REV. DR. ELIONA KIMARO: USHENZI WA PROFESA KWA WANAFUNZI WA KIKE CHUO KIKUU

Пікірлер: 55

  • @nangatv9218
    @nangatv9218 Жыл бұрын

    Yesu alimwambia Thomas mwenye mashaka heri mtu yule anaeamini na hajaona, Thomas alimuona Yesu na alijua atakufa na kufufuka na hakuamini bado kama Yesu kweli kafufuka mpaka alipomshika na alama za misumari, mimi nimemuona Yesu, nimemuona Mungu kwenye maisha yangu, Naamini!!!

  • @siphaelmbise3175
    @siphaelmbise3175 Жыл бұрын

    barikiwa sana mchungaji ni kweli apandacho mtu ndicho atakachovuna

  • @geofreytimoth8084
    @geofreytimoth8084 Жыл бұрын

    Mungu akuzidishiye nguvu tunabarikiwa na mafunzo baba.

  • @esmilykipele4008
    @esmilykipele4008 Жыл бұрын

    What??? I need grace here to forgive such a man . Hapa nahitaji ombi hilo mchungaji Niokolewe na yule muovu🙏🙏

  • @faustinahugo9621
    @faustinahugo9621 Жыл бұрын

    Mungu akubariki mchungaji 🙏🙏 unachosema nasikia 😭 Mungu utuokoe na yule mwovu 🙏

  • @amoogaza6825
    @amoogaza6825 Жыл бұрын

    Asante kwa mafundisho

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын

    Mungu akubariki baba. Umenifunza jambo

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594

    Mungu aturehemu sana dhambi ya baba ni kiboko

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 Жыл бұрын

    Good lesson, goes around comes around, tuwe makini kwa nafasi zetu.

  • @macklinakabyazi3036
    @macklinakabyazi3036 Жыл бұрын

    Napenda mifano YA huyu mtumishi wa Mungu.

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Жыл бұрын

    Asante kwa kisa hivhi amvacho kina mafundisho mazuri.

  • @zawadipaul4857
    @zawadipaul4857 Жыл бұрын

    Bwana Yesu kumbuka rehema, uovu wa Wazazi usiwapate watoto 🙏

  • @user-bj2sl5cp1w
    @user-bj2sl5cp1w

    Mungu akubariki mchungaji 🙏🙏🙏

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 Жыл бұрын

    Mungu atusaidie Vyeo hivi na lecturers wetu kwa kweli inatia uchungu

  • @juslenkavira6961
    @juslenkavira6961 Жыл бұрын

    Ubarikiwe baba yangu kwa mafudisho Mungu azidi kukubariki na akupe mwisho muzuri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @tinasteve5181
    @tinasteve5181 Жыл бұрын

    Uuuuuuiiiiii 🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭 ya duniani naogopa sana

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 Жыл бұрын

    Amina,barikiwa sana

  • @jacquelinesemu1347
    @jacquelinesemu1347 Жыл бұрын

    Watoto wanateseka kwa dhambi za wazazi wao.

  • @gideonking5404
    @gideonking5404 Жыл бұрын

    Nakupenda Mtu wa MUNGU 🙏

  • @paulsabe3917
    @paulsabe3917 Жыл бұрын

    Mimi huwa nashangaa sana.Mama mkaanga mihogo hana chochote;Watoto wake wanakuwa profesa.Lakini profesa anashindwa kurise hata mtoto mmoja kuwa profesa.Kumbe haya mambo yanachangia.Mungu atunusuru na haya maovu.