Tundu Lissu aikosoa vikali serekali mgogoro wa Palestina,Hajaacha kitu

Пікірлер: 1 000

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.656 ай бұрын

    Wasemaji wa mgogoro wa middle east wamekua wengi na wamekua wanakela sana,wanachambua history ya mgogoro bila kua na uelewa zaidi ,Sasa kama Tundu Lisu anatuelimisha mpaka tunaelewa vzr historia nzima,mmefanya jambo zuri sana sana kumpata mueleweshaji mzur asiegemea upande wa kidini,Bravo Tundu Lisu🤝💪

  • @btcministries7260

    @btcministries7260

    6 ай бұрын

    Lakini hajatuambia chimbuko la wayahudi ni nchi gani

  • @justifylugendo2470

    @justifylugendo2470

    5 ай бұрын

    ​@@btcministries7260umeuliza ninachokiwaza

  • @johnkilongo-cy8zt

    @johnkilongo-cy8zt

    4 ай бұрын

    Ukisema Israel imeanzishwa 1946-47 biblia imeandkwa miaka elfu mbili iliopita na Hilo taifa lipo kwny maandko nitashndwa kukuelewa Babu yangu....!

  • @khamisihamadi629

    @khamisihamadi629

    2 ай бұрын

    Arudi darasani

  • @user-jj6gv2ow6j

    @user-jj6gv2ow6j

    Ай бұрын

    ❤❤ Hatuwezi kutenganisha history ya Dunia na Mwanzo wa umbo la wazo la Mungu kwa Israel na si tu mambo ya kidini au tawala za Dunia za hivi karibuni

  • @robertzingu9889
    @robertzingu98896 ай бұрын

    Huyu ndugu anasoma sana kiasi cha kumfanya kujua mambo mengi sana duniani. Sikuwa najua kama anaijua historia ya mashariki ya kati na mgogoro wa Israel & kiasi hiki. Very good Tundu Lissu. Wewe ndiye Rais wangu

  • @godfreydavid6996

    @godfreydavid6996

    5 ай бұрын

    Yaani tukimpata mtu kama Tundu Lissu kama rais wetu tutapiga hatua kubwa kimaendeleo, he's a genius.

  • @mamboshepea8888

    @mamboshepea8888

    5 ай бұрын

    @@godfreydavid6996 Hama uko uliko tukuchague uwe rais wetu...Mungu akufanyie wepesi

  • @godfreydavid6996

    @godfreydavid6996

    5 ай бұрын

    @@mamboshepea8888 nihamie wapi ndugu yangu?

  • @mamboshepea8888

    @mamboshepea8888

    5 ай бұрын

    @@godfreydavid6996 kwani wewe ndo lisu??!! Namwambia lisu!!! Mwenyewe akiisoma hii comment ataelewa...!!!

  • @sautikuu212

    @sautikuu212

    5 ай бұрын

    @@godfreydavid6996 akihamia kwenye choo cha umma lazima atanuka kinyesi

  • @1961nungwi
    @1961nungwi6 ай бұрын

    Hongera Dada Interviewer kwa kazi nzuri. Hongera Dr Lissu kwa historia na uelewa mzuri wa masuauala ya Kimataifa

  • @athmanmzee7144

    @athmanmzee7144

    6 ай бұрын

    This was a lecture not interview...he did it well

  • @fredynjige5663

    @fredynjige5663

    4 ай бұрын

    Documentary nzuri sana

  • @olelaizer2012

    @olelaizer2012

    3 ай бұрын

    Q

  • @elvasmbogo5311

    @elvasmbogo5311

    Ай бұрын

    Hi is not Dr. But for his brain you can call him professor but not by professional

  • @davidmwaipopo5171
    @davidmwaipopo51716 ай бұрын

    Natamani uje kuwa rais wa nchi hii coz unaakili Sana lisu mungu akutunze Sana hazina ya Tanzania❤❤❤

  • @frankezakayo4447

    @frankezakayo4447

    6 ай бұрын

    Atakua raisi hata icherewe

  • @annasolomon9855

    @annasolomon9855

    6 ай бұрын

    Never happen 😅😅

  • @user-pc8wo1hh9l
    @user-pc8wo1hh9l6 ай бұрын

    Mwenyeezi Mungu akubariki wewe na familia yako kwa ukweli. Kwa ukweli Umeijua Historia vizuri sana. Ukweli huu nahitajika duniani kwani wengi bado hawaijui vizuri.. Alhamdulilah. Allahu Akbar

  • @mchomejoseph3907

    @mchomejoseph3907

    4 ай бұрын

    Ukiianzia Historia hapo maelezo yalipoanzia, Wayahudi wanahatia. Inapasa Historia ianzie tangu Ibrahimu au basi ianzie wakati wa Yesu. Hapi ilipoanzia inamalengo na makududi hatujayakua, huenda tutayajua baadae. Siamini kuwa mtoa historia ameyajua hayo yote kwa usahihi kabisa, halafu asiyajue yaliyotangulia kabla ya hapo.

  • @abulhakim2294
    @abulhakim22946 ай бұрын

    I have read the history of Israel and Palestine for different times lakini Leader of the opposition in Tanzania. Bwana tundu lissu ww umeni fngua zaidi macho you are a teacher in history.

  • @akimzeli5030
    @akimzeli50306 ай бұрын

    Alright, though Lissu sio muislam lakini anapenda haki. Namuombea kwa Allah ampe uongofu.

  • @user-nn6zq1ok7i

    @user-nn6zq1ok7i

    6 ай бұрын

    Unadhani huko parestina hakuna WAKRISTO? Kabila sio Imani

  • @user-yv7ij4zh4k

    @user-yv7ij4zh4k

    6 ай бұрын

    Anajua angeongea tofauti tu mngeandamana ninyi na kuanza kusakama Chama chake na kuingiza udini. Lissu anajua kuwasoma vizuri mawazo yenu.

  • @ramadhanahmed8898
    @ramadhanahmed88986 ай бұрын

    Good analysis, no bias .Thanx Mr Lissu.

  • @Heroes122
    @Heroes1226 ай бұрын

    Bravo Lisu 🎉. Elimisha watu makanisani. Watu wengi hawakuuona historia wanaunga mkono Israel bila kuelewa tofauti ya injeel na azimio la umoja wa mataifa. Umefanya kazi nzuri sana Baba. Unarikiwe 🙏🏾

  • @sautikuu212

    @sautikuu212

    5 ай бұрын

    Wakristo wengi ni wajinga ni watu wa kuwaamini viongozi wao bila kushughulisha ubongo wao. Ni kondoo

  • @PeterNyakurata-yg7ob

    @PeterNyakurata-yg7ob

    29 күн бұрын

    Sure

  • @PeterNyakurata-yg7ob

    @PeterNyakurata-yg7ob

    29 күн бұрын

    Sure

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi34126 ай бұрын

    Aiseeee ila nampedaga lissu jamani yaan ana ubongo mkali sana tuna jivunia lissu kuzaliwa Tanzania

  • @KassimAlly-xp4dz

    @KassimAlly-xp4dz

    6 ай бұрын

    Na ndomana Magofuli alitaka kuzipoteza akili zake jamaaa mind kubwa sn Mashaa Allah

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe10366 ай бұрын

    Congratulations 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 T. Lissu Masha Allah you talking about true history from Israel and Palestine conflict..

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel61536 ай бұрын

    Tatizo la watanzania elimu ni sifuli ndio maana hatujui mambo mwenzio kasoma anaelezea mambo kwa kina nyie mnaishia kumuangalia Diamond na familia yake misingi ya elimu ni tatizo kubwa ktk nchi hii 😢ndio maana watawala wetu wanatudanganya tu kilasiku😢😢😢...,

  • @user-ry1pe3tu5s

    @user-ry1pe3tu5s

    6 ай бұрын

    NI kweli kabisa halafu watanzania kutwa kazi yao ni yanga na simba, ndio maana viongozi wa ccm wanaendelea kutuibia na wala hawaguswi na sheria

  • @kennedymmbando

    @kennedymmbando

    6 ай бұрын

    Bora umeona .Sisi tukimkemea wanasema tunamchukia .Hivi watanzania wamesahau mwanaume hawezi kujiita msafi ? Tumeacha kupiga kura UN kupinga ukayili ktk mataifa 153 sisi hatujapiga kura ?

  • @habibuluyangi2702

    @habibuluyangi2702

    6 ай бұрын

    Duh hii nimeipenda sana, unajua kwani wakoloni walituletea dini ili kutupotosha/tukose kujua ya mbele, na wakaona haitoshi wakatuletea hanasa kama vile miziki na ngono huku wao wakipora mali zetu sisi wakitulipa kidogo tu huku tukijituliza na hanasa zetu tulizo barikiwa na wao, Mfano kongo inamali nyingi lkn mzungu ndie ananufaikanayo huku akiwaachia miziki mapombe ya kila aina ngono kwa sana, malekani kule wafrica walitupwa frolida na hanaza zote ili wasijue ya mbele, ndio kuna kila aina ya starehe kule, hivyo sisi tukakubari yaliyoandikwa akupigae shavu la kushoto mgeuzie na kulia, mungu atanilipia mara ukiomba unapewa na sisi watoto tunapowafundisha kuomba wakwao wapo darasani sisi tukiwa kwenye starehe zetu wao wpo wanakuwepo kwenye mali, shuleni sisi tunajifunza kununua wao wanajifunza kutengeneza, tunakomaa na digree ili kutaka siasa wachina hwana hajanazo ila ni ufundi kwenda mbele

  • @kennedymmbando

    @kennedymmbando

    6 ай бұрын

    @@habibuluyangi2702 Serikali ipo bize kuomba 🤣🤣🤣

  • @user-fm5md9xn5g

    @user-fm5md9xn5g

    6 ай бұрын

    Wengi wenu mmejaza picha za kwenye simu sasa historia kama hii mtaijua wapi

  • @libeberu
    @libeberu6 ай бұрын

    Wow, I must commend Tundu Antipas Lisu for conducting such a comprehensive and educative interview on the history of Palestine and Israel. It's so refreshing to see someone delve into the complexities of this conflict and present the facts in such a clear manner. I especially appreciate how he shed light on the true position of the USA in relation to this ongoing conflict. It's crucial to know the truth, and Tundu did a fantastic job in bringing that to light. This interview has definitely broadened my understanding and awareness of the situation. Kudos to Tundu Antipas Lisu for his outstanding work in addressing such an important and sensitive topic. I hope to see more interviews like this in the future, as educating ourselves on the truth can pave the way for a better and more peaceful world.

  • @gjlisa

    @gjlisa

    6 ай бұрын

    42:22Jpj

  • @martharisasi9645

    @martharisasi9645

    6 ай бұрын

    Asante kwa kunisaidia kujua historia ya mambo mengi

  • @innocentnyange7575

    @innocentnyange7575

    5 ай бұрын

    }

  • @athmanmzee7144
    @athmanmzee71446 ай бұрын

    Lovely For the first time i have enjoy swahili lecture...well done,you did ur home work. #Freepalastine

  • @user-en2gp3fb7m
    @user-en2gp3fb7m6 ай бұрын

    Kichwa hicho Rais wetu huyo ❤❤❤❤ gombea kura nakupa kama utaendelea hivyo hivyo

  • @jonasnzemya7700
    @jonasnzemya77006 ай бұрын

    Haya bwana mungu aemdelee kukulimda siku zote,uko vizuri mno, asante

  • @mnganga41
    @mnganga416 ай бұрын

    Dr Tundu,ni tundu la historia sahihi,mkenya karidhika❤

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x6 ай бұрын

    Wakristo wasiojua dini yao wakisikia haya wananuna lisu kamaliza

  • @josiahbineguro6393
    @josiahbineguro63936 ай бұрын

    Siku zote nampenda Mhe lisu kwa Sababu ni muumini wa haki hajawahi kuegemea upande pale unapotaka kujua kweli basi msikilize Mhe lissu

  • @yassinbachu4819
    @yassinbachu48196 ай бұрын

    Hata rais wa zamani wa kenya, kenyatta alifungwa jela wakisena ni gaidi...ila huku alikua mpigania uhuru. Mugabe vile vile...

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b6 ай бұрын

    Hii storia umeisema kwa haki kabisa bila ya ubaguzi wa kidini, hongera sana

  • @sautikuu212

    @sautikuu212

    5 ай бұрын

    Kwanini umetaja dini au kwa sababu dini yako ipo upande wa hii story?

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu89346 ай бұрын

    Good lissu tunajivunia kuwa na lissu mwamba imala Mungu azidi kukamilsha ndani yako.

  • @yusuphkibacha3063
    @yusuphkibacha30636 ай бұрын

    Nashukuru Mwalimu umetoa ukweli na uhalisia. Mwenyezi Mungu akubariki .

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole39716 ай бұрын

    Huyu ndiye wasiojuiikana walitaka kumpoteza. Tungeyapataje haya? Mungu asiyeshindwa akagoma kumchukua. Asante Mungu wetu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @sewandomkuchu9267

    @sewandomkuchu9267

    5 ай бұрын

    Huyu alipaswa kulindwa sana..

  • @robertkilunda4017
    @robertkilunda40176 ай бұрын

    I never knew this man was a such brain. Tanzania need to elect these kinds of brains.

  • @ahz6907

    @ahz6907

    6 ай бұрын

    My friend...the ruling party CCM will do everything in their power not to allow these brains to lead. Bcoz CCM is led by fools. A couple of years ago this guy was shot multiple times in the area where a number of member of parliament live...its full of security and cameras. Up to date govt havent done anything to apprehend the shooters. It seems govt was behind the shooting. Welcome to Tanzania.😊

  • @1961nungwi

    @1961nungwi

    6 ай бұрын

    Obviously you are not well versed with Tanzania political and social affairs

  • @afropatriot7769

    @afropatriot7769

    5 ай бұрын

    He is pro western ,at least on this I can see he came to his senses and choose the truth

  • @mkoteaziz5238
    @mkoteaziz52386 ай бұрын

    Very well elaborated. Bravo TAL👏👏👏👏👏. Hii iingizwe kwenye historia ya Kimataifa kwenye Shule zetu uli kuondoa propaganda zinazoidhinisha mauaji ya wasio na hatia.

  • @michaeljeremiah5364
    @michaeljeremiah53643 ай бұрын

    Ongereni sana sana Kwa hiki kitaishi na kuwaelemisha watu wengi juu ya hii migogoro lissu ni kichwa aisee

  • @HurumaMwalyaje-hw1yk
    @HurumaMwalyaje-hw1yk5 ай бұрын

    Nimeipenda Hii Sana, ' Gaidi Kwako Kwa Mwezako ni mpigania Uhuru!!!'

  • @godifalsafa
    @godifalsafa6 ай бұрын

    Hii lecture kubwa sana kwa Siasa za ulimwengu 🙌🏾🙌🏾

  • @user-ku6eg9ti1g
    @user-ku6eg9ti1g6 ай бұрын

    Something added in my mind,Thank you very much Honorable Lissu

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m6 ай бұрын

    Lisu ww msomi mzr wa history ❤na hiyo unayoyaongea tupopa1! 💯 Kwa 💯💪 kz iendelee

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw6 ай бұрын

    There are 3 very old Churches in Gazza. One Orthodox, one Baptist, and one Catholic. All three were attcked by Izrael over the years. The Gaza Baptist Church was attcked in 2008. The Catholic Church of the Holy Family was attcked twice, once in 2014 and another time in 2021. And then the Greek Orthodox Church of Saint Porphyrius which was attcked in 19 October 2023. The Christian community in Gazza is treated fairly well by Hamas but they are not safe from the attcks of the xionists.

  • @fredducaunt

    @fredducaunt

    6 ай бұрын

    Stop spreading hate Stop being biased Why do you say nothing about a TANZANIA🤌 boy who has been killed by Muslims from Hamas The video has been trending all around some days before Christmas If you are against evil what do you have to say about this Stop being a hypocrite Christians are not driven by the mind of violence Stop spreading hate

  • @choggysly3541

    @choggysly3541

    6 ай бұрын

    ​@@fredducauntthose were the soldiers period

  • @omarikessy2339
    @omarikessy23396 ай бұрын

    Well spoken my leader Tundu lieu 🙏

  • @MacedoniaCall3
    @MacedoniaCall36 ай бұрын

    Asante sana kwa lecture yako. That was excellent!

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi4 ай бұрын

    Tundulisu uko vizuri kuuchambua ugaidi wengi wengi husema ugaid ni uisilam

  • @barick
    @barick6 ай бұрын

    Lissu nakupenda sana kwani wewe umebeba dhana halisi ya ukombozi❤❤❤❤❤

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis54066 ай бұрын

    I would love to see this magnificent knowledge is transferred into English so that mass population can gain the knowledge. Well done Muheshimiwa.

  • @KassimAlly-xp4dz

    @KassimAlly-xp4dz

    6 ай бұрын

    Google translation itawasaidia

  • @aminielkombe66

    @aminielkombe66

    6 ай бұрын

    They can add English subtitle

  • @1961nungwi

    @1961nungwi

    6 ай бұрын

    ​@@aminielkombe66Yes. Please add English Subtitles to reach international audince

  • @SIMBAofSIMBA

    @SIMBAofSIMBA

    5 ай бұрын

    Brother I think more of this history should be translated to kiswahili as majority of educated east Africans do not have a clue and all hiptonised by the west and media

  • @user-tn1bn5ou2i
    @user-tn1bn5ou2i6 ай бұрын

    Hongera maana nimetulia nakusikiliza kwa umakini Sana ili nikuelewe zaidi naamini hayo yote wengi hawajui

  • @user-fs7nb2xi3v
    @user-fs7nb2xi3v4 ай бұрын

    Uko vizuri lissu wewe ni mkweli hongera Kwa elimu yako hakika wazazi wako hawakupoteza ada.

  • @user-zt3sd2nk7d
    @user-zt3sd2nk7d6 ай бұрын

    Thank you Tundulisu for educating most of us!!

  • @ilovejesus9303

    @ilovejesus9303

    6 ай бұрын

    Very trueee

  • @bonifacecredo3287
    @bonifacecredo32876 ай бұрын

    Yes mpigania uhuru kwa wazungu na marekani ni gaidi kwa sababu hawataki watu wawe huru na ndiyo maana wazalendo wetu wameuwawa kma samora masheli wa msimbiji na patrice Lumumba. The same to hamasi, hamasi ni wapgania haki za wapalestina siyo magaidi ila watu wanaangalia udini. Kitu kinachofanyika parestina hakitofautian na Afrika kusini chama cha mandela na chama chake cha ANC walivyoitwa magaidi wakati wa kupambania uhuru wa Afrika kusini

  • @MelkizedeckKiraucha-qx9zy

    @MelkizedeckKiraucha-qx9zy

    6 ай бұрын

    Andika lugha ya kinyooka Nani mpigania uhuru wa wazungu kwa kifupi hueleweki si lazima kucomment

  • @allyiasachogogwe3753

    @allyiasachogogwe3753

    6 ай бұрын

    ​@@MelkizedeckKiraucha-qx9zywee utakuwa umevimbiwa maarage ya kwenu,usichoelewa ni nin apo na bichwa lako kama nazi mbovu

  • @abdullkhamis5406

    @abdullkhamis5406

    6 ай бұрын

    I had discussions with some one the other day about African leaders being associated not really by its people because the main perpetrators are outsiders.

  • @Leo-kg2lt

    @Leo-kg2lt

    6 ай бұрын

    ​@@allyiasachogogwe3753😂😂😂

  • @mpelinsekela3598
    @mpelinsekela35986 ай бұрын

    Just brilliant.I wonder how many 🇹🇿n politicians or 🇹🇿ns understand the Israeli Palestinian conflict as well as this gentleman.Probably some scholars-like Prof.Shivji-do.This so well summarised in simple Swahili.This man's knowledge is so impressive- such ought to guide 🌍n foreign policies,which often looks confused on this issue.

  • @salimalmahrizi395

    @salimalmahrizi395

    6 ай бұрын

    listern to profesor Hamza NJozi

  • @mavulasetebe7141

    @mavulasetebe7141

    6 ай бұрын

    This guy is so brilliant in such a way that I gain a lot when he elaborates a certain topic. Although He did not touch religious route of the conflict. He masterly be able to expose the political landscape of the Middle East conflict

  • @syridionrutta5053

    @syridionrutta5053

    6 ай бұрын

    A very good and critical discussion.Well done Tundu Lissu

  • @user-tt9ks7fb8z

    @user-tt9ks7fb8z

    5 ай бұрын

    ​@@syridionrutta5053Kamanda hongela sana

  • @user-iv7to8um3t
    @user-iv7to8um3t6 ай бұрын

    This guy is very bright. Have listened keenly from Kenya

  • @eliamkamba6899
    @eliamkamba68995 ай бұрын

    Mungu akubariki sana Kwa kuongea ukweli. Mungu awatangulie sana ndugu zetu wapalestine na wengine wote wanaonewa

  • @allyiasachogogwe3753
    @allyiasachogogwe37536 ай бұрын

    I have penned down, two important statements from tundu lissu ,first "popote penye ukandamizaji lazima pawe na uasi, second "gaidi kwako,lkn kwa mwenzyo ni mpigania uhuru"

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x6 ай бұрын

    Tusomeshe watoto ndugu zangu

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid69965 ай бұрын

    Tundu Antipas Lissu, the living legend.Asante sana,i stand with Palestine not because i am Muslim or Christian but because i am a sane human being.

  • @munirmaulid8155
    @munirmaulid81556 ай бұрын

    My History teacher... Mr. Lissu

  • @gracekagoma3231

    @gracekagoma3231

    6 ай бұрын

    😢

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp6 ай бұрын

    Lisu wewe nimpango wa MUNGU safi nimeelewa

  • @Greatamir
    @Greatamir6 ай бұрын

    Jamaa anaongea fact haongei fact ,hayupo kimhimko km wat wengne wasojua historia.

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho65486 күн бұрын

    Ahsante sana kiongozi kweli unastahili kuwa kiongozi wa watu kwani kwenye hili Ndipo wengi hukwama.

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu346 ай бұрын

    Tundu Lissu your brilliant person because you speaks the thruth of Israel History, that is, Big up.

  • @kassimnyuni4340
    @kassimnyuni43406 ай бұрын

    Well said lisu tell them the truth will have no fence

  • @user-mk1qz1mn7w

    @user-mk1qz1mn7w

    6 ай бұрын

    🙏🙏🙏

  • @user-mk1qz1mn7w

    @user-mk1qz1mn7w

    6 ай бұрын

    Lisu asantesana

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba57476 ай бұрын

    tunakuelewa mzee tundulisu waeleweshe maana kuna wakristo na wale wasio na dini wanasapot Israel kwa vile hawajajuwa ukweli

  • @user-zd2kg6cc8g

    @user-zd2kg6cc8g

    6 ай бұрын

    Usiwataje Wakristo, hatuna mawazo ya hovyo kama ninyi, Kitabu chenu kinataka muue Wayahudi, na Kitabu Cha Tora chà Wayahudi kinasema wawaue wafilisti,au wapalestina, SISI tunawatazama tu

  • @tonnyojambo1731

    @tonnyojambo1731

    6 ай бұрын

    Labda wewe ndie uliekuwa hujuwi kwa maana waisrael wana dini yao inaitwa Jewish ndio majority, wa pili ni waislam kwa wingi, wa tatu ni wakristo tena wachache sana

  • @user-yv7ij4zh4k

    @user-yv7ij4zh4k

    6 ай бұрын

    @@tonnyojambo1731 Unaposema Waisrael uelewe ni Taifa na ndani ya Taifa la Israel kuna Wayahudi (80%) na Waarabu (20%). Hao Waislamu na Wakristo unaosema wako miongoni mwa hiyo 20% ya Waarabu ambao ni Raia wa Israel. Hakuna Myahudi Mwislamu wala Mkristo japokuwa kuna asilimia ndogo sana ya Wayahudi wanajiita Messianic Jews wao wanamwamini Yesu.

  • @yassinbachu4819
    @yassinbachu48196 ай бұрын

    Haji ita baki kuwa haki.. Mheshimiwa lissau asante kwa mawazo yako...kwa sasa China.russia.africa union ichukue hatua ya kutafuta amani..ulaya na marekani ime shindwa. Wana pendelea upende moja... two state solution ama one state itakuwa sawa.

  • @user-yv7ij4zh4k

    @user-yv7ij4zh4k

    6 ай бұрын

    Hapa umeongea jambo la maana kabisa. Binafsi wangekuwa na one state solution with two authorities. Waheshimiane na kujua mipaka yao na wote waishi pamoja.

  • @ihangacons-7471
    @ihangacons-74716 ай бұрын

    Jamaa anajua. Hili SoMo limeeleweka

  • @mohdkhamis5687
    @mohdkhamis56876 ай бұрын

    Shukrani sana lisu kwa kuisoma vizuri historia ya palestina na kuwafahamisha wasiotaka kufahamu kuhusu vita hivi wanao waonea wa palestein wambie ukweli ili wajuwe kwamba mayahudi palestina pale sio pao shukriani Mkuu 🙏🇸🇩🤛💞💞🙏

  • @vincentdaud9954

    @vincentdaud9954

    6 ай бұрын

    Siyo mayahudi ni wayahudi , mbona mnakuwa na chuki mnachekesha sana?

  • @nkoydavid9658

    @nkoydavid9658

    6 ай бұрын

    Wayahudi asili yao ni wapi ?

  • @eliudkazoba5170
    @eliudkazoba51706 ай бұрын

    Kiongozi mwema usimama katika haki. Unafaa sana.

  • @ammaherman3391
    @ammaherman33916 ай бұрын

    Historia hii huwezi kuipata darasani hata siku moja. darasani huwa tunafundishwa utopolo ambao wazungu wanataka tuufaham na sio historia ya kweli. Kwa hili Mh Tundu Lisu nakupongeza sana.

  • @TatuAbdilah-im2rc

    @TatuAbdilah-im2rc

    6 ай бұрын

    Trueth

  • @ahmedomar3020
    @ahmedomar30206 ай бұрын

    respect tindu lissu, game is over kwa wasiojifaham

  • @user-kk5vu4nv1p
    @user-kk5vu4nv1p6 ай бұрын

    It good tundu lissu we ni shujaa.

  • @chenodigganyika297
    @chenodigganyika2976 ай бұрын

    Shule nzuri ya Fikra!

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi71996 ай бұрын

    Lissu umesimama kwenye haki Ahsante sana

  • @leriongamollel2
    @leriongamollel26 ай бұрын

    Bless this man mr mollel❤

  • @EmanuelBlassy-uz4gm
    @EmanuelBlassy-uz4gm6 ай бұрын

    Msema kweli Lissu

  • @user-un6cj2og6j
    @user-un6cj2og6j6 ай бұрын

    Lisu uwezo mkubwa sana wa kufiki nilitamani huwe ata raisi

  • @user-db1lu7gq1s
    @user-db1lu7gq1s6 ай бұрын

    Mungu aweza tena kunyosha mkono wake juu Yako na akakuinua ukawa kiongozi mkuu wa nchi hii ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mungu wa mbingu na nchi azidi kuku linda na kwa uwaminifu wake Mungu awe nguzo yamoto juu Yako pamoja na familia Yako.

  • @mwanjalimfaume6380
    @mwanjalimfaume63806 ай бұрын

    The Palastian vs Israel conflict is not a religious issue but political apartheid issue similar to what was an apartheid issue in South Africa

  • @user-pr7ht3zi1o

    @user-pr7ht3zi1o

    6 ай бұрын

  • @BubuallyMwakipesile-br8dc
    @BubuallyMwakipesile-br8dc6 ай бұрын

    Mungu akupe maisha marefu kiongozi wetu

  • @user-ku6eg9ti1g
    @user-ku6eg9ti1g6 ай бұрын

    Enjoyable story, Thanks Mr Lisu for Lecturing us.

  • @nkudwanabakejohn7505
    @nkudwanabakejohn75056 ай бұрын

    Tundulisu ni super genius

  • @evodirudo4813
    @evodirudo48135 ай бұрын

    Congratulations Mr Tundulisu you doing well,God bless you

  • @omaryminzi7715
    @omaryminzi77156 ай бұрын

    This is an excellent survey of the real situation in Middle East. Very educative and well elaborated. Well done Lissu uko vizuri sana

  • @erasmobenardsangu-1854

    @erasmobenardsangu-1854

    5 ай бұрын

    swari waripatawapi uchumi kamawariku. wawakimbizi. wari patawapi pesa najiurinzasana 😅😅😅

  • @ContemporaryHOMES
    @ContemporaryHOMES6 ай бұрын

    Very nice Interview, one of a kind, and different from what we're used to.

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu89346 ай бұрын

    Very good lissu kwa historia na uchambuz w kisomi

  • @josephkithama9739
    @josephkithama97396 ай бұрын

    You're so brilliant.please,make a repeat of the same in English

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah51766 ай бұрын

    Wewe inafaa uwe Katibu mkuu wa umoja wa mataifa

  • @abdulahijuma541
    @abdulahijuma5415 ай бұрын

    Nampongeza Tindu Lisu kwa tahakiki aliyofaanya kihistoria na kisiasa.Upande wa utafiti wa kidini anapaswa kufanya utafiti tena.Kwani hapatakuwa na suluhisho la kudumu pasipo haki kutendeka na kurudi kwa Mwenyezi Mungu sawa na sharti aliloweka yaani ni watu waaminio wa kweli tu watakaoirithi ardhi takatifu. HAIJALISHI WAWE WAISLAMU AU MAYAHUDI.TAFAKARINI NDUGU ZANGU NI.

  • @suhadsalim5528
    @suhadsalim55286 ай бұрын

    Big up lisu

  • @AdamShaban-sc9ln

    @AdamShaban-sc9ln

    6 ай бұрын

    Amini usiamini lisu kichwa computer mshenzi acheni chuki zenu wtz

  • @imamhussein2370
    @imamhussein23706 ай бұрын

    Namshukuru Mungu Sana kwa kukupigia kura yangu 2020.nilifanya hivyo kwa kujua wewe ni mkweli na ni mtu wa HAKI.

  • @rashidabasi7940
    @rashidabasi79406 ай бұрын

    Asante kwa elimu Mhe Lissu.

  • @user-zj4ib6lw2i
    @user-zj4ib6lw2i6 ай бұрын

    Asante sana mr Lisu huenda ningeondoka duniani bila kujua kwanini hawa watu wanauana.

  • @anawa4326
    @anawa43266 ай бұрын

    Well spoken Muheshimiwa 👊🏼👊🏼👊🏼

  • @edwardlenga7961
    @edwardlenga79616 ай бұрын

    Thank you for this very teaching history

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du6 ай бұрын

    Lissu asante sana kwa kusema ukweli, bila ya kuogopa kuwaudhi wakubwa. SIjui kama utapata tena visa ya kwenda Belgium baada ya interview hii! Lakini heshima yako imeongezeka baada ya kuwa na msimamo wa uzalendo.

  • @jamesndora3263

    @jamesndora3263

    6 ай бұрын

    Akipinga Samia kwa ukweli na manyanyaso anayoyafanyia Wamaasai mnamuita anaunga mkono ushoga Leo kidogo mnajizima data kisa Hamas😅

  • @Ali-nl2du

    @Ali-nl2du

    6 ай бұрын

    @@jamesndora3263 Nakubaliana nae khs issue hii, ndio maana nampa support. Naweza kutokukubaliana nae khs issues nyengine. Nobody is perfect.

  • @VictorNgosi
    @VictorNgosi6 ай бұрын

    Hongera msomi unaeleza vizuli Kweli unafaa kuishi miaka mingi❤❤❤❤

  • @saidasmi7686
    @saidasmi76866 ай бұрын

    Well done Dr. Tundulisu well explained A to Z nakupongeza kwa kutufahamisha na kutoa solutions

  • @kambamazig02024

    @kambamazig02024

    6 ай бұрын

    Since whe n did he became a Dr? Tusianze kuwapa watu degrees bila ya wao kuzifanyia kazi! Akasome ili aipate, anao uwezo huo wa kufanya vizuri. Tusiwafanye wote madaktari wa kupeana kama kicks kwenye vyama, naona hiyo haitatufikisha mbali. Hizi degree za kupeana sidhani kama zinatusaidia nchini kwetu, wengine wanazinunua! It is a shame!

  • @hamzaallymgaza4069

    @hamzaallymgaza4069

    3 ай бұрын

    Barikiwa mh Lisu

  • @farhathassan7178
    @farhathassan71786 ай бұрын

    Tundu as always, talented and wise

  • @SenatorJosephmasige16

    @SenatorJosephmasige16

    6 ай бұрын

    He is very bright

  • @HermatonKizambo-lc7qw
    @HermatonKizambo-lc7qw6 ай бұрын

    La kwanza; nampongeza sana mheshimiwa tundu lisu kwa kutu funilia ukweli huu mhimu. mr lisu is a blessing to our continent africa. For him being very well enlightened on how the systems of this globe work, he's on the very important platform to change our continent for better future. Africans must learn from the very situation in israel and palestine.

  • @MrModtech
    @MrModtech4 ай бұрын

    i really hope you win this time.... We need the change now...

  • @sadikimasawa4048
    @sadikimasawa40486 ай бұрын

    Tunachokitamani: A fairly tale, Good versus evil with good always winning. Tunachokiishi: power play, strong versus weak with the strong crushing the weak except when they decide not to. Watanzania, tuuishi uhalisia life is not fair and it will never be. Tupambane kuimarisha taifa letu tu coz Mungu pekee ndo ajua nini kitakuja baadae.

  • @davidmwandiga3465
    @davidmwandiga34656 ай бұрын

    Napenda kuwashukuru mtangazaji na kiongozi na mwanashelia TUNDU LISU kwa historian yakweli, wamarekanu na waisraeli ni hatari kwa maisha ya sisi binadamu, Wacha Mungu awape nguvu nyingi wachina na warusi waje kutusaidia (AMEN).

  • @Sheba4651

    @Sheba4651

    6 ай бұрын

    Hata wachina pia ni wezi tu. Watu dhalimu sana kwenye miamala ya kimaisha, ukiamilana na mchina iwe mmoja mmoja ama kitaifa lazima wakudhulumu.

  • @Leo-kg2lt

    @Leo-kg2lt

    6 ай бұрын

    Hakuna ngozi nyeupe itakayokuokoa wew hata yesu na dini zao ni za uongo lengo ni moja to hao wote

  • @yassinbachu4819
    @yassinbachu48196 ай бұрын

    Good information....

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya8216 ай бұрын

    Upo vizuri Tundu Lisu ila Wazayuni wanateyewa na wengi bila kujali unaya wao

  • @allymapinda8804
    @allymapinda88046 ай бұрын

    Tundu Lissu is a very well educated man and has wealth of knowledge in many aspects. Hii ilikuwa ni ufumbuzi mkubwa wa macho na kuelewa historia ya chanzo cha migogoro. Asante sana Mr Lissu 👍🏾

  • @giovannir.restone182
    @giovannir.restone1826 ай бұрын

    Mwanzo 17: 5-8 Tangu sasa, hutaitwa tena Abramu, bali utaitwa Abrahamu, maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi. 6Nitakufanya uwe na wazawa wengi sana; kwako nitazusha mataifa mengi na wafalme. 7Nitalithibitisha agano langu nawe, wazawa wako na vizazi vyao vyote milele; tena nitakuwa Mungu wako na Mungu wa wazawa wako milele. 8Nitakupa wewe na wazawa wako nchi hii ambamo unaishi kama mgeni; yaani nchi yote ya Kanaani iwe mali yenu milele; nami nitakuwa Mungu wao.”

  • @saidimpako5186

    @saidimpako5186

    6 ай бұрын

    we soma vitabu huku duniani kuna mengine kabisa yanaendelea

  • @cavoo4get649

    @cavoo4get649

    6 ай бұрын

    𝑩𝒓𝒂𝒊𝒏 𝒘𝒂𝒔𝒉

  • @prosperjuma905

    @prosperjuma905

    6 ай бұрын

    @@cavoo4get649 brain wash iliyoandikwa kabla ya yeyote kuwepo katika hao unaowasikiliza na kuwaamini

  • @WAKRISTOKANISALAMUNGU

    @WAKRISTOKANISALAMUNGU

    6 ай бұрын

    Safi sana, tundulisu anazungumza ya hivi karibuni sio ya zamani.

  • @Zainabnoor0087-ze

    @Zainabnoor0087-ze

    6 ай бұрын

    Mazayuni wauwaji wezi ndio wanasababisha machafuko mengi Duniani

  • @MacedoniaCall3
    @MacedoniaCall36 ай бұрын

    Mr. Tundu Lisu, would you please post this lecture in English?

  • @williamkeita1519
    @williamkeita15196 ай бұрын

    Lisu bright sana kwenye history za kuaminika

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory35406 ай бұрын

    TL ni Next Level kwenye Ufahamu wa Mambo

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby28716 ай бұрын

    Excellent and immaculately expalined Tundu Lissu much respect

  • @kukwenyabusalo2138

    @kukwenyabusalo2138

    6 ай бұрын

    Hadithi haitakuwa sawa kama chanzo cha kusambaa kwa wayahudi na walikotokea kabla 1914

  • @kukwenyabusalo2138

    @kukwenyabusalo2138

    6 ай бұрын

    Chanzo cha kutawanyika kwa wayahudi ni nini na walitokea wapi!?

  • @MB-yq3ty

    @MB-yq3ty

    6 ай бұрын

    ​@@kukwenyabusalo2138 Walitawanywa na Wakristo mwaka wa 70 AD.

Келесі