, Nina fistula kutoka Kenya, Mimi Pia nimgogwa, kisukari, Artheratis. Naomba Mtoto Unice hanikumbuke kwamaombi. Mungu hakupe nguvu na maono saidi, Amen
Safi sana Mungu anspenda watu wake na njia za Mungu hazichunguziki
I claim my healing from Yunice in Jesus name amen, distance is not a buria 🙏🙏🙏
Ubarikiwe saana
@alialamoudi9729
Жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu moumbe mola wako moja kwa moja
asante mungu kwa kutupatia huduma nzuri kupitia kwa mtoto eunice.
God bless this child and protect her
Mungu akamuongoze huyu mtoto,,akamhifadhi aweze kufanya kazi ya mungu,,ila swali ni mali siyo mbaya,but isiwe kama wazazi wata take advantage kwa huyu mtoto ndiyo waweze kupata mali.Juu mwenye hana cha kuwalipa,nikuonyesha hataweza kuupokea uponyaji.
Mungu akulinde akukinge na watu walio kinyume na mapenzi ya Mungu 🙏
Hakika Mungu anatupenda watoto wake huwa anatupa msaada siku zote.