Wabeba riziki wa familia | Pastor Tony Osborn | 17 th February 2024
Connect with Pastor Tony Osborn Ministries:
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonyosborn
Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)
Пікірлер: 234
Mungu naomba roho ya uvumilivu kazni kwangu na nyumbni kwangu pia
Mungu naomba roho ya uvumilivu kwa yote ninayoyaface
Daaah huu ujumbe nataman niuchukue na cwez hongera pasta
Mwakasege alikua mwalimu wangu sasa nimepata mwalimu wa tuition na practical Ubarikiwe sana pastor
@adkajisi4536
5 ай бұрын
Ko Mwl. Mwakasege humuelewi?
@mkdg.4skolo891
4 ай бұрын
Ameen ameen hyu mwl bn kwkwel nampenda buuureee buree
KIUKWEL HIVI UNAVYOCHANYAGA LUGHA MBILI KISWAILI NA KINGELEZA NENO LA MUNGU UKAA NDANI YANGU VIZURI MTUMISH . MUNGU AKUBALIKI SANA
May our Heavenly FATHER Bless you Pastor Tony a lot as you have revived my heart, soul and mind
Powerful. One day just one day I'll come to Tanzania kushiriki ibada kwa Pastor Tonny
Mungu naomba Roho ya uvumulivu
Mungu nisaidie kulitendea kazi neno lako🙏. Jambo moja tunalotakiwa kuelewa kama wakristo hakuna kitu tunaweza pata katika standard nzuri bila kuwa na mahusiano mazuri na Mungu na maombi
@jacksonkalekezi2953
3 ай бұрын
Umesema mtumishi ubarikiwe
@khadijashabaninimba7890
18 күн бұрын
Hakika
@khadijashabaninimba7890
18 күн бұрын
Amiin
Mungu akubariki Sana Pastor 🙏. Glory mushi kutoka chuo Cha ualimu mpuguso Mbeya
Naona maombi haya ni kwaajili yangu amina mtumishi❤❤❤
Ipo siku tu ntashiriki kanisani kwa pastor Tony. I'll get a bus ticket all the way to Tanzania from Kenya. More love❤❤❤ from Kenya
Amen 🙏🙌🙏🙏🙌🙌🙌 barikiwa sanaaaaa mtumishi wa mungu
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
MUNGU awabariki Sana,kwn aya mafundisho lazima tuwe krbu na YESU kla wkat na Imani zetu zimeinuliwa Sana, mwlm MUNGU aendelee kukuinua zaidi AMEEEEN
Mtumishi mafundisho mazur sana mungu akutangulie.
SITAFELI MAISHA, NINA MAJIBU.AMEN
Amen mtumishi wa Mungu,you such an inspiration to me am from Kenya but your die hard follower
@user-pi1xr1yu7y
3 ай бұрын
See how Kenyans get inspired by Pastor Tony's preaching...from Kenya watch from ITALY ❤❤❤
Amen Napokea kwa Damu ya Yesu Christo aliyehai🙏
"'KILA NNACHOFANYA TOKA SASA NIMUULIZE MUNGU" ASANTE BABA KWA SOMO HILI
Kenya 🇰🇪 is listening God bless you abundantly man of God
@neemajohnson7508
4 ай бұрын
Wakenya mko huku pia❤❤❤
@israelthomas8621
3 ай бұрын
Neighbor❤❤
@user-pi1xr1yu7y
3 ай бұрын
Am from Kenya watching from Italy.. pastor Tony your such a blessing to many Generation..Living Long papaa
Aminaaa mtumishi
Amen Mweny Ridhiki yangu ni MUNGU🙏MUNGU Naomba unapokumbuka wengn unikumbuke na Mimii🙏🙏🙏🙏
@jacksonkalekezi2953
3 ай бұрын
Amen
Najifunza sana kile neno linabadalisha Maisha yangu
Mungu nisaidie kweli me nakuaga mgumu sn kusamee
Watching from Saudi Arabia,I feel like am blessed, thank you mtumishi wa mungu kwa mafunzo mazuri🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Namshukuru Mungu sana Kwa kukutumia ww. Barikiwa sana. Maana tunajifunza mengi sana
Amen 🙏nmempokea Mungu mtumishi ubarikiwe
I have a ministry ahead i need the holy spirit to be with me in Jesus name 🙏 Amen 🙏
natamani kua kama wew mungu anipe kipawa hicho maana
Amen holly spirit please guide me in every step I move and every decision I make don't abondon me Jesus son of God 🙏
Thank you for the word of God
Be blessed pastor Tony You're God sent in our life ,,,,I sometimes feel to leave the job because of miss understering from my people but where ever I pray I get peace of mind🙏
Dachungaji nimekuelewa sana jins unavyo húbili mungu akubaliki nasa unavyochanganya kingereza
MUNGU NIPE KUVUMILIA🙏🙏🙏🙏
Mungu inua iman yangu nione kile kilichopo ndani yangu na nikiitendee kazi kwa kipawa changu
Vision, mission and blessing
Asante sana kwa mahubiri yako pastor namuona Mungu akiniinua sana kupitia mahubiri yko Acha Mungu akubarki sana na akuongezee siku nyingi za kuishi
Napenda sana semina na mafundisho zako pasta tuletee basi semina mwanza
Asante sana PT, hii ni meseji yangu kabisa.. Uvumilivu ni tunda la roho
@adenmvande6346
2 ай бұрын
gnn
Ameen pastor Asante kwa neno limenifundisha vizuri na nitaliishi.
Watching from Canada 🇨🇦
@sophieethan3965
5 ай бұрын
❤
Amen ni kweli kabisa tumepotea Sana Mungu wetu ni mwaminifu atutetee sana
God bless you pastor following from Dubai
Wakenya tuko hapa🇰🇪 barikiwa mchungaji
Amen man of God that's powerful message be blessed father🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@neemajohnson7508
4 ай бұрын
Wakenya ❤❤
@user-pi1xr1yu7y
3 ай бұрын
Watching from Italy Kenyans let's gather here we get inspired together
Amen. natolewa kutoka kiwango hadi kiwango kingine
Amen
Thanks God for this man of God, bless plus
Have received your message pastor 💯 nimezaidika sana..
Mungu yupo jamani duh kuna kitu kimenishangaza sana .. Asante Mungu na asante Kwa Mtumishi huyu 🙏🙏🙏
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, naongezeka rohoni
Pst ave learnt so many wrong things that are happening in our family asnte kwa sababu ya mafundisho God bless you for us :lilian kenya
Mungu anifumbua macho ili nijua future yangu mimi Sita kuwa masikini hata second moja
Barikiwa sana mtumishi😢🙏🙏🙏
Mungu fungua moyo wangu kusikia Neno.
Yesu wewe ndiwe kiongozi wangu siku zote za maisha ba kila jambo ntakalifanya na macho yangu yametiwa nuru tena
Asante Mungu Kwa kumtumia mtumishi huyu atupe chakula chako nimejifunza sasa
Mchungaji nakuelewa
Mungu nipe kusikia neno lako
Nakuelewa sana mtumishi wa Mungu
Thanks so much,,,, And God bless you man of God🙏🙏🙏
Mungu akupemyaka yakushiba kwajili ya hudumahii tuzidi funguliwa nabalikiwa sana
Mungu fungua moyo wangu usikie neno
Be blessed pastor
Very true pastor Tony Osborn
Amen Seema tupone tuache kufanya vitu kwa miemuko
Mutumishi Ubarikiwe Sana. Umenifungua.Amacho.
Amina pastor nakuelewa
Amen Acha mungu wambinguni awe nami .namimi niishi nanye
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu...Mungu akuze huduma Ako🙏
Amina mtumishi hakika mbeba liziki wafamliy anawidwa hili somo langu kabisa mm mzaliwa wakwanza 😢
Ameen san mafundisho hy nmazuri Mungu nipr uvumili uvumilivu katika kz hii nisichoka nikauwa maono yangu😢
Ameeeen mungu azidi kunibariki ❤️na Uzid kuwa na maisha marefu sana pastor ❤️
Amen pastor nkuekewa ubarkiw san mtumishi w mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
I learned something paatiency is a gift of holy spirit as wel as faith
SO POWERFUL!!!!
Very powerful Massage 🎉🎉,be blessed pastor,More annointing and Grace 🙏 b, Glory be to God 🙏🙏
Jaya mafundishosahihi barikiwa mrumisho wa Mungu.
Na mm piaaa😢😢😢😢
Amen barikiwa sana mtumishi wa bwana kwa Neno zuri sana
PT jinzi mungu Hamekupeya hii kipawa Azidi kukunemisha hukuu wake hikutanguliye kila siku
Amen ubarikiwe
Hakika nakuelewa sana🎉
Glory to God...... God bless you Pastor
Ubarikiwe sana umetokea kuzuri,ndo maana umebarikiwa,
This is so powerful. Be blessed Pastor.
AMINA POSTOR TONNY AND WORD OF GOD BE. BLESSED
Nipe kusikia ee bwana
Ameni napokea kila baraka yangu
Be blessed pastor 🙏
Very True 💯, Nondo za 2024.... 🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi wamungu
God bless you man of God
Mungu akubariki mtumishi kwa neno la kweli
Mungu akutunze sana Mtumishi
Holy Spirit Amen 🙏🏼
@Neema-wy4mh
5 ай бұрын
Amen Amen Amen
barikiwa pastor Tony, Neno linapenya kisawasawa
Habari mtumishi. Nimekua nagombana na mama angu mzazi kill tukikarbia kuwa na amani litaibuka jambo lakutufanya tugombane tena. Nina miaka 21 nina kazi na ninajitegemea lakini sina amani rohoni mwangu kila siku people misunderstand me for bad things only pastor I need your guidance I need to restore my inner peace and my face because I can tell nimevishwa/nimejivisha sura ingine katakana nijikomboa mimi ni mzaliwa wa kwanza .
Saudi Arabia is here
@israelthomas8621
3 ай бұрын
Wow ❤