Viongozi wa Bonde la Ufa wakiongozwa na Oscar Sudi wamtaka Gachagua aache siasa ya ukabila

Gachagua Afokewa Bonde La Ufa
Viongozi Wa Bonde La Ufa Wamkosoa Naibu Rais
Viongozi Hao Wasema Watazidi Kutembea Nchi Nzima
Gachagua Alisema Wanaeneza Siasa Kusiko Maeneo Yao
Gachagua Akanusha Kuwepo Kwa Mtafaruku Na Rais
Gachagua: Mimi Na Rais Tunapendana Sana

Пікірлер: 143

  • @billymankenya
    @billymankenya21 күн бұрын

    Without Raila to blame things start imploding

  • @cloudinhoabdi868
    @cloudinhoabdi86821 күн бұрын

    How is our Gachagua and Ruto's broken ties our concern? We dont care

  • @jimmyevans012
    @jimmyevans01221 күн бұрын

    This is when Raila is not in politics 😂😂😂😂

  • @dan5156
    @dan515621 күн бұрын

    I think Riggy G ni DP Mt.kenya...He never talks about kenya he mostly talks about Mt.kenya

  • @muzamildouble99double99

    @muzamildouble99double99

    19 күн бұрын

    Aende asimame governor huko kwao basi kenya inahitaji New Do

  • @Oj7748
    @Oj774821 күн бұрын

    Zakayo while you were away Engineer airhead Sudi and Gachietha were behaving badly.😂....# House of Cards😂

  • @Easymoneyman44
    @Easymoneyman4421 күн бұрын

    Sudi for the first time amemake sense💯

  • @FamousBerry139
    @FamousBerry13921 күн бұрын

    Am happy Raila is not mentioned here

  • @michaelkauku9714
    @michaelkauku971421 күн бұрын

    Sio uchawi ni maombi? UDA ni nyumba ya wakora tupu.

  • @philiplugalia3724
    @philiplugalia372421 күн бұрын

    Aaakh shauri yenyu mlijiona nyinyi limaneni kabisa

  • @sammynyamache2357
    @sammynyamache235721 күн бұрын

    We don't care what's happening in KK...tunasema Wacha katambe.. Tibiim

  • @boazwambua387

    @boazwambua387

    21 күн бұрын

    Tibiim

  • @franklineorema453

    @franklineorema453

    21 күн бұрын

    Kama mbaya mbaya

  • @Needlemover02
    @Needlemover0221 күн бұрын

    It's tough being Gachagua seeking always to justify your political worthiness to people who seem to care less.

  • @seanoloo9245
    @seanoloo924521 күн бұрын

    Sudi is just popping his nose everywhere. Hii kimbelembele yake haisqidii

  • @kinduklutherapper9503
    @kinduklutherapper950321 күн бұрын

    Wanga for Deputy President😂😂😂

  • @jackkamonyo4264
    @jackkamonyo426421 күн бұрын

    Without ruto, uda would break in a day...tugege twote tumeshikiliwa na self interest😅😅

  • @harrisjnr6553

    @harrisjnr6553

    21 күн бұрын

    😹😹💔

  • @mourice1669

    @mourice1669

    21 күн бұрын

    😂😂 ni kudishi ndio iliwaleta pamoja

  • @liliantala2575
    @liliantala257521 күн бұрын

    Kenya is blessed hon. mr ruto kudos we don't go there as beggar's see now how you have brought goidies home

  • @Dennis_Okelo
    @Dennis_Okelo21 күн бұрын

    Katambe katambe Engineer chapaneni. But on this I support you, NO, to Rigathi's tribal politics

  • @wanduta.wanduta
    @wanduta.wanduta21 күн бұрын

    Wanamtharu ju wamepata keki..bt gachagua ni wetu haina shida...mungu yupo...

  • @linewangui8997
    @linewangui899721 күн бұрын

    Oscar Sudi, we know that you are a murderer. If Gachagua was not right, you would have kept quiet. Nyamaza Oscar sudi.

  • @DonaldMwendo

    @DonaldMwendo

    21 күн бұрын

    Kagege relax,hujui hii siasa I hope this time you won't blame Raila 😂😂😂.

  • @Vydez254
    @Vydez25421 күн бұрын

    😂 raila was a blessing in disguise for uda, they were united in hating him.. akitoka gachagua hana content ya kusema na uda inabomoka yenyewe..

  • @kimathi7118
    @kimathi711821 күн бұрын

    Hehe so it's true, they are undermining Gachagua 😂😂😂. Wacha wapambane hii ni viu sasa tupu

  • @mbatiajimmy5066
    @mbatiajimmy506621 күн бұрын

    Keep talking Riggy G! Do not be silenced by Ruto! Do not resign!

  • @moonjam.7714
    @moonjam.771421 күн бұрын

    Udaku party going down in express flight....

  • @simplejames9500

    @simplejames9500

    21 күн бұрын

    🤣🤣😂🤣😂First class ticket

  • @adrianbrown3586
    @adrianbrown358621 күн бұрын

    Awa wa kale wana ona tuli support ruto sisi n ma fala

  • @awoweataro9932

    @awoweataro9932

    21 күн бұрын

    Ukweli nyinyi ni mafala

  • @TradeIQ_Profits

    @TradeIQ_Profits

    21 күн бұрын

    Sisi wakale tunasupport Ndidi Nyoro more than Riggy G...What you do with that info is upto you

  • @rihkaa6289

    @rihkaa6289

    21 күн бұрын

    Ooh sawa,,

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah846021 күн бұрын

    Hawa wakale ni meno tu wanatoa inje wanafikiria kenya ni yao maumbwa

  • @chrisodongookubasu134
    @chrisodongookubasu13421 күн бұрын

    Sudi is Zakayo speaking. Imeanza, kuwaramba.

  • @user-zq2pw8xv7f
    @user-zq2pw8xv7f21 күн бұрын

    Gachagua did not talk about meeting Kenyans but ...

  • @deeruta9894
    @deeruta989421 күн бұрын

    Vita baridi ndani ya chama

  • @jonafena4639
    @jonafena463921 күн бұрын

    What has Gotten into our beloved Catholic Church 😢😢😢, Catholic is an independent but politicians have interfere with the Catholic system from getting funds from missionary and now depend on Politicians.

  • @willyonline2295
    @willyonline229521 күн бұрын

    Hizi ni gani ss ama nyumba imeshika moto

  • @patrickthariki7465
    @patrickthariki746521 күн бұрын

    Standard 8 versus university graduates. It can only happen in Kenya.😂😂😂

  • @hakeemahmed2874

    @hakeemahmed2874

    21 күн бұрын

    When you have money, the rest is story za jaba Tafuta pessa uhishimiwe, kila mtu amesoma siku hizi

  • @Jonn254
    @Jonn25421 күн бұрын

    I was waiting for Gachagua not to mention tribes in his speech but....well.

  • @kelvinwanjo186
    @kelvinwanjo18621 күн бұрын

    Wakora baada ya ku take a loat wana gombana about share

  • @mathekarichard1382
    @mathekarichard138221 күн бұрын

    Si mlimane ngumi koz nyote ni wanaume......wacheni kelele mingi limaneni 😂😂😂

  • @davidchege-fx5ho
    @davidchege-fx5ho21 күн бұрын

    Total man Biwot was there Oscar sudi mataigi and kibicho were there too kuja pole pole

  • @nehemiah8974
    @nehemiah897421 күн бұрын

    😢😢😢this Sudi have money 💰 thing.

  • @OldisGold1982
    @OldisGold198220 күн бұрын

    Sasa huyu kijana wa kitutu chache naye anasema nini hata mafi yake haijakomaa😅😅

  • @yusufsaid8911
    @yusufsaid891121 күн бұрын

    THE RIFT AND THE MOUNTAIN ON THE WAY TO BE SWEPT BY FLOODS😂😂😂. AMA HII PIA TUTAMLAUMU RAILA

  • @setrickhamasi9533
    @setrickhamasi953320 күн бұрын

    Hahaha kizi ni mingi sana kwa riggy

  • @brisbanesokoth5541
    @brisbanesokoth554121 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 akae nyumbani kwake

  • @Ole101
    @Ole10121 күн бұрын

    Ignoring Riggy G and underrating him will be bad for Ruto. Who is Sudi?? Kiburi juu ya kuibia wakenya pesa ndio zake. Riggy G is a man to watch 🔥

  • @Big-a-low

    @Big-a-low

    21 күн бұрын

    Man to watch from who,Ruto is the one who was voted Inn not Gachagua.

  • @kimathi7118

    @kimathi7118

    21 күн бұрын

    ​@@Big-a-lowhe he hii kiburi yenu itawamsliza

  • @danielmuriithi8486

    @danielmuriithi8486

    21 күн бұрын

    @@kimathi7118 NI ukweli, if Ruto chose Kindiki what would have happened to Gachagua?

  • @jamesmuriithi7137

    @jamesmuriithi7137

    21 күн бұрын

    Umesahau kiburi ya Gachagua? Wacha viburi zitambe, am loving every moment.👍💪💪

  • @kimathi7118

    @kimathi7118

    21 күн бұрын

    @@danielmuriithi8486 the Gachagua of before si huyu, ame upgrade kulingana na cheo, if Raila had Won Karua would have consolidated... Either way I don't care.... KK is a failure

  • @ismailadan556
    @ismailadan55621 күн бұрын

    Mbuwa Kali

  • @user-ti6dl5xv1l8
    @user-ti6dl5xv1l821 күн бұрын

    😂 Riggy G amesema mrrrelax

  • @musembijoseph5560
    @musembijoseph556020 күн бұрын

    Mtu mjinga anaona wamekosana😊😊

  • @Wandera254
    @Wandera25421 күн бұрын

    To mitna, heheheee, sisi watu wa western Busia tumezoea shida, stima hakuna, maji ni shida, side ya sio port na tuko Hadi na Kambi ya jeshi. But tumetupwa. Wacha wapambane huko

  • @user-cg3vf2bl6b

    @user-cg3vf2bl6b

    21 күн бұрын

    Wandera sema pole pole,ha Hilo ndio chaguo la wao ,😢😢

  • @kinduklutherapper9503

    @kinduklutherapper9503

    21 күн бұрын

    Wanga next dp😂😂😂

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi510221 күн бұрын

    Mungu saidia wakosane kabisa,gashagua wafukuze kabisa central wako na mdomo mrefu

  • @shabankolia8204
    @shabankolia820421 күн бұрын

    Hapo sasa raha yangu😂😂😂😂

  • @jamesmwaniki7371
    @jamesmwaniki737121 күн бұрын

    Mt Kenya.....hahahahaha....iri kurundwo ndiregaga ruoro. Hau niho turi.

  • @yussufahmed136
    @yussufahmed13621 күн бұрын

    Sahi huwezi tishiwa wewe ndio kusema kwa hii serikali

  • @slybk1916
    @slybk191621 күн бұрын

    One time you will kaa kando tuwaongoze, ndio muone Nationalist leadership umaanisha nn. Hii Kenya si ya jamii na propaganda ya kufanya na hamfanyi.

  • @HumphreyMaya-fb7gt
    @HumphreyMaya-fb7gt17 күн бұрын

    Kama basi kazi imekushinda vile unasema enda nyumbani mapema mwingine apewe

  • @ericmayaka7040
    @ericmayaka704021 күн бұрын

    It's only Raila who used to make them united....so as he becomes the target enemy....now he isn't

  • @masindeandrewjunior5908
    @masindeandrewjunior590821 күн бұрын

    That's what happens when thugs capture power in a corrupt state.let the games begin,Kenyans will suffer from poor decision making.

  • @mrsilas2987
    @mrsilas298721 күн бұрын

    Oscar sudi my role model 😂😂😂ruto bado 8 to go😂😂😂❤❤❤

  • @GeoffreyKaruri-tf6bs

    @GeoffreyKaruri-tf6bs

    21 күн бұрын

    Stupid

  • @emm3333
    @emm333321 күн бұрын

    I blame Raila

  • @MwamiProtocol-mp1wt
    @MwamiProtocol-mp1wt20 күн бұрын

    Wow

  • @user-ip9ni9yd9w
    @user-ip9ni9yd9w21 күн бұрын

    History repeat itself .It's like the Josphat Karanja was thrown out by Moi after he nominated him for a period of three month.

  • @JohnMuchiri-yj4pl

    @JohnMuchiri-yj4pl

    20 күн бұрын

    Well I guess we are using the same constitution

  • @setrickhamasi9533
    @setrickhamasi953320 күн бұрын

    Hahaha nilskia mambo ya shilingi

  • @thiturajuniorkentush144
    @thiturajuniorkentush14421 күн бұрын

    😮

  • @alexkimori4929
    @alexkimori492921 күн бұрын

    When its Gachagua it becomes tribal?

  • @snjau7613
    @snjau761321 күн бұрын

    Sudi hajasoma sana lakini mdomo ako na mkubwa. Politicians wa Kenya wamesahau chochote kile kinachotudhuru sisi;Shakahola,vifo via watu wakati wa strike ya Doctors,Floods,taxes,corruption etc. Now they have a new topic;Gachagua,they are like house flies and meat.Hawafikirii voters hata kidogo

  • @jamesngunjiri1215
    @jamesngunjiri121521 күн бұрын

    Sisi central hatufanyi kazi nyinyi fanyeni kazi nahio wizi yenu

  • @roseceasar8322
    @roseceasar832221 күн бұрын

    Let them continue dividing the country. They should remember wanjiku is watching, and we still have our votes.

  • @patrickthariki7465
    @patrickthariki746521 күн бұрын

    Watu Wakae kwao manyumbani. Watutaki wao kwetu. Nasi hatuendi kwao. Shinda ni gani hapo?

  • @robertwanakayi-xy8yg
    @robertwanakayi-xy8yg21 күн бұрын

    Sudi shikilia hapo! Tembea kila mahali na usikubali ukabila hii kenya!

  • @susannyambura3759
    @susannyambura375921 күн бұрын

    Gachagua toa makucha wakujue walifikiri ni paka 🤣🤣🤣

  • @janewanjiru336

    @janewanjiru336

    21 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @jamesmuriithi7137

    @jamesmuriithi7137

    21 күн бұрын

    Share certificate zake zaoneka ni gushi 😱😂🤣🤣🤣

  • @ronaldakuku

    @ronaldakuku

    21 күн бұрын

    Let him try fighing the government with zero integrity sio raisi kesi zote zitafufuliwa

  • @susannyambura3759

    @susannyambura3759

    21 күн бұрын

    @@ronaldakuku 🤣🤣🤣🤣🤣hii serikali ni ya kuchekesha wanapiga kelele na wote ni grabbers 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @susannyambura3759

    @susannyambura3759

    21 күн бұрын

    @@jamesmuriithi7137 certificate sahi Haina maana labda 2027 ndio wataanza kupekuapekua🤣

  • @Omahdilompa12
    @Omahdilompa1221 күн бұрын

    Sudi tano tena

  • @fupi78
    @fupi7821 күн бұрын

    Fyeyo ni nini?

  • @josephkinyua9288
    @josephkinyua928820 күн бұрын

    Sudi is someone’s mouthpiece. Let me not mention the name.

  • @TradeIQ_Profits
    @TradeIQ_Profits21 күн бұрын

    Riggy G is jealous of Ndidi Nyoro and he is using Sudi as his bogeyman...People have freedom of expression and association in this country just like he does...Problem is, he plays tribal politics

  • @kenyazuela7233
    @kenyazuela723321 күн бұрын

    Former molo DO (1992), amepamgwa na former illiterate makanga.😂😂😂😂

  • @phoebetaylor8089
    @phoebetaylor808921 күн бұрын

    Azimio mko ?

  • @setrickhamasi9533
    @setrickhamasi953320 күн бұрын

    Dio hiyo sasa mjipinge tiagasi

  • @harrynjenga
    @harrynjenga21 күн бұрын

    Riggy G kitamramba.

  • @gideonkiragu4206
    @gideonkiragu420621 күн бұрын

    Merkwetindet ni mjinga

  • @michaelmwangi1221
    @michaelmwangi122121 күн бұрын

    Tumechoka kutembea na WAKALEE!!!!!!!!

  • @josephndua2246
    @josephndua224621 күн бұрын

    They interfere with other tribes politics and no one can talk Kwa Sudi

  • @MargaretGichini
    @MargaretGichini20 күн бұрын

    Gl

  • @Kwazulu1

    @Kwazulu1

    14 күн бұрын

    Kiki tuuuuu

  • @mbogokuria6826
    @mbogokuria682621 күн бұрын

    Sudi aache kujipiga kifua

  • @georgeabuaba3950
    @georgeabuaba395021 күн бұрын

    Sundi is a strong politician. Who can question him? Let God lead our politicians now and ever more.

  • @Nobad-ge2cf
    @Nobad-ge2cf21 күн бұрын

    Mbona uko na ukapila

  • @mufush
    @mufush21 күн бұрын

    Uwanja uko wasi sasa, acha makombora yatubwe

  • @aminankatha
    @aminankatha21 күн бұрын

    Tutatoka uda

  • @user-kf4ot6py6d
    @user-kf4ot6py6d21 күн бұрын

    😂🎉

  • @michaelmwangi1221
    @michaelmwangi122121 күн бұрын

    Sasa SUDI can't even write his name njinga sana.

  • @leviobondo7065
    @leviobondo706521 күн бұрын

    Kielewe love sudi ever

  • @jamesngunjiri1215
    @jamesngunjiri121521 күн бұрын

    Oscar sudi wewe . 4:21 4:21

  • @michaelw1170
    @michaelw117021 күн бұрын

    Gachietha is a big tribalist

  • @MouseleyMarshals-fm5vr
    @MouseleyMarshals-fm5vr20 күн бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv486421 күн бұрын

    Wakale wamemea sasa.wakikuyu sai sasa mnaona colors za hawa kalejingas

  • @user-ch9ei7hp4c
    @user-ch9ei7hp4c21 күн бұрын

    Citizen tv spreads fake and silly news,hakuna ugomvi nyumba ya UDA wacheni fitina,thanks Gv Mandago ni kweli njau akinyonya anarukaruka brave and sober leader thank you.

  • @billjames1216

    @billjames1216

    21 күн бұрын

    😂😂😂😂 kufa basi

  • @amosmurithi9494

    @amosmurithi9494

    21 күн бұрын

    @user- ch9hp4c. Wacha umavi bana....why are yu watching? Enda choo kwanza unaweka kichwa pressure......mavi ya umbwa wewee😂😂😂

  • @benardoenga2876

    @benardoenga2876

    21 күн бұрын

    ❤❤❤❤eenda Choo bro

  • @dennisondieki2412

    @dennisondieki2412

    21 күн бұрын

    Meza wembe ukufe basi

  • @perispinkrose7452

    @perispinkrose7452

    21 күн бұрын

    Is it CTIZEN Talking ama ni Sudi.

  • @tonito328
    @tonito32821 күн бұрын

    Ruto tames your dogs 🐶

  • @musyokastephen508
    @musyokastephen50821 күн бұрын

    Kiburi ya oscar sudi itaisha tu. These rift valley leaders thinks they are kenya

  • @jamesmuriithi7137

    @jamesmuriithi7137

    21 күн бұрын

    Na kiburi ya Gachagua?

  • @TradeIQ_Profits

    @TradeIQ_Profits

    21 күн бұрын

    No,Gikuyus think they are Kenya...Riftvalley have no problem voting anyone

  • @joysmuna4395
    @joysmuna439521 күн бұрын

    Uhuru mlevi wetu how are you now sit down and watch movies 😅😅 wameanza kupigana😅😅😅😅

  • @JulixYung-kw2tr
    @JulixYung-kw2tr21 күн бұрын

    Zitizen mumeanza propaganda za fake utube tv

  • @perispinkrose7452
    @perispinkrose745221 күн бұрын

    SUDI You are now talking after POCKETING MOUNTAIN VOTES. You want to cage mountainians you will know why mulima iliteleza Kwa BABA.

  • @francisoluga3156

    @francisoluga3156

    21 күн бұрын

    Raila AU,Wanga DP 2027!Mt Kenya mumezoea wakenya wengine lakini mara hii it wl take u centuries to clinch Presidency.

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic267721 күн бұрын

    😂😂😂

  • @user-hp7tv6fo9f
    @user-hp7tv6fo9f21 күн бұрын

    Kikuyus kalejin kikuyus kalejins Why can't you leaders just learn....we are watching tunawaona. Helicopters all colours show... Then you people calling yourselves leaders you ope your mouths telling us nothing. 2027 is arriving very fast tuwaondoe very first..... Bure kabisa

  • @marykarasha-yb8vt
    @marykarasha-yb8vt21 күн бұрын

    Gachagua you are tribal politicking too much better stop it.

  • @kamsexsohluvebuoy7696
    @kamsexsohluvebuoy769621 күн бұрын

    Sisi kama wengine tuko hapa katikati