RADDI KWA ABDALLAH HUMAYDI, USTADH ABUU ZAGAR حفظه الله

Пікірлер: 12

  • @abouhanifa436
    @abouhanifa4369 ай бұрын

    Mbona hiy saut ya sheikh abdallah humeid hujayawek tukayaskia

  • @AlPaary-ys3ll
    @AlPaary-ys3ll4 ай бұрын

    Abuu zagar akuongoze allah ni kijana wa kipuuzi sana

  • @ibnsalim3

    @ibnsalim3

    4 ай бұрын

    Na ww pia Allah akuongoze hunaendeshwa na shawa na chuki zako ni sio hoja na Dalili

  • @HassanHamad-rf9tq

    @HassanHamad-rf9tq

    23 күн бұрын

    ​@@ibnsalim3hao vijana Wana taasub Sana na mashekh zaoo

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed42589 ай бұрын

    Wewe utabaki na upumbavu hivo hivo

  • @ibnsalim3

    @ibnsalim3

    9 ай бұрын

    Katika alama ya aliyeishiwa na hoja ni matusi

  • @abuurauzwat1006
    @abuurauzwat10068 ай бұрын

    Wewe na huyo mpumbavu mwenzako ayo ndo yaliyo bakia kwenu , mumsubiri shekh wa kisalafi aseme ndipo nyie mchomoze ujinga na upumbavu ndo kazi yenu . Mlidhani mta izuru daawa hii lkn mtajizuru wenyewe nafsi zenu cc waaleee.

  • @ibnsalim3

    @ibnsalim3

    8 ай бұрын

    Hivi unadhni khiy dawa unaijua ww tuu, na Hawa masheikh wako kwn hao masheikh wko hawakosoi pale panaohitajika hivi unadhani kuwa hao masheikh wako ni maasumu na hawasitahiki kukosolewa, ndugu hii ni dini sio timu ya mpira au siasa akikosea yyt anatakiwa awekwe sawa hii ndio dini na ndio usalafy wenye

  • @saidishalako

    @saidishalako

    8 ай бұрын

    Si katika akhlaq ya kisalafi kutamka maneno kama haya

  • @OmarAlly-iz8ot

    @OmarAlly-iz8ot

    6 ай бұрын

    Mh

  • @HassanHamad-rf9tq

    @HassanHamad-rf9tq

    23 күн бұрын

    Kwanini Abdallah humed amtwaan shekh imam

  • @HassanHamad-rf9tq

    @HassanHamad-rf9tq

    23 күн бұрын

    Huu ndio usalafi kijana una mdomo mchafu wa kuwatukana mashekh nyinnyi ni hizbu salafiy

Келесі