SHUHUDIA Karate Ambazo Unaweza Kupambana na Mhalifu Yeyote

Спорт

Subscribe / uwazi1
Kampuni ya Shorinji ambayo inahusika na uchezaji wa karate imetoa mustakabali mzima wa karate ikiwa lengo ni kupambana na kitu chochote ambacho kinakukabili.
Pia shorinji imewaomba watu kujitokeza kushiriki mchezo kutokana na inasaidia kwa mazoezi binafsi ya mwili na kujiweka fiti kukabiliana na purukushani yoyote.
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .

Пікірлер: 40

  • @salimmgangq6425
    @salimmgangq64256 жыл бұрын

    Nimefurahi sana kwa elimu mliotoa kwa jamii kua ukisha jua namna ya kupambana hutakiwi uwe mbabe na tatizo kwa jamii bali unatakiwa kujilinda mwenyewe na kua msaada kwa jamii asanteni sana wana shorinji kemp

  • @jofreymwani3943
    @jofreymwani39432 жыл бұрын

    That is very nice

  • @user-qw3et9yt2r
    @user-qw3et9yt2r2 ай бұрын

    Nahtaj kujiunga mnapatikana wap

  • @deogratiusenock2775
    @deogratiusenock27754 жыл бұрын

    Nimependa hiyo

  • @benedictmasigo3802
    @benedictmasigo38025 жыл бұрын

    Karate for health

  • @brorashid344
    @brorashid3443 жыл бұрын

    Combat is Master

  • @nurdinsaid4432
    @nurdinsaid44322 жыл бұрын

    Love karate

  • @salummzee9739
    @salummzee97393 жыл бұрын

    Una weza kweli au ndio shotu maana kupigana kuna hofu fulani mapambano ya adui sio kuwa mazoez na mwezio mamasta

  • @tysontshuma9872
    @tysontshuma98725 жыл бұрын

    yaaa

  • @rachelmachechu7738
    @rachelmachechu77385 жыл бұрын

    Hi,kensh

  • @ernesto9403
    @ernesto9403 Жыл бұрын

    Vitabu vya karate mnauza

  • @perfectgodifrey3831
    @perfectgodifrey38313 жыл бұрын

    Oss oss

  • @jamilamakaranga8895
    @jamilamakaranga88955 жыл бұрын

    nimependa sana mafunzo yenu mimi ndo naanza kujifunza karate

  • @bakarisefu8379

    @bakarisefu8379

    5 жыл бұрын

    Jamila Makaranga safiii

  • @danielmalamba5730
    @danielmalamba57303 жыл бұрын

    Sauti mmebania sana

  • @alhabiibymuhsinbakary7706
    @alhabiibymuhsinbakary77063 жыл бұрын

    Haiii Imelia hyooooo

  • @derickbenedicto7435
    @derickbenedicto74355 жыл бұрын

    Hiyo ni sholinji cample well.

  • @rachelmachechu7738

    @rachelmachechu7738

    5 жыл бұрын

    Pamoja sana mkubwa ukopamoja na mim kensh.

  • @user-qw3et9yt2r
    @user-qw3et9yt2r2 ай бұрын

    Mnapatikana wap

  • @lukaselias2806
    @lukaselias28064 жыл бұрын

    Hii shule iko wapi

  • @zuberishehe57
    @zuberishehe573 жыл бұрын

    usipime milipuko hataree

  • @mfaumeking3391
    @mfaumeking33914 жыл бұрын

    Saut ndogooooo

  • @eldontv3927
    @eldontv39273 жыл бұрын

    Natamani kujiunga ila naishi mlowo mbozi. Ji mnapatikana maeneo gani huku.

  • @yusufulee4191

    @yusufulee4191

    2 жыл бұрын

    karibu sana

  • @jamilamakaranga8895
    @jamilamakaranga88955 жыл бұрын

    nimependa sana mafunzo yenu mimi ndokwanza naanza kujifunza

  • @danielkihoza7330

    @danielkihoza7330

    Жыл бұрын

    Kwema ndug

  • @shedrackpeter2672
    @shedrackpeter26725 жыл бұрын

    je mtu ukitaka kujifunza una wapataje hawa jamaa

  • @brunomahela930
    @brunomahela9305 жыл бұрын

    Habali mimi nataka kujiunga sasanitapate mawasiliano

  • @alhabiibymuhsinbakary7706

    @alhabiibymuhsinbakary7706

    3 жыл бұрын

    0685737667

  • @alhabiibymuhsinbakary7706

    @alhabiibymuhsinbakary7706

    3 жыл бұрын

    Nitakuunganisha nae

  • @samoredelavida3782
    @samoredelavida37826 жыл бұрын

    kuna wahalifu wanagonga nakozi balaa nyie tuponzeni tu

  • @ezlonlony3588

    @ezlonlony3588

    5 жыл бұрын

    😂😂😂😂

  • @ibnabou1886

    @ibnabou1886

    5 жыл бұрын

    N kweli mbaba unaweza pewa Nazi moja tu kama umepigwa mfuko Wa simenti

  • @emmanuelmapesa4514
    @emmanuelmapesa45145 жыл бұрын

    kila mchezo unaudhaifu wake mfano kapiga uka block bt umesahau kujikinga na kukimbilia kupiga so kabla hamjaonyesha uma chunguzeni kwanza kwani watazamaji wanafaham zaidi kuliko nyie yangu ndo hayo tuu

  • @e3freightltd543

    @e3freightltd543

    4 жыл бұрын

    Jifunze zaidi

  • @arandimix1932

    @arandimix1932

    3 жыл бұрын

    Nadhani ni nzuri kuwa jitihada ya kwanza kwa ulinzi

  • @Maxpaul-oi8pw

    @Maxpaul-oi8pw

    Ай бұрын

    Unachekesha kwel

  • @shedrackpeter2672
    @shedrackpeter26725 жыл бұрын

    je mtu ukitaka kujifunza una wapataje hawa jamaa

  • @shabanabdullaziz9934

    @shabanabdullaziz9934

    5 жыл бұрын

    Kuna branch nyingi, so unawezajiunga kulingana na pahala ambapo ni kwepesi kwako. 1. Ilala Machinga Complex (Main) 2. Oystbay Shule 3. Ukonga 4. Kimara

Келесі