UNAJUA KWANINI VIJANA WENGI HAWAENDI KWENYE NYUMBA ZA IBADA? HAYA HAPA MAJIBU MCH HANANJA

Marriage Real Life Talk
"Nafasi na Thamani ya Mwanaume katika Jamii na Familia."
Program hii hufanyika kila Jumanne saa 1:00 Jioni
Mahali: Ukumbi wa Mbezi Park, Tank Bovu

Пікірлер: 18

  • @barakamollel992
    @barakamollel992 Жыл бұрын

    Amina MTUMISHI baba mchungaji hananja.. uko sahihi kabisa

  • @simbeyekingsministrytv9035
    @simbeyekingsministrytv90352 жыл бұрын

    Aisee.. Huyu mzee kanifungua mahali... Noted✍️✍️✍️✍️

  • @henry1933
    @henry19332 жыл бұрын

    upo sahihi

  • @winfordmosha11
    @winfordmosha112 жыл бұрын

    Paster. Unaongea real sana mm nimlutheri piwa ninamiezi6 cjaenda kanisani hiyo kuenenda kwaamanj ya bwana ndio inanifanyaga nachoka kabisa natoka kanisani nimegonjeka

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM2 жыл бұрын

    Mungu azidi kutusimamia

  • @emasilagomi2629
    @emasilagomi26292 жыл бұрын

    Kweli kabisa mchungaji

  • @desderipatrick8392
    @desderipatrick83922 жыл бұрын

    Hizo ni sababu chache tu, zipo nyingi zaidi kama hizi 1.Vijana kupenda starehe kuliko kwenda kwenye Ibada, utakuta kumbi za starehe, sehemu za kutazama mipira, vijiweni, saluni na kwenye movie vijanana wamejaa lakini kwenye Ibada hawaendi. 2. Kuwepo kwa utitiri wa makanisa hasa haya ya mitume na manabii munawafanya vijana waone imani kama mchezo usio na maana.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson72112 жыл бұрын

    Huyo Mchungaji ni funny hasa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma32312 жыл бұрын

    Unasema ukweli

  • @abubakharfadhili7688
    @abubakharfadhili76882 жыл бұрын

    Ur so really ddy

  • @abedysteven4930
    @abedysteven49302 жыл бұрын

    Mch ni huyo!

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo3652 жыл бұрын

    kanisani kumegeuka Jim!!;

  • @bonimasero649
    @bonimasero6492 жыл бұрын

    Mmmm

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala32132 жыл бұрын

    Sina shaka na maneno yako mchungaji

  • @geeva99
    @geeva992 жыл бұрын

    😂😂😂😂 askofu katisha, Sasa hayo majibu tuko wahenge tushafanya utafiti na majibu yapo sema ni kipengele vijana wanaotaka majibu waambie waende kulitazama jua uso kwa uso waache kula nyama zote wanaweza kula dagaa wa mwanza au kigoma(au samaki wa ziwani)ila wawe makini na jua wasije kupofuka tukalaumiana, waangalie lila la asubuhi na jioni wakiwa pekupeku tena sehemu yenye hewa huku wakinywa maji ya moto, nawaache kusikiliza miziki yenye mambo ya kichovu chovu kama ngono na pumba pumba za dunia, wasikilize mantra kwa wingi 432hz hasa hasa

  • @rolethakaoo7468
    @rolethakaoo74682 жыл бұрын

    Mchungaji unanifuraisha Mafundisho yako nayaelewa.

  • @mwanjalimfaume6380
    @mwanjalimfaume63802 жыл бұрын

    Lakini kwa Karne hii mambo ya Imani hayawasaidii vijana kupata maarifa ya kisayansi ya kuwa na ujuzi wa kutengeneza bidhaa ili wauze waboreshe Maisha Yao

Келесі