VITA YA KICHAA 2

Фильм және анимация

#comedyplus #dinho #bhailam #clam #snakeboy #stivemweusi

Пікірлер: 275

  • @nasraally4740
    @nasraally4740Ай бұрын

    Dinho umetisha sana maua yako pokea🌹🌹🌹🌹 vita ya kichaa🔥🔥🔥❤❤❤🎉🎉🎉

  • @josephswana7286
    @josephswana7286Ай бұрын

    Dinho sikumoja ata kuzibua usisau kama nimtego🎉🎉❤❤

  • @user-pr7ij3fx1l
    @user-pr7ij3fx1lАй бұрын

    Dah moto wakuotea bali huyu recho

  • @user-ck7fi3bh3i
    @user-ck7fi3bh3iАй бұрын

    Kwa asiyemjuwa recho ni dada flan yupo poa tuu na anaejiamn🥰hapo yupo kazn tuu na ameamuwa kuvaa uhalisia alotakiwa awe,,,ila hayupo ivo ni dada flan yupo charming kbsaa ila tu muongeaj na anpnda kucheka 😂hpo naic baada ya kipigo cha dinho lzma acheke kdg ndo sine iendeleee🤭💃🏼💃🏼💃🏼tunakupnda dada bila ww movie isingenogaa😍

  • @user-ck7fi3bh3i

    @user-ck7fi3bh3i

    Ай бұрын

    Alfu kwny icho kiberit mbna nmemuona gumba jmn au anausika na kitu cha uhalifu kwny maisha ya dinho😢

  • @user-ck7fi3bh3i

    @user-ck7fi3bh3i

    Ай бұрын

    Cha 3 alogunduwa mwnywe nyumba atkuwa anafnya kaz kwny kiwanda cha tyliz gonga like😂😂😂maana ckwa tyliz izo🤣

  • @user-tv6wt4rl7i

    @user-tv6wt4rl7i

    28 күн бұрын

    nampenda uyudada anauhalisia frani hivi eti nitakutia mikofi kama mndengereko

  • @cleophassinde1359
    @cleophassinde1359Ай бұрын

    Huyu mwanamke roho mbaya kweli...

  • @fatmaalghafri6087
    @fatmaalghafri6087Ай бұрын

    Recho kukudondosha akudondoshe mtu mwingine kibao umpige dinyo maskini ya mungu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤭💔

  • @RizikiZiki

    @RizikiZiki

    Ай бұрын

    Dinho kava bala kukutana na recho hadi asira yani😂

  • @makkamakka9171
    @makkamakka9171Ай бұрын

    Nan anaamini dinho sio kichaa ni mtego

  • @fatimauwesso7490

    @fatimauwesso7490

    Ай бұрын

    Tunaomba muendelezo wa mchumba dinho 😢😢😢

  • @user-di4ci3mr4d

    @user-di4ci3mr4d

    Ай бұрын

    Mimi hapa

  • @rosemarenga832

    @rosemarenga832

    Ай бұрын

    At mm nahis hivy

  • @user-xo7ns7bc8c

    @user-xo7ns7bc8c

    Ай бұрын

    Inaonekana hivyo

  • @user-pz5pw8lu6s

    @user-pz5pw8lu6s

    Ай бұрын

    Mimi najua dinyo sio chizi

  • @Mishooh
    @MishoohАй бұрын

    Recho mungu anakuona 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @SaidaSalim-sf5gp
    @SaidaSalim-sf5gpАй бұрын

    Safi sana umetisha dinho umeutendea haki uhusika wako

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400Ай бұрын

    Hiki kicheko cha Rachel kinanikera wallah 🤬😡😞unafiki2

  • @Maokototv100
    @Maokototv100Ай бұрын

    Team #dinho mwanzo mzuri kaka , saf sana 💥💥💥💥💥

  • @mwanamisimwapula8392
    @mwanamisimwapula8392Ай бұрын

    Recho wewe moto sana😂😂😂

  • @Aminahlamranl420-hw2ie
    @Aminahlamranl420-hw2ie27 күн бұрын

    Daaah yako hayo mateso tunayaona😮

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominicАй бұрын

    Recho kama recho hupoi wala huboi

  • @BINTmohammed-fu9gp
    @BINTmohammed-fu9gpАй бұрын

    Tuleteeni mchumba haijaisha jamani ....naenjoy nikiwa kenya

  • @Dinhoactor

    @Dinhoactor

    Ай бұрын

    Mchumba imeisha ep4 final

  • @BINTmohammed-fu9gp

    @BINTmohammed-fu9gp

    Ай бұрын

    @@Dinhoactor ok fine si mbaya broh big up mah nigger msicheleweshe hii ya 3basi

  • @subbyraibrahimu250

    @subbyraibrahimu250

    Ай бұрын

    ishaishaaa kitambo hukuangalia labda ilkuw fupi tu

  • @samsonilukosi5804
    @samsonilukosi580429 күн бұрын

    Dinho 😂😂😂 wametega na kaka ake

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783Ай бұрын

    From Pakistan Recho utakuja umbuka

  • @EmmannuelMasangia
    @EmmannuelMasangiaАй бұрын

    Like 2 Kwa dinho wake😂😂😂😂😂😂

  • @LoiceMapenzikenga
    @LoiceMapenzikengaАй бұрын

    Punguza roho mbaya recho

  • @user-yl4bj7yi2v
    @user-yl4bj7yi2vАй бұрын

    Hongera sanaaaaaaa dinhoooo kazi nzur sanaaaaaaa jaman vita ya kichaaa ni zaid ya vitaaaaaa❤all dah best dinho

  • @Dinhoactor

    @Dinhoactor

    Ай бұрын

    ❤❤❤

  • @HasnatyMuhina
    @HasnatyMuhinaАй бұрын

    Like kwakichaa dinho fast one

  • @user-ck9pt2ct9c
    @user-ck9pt2ct9cАй бұрын

    Recho anashanga ndoivo kbs😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @WinifridaKisinga
    @WinifridaKisingaАй бұрын

    Umtusimamia Hapo mbele Kama mwenyekiti wa vikoba 😂😂

  • @EmmannuelMasangia
    @EmmannuelMasangiaАй бұрын

    Huyu kaka Ake na dinho anaonekana ni muuaji wa wawazaz wa dinho

  • @mahirmahir2407
    @mahirmahir2407Ай бұрын

    Yaan dinyo anavyo jua kuekti ulemav😅😅😅😅

  • @user-my1vi6wv9h
    @user-my1vi6wv9hАй бұрын

    Kam unamkubali recho mpe🎉🎉🎉🎉 yake

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7Ай бұрын

    Recho una roho mbaya ata kawaida adi sura inaonesha😊

  • @user-jf9pt8bu5j

    @user-jf9pt8bu5j

    Ай бұрын

    😂😂😂😂

  • @rizikisam6481

    @rizikisam6481

    Ай бұрын

    Alafu kawa mweusi sijui kapatwa na nini😂😂

  • @user-qr6fd5vc2i

    @user-qr6fd5vc2i

    Ай бұрын

    😂😂

  • @Jacklinejohn7

    @Jacklinejohn7

    Ай бұрын

    @@user-qr6fd5vc2i yani huyu binti apana kwanza anaonekana mchonganishi 😂

  • @Jacklinejohn7

    @Jacklinejohn7

    Ай бұрын

    @@rizikisam6481 nahisi wamemtema kule kwakina Bairam afu kumbe mbaya hivi bora arudie mkorogo angalau ila hana mvuto

  • @ExauceKabey
    @ExauceKabeyАй бұрын

    Da Rachel unaenda ku feli Dili yako twende kazi msichelewe

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671Ай бұрын

    😂😂😂😂 rechol 😂😂😂 kweli ww kiboko yaooo

  • @user-sx7vx4hf8b
    @user-sx7vx4hf8bАй бұрын

    Kazi nzuri sana

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834Ай бұрын

    Nzuri sana ❤🇹🇿

  • @user-jc4yf7ee2l
    @user-jc4yf7ee2lАй бұрын

    Recho kweli jini la kibongo kicheko chako hakiachi maan utaelewa tu km ni unafki aw dharau

  • @user-qd7ey5cp5s
    @user-qd7ey5cp5sАй бұрын

    Dinho si unyonge tu huyo rachael hadi akuogope😂😂😂anakera😢

  • @RizikiZiki

    @RizikiZiki

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968Ай бұрын

    DINHO sio taila recho kitakuramba😂😂😂😂 masikini wa😂 mungu. Atikumekuja na makuja yake😂😂😂😂recho,recho recho😂 nimekuita marangapi

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammieАй бұрын

    Kama kawaida from 🇰🇪🇰🇪 jameni niombeni likes zangu 😅

  • @ElizabethAbedinego
    @ElizabethAbedinegoАй бұрын

    Recho❤❤❤naenjot kukuona kwenye move

  • @tobiaschirwa9364
    @tobiaschirwa9364Ай бұрын

    Sema hiyi movie mumesheza vizuri Sana ❤❤ Dinho na kaka yako hongeleni 🎉🎉🎉 Tku pamoja mwazo hadi mwisho napenda Sana kaz zako kaka Dinho kutoka Malawi

  • @Dinhoactor

    @Dinhoactor

    Ай бұрын

    ❤❤❤

  • @AbelArlindo
    @AbelArlindo29 күн бұрын

    Recho wewe mungu anakuona 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-eq8dd6sl7u
    @user-eq8dd6sl7uАй бұрын

    Lakin lecho sio kicheko icho sema nikiwa miss sana Toka wake wenza ndo naanza tenan naa mini itakua nzuri ka ile ya wake wenza

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hfАй бұрын

    Hongera dinho kazi nzuri

  • @user-hj1go1cx9l
    @user-hj1go1cx9lАй бұрын

    Daaar

  • @user-di4ci3mr4d
    @user-di4ci3mr4dАй бұрын

    Best movie kazi nzuri dihno

  • @MwasitHassan-zo5pq
    @MwasitHassan-zo5pq3 күн бұрын

    Mbona mnatuzingua jmn sio kw kutucheleweshea huko kaz umezingua

  • @user-ei3sh3uo5k
    @user-ei3sh3uo5kАй бұрын

    Round iii Dinho wamekuweza 😂😂😂much ❤❤❤ from kenya

  • @user-ih7hk7lr2y
    @user-ih7hk7lr2yАй бұрын

    We dinho ww uko vizuri

  • @Damacline4004
    @Damacline4004Ай бұрын

    Dinho bwana😂😂😂 ila umeufaa usika fizuri sana 😂😂😂 much love from kenya

  • @PiliRamadhani-cl6nw
    @PiliRamadhani-cl6nwАй бұрын

    😂😂😂😂 mwenye kit wa vikoba

  • @user-nz7kl1to2y
    @user-nz7kl1to2yАй бұрын

    Huyu recho sio kuigiza tuu yani hata uhalisia inaonyesha yuko hivi..mbona kila movie mpka aigize roho mbaya😢😢😢

  • @user-gt6qt6yu8b

    @user-gt6qt6yu8b

    Ай бұрын

    Jaman ndo kitu Pekee ambacho anakipatia san

  • @user-bj9rv9nt7j
    @user-bj9rv9nt7j6 күн бұрын

    Jamani kwani hi move imeishia mbo hakuna mwenderezo

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287Ай бұрын

    Kumekucha uku na makucha yake😮 yani Rachel we ni mwehu sana😂#safi sana team dinho kazi imesoma hii 👏

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866Ай бұрын

    Rachel wacha kusema uwongo ulikuwa na umemleta hawara yako ndipo dinho akakufunania ikiwa na hawara yako

  • @WinifridaKisinga
    @WinifridaKisingaАй бұрын

    Tamaa mbaya Sana recho umeumbuka Mali za dinho.

  • @user-bj9rv9nt7j
    @user-bj9rv9nt7j6 күн бұрын

    Mbona mnatufanya ivo lakini mwenderezo ipo wapi 😢😢

  • @NillyNilly-fm5pw
    @NillyNilly-fm5pwАй бұрын

    Reachal punguza matusi, siku yako inakuja "mama G"wa tazania ... watching from 🇰🇪 kenya ❤

  • @RaelAmunga
    @RaelAmungaАй бұрын

    Aki huyu Rachel sijui utaingia binguni kweli roho chafu mama pungiza😢😢😢

  • @khadijaabubakar2330
    @khadijaabubakar2330Ай бұрын

    Jmn hapan sasa nikali dah 🎉❤❤❤

  • @user-jj4id8vq2d
    @user-jj4id8vq2dАй бұрын

    Tangu zamani recho hananga Roho safii🎉😅😅anayekerwa na recho kwa kicheko😮 drop your like

  • @user-gl3tf7zq2d

    @user-gl3tf7zq2d

    Ай бұрын

    Hyu simtumzuri recho hatakama nikazi anarohombaya mchawi

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481Ай бұрын

    Gumbo umeyakanyaga una vichaa wawili ndani 😂 dinho anapenda tambi kama mimi nimejikuta nalia aisee ndugu yako ata awe kichaa au awe vipi lazma umpende tu na kumjali

  • @najmamohamedi
    @najmamohamediАй бұрын

    Nice

  • @YudaEzekiel-bp3on
    @YudaEzekiel-bp3onАй бұрын

    Ule wimbo wa bestinaso up sahihi wanawake wabaya

  • @user-rp4qz5xs2t
    @user-rp4qz5xs2tАй бұрын

    Uyu recho kiwalisia yuaonyesha ako na roho mbaya kweli

  • @asiamwiru1372
    @asiamwiru137228 күн бұрын

    funzo kwa wanaume wanaoacha watoto wadogo na mama zao wakambo au kama hivi dinho

  • @SafiaKezakimana
    @SafiaKezakimanaАй бұрын

    Namipia nimewah leo jaman nipeni mauwa yang❤❤❤❤

  • @user-yd9ni1lt3l
    @user-yd9ni1lt3lАй бұрын

    Mm pia niliwaza hivyo ni mtego😅😅

  • @user-rf2cg9tv3u
    @user-rf2cg9tv3uАй бұрын

    Yani hii mv nimeipenda sana sana mzuri

  • @user-xs9ij6zi3x
    @user-xs9ij6zi3xАй бұрын

    Dinyo Hadi muvi iishe ushanenepa Kwa makofi😂😂😂

  • @Dinhoactor

    @Dinhoactor

    Ай бұрын

    😂😂😂😂

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug28 күн бұрын

    Lete vituu dinjoo

  • @cloviskambale126
    @cloviskambale126Ай бұрын

    Unacheza vizuri shida unamaliza vipande kidogo juyanini ivi

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333Ай бұрын

    Haya repua nyumba dinyo😂😂😂😂tuone recho mwanaharamu ataiba nn na uizi wake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Dinhoactor

    @Dinhoactor

    Ай бұрын

    Nimecheka kwanguvu 😂😂😂

  • @user-ss8zw7ep1z
    @user-ss8zw7ep1zАй бұрын

    Daa Kila movie akiingiya Rachel ana haribu kabisa big love from 🇸🇦 to 🇰🇪

  • @EmmyMo
    @EmmyMoАй бұрын

    Ila harmonize😂😂😂😂🎉🎉 Ndo dihno ss😂😂😂

  • @MremboKevoo
    @MremboKevooАй бұрын

    Mbona hamtoi mwendelezo

  • @user-pq4rv4jm3j
    @user-pq4rv4jm3jАй бұрын

    Hongelen good work🎉

  • @Dinhoactor

    @Dinhoactor

    Ай бұрын

    Thank you! Cheers!

  • @user-ib9ix2gc7r
    @user-ib9ix2gc7rАй бұрын

    Jaman ww dada wewee

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8cАй бұрын

    Kumekucha na makucha yake Recho anacheka kama mwanga vile 🤣🤣🤣

  • @habibasungur9375
    @habibasungur9375Ай бұрын

    Jamani dihno ataungua wee recho wewe

  • @NuruNdegwa-yg2bm
    @NuruNdegwa-yg2bmАй бұрын

    Mwenye anahisi dhino alifanywa dondocha ni kakake atumike kuleta mali wakue matajiri😮 😢

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901Ай бұрын

    Recho anacheka kama huwa anakula ugoro 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂juu afungui mdomo ,staki mtu anguse my comment l come in peace ✌️ 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @habibasungur9375
    @habibasungur9375Ай бұрын

    Mmh huyu recho jamani mmh

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829Ай бұрын

    Kaziiiii ipoooooo🎬

  • @gracemwingwa-jx7yy
    @gracemwingwa-jx7yyАй бұрын

    Ndugu ushauli Tu msipende kuapia jina la mungu bure jamani recho anapenda sana kutaja jina la mungu bure

  • @maimoongomah8730
    @maimoongomah8730Ай бұрын

    Wa kwanza jamani naomben like hata 50

  • @subbyraibrahimu250
    @subbyraibrahimu250Ай бұрын

    muvi inasikitisha sana hii haya mambo yapo kwel

  • @m.mmarckus6298

    @m.mmarckus6298

    Ай бұрын

    Sema Recho wamwambie apunguze matusi namdomo kidogo😂

  • @Amina-Rshd
    @Amina-RshdАй бұрын

    Dinho nijbu ili swali plz, ivi uyu Recho ndo maisha yake halisi y mdomo am n Kweny izi movies maan Daah uyu dad kibko😂😂😂😂 ila namkubal san❤❤

  • @user-tj6pl1lz5b

    @user-tj6pl1lz5b

    Ай бұрын

    😅

  • @user-tj6pl1lz5b

    @user-tj6pl1lz5b

    Ай бұрын

    😅

  • @DelphinKatembo-ni5fw
    @DelphinKatembo-ni5fwАй бұрын

    Rachel kwanini una tu toka kwenye comedi plus nawa fata toka drc

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497Ай бұрын

    Hapo ninahisi wanasheria wa dinho ni bhailam akiwepo mzee simba🎉🎉🎉

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333Ай бұрын

    Dinyo siku nyengine shika hii tapeli ya mtu ikamue sawasawa paka itii mbona mathaira wengi akili zao si kama zako ww taira gani jamani 😂😂

  • @squithermussa3433
    @squithermussa3433Ай бұрын

    ❤♥️♥️🔥🔥🔥

  • @nasraemmanuel
    @nasraemmanuelАй бұрын

    Kazi nzuri sana recho upo vzr unauvaa uhalisia dada bravoo

  • @user-ef1zl5gi1k
    @user-ef1zl5gi1kАй бұрын

    Hongeleni sanaa kwa kazi nzur sanaa 🎉😂❤❤

  • @NuruNdegwa-yg2bm
    @NuruNdegwa-yg2bmАй бұрын

    Uyu mwanaume wa recho anajiita kelvin hampendi recho ni kumtumia tu ili apate mali😏😏

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oyАй бұрын

    Dinho kazi anayo

  • @user-pj1vo8eq7g
    @user-pj1vo8eq7gАй бұрын

    recho jamn iyi ndiyo uwalisia wako ama niku igiza tuh kiu kweli una roho mbaya 😢

  • @Farida-uz3vr

    @Farida-uz3vr

    Ай бұрын

    Huyu recho anaoneka analaana hata nje yauwigizaji nimshenzitu Tena simpendi hatakumuona

  • @AsiaTariq-ec9nw

    @AsiaTariq-ec9nw

    Ай бұрын

    Me sipendi anavo kuwa ivo recho

  • @joharmussa

    @joharmussa

    Ай бұрын

    Hapana bhn hiyo ni character alopewa bhna mbna kuna movie aliigza akiwa km mke wa mbwela alikuw mpole😂 tu

  • @user-iv6yx5ot6f
    @user-iv6yx5ot6fАй бұрын

    Mimi mwemyewe natamani nijuwe maisha yake mana anatisha

  • @Dinhoactor

    @Dinhoactor

    Ай бұрын

    ❤❤❤

  • @nkurikiyearodiedavid6255
    @nkurikiyearodiedavid6255Ай бұрын

    Rachel baadae ya kusikia dinho ana wanasheria 3,kachanganyikiwa maana mipango yake yote imekufaaaa,akomeee gold digger

  • @AminaMjema-vf5nt
    @AminaMjema-vf5ntАй бұрын

    Dinyo umeitendea haki nafas yako ya uigizaji

  • @user-qt8sl3sw9w
    @user-qt8sl3sw9wАй бұрын

    😮😮

  • @liwazaomary106
    @liwazaomary106Ай бұрын

    Recho komwe lako na roho yako hiyo mungu anakuona

  • @user-zm8wo1ue7e
    @user-zm8wo1ue7eАй бұрын

    Daaah pole saaaaan dinho

  • @maryammsang202
    @maryammsang202Ай бұрын

    Kazi nzur Sana ila hapo Kuna kujifunza Mana Recho tamaa inamponza 😂

Келесі