Sh 7.5 bilioni kutumika ujenzi wa awamu ya kwanza ya viwanja vya nanenane Dodoma
Serikali imetenga Sh 7.5 bilioni kwaajili ya awamu ya kwanza ya ujenzi wa viwanja vya kisasa vya maonyesho ya nanenane jijini Dodoma yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 01, 2024 ambapo mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo atakuwa Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na kilele kinatarajiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo Jumanne, Juni 04, 2024 jijini Dodomba ambapo ameeleza kuwa kaulimbiu ya maonyesho hayo kwa mwaka huu ni chagua viongozi bora wa serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
Пікірлер: 10
Hongereni saaana Viongozi wetu, Mbarikiwe
Maonyesho ya Arusha yange hamishiwa Babati. Arusha tunahitaji maonyesho ya utalii zaidi
saf sana fanyen kwel bas tunataka kuyaona hayo
Kanda ya ziwa vipi, Bukoba,Simiyu, Shinyanga?
Hopo sawa
"Chagua viongozi bora wa serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya kilimo,mifugo na uvuvi". Ramani inapendeza Sanaa ikiwa itatekelezwa Kama inavyoonekana. Huu mradi utachkua muda gani kukabidhiwa? Pongezi kwako mh. Bashe kwa uongozi unaoacha alama. Nasi tunasubiri uwanja wetu wa Nyamon'goro. salaam toka mwanza 🐟.
@jofreyfungo1112
25 күн бұрын
Matumizi siyo. Anafaidi anayepata tenda na aliyempa.Sisi tubaki na Mungu
Mbeya mtoa wajinga nyie