The Story Book: MOBUTU ‘Dikteta Aliyewafilisi Wakongo’

Ойын-сауық

Alikuwa Rais Wa Kongo Kuanzia mwaka 1965 mpaka 1971 na baadaye Zaire kuanzia 1971 hadi 1997.
Alizaliwa Kongo 1930 Akafa Morocco 1997
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 667

  • @molincreative817
    @molincreative8172 жыл бұрын

    i didnt know that this dude can also sing! ....some people are just favoured by God!

  • @johnjay6408
    @johnjay64082 жыл бұрын

    Hakuna kitu kizuri kusikiliza hadithi unayoijua ikisimuliwa kwa umahiri mkubwa mpaka unajukuta unatamani kuiskiza tena tena💪🏽🙏🏼🇹🇿

  • @Ndiyooo

    @Ndiyooo

    2 жыл бұрын

    Nimuongo uyoo hajuwe hasta kusema seseko mpumbavu ana danganya watuuu uyoo

  • @nyembomajidi3027

    @nyembomajidi3027

    2 жыл бұрын

    ndio kaka nashukuru watanzania kuichambua historia ya congo mobutu alishindwa kuijenga congo alikuwa na oportunite ya kujenga zile inchi lakini basi

  • @salim02tv24

    @salim02tv24

    2 жыл бұрын

    @@Ndiyooo simuliaa ww utuambie ukwell

  • @dullahmmebela5624

    @dullahmmebela5624

    2 жыл бұрын

    @@Ndiyooo Acha roho mbaya wewe!!!

  • @kiningashukran5177

    @kiningashukran5177

    2 жыл бұрын

    @@Ndiyooo sema stori yako

  • @gitongahouse3245
    @gitongahouse32452 жыл бұрын

    watching from Nairobi ..i have never missed any of Jamal's post ..this guy has talent combined with PhD on how he gives these stories .. kuna watu wamebarikiwa na talanta

  • @livinusbyarugaba1824

    @livinusbyarugaba1824

    2 жыл бұрын

    Huyu jamaa hatari,🇹🇿👍

  • @kevinmwangi4423

    @kevinmwangi4423

    2 жыл бұрын

    Am a Kenyan too and I love this mans job

  • @faizamohamed6993

    @faizamohamed6993

    2 жыл бұрын

    🔥🔥🔥🔥

  • @frankmutembei7513

    @frankmutembei7513

    2 жыл бұрын

    Kenyans following this 🖐️

  • @Kejamaster1

    @Kejamaster1

    2 жыл бұрын

    @@frankmutembei7513 tuko wengi... love his voice

  • @mdutasomha5875
    @mdutasomha58752 жыл бұрын

    Hii story imenikumbusha nyimbo ya mwanafa ft nyosh El ssadat 🔥🔥🔥 nakuchuliaga Kama mobotu seseko .......

  • @stevekasawala2315

    @stevekasawala2315

    2 жыл бұрын

    Nyimbo nzuri Sana ile aseee ndani Kuna sauti ya mwanadada Maua

  • @jumamwandai3941
    @jumamwandai39412 жыл бұрын

    *😁 The story book ya leo ni 🔥 Burudani juu ya Burudani.!!! 💎 Umeuwa sana mwanangu 💥🔐*

  • @user-pj8ed9kn6g

    @user-pj8ed9kn6g

    2 жыл бұрын

    Hatar sana 🤣🤣🤣

  • @AbuBakar-fu9ov
    @AbuBakar-fu9ov2 жыл бұрын

    Daaaaaah Africa tumenyonywa sana na chanzo ni uzaifu wetu wenyewe

  • @mahmudsaid102
    @mahmudsaid1022 жыл бұрын

    Sijwahi kucomnent sehem yoyote il leo kaka nimeshindwa kujizuia kaka unajua sana duuh🙌

  • @mumbereolivier5409

    @mumbereolivier5409

    2 жыл бұрын

    Uko vizuri kaka lakini nyimbo yako kkkkkk😃😄 lakini unaimba vizuri maneno ya ndani njo haieleweki

  • @barekesteve8679
    @barekesteve86792 жыл бұрын

    Hujamaaa nimsomi mzuri sana duh kam vitabu vyadini wavisoma nakuvitendea haki unavyo fanya kaziyako basi pepo niyako bro hee moja umenikosha wallahi

  • @leonardkapati3125
    @leonardkapati31252 жыл бұрын

    Vizazi vijazo vitasimulia maisha ya VIONGOZI wetu wa TANZANIA pia.

  • @MrSmile_Family

    @MrSmile_Family

    2 ай бұрын

    Only Magu

  • @euniceandes9167
    @euniceandes91672 жыл бұрын

    😭😭😭aliumiza sana watu wa Congo huyu mtu.Alijipenda sana hakuwa na utu kabisa🙌

  • @user-qq6mv6vh3e

    @user-qq6mv6vh3e

    Жыл бұрын

    Kweli kaka angu

  • @hashimsamsonmambovp5065

    @hashimsamsonmambovp5065

    7 ай бұрын

    True

  • @feisalmombo805
    @feisalmombo8052 жыл бұрын

    Hilo ndio tatizo la viongozi wetu wa kiafrika mtu amekulia kwenye maisha magumu badala kuleta maendeleo katika nchi zao, lakn mwisho wa siku ni kujiangalia wenyewe na matumbo yao ili kujinufaisha kwa malengo yao ili hali wananchi wanalia kwenye nyanja mbalimbali ukosefu wa huduma bora za kijamii n.k hii inaleta sana ukakasi ndio maana maendeleo katika nchi zetu za kiafrika yamechelewa sana.

  • @adkajisi4536

    @adkajisi4536

    Жыл бұрын

    Gadaffi tu ndo aliweza

  • @titusjr.9463

    @titusjr.9463

    9 ай бұрын

    Kuna hili wazo kwamba unapowafanyia watu vizuri hazwa afrika, unapata pingamizi

  • @djkizzo152
    @djkizzo1522 жыл бұрын

    Ni wakati wa Wakongo waji-organize na kuchukua nchi yao kutoka kwa watu wa nje. Congo imebarikiwa ilhali wananchi wake ni wakimbizi duniani kote.

  • @heritier5119

    @heritier5119

    2 жыл бұрын

    Shida waafrika hatupendani

  • @NiaKelly-sh4hj
    @NiaKelly-sh4hj2 ай бұрын

    Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @ciaydedoutashayo5365
    @ciaydedoutashayo53652 жыл бұрын

    We Tanzanian we are proud to have you ........ We are proud that you were brought to life...... Big up bro💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @alexmwalongo531

    @alexmwalongo531

    2 жыл бұрын

    Unasema unaona fahari kuwa na mtu fulani kwenye taifa yako angali wewe unaikimbia tamaduni yako na kutumia lugha za watu tumia kituchako kuonesha jinsi unavyojivunia vitu vilivyopo kwako

  • @wazirhussein3751

    @wazirhussein3751

    Жыл бұрын

    East Africa at large

  • @rashowshine7849
    @rashowshine78492 жыл бұрын

    It's late sema kuimba unajua professor 🔥

  • @robarobz8762
    @robarobz87622 жыл бұрын

    Bro mbali na story book uko na talent ya kuimba pia fanya mpngo hapo WCB utupe kitu na ww 🔥🔥❤

  • @jutta-tv2468

    @jutta-tv2468

    Жыл бұрын

    Ni kwel ila asifanye hivo mana asije akawa kama yule kinyozi wa diamond kaimba nyimbo moja akajiona anajua akaacha majukumu yke ya kumnyoa bos wake nae akataka awe muimbaji akatoka wasaf sasa hayupo tena kwenye game

  • @trillionairejupiter5968

    @trillionairejupiter5968

    2 ай бұрын

    😂

  • @Easymoneyman44

    @Easymoneyman44

    2 ай бұрын

    ​@@jutta-tv2468😂😂True

  • @guzomc255
    @guzomc2552 жыл бұрын

    The story book imekua fire na nusu ata mimi ni msanii lkn kwa. Uwezo wa professor jamal amenizid ktk uimbaj brother una uwezo mkubwa sana salute kwako💪

  • @sammanexofficial1511
    @sammanexofficial15112 жыл бұрын

    Haijawahi tokea dictator aliyewatesa na kuwanyanyasa waafrika kama mobutu.hongera professa jamal kwa hii story book🔥🇰🇪🙌

  • @faisalsakoh3764
    @faisalsakoh37642 жыл бұрын

    Hoooo nakubali San mpaka wimbo ivita imana ya fere gola kweny álbum ya kipuisa pimpa yake werrason

  • @htvtanzania3483
    @htvtanzania34832 жыл бұрын

    Haya ndio kama yanayo endelea Tanzania 😭😭😭😭

  • @issufocussupi7262
    @issufocussupi72622 жыл бұрын

    Está de parabéns Professor Jamal pela profundidade da história de Mubuto.. um dos líderes controverso da epopeia do Congo.

  • @mongatzmonga237

    @mongatzmonga237

    2 жыл бұрын

    Noma sana

  • @orestemanenomaneno7726

    @orestemanenomaneno7726

    2 жыл бұрын

    Professor Jamal pril merece prêmio 🇲🇿🥰🥰

  • @brownd8656

    @brownd8656

    2 жыл бұрын

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @impixelmusictz3044

    @impixelmusictz3044

    Жыл бұрын

    Bien

  • @IbraMeshake

    @IbraMeshake

    11 ай бұрын

    ​@@orestemanenomaneno7726😂😂❤ am

  • @simonkabeya7251
    @simonkabeya7251 Жыл бұрын

    Nakubali uwezo wako bro Yani nakukubali saana from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 congo

  • @georgehanningtone3371
    @georgehanningtone33712 жыл бұрын

    You really do your best professor, your number 1 fan from Kenya

  • @bbynuu2612
    @bbynuu26122 жыл бұрын

    MashaAllah you can even sing? What a talent guy Mungu azidi kukubarikiii

  • @msangodiesel3132

    @msangodiesel3132

    2 жыл бұрын

    Uzao wake saizi wanajisikiaje kwa tabia za Babu yao wanaishi hapo congo

  • @elimu-rab5917
    @elimu-rab59172 жыл бұрын

    Ukiona komenti hii like nirud kumuangalia professa🤟🤟

  • @irjackjackson846
    @irjackjackson846 Жыл бұрын

    We Congolese love the story book. Big up Jamal. Love from congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 how did you are singing rumba very good in lingala?🤣🤣🤣

  • @justinmbuka4286
    @justinmbuka42862 жыл бұрын

    Professor 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Bojaasproduction
    @Bojaasproduction2 жыл бұрын

    Bro this one’s 🔥😍😁😁👌🏾 And I liked that Rumba music in Background. Merci pour cette vidéo 🇨🇩🥰🇹🇿

  • @cooldave9862

    @cooldave9862

    2 жыл бұрын

    Yeah find it on youtube its called Imana Na Vita by ferre golla

  • @impixelmusictz3044

    @impixelmusictz3044

    Жыл бұрын

    Merci beaucoup

  • @MarionHope
    @MarionHope2 жыл бұрын

    Napenda Historia sana lakini umenifanya niipende zaidi 🤩 let me go and pursue my dream course. Masters in international relations. 🙌 ❤ love from Kenya 🇰🇪 ❤

  • @rinirietransfomaorenge4309
    @rinirietransfomaorenge43092 жыл бұрын

    Maeneo ya Marekani Kasikazini nawapata mbashara mpaka maeneo ya Kisii Kenya 🇰🇪 Nimengojea the Story book being addicted sana Santi Prof.

  • @ruthu3467
    @ruthu34672 жыл бұрын

    We Congolese are very happy with the story but the way you were pronouncing some words in that song, it sometimes didn't make sense but overall we are satisfied 😂

  • @jilalamaligisa4854

    @jilalamaligisa4854

    2 жыл бұрын

    I see😂😂😂 I speak Lingala and I find no meaning in some words he is pronouncing

  • @brunoh_bx

    @brunoh_bx

    2 жыл бұрын

    But he tried the best😃😃

  • @yusrahamza3208

    @yusrahamza3208

    Жыл бұрын

    He isn't his native language, but he tried well 👏👏 congrats bro🥰

  • @jumamofu9573

    @jumamofu9573

    Жыл бұрын

    Mabutu duh Alikuwa hatari sasa hayo majumba na mahotel yamebaki km magofu

  • @ramadhanjumanne8882

    @ramadhanjumanne8882

    Жыл бұрын

    Atleast he gave a try!

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi221011 ай бұрын

    Niliyaona haya kwenye nchi ya kusadikika miaka kadhaa iliyopita 😢😢

  • @damasko75
    @damasko752 жыл бұрын

    from Kenya🇰🇪🇰🇪 tunakupenda Sana bro..Kila siku nikiangalia story book yako natamani kufanya kazi ya uchambuzi wa hadithi tofauti tofauti za ulimwengu..@ Jamal April the genius

  • @AlexMbuvi-nk5iy

    @AlexMbuvi-nk5iy

    11 ай бұрын

    Io ndio iko Kenya saaii

  • @Pedeshee01
    @Pedeshee012 жыл бұрын

    Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga,Rais boya wa muda wote wa Zaire.

  • @francisndama4400

    @francisndama4400

    2 жыл бұрын

    😆😆😆

  • @TislamMarijani

    @TislamMarijani

    2 ай бұрын

    Hilo jina khaaaaaaa! Hatari sana 🙌😅

  • @nero7941
    @nero79412 жыл бұрын

    You will never die poor bro ✌️✌️

  • @calebkiptoo2207
    @calebkiptoo22072 жыл бұрын

    The music though am a big fan of this guy... professor.big love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @frankmutembei7513
    @frankmutembei75132 жыл бұрын

    Watching from Kenya 🇰🇪. Nice work Jamal.... Napenda kazi yako zaidi, vile wajituma pia. Have never missed your show.

  • @salvatorymheziwa1053

    @salvatorymheziwa1053

    Жыл бұрын

    Nimependa wimbo unaoiba

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura14272 жыл бұрын

    Nakukubali sana kaka uko so creative

  • @shadrackmwampote4615
    @shadrackmwampote46152 жыл бұрын

    Proffessor I like your song ,you fit everywhere.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Жыл бұрын

    Adui wa Africa mwafrika mwenyewe inasikitisha adi leo utawala kama wa Mabuntu unaendelea na wananchi wanawaunga mkono mfano Tanganyika na Zanzibar Ccm

  • @erickmbatia33
    @erickmbatia332 жыл бұрын

    Love your story prof Jamal ......much love for🇰🇪🇰🇪

  • @mvanokhalidi8766

    @mvanokhalidi8766

    Жыл бұрын

    Kigereza chanini mzee

  • @zenaolwokole2119
    @zenaolwokole2119 Жыл бұрын

    I salute you 👏. From kenya 🇰🇪 enjoying your story book

  • @ironshykh
    @ironshykh Жыл бұрын

    Am a kenyan but...respect for this G✌️✌️🤝🤝💪👊👊Big up

  • @kibetyegon6281
    @kibetyegon62812 жыл бұрын

    Jamal April , ndugu rafiki wa kuiga aliyeifa na ni wa kupigwa mfano sana , mola ashinde akutie nguvu kaka, endelea kutuelimisha , kutukumbusha na kuburudisha . 👌

  • @jumakibe5032
    @jumakibe50322 жыл бұрын

    Background music by Ferre Gola (Vita imana)🎶🎸. Prof Jamal ni zaid ya PhD holder kwenye story book!

  • @erickmyava7976

    @erickmyava7976

    2 жыл бұрын

    Nimesoma comments kumtafuta jina la nyimbo thank you

  • @ZayanaAmry
    @ZayanaAmry19 күн бұрын

    Asante sana kwa simulizi nzuri allah akuzidishie umaarufu wako

  • @situma131
    @situma131 Жыл бұрын

    254🇰🇪 tushaikubali the storybook.. thumbs up Professor Jamal

  • @mc_mackpesa
    @mc_mackpesa2 жыл бұрын

    🔥🔥🔥🔥🔥my second Goat After abel Mutua(mkurungezi) in story telling

  • @dadyshunaydah9421
    @dadyshunaydah94212 жыл бұрын

    Tunaokubali Uwezo Wa Juu Kabisa Wa Kiwango Cha PHD Wa Professor Jamal April Katika THE STORY BOOK Kutoka Kwa Nguli Wa Taifa La CONGO 🇨🇩 MOBUTU SESE SEKO KUKU NGWENDU WAZABANGA Tujuane Kwa Likes Hapa....,🤙🏻

  • @salehmohamedvuai826

    @salehmohamedvuai826

    Жыл бұрын

    Lllllllll

  • @angambilomayanga2111
    @angambilomayanga21112 жыл бұрын

    Wewe n mwamba zaidi natamani ata kwa wiki iwe Mara mbili nakukubali sana

  • @officielfistonkinesha6512
    @officielfistonkinesha65122 жыл бұрын

    VITA IMANA mziki pendwa wangu❤

  • @nelsongraphics6040
    @nelsongraphics60402 жыл бұрын

    är jag verkligen nöjd med den här historien. tack så mycket Jamal 🙏🏿😊

  • @tanzaniahero
    @tanzaniahero2 жыл бұрын

    Wee jamaa ni genius 💪🇹🇿 salute

  • @justinathanas6783
    @justinathanas6783 Жыл бұрын

    Unafanya kazi nzuri na kubwa sana Prof. Jamal April, Mungu akubariki uzidi kutupa simulizi za Africa na Dunia katika nyanja zote.

  • @bestmusictz6331
    @bestmusictz63312 жыл бұрын

    Another level of the story book

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba861411 ай бұрын

    Daah yaani wew nikichwa baba nimekukubali maana ata mimi kwetu congo lakini nilikuwa naitaji kujuwa maistoria za nyumbani nakweli umenizogezea nazo mungu akubariki sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @etienneabibu3979
    @etienneabibu3979 Жыл бұрын

    Sisi watu wa CONGO 🇨🇩🥱🥱 ni wapumbavu sana tena hatuna Akili na umoja ili inchi zetu zisonge mbele, yote ilipwa apa Dunia. Uki uwa nawe pia uta uwawa.

  • @user-cz7kz7cj9v
    @user-cz7kz7cj9v5 ай бұрын

    Nakukubali kwa history Ndugu yangu. Mwenyezi Mungu akuongezee ufaamu na kumbukumbu bara.

  • @esombommambelwa6809
    @esombommambelwa68092 жыл бұрын

    You killed it bro more creativity congratulations wasafi

  • @mvanokhalidi8766

    @mvanokhalidi8766

    Жыл бұрын

    Kingereza chanini we mzee

  • @Sautisultan
    @Sautisultan Жыл бұрын

    You are the king of documentaries

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi85685 ай бұрын

    Subhanaallah yaarabi tunusuru na mali za wizi mwenyezi mungu atusitiri tutosheke na tulichokuwa nacho, 🙏🙏

  • @yusrahamza3208
    @yusrahamza3208 Жыл бұрын

    Duh! Huyu jamaa nampenda Sana❤️ I'm in love with his voice 🥰

  • @fistonbisimwakaro692
    @fistonbisimwakaro6922 жыл бұрын

    Professor Jamal,kwakweli unanifurahisha sana kwa hio nduli ya Vita Imana ya Ferre Golla yani nasukiliza hadi natokwa na mate kinywani,natena huwa unanifurahisha katika vipindi vyako vya the story book,Mungu azidi kukupa nguvu na kuongeza elimu mara dufu kwako amin,ni Fiston,nikiwa Pietermaritzburg/south Africa,from Congo,Uvira

  • @rithaseboa3416
    @rithaseboa34162 жыл бұрын

    His voice 👌❤️

  • @gaelvihamba12801
    @gaelvihamba128016 ай бұрын

    🎉🎉 congratulations kwa hiyo song baba Asante imagine nime fata hiyo story at the same moment Kuna hiyo music professionnel vitæ imana ina piga huko na kweli ume imba Poa kama ferre Gola

  • @davidmaige2563
    @davidmaige25632 жыл бұрын

    Jamani Yani hadi wivu Wengine duniani tumekuja kuweka mb tu kwenye simu zetu basiiiiiiiiiii

  • @esthelamonica7022
    @esthelamonica7022 Жыл бұрын

    Waouh napenda sana The story book unazo tusimilia ambazo tulikua hatuzijui unajua kuimba lingala vizuri

  • @user-mp4lf4ji8k
    @user-mp4lf4ji8k2 ай бұрын

    Nimependa wimbo brother umemuza sana ndani yahii the story book

  • @timochazze9845
    @timochazze98452 жыл бұрын

    Professor professor wewe ni noma ❤❤❤

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani86652 жыл бұрын

    Hii Dunia Wamepita Watu Wa Ovyo Sana

  • @yakubsaidali8699
    @yakubsaidali86992 жыл бұрын

    Noma sana Jamaaaaaaaal April

  • @masagara
    @masagara2 жыл бұрын

    Mkuu nakutambua❣️

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo69322 жыл бұрын

    Wakwanza kuview🤗

  • @ushindibyamungu335
    @ushindibyamungu335 Жыл бұрын

    Umenifurahisha kwa wimbo wako wa lingala😂🇨🇩🇨🇩💪

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Жыл бұрын

    Ona Sasa zambi zilivyomtafuna, alizani Mwenyezi Mungu alikuwa haoni uchafu wake

  • @heritier5119
    @heritier51192 жыл бұрын

    Bora ya wakoloni walituletea maendeleo kuliko hawa wezi waliotufilisi

  • @user-tq2rk8jw3s

    @user-tq2rk8jw3s

    21 күн бұрын

    Hakika yaan

  • @salvatorymheziwa1053
    @salvatorymheziwa1053 Жыл бұрын

    From my heart hii story haichosh kuisikiliza

  • @salvatorymheziwa1053
    @salvatorymheziwa1053 Жыл бұрын

    Kipaji by nature respect bro from mbeya (eng mheziwa)

  • @gekamsproducer2964
    @gekamsproducer29642 жыл бұрын

    Mimi kama mkongomani Nina uzuni kubwa kwa hali ya inji yangu kwa sasa n'a maoni yangu ni kwamba mobutu angelitawala milele kama congo yetu sio kama sasa naomba Mungu amulinde mahali pema peponi Shujaa Mobutu

  • @doza1031
    @doza10312 жыл бұрын

    jamal uko juu juu kama dolla broo

  • @majaliwakinyonyi1006
    @majaliwakinyonyi10062 жыл бұрын

    Ilakuna mbunge leo tarehe 24/6/22 alisema wacongo hatunahakili achahinyeshe tujuwe panapovuja Rwanda ipo est afrika mbunge anahishi est afrika

  • @Sautisultan
    @Sautisultan Жыл бұрын

    The tune makes me watch again and again. Very sweet

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini99952 жыл бұрын

    Kumbe jamari hatakuimba unajua ❤💪🙏🔥🔥🔥

  • @isaacomondi3456
    @isaacomondi345611 ай бұрын

    Great one 👊🏾 tulete ya Gadaffi King of Africa

  • @festusmutunga2054
    @festusmutunga2054 Жыл бұрын

    Ufalsafa wa jamal April uko juu sana, napenda kuskiza historia akisimulia

  • @johnstoneshiveka5566
    @johnstoneshiveka55662 жыл бұрын

    The start Very smart nimependa kawimbo

  • @vannlytembo162
    @vannlytembo1622 жыл бұрын

    Mkongo mwenzetu

  • @isabellebuhendwa5818
    @isabellebuhendwa58182 жыл бұрын

    🇨🇩🇹🇿 nazifuraia sana Stori hii

  • @moseskevin8610
    @moseskevin86108 ай бұрын

    Jamal apo umechambua kweli kweli. Stori safi zaidi

  • @cendrillonnam4549
    @cendrillonnam4549 Жыл бұрын

    Oh thank you brother Jamal ! The intro song for me !!!!💙💛❤️ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @spinxoentertainment6168

    @spinxoentertainment6168

    Жыл бұрын

    Kindly give me the title of the song

  • @rosethomaslugendo-mf8ec

    @rosethomaslugendo-mf8ec

    Жыл бұрын

    Yani hii dunia mobutu akazikwa na watu wasiozidi sita na trilioni zote alizobeba . Huyu Mungu hakika ana mathematics

  • @Jean-BaptisteOmbeni-nx6kx
    @Jean-BaptisteOmbeni-nx6kx8 ай бұрын

    Hadi Leo MOBUTU SESEKO hajazikwa Mwili wake unalindwa jijini RABBAT (Maroc )

  • @hamissntimbi4685
    @hamissntimbi46852 жыл бұрын

    Nakufatilia Sana mzee hakika wew ni mtu pekee unayestahili kuwa HISTORIAN

  • @jamesblackjaguar2084
    @jamesblackjaguar20842 жыл бұрын

    Congratulations my brother you did it

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian28702 жыл бұрын

    Wachaga wote like hapa #congo

  • @user-xk9gz5od9v
    @user-xk9gz5od9v9 ай бұрын

    Jamal huko vizur history ni nzur mabutu alikuwa noma

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 Жыл бұрын

    Yani najifunza mengi kwako hingera Sana mungu 🙏 Akupe maisha marefu

  • @benmandare1604
    @benmandare16049 ай бұрын

    I like it bro💪💪💪 you are talented in singing

  • @emmanmollel8886
    @emmanmollel88862 жыл бұрын

    Hapo kwenye kubadilisha majina ya miji nampa big up

  • @loomoniolesasi6123
    @loomoniolesasi61232 жыл бұрын

    Jamani mungu ailaze roho ya marehemu Patrick Lumumba, maana alikua mtu wa maana sanaa

  • @charitywangui6597
    @charitywangui65972 жыл бұрын

    You have yourself a follower....love from Nairobi

Келесі