🚨Uchambuzi EFM, Kiufundi Usajili wa Jian Charles,Simba wamelamba dume,Usajili unazingatia mahitaji.

#football #simbaislive #ahmedally #simbatanzania #yangafc #yangasc #alikamwe #simba #yangatv #youtube

Пікірлер: 8

  • @user-ne2zi1wx9r
    @user-ne2zi1wx9r3 күн бұрын

    Ha

  • @user-ne2zi1wx9r
    @user-ne2zi1wx9r3 күн бұрын

    Tatizo

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid23203 күн бұрын

    Tuna jambo letu msimu huu😂

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko44004 күн бұрын

    Wachambuzi, tunaomba muwastue Viongozi wasajili mchezaji bora kwenye eneo la Kapombe ambako kulivuja sana misimu mitatu iliyopita. Tumeona namba nyingi zikipata replacement kasoro hiyo Na2 ya Kapombe. Israel Mwenda na Kapombe hawatoshi.

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA4 күн бұрын

    MAGOLI ANAJUA MPIRA KULIKO HIZI FM ZENU,,,,,,TULIENI MPEWE DAWA .....SAUTI ZENU ZA ZAMANI TUNAZO

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu33474 күн бұрын

    Hapo kwenye mikataba mirefu ni sawa lakini naamini huwezi kumpa mchezaji mkataba mrefu wakati huo hujui Kama kwenye ligi yako mazingira yatamkubali au la. Wapo wachezaji wanatoka kwako na perfamance nzuri na wanaenda ligi zingine wanashindwa kuperfom kwa sababu mbali mbali. So Mimi naamini kwa mchezaji ambae ndio kwanza mnamsajili kwa Mara ya kwanza basi apewe mkataba usiozidi miaka miwili ili asipokidhi matarajio basi club isiingie Sana hasara katika kuvunja nae mkataba. Pia Kama ataonyesha uwezo mkubwa unaostahili basi akimaliza mwaka wake wa kwanza na kubakiza mwaka mmoja ni vema hapo hapo kumuongezea mkataba hata wa miaka mitatu minne mitano huko.

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge13834 күн бұрын

    Simba wanatakiwa wawaze kwanza angalau kurudi kwenye ligi ya mabingwa, mwakani, ndipo waanze kuuota ubingwa wa ligi. Huo ndio ukweli. Yanga na Azam zipo strong mnoo

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d3 күн бұрын

    Kwani kirabu bingwa Simba kaenda mala Moja SI mala nyingi TU sio mbaya kwenda shirikisho mala moja

Келесі