RAMADHANI BROTHERS, WATANZANIA WA KWANZA KUSHINDA AMERICAN'S GOT TALENT FANTASY LEAGUE 2024

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Пікірлер: 50

  • @jaybajay9973
    @jaybajay99733 ай бұрын

    Mashallah .pongezi kwenu kwa kuiwakilisha vyema Tanzania yenu Mungu azid kuwaneemesha

  • @basilisamogela350
    @basilisamogela3503 ай бұрын

    Wow jamn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤😢😢😢😢❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🦋

  • @priscasanga727
    @priscasanga727Ай бұрын

    Mungu awabariki sana ramadhani brothers

  • @Dr_pumber
    @Dr_pumber3 ай бұрын

    Mimi ntakuwa mtanzania wa kwanza kushinda tennis marekani

  • @priscajumakanani2327
    @priscajumakanani23273 ай бұрын

    Waoooo waoooooo 🎉🎉🎉🎉Nimejivunia wao❤❤❤❤Everything is possible Nimejifunza udhubutu❤

  • @user-lf2ze2xr7s

    @user-lf2ze2xr7s

    3 ай бұрын

    Najivunia saana nyieeèwatu ❤❤❤❤bless you god

  • @masumbukomola1911
    @masumbukomola19113 ай бұрын

    Watanzania tunaweza hongera sana

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford64263 ай бұрын

    Jamani jamani, Hongera sanaaaaaaa

  • @user-sq2bj1dm9z
    @user-sq2bj1dm9z3 ай бұрын

    Hongereni sana vijana wetu wanasitahili mapokezi makubwa 💪💪👊👊

  • @kojatanga2137
    @kojatanga21373 ай бұрын

    Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

  • @user-qk5sp3lz4u
    @user-qk5sp3lz4u2 ай бұрын

    woooow ♥️♥️♥️♥️

  • @Sean1877
    @Sean18773 ай бұрын

    Waafrica wakwanza kushinda..not only Tanzanians but first Africans to ever win 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jorento
    @jorento3 ай бұрын

    Hongera sana Kwao.

  • @aminamhina7250
    @aminamhina72503 ай бұрын

    Watz ambao mwanz hwakupewa support now kil mtu anawapost hii ndo nchi yetu hongeren san mmepambn mara ya 3 ndo mungu amewapa mlichostahili

  • @barrynzeyimana6270

    @barrynzeyimana6270

    3 ай бұрын

    MUNGU HAJAWAPA. WAJAJI WAMEWAPA NA KWENYE SHERIA AMBAZO WAMEZITUNGA WAO

  • @Oman-mh4ex
    @Oman-mh4ex3 ай бұрын

    hongeran San ❤❤

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz47173 ай бұрын

    Big up wanangu mmepambana Sana ushindi ni WA east Africa mzima. Love from zanzibar.

  • @user-fy6xw5gb2r
    @user-fy6xw5gb2r3 ай бұрын

    majasir ya Tanzania ongeren sana mmepambana mno sio jambo rahisi

  • @yourvideostz1579
    @yourvideostz15793 ай бұрын

    Amazing!

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford64263 ай бұрын

    You made Tanzania proud

  • @cosbytz2370
    @cosbytz23703 ай бұрын

    Hongera sana kwako 🙌

  • @ajuayesigalla6140
    @ajuayesigalla61403 ай бұрын

    Congratulations we are proud of you

  • @user-gg8xg6jb5h
    @user-gg8xg6jb5h3 ай бұрын

    Mmejua kuipeperusha bendera ya tz Allah awatangulie nawapenda

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns1473 ай бұрын

    Congratulations, Hongera sana

  • @user-le1xb3rj6s
    @user-le1xb3rj6s3 ай бұрын

    Mungu awatangulie

  • @josephmwinyi
    @josephmwinyi3 ай бұрын

    Hongera Sana

  • @shabanponera2895
    @shabanponera28953 ай бұрын

    Hongera sana kwao

  • @soilammary4211
    @soilammary42113 ай бұрын

    Hongera sanaaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @tulisamwel41
    @tulisamwel413 ай бұрын

    Hongera sana wanetu

  • @asumilebenson6477
    @asumilebenson64773 ай бұрын

    Amazing brothers, well done!!!!

  • @milkahappyphanus8823
    @milkahappyphanus88233 ай бұрын

    Hongereni sana inafurahisha

  • @gsbsmardoors
    @gsbsmardoors3 ай бұрын

    Yessssss

  • @drijarunelson2760
    @drijarunelson27603 ай бұрын

    First time African Man wining AGT

  • @sonalamhangwa8735
    @sonalamhangwa87353 ай бұрын

    hongereni sana, Hongereni sana

  • @khadijaalimohd1320
    @khadijaalimohd13203 ай бұрын

    Deal done BRO'S

  • @rahabumwambuga4214
    @rahabumwambuga42143 ай бұрын

    Congratulations my young brothers 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @reginajoel3785
    @reginajoel37853 ай бұрын

    wawo wawooo❤❤❤❤ hongera sana

  • @barikisia
    @barikisia3 ай бұрын

    Woow congratulations

  • @soilammary4211
    @soilammary42113 ай бұрын

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @anithakaijage9078
    @anithakaijage90783 ай бұрын

    You did well Mimi na Mama Samia Suluhu tumefurahi

  • @catherinegilbert2739

    @catherinegilbert2739

    3 ай бұрын

    Jamani msalimie mama Mary

  • @user-lf2ze2xr7s
    @user-lf2ze2xr7s3 ай бұрын

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @zuhuzuli.5150
    @zuhuzuli.51503 ай бұрын

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @latifarashid3226
    @latifarashid32263 ай бұрын

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤👍

  • @sultansallah8772
    @sultansallah87723 ай бұрын

    Ni watanzania kweli lakinj... Mana watanzania sisi kwa kuunga udugu hatujambo

  • @julianadaniel9481
    @julianadaniel94813 ай бұрын

    ❤❤

  • @salimkirungi5676
    @salimkirungi56763 ай бұрын

    Wazee😂 wametisha sana, ilikuwa hatari yenye ushindi

  • @user-uv8mr2gn4h
    @user-uv8mr2gn4h3 ай бұрын

    jamani hongereni

  • @mpelimwasumbi9427
    @mpelimwasumbi94273 ай бұрын

    Kwan wakenya wao wanasemaje?😂😂😂

  • @Robbyonline09
    @Robbyonline093 ай бұрын

    Hongera sana kwao Brothers

Келесі