USTADHI SHAFII AFUNGUKA MAISHA YAKE KABLA YA MIKUTANO NA WAKRISTO NA SABATO, AMTAJA USTADH MAZINGE

LEO USTADHI SHAFII AMETUPA HISTORIA YAKE YA MAISHA NA JINSI ALIVYOANZA MIHADHARA BAADA YA KUVUTIWA NA USTADHI HABIBU MAZINGE WA KIPINDI HICHO

Пікірлер: 15

  • @omargargaar5611
    @omargargaar561117 күн бұрын

    Allah awarehemu wazazi wko Allah awepe Njana Firdous Allah akuhifadhi sheikh wg Shafi MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah

  • @user-ot5cr4hy1c
    @user-ot5cr4hy1c15 күн бұрын

    Pole yakhe sheikh ya shukran Allah akwihifazi na akupe akhra na furaha na atujalie pepo nzuri jannah

  • @eliasharun3273
    @eliasharun327317 күн бұрын

    Mungu awe pamoja nawe kwa kujishughurisha na Mambo ya Mungu

  • @DavidMatata
    @DavidMatata17 күн бұрын

    Umeongea vizuri sana mkuu... Mungu akubariki!!

  • @jotafungo4622
    @jotafungo462217 күн бұрын

    Kumbe Mmafia mwenzangu!

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB17 күн бұрын

    Pole sasa lakini mama hangependa upotee usijuwe mgu

  • @kdloon2030

    @kdloon2030

    17 күн бұрын

    Mguu na mkono anavijua

  • @swafiirbulbul819

    @swafiirbulbul819

    16 күн бұрын

    ​@@kdloon2030 😂

  • @muslimmuslim512

    @muslimmuslim512

    13 күн бұрын

    Mngu yupi?

  • @mikidadikiga90
    @mikidadikiga9017 күн бұрын

    Mwamba

  • @SundayMbatia-hr8qp
    @SundayMbatia-hr8qp17 күн бұрын

    Ametaja watu weng lakin cjakia jina la dokta sule, wakat amepita mikonon mwake

  • @AbasMabuli

    @AbasMabuli

    16 күн бұрын

    Amshataja mbona sema labda hujasikiliza mahojiano yote

  • @maase2023
    @maase202315 күн бұрын

    Huyu anaongelea majini kwa kuwa hajawahi kukutana na majini wala kumiliki wala kuwajua ! Siku atayokutana na jini mmoja tu basi huyu hataongea tena kuhusu viumbe hao

  • @user-ij9te1ck9p

    @user-ij9te1ck9p

    14 күн бұрын

    @@maase2023 ivi mtaacha lini utaahira umekaribishwa wali unaulizia ugali ugenini punguzeni utaahira

  • @maase2023

    @maase2023

    14 күн бұрын

    @@user-ij9te1ck9p nakuambia huyu shafi siku atayokutana na jini mmoja tu basi huyu ataugua sana na hataongelea tena au kuwakejeli majini! Hajakutana nao ajue nguvu zao ndio maana anabwata sana

Келесі