UNITALENTSHOW|MAIN SHOW|SEASON 04|GROUP B|EPISODE 1
Ойын-сауық
Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
TIKTOK: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04
Пікірлер: 39
Unanipata mama unanipata Kali kama mbwa
Huyu jamaa Toka unitalent msimu uliopita namkubali akimaliza chuo BSS Atabeba na hapa anastahili kua hata 1
Uyu untachable ni noma aisee dah 💪💪
@bajosdamour2347
Жыл бұрын
Nomaaa sna jama uyo kbsa
naomba kujua apo clous TV wanaonesha muda gani na siku gani
Nimependa alivyo mcopy OG @ KHALIGHAPH JONES ....FROM 254 ...tunakusupport
Uyo mwamba wa kwanza anajua nisome official roja
Nicolas 🤗💥💥💥💥💥💥
Katika mashindani yote Tz ni unitalent tu hawana rushwa wala longolongo
Uni talent ya msimu huuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Unitarent kiboko ya talent tanzania ...
Mwamba namkubali sn
Sks mzee Nihatareeeee
Umeuwa untoucheble
untouchable back again❤❤sks bby 😅😅talent hii
Untouchable apewe asipewe kama apewe dondosha like yako hapo✊✊
SKS Beib Untouchable ✨✨✨big up bro tisha san St Agustine member
Namuona Roma kabisaa apaa uyu jamaa Ni nomaa✊✊
Tumekupata
Oyaaaaah sksssssasss😭😭😭😭😭kalamuuuu imejaa winooo😭😭
Go go my young bro nic 🔥🔥🔥🔥 We are proud of you 🔥🔥🔥🔥
Mbogwe finest 🔥🔥
Uyo wa zuchu😅😅😅
Untouchable we noma
Kumbe wasomi nao wamo sio kusoma tu
Mnatisha🎉
Huyu mwamba NIT nouma mwanangu soma dahh nakubali sana...
Sema makomando wametishaaaaaa
Untouchable apewe kabisa advance ya iyo ila yke mtayompa akishinda
SKS baby 🔥🔥🔥🔥
Untouchable sk yes beibeeeeee uyo ni mshindi🔥🔥🔥
Untouchable
🔥🔥🔥
🙌🏽🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Andreaaa❤❤❤
Untouchable 👏🙌
Untachable fundiiiii 🔥🔥🔥🔥
@cartarenterprises1306
Жыл бұрын
Untouchable karud tena🤣🤣
@bigman_talented
Жыл бұрын
Sanaaaa