Rais Samia Atoa Maagizo Mazito| 'Mnashudia Matusi Ninayotukanwa, Sitajibu'| Aonya Kuhusu Uchumi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 23

  • @jabirikilagilile9799
    @jabirikilagilile9799Ай бұрын

    Tupo nyuma yako Rais wetu mpenda maendeleo ya nchi mtu akikusikiliza kwa makini kweli unataka kuivusha Tanzania

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586Ай бұрын

    Hongera mama tuko pamoja kazi Yako nzuri sana mama usimsikilize mtu mjinga anaekutukana kazi iendelee

  • @KornelNyenzi
    @KornelNyenziАй бұрын

    Nchi yangu Tanzania Leo naandika huku moyo ukiw n hofu lakin kinywa kikieleza kw ushujaaa , Leo Nawaz wapi nitaenda nikitazam vijana wenye nguvu wapo pemben ila wazeee ndo wenye kukaaa mbele , Tanzanzia yangu nakupenda ila wewe hunipend nifanye kipi unipende nchi yangu mbona nimefanya yote yanipasyo kwako ila wewe bado hunitak , Mimi kijana mwenye umri w miaka 26 unatak nifike umri gan. Unipende Mimi daaaaa lakin naiman ipo siku utanipenda nam nitakujengea ngao ngumu ambayo hakuna atakaye iharibu

  • @chemistlaizer6562
    @chemistlaizer6562Ай бұрын

    Hotuba ya leo nzuri kwa mustakabali wa Taifa letu.

  • @kuntaalkinte5415
    @kuntaalkinte5415Ай бұрын

    hongera mama Samia nakupenda sana,achana nao wapuuzi wasiopenda maendeleo yako.

  • @bodyaman
    @bodyamanАй бұрын

    MAMA HATAKI AKANYAGIWE NGURU WAKE YEYE MSHIHIRI! NA WEWE UKITAKA ASIKUKANYAGIE NGURU WAKO BAASI USIMKANYAGIE UCHUMI WAKE.

  • @NeemaJoseph-lq9yg
    @NeemaJoseph-lq9ygАй бұрын

    Mama shkamoo,,naomba unisaidie million 10 tu.Naamini utanijibu mama,,Mungu mgude mama anijibu haraka.Nakupenda sana mama.

  • @maswamills3161

    @maswamills3161

    Ай бұрын

    Mgude ndiyo Nini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!!!!!!

  • @KornelNyenzi
    @KornelNyenziАй бұрын

    Watoto wa paka wanakula n kishiba ila watoto w panya wanateseka chakula Chao mpka wakachimbe viazi kw wakulima n kw kuibia lakin watoto w paka wao wanapelekeq mpka nyumban daaaa shamba langu hili Nan ataliokow kama mwenye shamba mwenyewe hatak kulilinda jaman ,

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159Ай бұрын

    Mama tunataka tume ya uchaguzi iwe huru jamani tuoneeni huruma

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117Ай бұрын

    aslmk mum samahaani naomba nifahamishwe jeetathmini tunaijuwaje iko sahihi jee tathmini inavipagilio gapi jee tukipamda daraja tunatawezaje kuzuia tusishuke gevii kweye yzajii wa uteuzi kutumia tui bilaya kutumia vizeio jivipi mum

  • @maryhando227
    @maryhando227Ай бұрын

    Tunataka katiba mpya jamani. Mungu anakuona wewe acha uwongo.

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376Ай бұрын

    Heshima Kwa kuiuza nchi yeutu, Mendes kwenye Zanzibar afadhali ungekufa Ww akabaki Magufuli wetu

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612Ай бұрын

    Kwa mara ya kwanza toka Magufuli atoweke leo ndio namsikia mama ameongelea Tanzania kuingia uchumi wa kati

  • @anslemngassa8614
    @anslemngassa8614Ай бұрын

    ninaomba midahalo ya wazi na wachumi wa hii nchi inawezekana nikapata majawabu ya kua mimi ndo sijui uchumi au kuna wachumia tumbo

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426Ай бұрын

    HV mikopo inaleta uchumi wa Kati?huo uchumi wa Kati ni upiiii?mm sielew

  • @anosiata8242
    @anosiata8242Ай бұрын

    Unatukanwa Kwa sababu mali za tanganyika unazitapanya kwa wageni.

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376Ай бұрын

    Ww unabwayabwaya tu toma kiwingu Ww estalou ndio união wajali Kwa sababu mnashibia hiki CCM huku Wananchi mnatuua

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas332219 күн бұрын

    😂

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311Ай бұрын

    Alfu Lela ulela....

  • @madreks253
    @madreks253Ай бұрын

    Mwizi na muongo mkubwa huna aibu mama mtu mzima...shame on you...iko siku utalipa kwa kuwadanganya na kuwaibia Watanzania...

  • @maryhando227
    @maryhando227Ай бұрын

    Huna la kujibu unauza nchi yetu, achana kudanganya watu.

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588Ай бұрын

    Wewe mama sisi watanganyika tunaitaka tanganyika yetu