UBORA WA CAGES/KEJI ZA KUKU NDIO FAIDA KATIKA MRADI WAKO, TUMIA ECONOMY CHICKEN CAGES

TANZANIA KILIMO DIGITAL LIMITED
Tunatengeneza keji/cages za kufugia kuku wa aina zote na katika umri wowote wa kuku cage/keji zetu zinauwezo huo. ni keji bora sana kwa tanzania na zimekuwa zikitumiwa na wakulima walio wengi.
wasiliana nasi kwa 0714569056
ama karibu ofisini kwetu ilala machinga complex Dar es salaam

Пікірлер: 6

  • @DianaLyimo-be7yp
    @DianaLyimo-be7ypАй бұрын

    Bei gani

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216Ай бұрын

    Mutupe na bei

  • @sweetberthawilliam6587
    @sweetberthawilliam6587Ай бұрын

    Kwa nini amuweki bei ili tuchukue hatu, wafanyabihashara ukitaja bei kuna shida

  • @antonianyingo
    @antonianyingo2 ай бұрын

    Hongera kwa kazi nzuri, mnapatikana wapi

  • @TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt

    @TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt

    2 ай бұрын

    Tuko Dsm ilala jengo Machinga Complex ghorofa 3 karibu boss

  • @TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt

    @TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt

    2 ай бұрын

    Mawasiliano zaidi 0714569056