Taasisi za Magereza

Mfungwa anapohukumiwa kifungo gerezani, jamii hutarajia kuwa anapoachiliwa huru huwa amerekebishwa tabia ili aweze kutangamana na jamii. Hata hivyo matukio ya hivi karibuni katika kaunti za Kitui na Kisumu ambapo wafungwa walioachiliwa huru kisha wakajihusisha kwa mauaji tena, yanaibua suala la iwapo taasisi hiyo imefeli kwenye majukumu yake ya kurekebisha tabia. Hata hivyo kamishna wa polisi Isaiah Osugo anasema kuwa wale ambao huukumiwa vifungo vya maisha huachiliwa baada ya kukataa rufaa. Shisia Wasilwa ana taarifa kamili.

Пікірлер: 3

  • @justinpost3716
    @justinpost37166 жыл бұрын

    Poreni sana mungu anawapenda

  • @mosehteyiaa6439
    @mosehteyiaa64396 жыл бұрын

    Ole Kokidala

  • @justinpost3716
    @justinpost37166 жыл бұрын

    IPO siku mutatoka