Rostam Feat Ferooz - Hujambo Mwanangu (Official Audio)

Музыка

#Rostam #Ferooz #HujamboMwanangu
ROSTAM (ROMA & STAMINA) PROUD TO PRESENT A BRAND NEW AUDIO HUJAMBO MWANANGU FEATURING FEROOZ
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/staminashorwebwenzi
Written & Performed by Stamina, Roma & Ferooz
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Пікірлер: 3 400

  • @miketez2160
    @miketez21603 жыл бұрын

    Nmerudi tena... Sijaona likes🇰🇪

  • @mcjackmasterkenya7071
    @mcjackmasterkenya70713 жыл бұрын

    jameni nipee like atleast zifike kumi nmekua nasaport mziki wa stamina toka .. WAKENYA TUPO DANI... ONE LOVE

  • @msafilibeveriny4117

    @msafilibeveriny4117

    3 жыл бұрын

    Unapenda like

  • @loicewanjira7750

    @loicewanjira7750

    3 жыл бұрын

    Mziki sawa

  • @givenessmwenda791

    @givenessmwenda791

    3 жыл бұрын

    Dah wimbo mkali Sana huu

  • @zotempyaonline8485
    @zotempyaonline84853 жыл бұрын

    WANAOAMINI AWA JAMAA NI MA GENIUS. KILA WAKITOA DUDE LINA TREND LIKE APA JMN👋👋👋👏👏

  • @ramaahke512
    @ramaahke5123 жыл бұрын

    Unausikiliza wimbo huu najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @chingatz4420
    @chingatz44203 жыл бұрын

    Dah rostam mnafanya mpka najisikia kuimba wakati siwez ila ii ngoma naomba irudiweeee iirudiweeeeee naomb like zifike 20k kwa leo tu

  • @salimuhabibu5295
    @salimuhabibu52953 жыл бұрын

    Alioickiliza hii ngoma Zaid ya mara kumi kutafuta haya mafumbo jiwe gizani limempata nan Tujuwane hapa kwa like

  • @user-lm4kt6ve9v
    @user-lm4kt6ve9v6 ай бұрын

    Pongezi sana Rostam

  • @otilebrownofficial
    @otilebrownofficial3 жыл бұрын

    Mad sick 🔥

  • @Pizzojohn

    @Pizzojohn

    3 жыл бұрын

    Otiti

  • @sirfrancis6471

    @sirfrancis6471

    3 жыл бұрын

    Piga kazi na rostam kaka

  • @erickboy5336

    @erickboy5336

    3 жыл бұрын

    Noma sanaa

  • @eugenekimutai8786

    @eugenekimutai8786

    3 жыл бұрын

    Kaka fanya Kazi na hawa Rostam nawakubali sanaa

  • @eugenekimutai8786

    @eugenekimutai8786

    3 жыл бұрын

    Collabo kaka inaeza kuwa kubwa

  • @ibrahimkanuto3514
    @ibrahimkanuto35143 жыл бұрын

    "Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.” Luka 9:60

  • @manyuhandumbaro9618

    @manyuhandumbaro9618

    3 жыл бұрын

    Noma kaka

  • @mwajumashomari3453

    @mwajumashomari3453

    3 жыл бұрын

    Yap

  • @chawedonard6617
    @chawedonard66173 жыл бұрын

    Naombeni hata like 10 jamani tunaokubali hii ngoma

  • @HonJongo
    @HonJongo Жыл бұрын

    609:60 Mt 3:2Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao, bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.”

  • @andrewsailen7628
    @andrewsailen76283 жыл бұрын

    Njiwa wanatutia hasara tuuu wanaumia mikono wanatibiwa Kambodiaa daaaah

  • @christianwilfred6032
    @christianwilfred60323 жыл бұрын

    Luke 9:60 📜 Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze ufalme wa Mungu.

  • @jessieboaz4592

    @jessieboaz4592

    3 жыл бұрын

    Wavivu kusoma Bible umetusaidia sanaaa🙏🙏

  • @lilymatoli7117

    @lilymatoli7117

    3 жыл бұрын

    @@jessieboaz4592 hhhhh

  • @gine9011

    @gine9011

    3 жыл бұрын

    🔥🔥🔥

  • @chumkhamis8924
    @chumkhamis89243 жыл бұрын

    Yani hii Bakora inapiga kimnya. Wale wadau wenzangu wa rostom Gonga like tujuane... Listing From Zurich Switzerland 🇨🇭

  • @trynergang1371

    @trynergang1371

    3 жыл бұрын

    Zurich imexhana mikeka bhn

  • @chumkhamis8924

    @chumkhamis8924

    3 жыл бұрын

    @@trynergang1371 yani kinoma Boy

  • @brightshola3778

    @brightshola3778

    3 жыл бұрын

    tuko pamoja bro

  • @chumkhamis8924

    @chumkhamis8924

    3 жыл бұрын

    @@brightshola3778 poa Boy. Be blessed mjengoni uko p1

  • @brightshola3778

    @brightshola3778

    3 жыл бұрын

    @@chumkhamis8924 pamoja braa

  • @salehjuma5242
    @salehjuma52423 жыл бұрын

    Mamae mnajuwa mpaka mnaniuz like kama zote kwa ferouz✅✅🙏

  • @kazumarinampanda4492

    @kazumarinampanda4492

    3 жыл бұрын

    Kwanza atali

  • @emanuellawrence4912
    @emanuellawrence49123 жыл бұрын

    Wanao sema "ROSTAM KAZI IENDELEE" like yako pia

  • @happinessshirima3279

    @happinessshirima3279

    3 жыл бұрын

    😄😄

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili51503 жыл бұрын

    Mm nimesikiliza... Zaid ya Mara Tano... Kam ww umesikiliz gonga like

  • @abudeensalim3592
    @abudeensalim35923 жыл бұрын

    Naombeni likes japo tatu tu jamani mimi nduguyenu wa damu mkinibagua ntawasema na mama...

  • @hilalmohd8941

    @hilalmohd8941

    3 жыл бұрын

    mama Mtia saini2

  • @abudeensalim3592

    @abudeensalim3592

    3 жыл бұрын

    @Hilal haswa huyo huyo😂😂

  • @suleimanialex6209
    @suleimanialex62093 жыл бұрын

    Magufuli . Kweli ataishi miyoni mwetu daima . Kumbukeni alituambia mungu anaipenda tanzania .Kwaiyo tumtangulize mungu

  • @kennedymwangi604
    @kennedymwangi604 Жыл бұрын

    You guys God bless you....couse this is the reality guys

  • @banegatv5553
    @banegatv55533 жыл бұрын

    Kama Uelewi Code Hapa Uezi Elewa Kinachoendelea Respect Sana Chama Langu Rostam ✊✊

  • @hendrytarimo1602
    @hendrytarimo16023 жыл бұрын

    Walioirudia zaidi ya mara moja naomba like zakutosha ✍️✍️

  • @eyshermohammed2236
    @eyshermohammed22363 жыл бұрын

    Nyimbo kali wanangu Rostam na ferooz

  • @visionman8277
    @visionman82773 жыл бұрын

    Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao. Bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.” luka 9:60

  • @afronews8349

    @afronews8349

    3 жыл бұрын

    Nice

  • @odba_jr371
    @odba_jr3713 жыл бұрын

    Mwanacha ndaki ndaki wa rostam naomba like 100 ivi

  • @jumanenga271
    @jumanenga2713 жыл бұрын

    Roma umeprove km umekimbia uhaibuni dah! Sema ngoma kali madini mengi yanayok kw hivi vichw 2 ila feruu hodari w mda wot 💣💥🔥😍

  • @emmanuelntemi2752
    @emmanuelntemi27523 жыл бұрын

    luka 9:60 Lakini Yesu akamwambia, “Waache waliokufa wawazike wafu wao. Ni lazima uende kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu.” shikamo Roma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abuj4really323

    @abuj4really323

    3 жыл бұрын

    Good sana kija

  • @rashidbemunda3237

    @rashidbemunda3237

    3 жыл бұрын

    Ĺ

  • @jonathanmulei9594
    @jonathanmulei959410 ай бұрын

    Eeh this is talent...achana na kina,diamond

  • @rashidmulika5227
    @rashidmulika52273 жыл бұрын

    *Tunaimba wote nafungiwa Mimi* -Roma Hii nyimbo ni bonge la GOMA. Safi Sana.

  • @officialsteeve2384
    @officialsteeve23843 жыл бұрын

    Mziki ungekua wa namna hii czan kama mzki ungekua na mashabiki,,,mana kwa hii ngoma inaitaji ufikir sana ndipo uielewe respect my ROSTAM🎶🎶🎶🎶🎶

  • @wazirihamisi6484

    @wazirihamisi6484

    3 жыл бұрын

    Hahahahaha

  • @wakayaamos7676
    @wakayaamos76763 жыл бұрын

    Rostam wana fanya mtu apende Hip-hop na poetry. Kazi safi hawajawahi ku ni angusha.

  • @mcnoblelux3378
    @mcnoblelux33783 жыл бұрын

    I don't stop to listen to this song,vijana wanafanya kazi kweli na sio upumbavu waki diamond na Harmonize social media,we need good music,positive vibes,strong msg,respect to Feroos,professional chorus big up guys and keep the good tracks

  • @paschalchitanda1713
    @paschalchitanda17133 жыл бұрын

    Rostam for life..kama unawakubali rostam like hapa..🤝

  • @emmanuelterevael5766
    @emmanuelterevael57663 жыл бұрын

    Rostam mnastahili kupewa tuzo nyimbo zenu hazichoshi kusikiliza na Zina ujumbe mzuri Kama ukiweza kufumbua mafumbo yake,,big up @rostam

  • @bongoreview1738
    @bongoreview17383 жыл бұрын

    Ferooz voice is Priceless 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @skabajunior4656
    @skabajunior46563 жыл бұрын

    Nyimbo mbovu inakamata namba one on trending wameisumbua sauti ya ferooz

  • @patrickmkongwa9574
    @patrickmkongwa95743 жыл бұрын

    Narud January ntafikia kwa kaka bumbulli...........sijawahi pata like 100 jaman

  • @smartworktz2128

    @smartworktz2128

    3 жыл бұрын

    We timu yako inashuka daraja huko wew unatafuta likes huku🤔

  • @mickyernest7970

    @mickyernest7970

    3 жыл бұрын

    @@smartworktz2128 😂😂😂

  • @georgengoda4447

    @georgengoda4447

    3 жыл бұрын

    Mzee umapata ongea mengine

  • @deogratiuskiteti2887
    @deogratiuskiteti28873 жыл бұрын

    Kama unawakubali wasanii naombeni like zenu Leo..wimbo huu ni shiiiidaaa

  • @athumanichato9644
    @athumanichato96443 жыл бұрын

    Na wasiwasi na waliobaki mama uwaangalie vzr kama kaka yetu aliye HAI na Yuko hapi YUle chenga polepole haya mambo sasa ni musiba njoo nchemba

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza3 жыл бұрын

    Wabongo bana , wanaogopa kuongelea siasa alafu wanapita kwa mbali .

  • @timolivier411
    @timolivier4113 жыл бұрын

    Rostam tufanye feat na kikosi kazi 🔥🔥 please itakuwa soo sana nakukuza mziki mbali wa hip-hop . Tungo Safi sana mchabiki wenu number moja toka drc congo Nataka like 💯

  • @saidalflan6515
    @saidalflan65153 жыл бұрын

    awa jamaa wanajua mbaka wanajua tena kama kutakuwa na uhuru wa kuongea kwenye hii nchi basi tutegemee ngoma kari kwa hawa jamaa ROSTAM ❤❤

  • @Iamdyrn
    @Iamdyrn3 жыл бұрын

    Bonge la ngoma Ile swimming pool ya rufijii Daa sema wana wanajua sanaa aseeb Shout out kwa #rostam

  • @samuelmungai6310
    @samuelmungai63102 жыл бұрын

    This deep...🔥🔥shout out to Ferooz for bringing out the emotion on the hook.

  • @espoirkashindi1725
    @espoirkashindi17253 жыл бұрын

    Mimi ni mcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ila wimbo nilikuwa nausubiri sana kabisa..... Wa Congo nipe like zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @salehegau5304

    @salehegau5304

    3 жыл бұрын

    Nyinyi wasenge mnajuwa xana

  • @Isaac_The_Genius

    @Isaac_The_Genius

    3 жыл бұрын

    Kaka mimi mbondo tuko pamoja

  • @alextanzania

    @alextanzania

    3 жыл бұрын

    Zambi wa moyo

  • @lucaskashimwita6386

    @lucaskashimwita6386

    3 жыл бұрын

    Nimekupa dislike na comment au hutaki 😂😂😂

  • @heritierdirock3409

    @heritierdirock3409

    Жыл бұрын

    @@Isaac_The_Genius 😂😂😂Niatari nehemia nimekupata

  • @asueddy1465
    @asueddy14653 жыл бұрын

    LUKA 9 : 60 Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”

  • @davidngonyani4923

    @davidngonyani4923

    3 жыл бұрын

    Pamoja sana

  • @jamesburetta4440

    @jamesburetta4440

    3 жыл бұрын

    imeisha hio....

  • @jandaboytzz2755

    @jandaboytzz2755

    3 жыл бұрын

    Maana Yake??

  • @shakurfaith

    @shakurfaith

    2 жыл бұрын

    @@jandaboytzz2755 waache wajinga wapotoshane wenyewe

  • @andrewrambau9818

    @andrewrambau9818

    Жыл бұрын

    Kaka mbona kmya sana jamani

  • @jvctutoriais6672
    @jvctutoriais66722 жыл бұрын

    bora zaidi ya nyakati zote. wanamuziki wangu. ferroz Karibu tena. 2021. Niliusikia wimbo wako wa kwanza nilipokuwa na umri wa miaka 12 sasa nina 31 wewe na mwalimu Jay ni hadithi za Tanzania

  • @abdillahmkaikuta3033
    @abdillahmkaikuta30332 жыл бұрын

    Luka 9:60 BHND Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”

  • @Donrugi
    @Donrugi3 жыл бұрын

    Niamini Mimi hii nyimbo unatakiwa uisikilize si chini ya mala 5 ndiyo uielewe vizuri tena ukiwa umetulia TULIII. Rostam hawajawahi niangusha 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @mangweajr9666

    @mangweajr9666

    3 жыл бұрын

    Ni kwel

  • @Donrugi

    @Donrugi

    3 жыл бұрын

    @@salehkupaza4547 mala moja uongo labda kama ulikuwa unarudisha rudisha nyuma. But the reality lazima uisikilize zaidi ya mala moja ili kuielewa

  • @sirfabiano767

    @sirfabiano767

    3 жыл бұрын

    Roma ni fala

  • @rojabest2011
    @rojabest20113 жыл бұрын

    Hii ndio ngoma yang pendwa ndan ya mwaka huu haitokei respect rostam ft ferooz .

  • @bockernyarusahi3655
    @bockernyarusahi36553 жыл бұрын

    Kundi la Rostam lina kipaji cha kweli katika Usanii,acha hawa wababaishaji na Ferooz kwenye kiitikio hafanyi kosa

  • @lyndaalloyo9387
    @lyndaalloyo93873 жыл бұрын

    Luka 9:60 Yesu akamwambia, "waache wafu wazike wafu; wao bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu"

  • @kilelechaimani.8956
    @kilelechaimani.89563 жыл бұрын

    Anaeijua Luka 9:60 tangu utotoni na alisahau ila leo malegendary wamemkumbusha Basi gonga like Hapa ili kupitia kumbusho MUNGU pia akukumbuke ktk Mambo yako. PST Chris Soraya.

  • @nicholasmukhwana7268

    @nicholasmukhwana7268

    3 жыл бұрын

    Rostam wanajua mziki wao!

  • @pierelizy5222

    @pierelizy5222

    3 жыл бұрын

    Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe nenda ukautangaze ufalme wa Mungu.

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry42493 жыл бұрын

    Mashangazi wawili ndo nani dah nyimbo ngumu kweli yani

  • @shaimahasani9812
    @shaimahasani98123 жыл бұрын

    Ngoma kali sana kama umeelewa code gonga like tujuane🔥🔥😘

  • @feione9246
    @feione92463 жыл бұрын

    Rostam ni kibokoo aisee😂😂 🇹🇿🇹🇿 sihami Mimi R.I.P magufuli......KAZI IENDELEE

  • @jeffkajula9345

    @jeffkajula9345

    3 жыл бұрын

    Anaitw roma

  • @Swahili_Finance
    @Swahili_Finance3 жыл бұрын

    Luke 9:60 " Waache Wafu Wawazike Wafu Wao, Bali wewe Nenda Ukautangaze Ufalme Wa Mungu"

  • @lusekelocharles8066
    @lusekelocharles80663 жыл бұрын

    Hiii no noma noma kama noma ferooz mmepatia hapo kati wazee goma litazaa matunda

  • @zaynabissa7107
    @zaynabissa71073 жыл бұрын

    Nimerud mara 5 ila bado kuna tungo tata hatar 🙌🙌🙌🙌🙌mko vzr rostam

  • @ashrafsaadoun3863
    @ashrafsaadoun38633 жыл бұрын

    Rostam tunawapenda milele nyimbo zinu zinaelmisha hatuwezi kuwasahau Mungu awalende milele

  • @andrewjohn6766

    @andrewjohn6766

    3 жыл бұрын

    Bonge la ngoma mzazi

  • @ashrafsaadoun3863

    @ashrafsaadoun3863

    3 жыл бұрын

    💯💯

  • @lukeoj7164
    @lukeoj71643 жыл бұрын

    Damn! The art in this song... Maana fiche! Love from Kenya 🇰🇪

  • @abbyadams8691

    @abbyadams8691

    3 жыл бұрын

    Hawa jamaa ni shiidaa!

  • @hafydhmo9566

    @hafydhmo9566

    3 жыл бұрын

    @@abbyadams8691 but mkenya huwez elewa hapo mpak ujue siasa ya TZ

  • @abbyadams8691

    @abbyadams8691

    3 жыл бұрын

    @@hafydhmo9566 Km unajua Kiswahili walau 50-70% utaelewa ila km hujui Kiswahili hapo ni Zero kabisa!!

  • @denisorodi8195

    @denisorodi8195

    2 жыл бұрын

    kama hujui habari za tanga huezi elewa

  • @aishambondo8923
    @aishambondo89232 жыл бұрын

    Ferooz unaninilizaa mwenzio😭🙌🙌

  • @itumbajoh5399
    @itumbajoh53993 жыл бұрын

    mashangazi wawili bado wana hasira na baba# hapa namuona fatma na maria

  • @hamad4430
    @hamad44303 жыл бұрын

    dah hawa jamaa ngoma yao kalii ni balaaaaaaa...hii ngoma ukisikilza mara tatu ndio unazidi kuielewa......NAOMBA STAMINA HII NGOMA IRUDIWE

  • @Majembe12
    @Majembe123 жыл бұрын

    TUNAIMBA WOTE ILA NAFUNGIWA MIM"" hili hata Mimi najiulizaga na sipati jibu".... Roma mtata Sana.. Kuna vitu vinafikirisha humu

  • @hamidjuma8853

    @hamidjuma8853

    3 жыл бұрын

    nomaaa

  • @solomonmgaya8190
    @solomonmgaya81903 жыл бұрын

    Ferouz umetendea haki chorus..alafu Roma aisee kick unapita nazo vizuri...Stamina umejitahidi sana

  • @shafyshabanmohamed9418
    @shafyshabanmohamed94183 жыл бұрын

    Madini kama Madini

  • @bigdaddyjumong461
    @bigdaddyjumong4613 жыл бұрын

    Waliosikia kama #mama ni #prsnt #mama#samia wanipe #like✅🇿🇲🇿🇲

  • @johnsonkibaja6910
    @johnsonkibaja69103 жыл бұрын

    Hawa jamaa ni wabunifu mno mekubali🔥🔥🔥

  • @gbsykes9659
    @gbsykes96592 жыл бұрын

    Bonge la ngoma hakuna ngoma kali hii shaout rostam!

  • @mugharoshayo8882
    @mugharoshayo88823 жыл бұрын

    hamjawai toa bokoo you have too much creativited..... @rostam forever

  • @jeanbaptistekafyena243
    @jeanbaptistekafyena2433 жыл бұрын

    Aliye sikiya Roma ata Rudi ivi karibuni agonge like apa.

  • @mkojanifilm3350
    @mkojanifilm33503 жыл бұрын

    Ng'ombe wew kumbe unajua kuimba nyimbo tamu

  • @edwardkamina8718

    @edwardkamina8718

    3 жыл бұрын

    Kumbe ng'ombe humjuiii?

  • @canalybleez1306
    @canalybleez13063 жыл бұрын

    Wanaosema nyimbo hii angeshirikishwa nay wa mitego gonga like hapa🤙🤙

  • @tanzalivetv
    @tanzalivetv3 жыл бұрын

    wangapi wanataka tuwachambulie hii ngoma

  • @abelianraphili5150

    @abelianraphili5150

    3 жыл бұрын

    Mm hap

  • @iradiboni5272

    @iradiboni5272

    3 жыл бұрын

    Tuchambulie Tafadhali

  • @namallakankalla3780

    @namallakankalla3780

    3 жыл бұрын

    @@user-tb4lj6zv5p njiwa ni zile ndege halaf banda la kijijin ni airport chato

  • @kumwambaboymc4854

    @kumwambaboymc4854

    3 жыл бұрын

    Tufafanulie

  • @risktaker4111

    @risktaker4111

    3 жыл бұрын

    @@iradiboni5272 dada.. ni Mange Kimambi, Njiwa ni Ndege, banda kijijini.. uwanja wa Ndege Chato

  • @peterladslaus6904
    @peterladslaus69043 жыл бұрын

    Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao, bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.”

  • @samweljoseph8192

    @samweljoseph8192

    3 жыл бұрын

    pamoja nawe

  • @veriasmathayo7306

    @veriasmathayo7306

    3 жыл бұрын

    et broo hyo ndo kitab Cha Luka alichosem roma

  • @goddymduda3774

    @goddymduda3774

    3 жыл бұрын

    @@veriasmathayo7306 Luka 9:60

  • @peterladslaus6904

    @peterladslaus6904

    3 жыл бұрын

    @@veriasmathayo7306 ndio hivo kk

  • @moseschriss9448
    @moseschriss94483 жыл бұрын

    Kama angekaa one six kwenye chorus angeua sana Ila huyu kama kapigwa loba ya mbaoo🥵

  • @twahirumtunguja4136
    @twahirumtunguja41363 жыл бұрын

    Ummy mwalimu ckia vijana wako mama Samia ckia wanao majaliwa mariza tofauti za vijana makonda utapata tabuu juu ya vijana Hawa🙏🙏

  • @jorgenkimani8873
    @jorgenkimani88733 жыл бұрын

    Roma na stamina never disappoint love from 🇰🇪

  • @shinipapaya846

    @shinipapaya846

    2 жыл бұрын

    We Chikenya kuma tu

  • @lazarobituro8644
    @lazarobituro86443 жыл бұрын

    I've struggled to find a proper way to put it but nothing sufficed more than "YOU GUYS ARE TALENTED"

  • @logicsmith3085
    @logicsmith30852 жыл бұрын

    Tunaitaji video🔥🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮

  • @tostokidman464
    @tostokidman4643 жыл бұрын

    Roma mung akupe maisha marefu hili viziwi wasikie na kuelewa

  • @kipusaudaku7792
    @kipusaudaku77923 жыл бұрын

    Naomba like za mtumzima Roma na Stamina. Mana walikua wame nifanya nipoze mtaani💪🏾💪🏾💪🏾

  • @jeivinmtundu3958
    @jeivinmtundu39583 жыл бұрын

    Hatari hii ngoma ukiisikiliza kichwa kichwa huwezi kuelewaaah Ila big u rostam

  • @ntibarufatanyamibwa1892
    @ntibarufatanyamibwa18922 жыл бұрын

    Ho ngera sana rostama wimbo mzuri mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu ameen

  • @kakahshivohpoetry8973
    @kakahshivohpoetry89733 жыл бұрын

    Huu wimbo uko kimafumbo,big up Rostam👊

  • @karehmhenga7130
    @karehmhenga71303 жыл бұрын

    wanangu fiti bana ferooz arudi game nipeeni like ya Rostam 🔥🔥🔥🔥🌟

  • @masoudsaleem4063

    @masoudsaleem4063

    3 жыл бұрын

    DAAH ROMA FUNGUA DARASA UTUPE KOZI, COZ UNAONGEAGA KIKUBWA UNATUTOA HADI MACHOZI!! KILA NKIJARIBU KUONA NDANI NABAKI TU NA MACHO YANGU YA NAZI, MA3 LAKINI SIONIIII 🤔🤔🤔😆😆😆😆

  • @karehmhenga7130

    @karehmhenga7130

    3 жыл бұрын

    @@masoudsaleem4063 ukweli bana tunangoja darasa ya Rostam tu

  • @alphatissa9379
    @alphatissa93793 жыл бұрын

    Mwana kulitafuta,mwanakulipata,round hii sio ununio,Daraja LA mkapaaa....

  • @funikotv4716
    @funikotv47163 жыл бұрын

    Huu wimbo na wa ney si sawa tu ila ney wamemfungia jamani sio sawa

  • @marrymenas
    @marrymenas2 жыл бұрын

    Hapa mmechemka. Ovyo kabisa!

  • @thomasjunior3272
    @thomasjunior32723 жыл бұрын

    Wakenya liteni like za rostm 🇰🇪

  • @hassanbonge2605
    @hassanbonge26053 жыл бұрын

    Njiwa:Ndege Banda kjjn: Airport Chato Bamdog Mchng: Gwaj Boy Anc w sngda :Lissu B mkbw wa msoga Kikwt Ntard janur na ntafkzia kw mjmba bumbl :Januar Makamba

  • @yohanamsanga9411

    @yohanamsanga9411

    3 жыл бұрын

    Umetisha sana

  • @eknotz

    @eknotz

    3 жыл бұрын

    Mwalimu tanga ni ummy mwalimu

  • @charlespatrick4859

    @charlespatrick4859

    3 жыл бұрын

    kaka alie hai..sabaya,ally hapi,musiba,mwigulu

  • @jastinreuben1518

    @jastinreuben1518

    3 жыл бұрын

    Bamdogo mchungaji sio gwaji kaka....ni mpango 🙌🙌

  • @dn_cider9641

    @dn_cider9641

    3 жыл бұрын

    @@jastinreuben1518 ha ha ha katika code ngumu, ilikua hii - maana gwaji boy hana ushawishi wowote kwa mama. NAKUBALIANA NA WEWE

  • @jamesmuiruri7246
    @jamesmuiruri72469 ай бұрын

    Please give us frequent music.. Sometimes I listen to your lyrics and am just crying. Kenya listening

  • @manuelbravo8311
    @manuelbravo83113 жыл бұрын

    Njiwa ndo zile ndege zetu naanza kuelewa kimoja moja

  • @iamkakadave
    @iamkakadave3 жыл бұрын

    Jamaaa tufanye fanye STAMINA aingie SUBSCRIBERS LAKI🔥🔥🔥🔥🔥☀️☀️☀️

  • @officialfredoo3549

    @officialfredoo3549

    3 жыл бұрын

    Kabisaaa

  • @mnyakitz2007

    @mnyakitz2007

    3 жыл бұрын

    Hakika

  • @SAMMEDIA255

    @SAMMEDIA255

    3 жыл бұрын

    Fresh

  • @webbydanagu9667
    @webbydanagu96673 жыл бұрын

    "Hata kaka aliyekuwa hakupendi, Mambo yake yako mshazali, Aliuza nyumba ya kino bila hela ya udalali, Akapata ya kigamboni ikasombwa na upepo wa bahari,"

  • @alonealvin4534

    @alonealvin4534

    3 жыл бұрын

    Makonda tunapita nae hapo kweny uo ubet

  • @princenyakurungwi6925

    @princenyakurungwi6925

    3 жыл бұрын

    Makonda huyo

  • @successsimon2568

    @successsimon2568

    3 жыл бұрын

    Mmerisha humohumo nikosawa na nyinyi

  • @stevewanga957

    @stevewanga957

    3 жыл бұрын

    Itakua Ni nani huyo

  • @stevenomanga4637

    @stevenomanga4637

    3 жыл бұрын

    Kondakta

  • @joachimezekiel528
    @joachimezekiel5283 жыл бұрын

    Naomba Nirudie Nirudie Nirudie Wimbo Huu Mara kurudia Rufus🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🔥🔥🔥

  • @farijjmohammed7723
    @farijjmohammed77236 ай бұрын

    ferooz ametisha sana

  • @juniamanduta4545
    @juniamanduta45453 жыл бұрын

    Bonge la chorus from a legend all in all bonge la ngoma lenye ujumbe ndani ake🙌🏿

  • @thadeusmahendeka4466
    @thadeusmahendeka44663 жыл бұрын

    MISTARI IMEENDA SHULEE. GONGA LIKE KAMA UMEIKUBALI KAMA MIMI.

Келесі