PART 3: HARMONIZE DIAMOND aliniambia "Simuwezi Kwa UCHAWI/Simuwezi kwa PESA"

Ойын-сауық

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Harmonize #Rayvanny

Пікірлер: 300

  • @alihaji2356
    @alihaji23562 жыл бұрын

    Kwanini ulikuwa umenyamazaa... But finally umetapikaaa yootee JESHI FOR EVERYBODY💙💙💙

  • @asyamgeni9819

    @asyamgeni9819

    2 жыл бұрын

    Kila jambo huwa na mwisho harmonize alikuwa akimpenda daimond kiukweli tu

  • @VennyTz

    @VennyTz

    2 жыл бұрын

    Gooo

  • @nuruemmanuel6603
    @nuruemmanuel66032 жыл бұрын

    Mungu akubariki sisi tunakupenda na tutazidi kukupenda Zaid acha waseme Ila mwisho wa siku wataelewa manake saiv Mungu anajibu hata hachelewi najua hujawakose

  • @evewinny5798
    @evewinny57982 жыл бұрын

    Asante kwakusema nilikuwa sikupendi kwakweli ila leo hiii maneno unayosema unaniacha mudomo wazi

  • @jeanneandfrancislifestyle1518

    @jeanneandfrancislifestyle1518

    2 жыл бұрын

    Hhhh yeah yeah 🥰👍

  • @katendemisenga5448
    @katendemisenga54482 жыл бұрын

    I feel so sorry for you bro but you are a strong man 💪💪💪💪💪keep it up, there’s time for everything, it’s your time to shine ✨

  • @husseintv1840
    @husseintv18402 жыл бұрын

    Bro before nilikuwa napenda sana wcb bt for now I'm the konde gang 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pambana bro Kenya tuko n ww

  • @habbyhalawa5266

    @habbyhalawa5266

    2 жыл бұрын

    Wow

  • @estherwaigumo9929
    @estherwaigumo99292 жыл бұрын

    I love you Harmonize 🔥🇰🇪

  • @blackstone4488
    @blackstone44882 жыл бұрын

    Always support you harmonize keep going the future is still bright 😒🇰🇪

  • @petermuathimemusic
    @petermuathimemusic2 жыл бұрын

    Duh! Aisee jamaa angu umepitia kweli Ila tambua wimbi la bahari alizuihi meli kupenya keep going bro mungu amekutoa mbali l love u bro 🇰🇪💪💪

  • @user-po8hz7xw9j

    @user-po8hz7xw9j

    2 жыл бұрын

    Mungu atampa zaidi

  • @maliqdapainkiller8203

    @maliqdapainkiller8203

    2 жыл бұрын

    Wakenya tukusanyike tumpee support Konde boy

  • @user-po8hz7xw9j

    @user-po8hz7xw9j

    2 жыл бұрын

    @@maliqdapainkiller8203 🙏🙏🙏kwakweli inauma snaa nitakuwa vema Ila mondi IPOSIKU ubaya anawafanyia wasanii wenzie atakuja kuona malipo yake

  • @petermuathimemusic

    @petermuathimemusic

    2 жыл бұрын

    Kweli akidhaminiae mungu binandamu akitikizi 🙏🙏🙏

  • @williammwasi7129
    @williammwasi71292 жыл бұрын

    Respect u harmonize kweli wewe big 🐘 elephant 🔥🐘🐘

  • @pendonaomi9504
    @pendonaomi95042 жыл бұрын

    If you don’t get it forget about it tumekuelewa bro endelea kupambana

  • @lilbobi2347
    @lilbobi23472 жыл бұрын

    Always people be quiet not bc thy don’t have what to say but thy want peace , konde gang Jeshi sisi kama team Kings music 🎶 we love you teacher 👨‍🏫

  • @margaret5629
    @margaret56292 жыл бұрын

    We love you konde boy God will continue to fight for you and you will grow to greater hights

  • @peterdavid4230
    @peterdavid42302 жыл бұрын

    Nakukubali sana Harmonize keep going🔥

  • @Kasweetie_254
    @Kasweetie_2542 жыл бұрын

    Mama Dangote naye ni yuleyule 😭💔💔heri usingemfata

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude50942 жыл бұрын

    Kweli wewe ni Jeshi wa Majeshi, bro nilikua nakukubali sana lakini leo nimekukubali kupita jinsi ninavyo jikubali hata mi mwenyewe

  • @rabra254official2
    @rabra254official22 жыл бұрын

    I love you harmonize,,,big up bro

  • @reubenbaraka6869
    @reubenbaraka68692 жыл бұрын

    Waaaaah mambo ni moto🔥🔥🔥🔥

  • @showbizzafrica4635
    @showbizzafrica46352 жыл бұрын

    I feel you bro duuuuuh umeteseka sanaaaa

  • @dennizoclassickenya1295
    @dennizoclassickenya12952 жыл бұрын

    Mimi ni mmoja ambaye nilikua,nasema harmonize hana utu ,,ila leo naona ukweli upo wapi,,,kumbe wapo wasiotaka ufanikiwe,,unapopanda ngazi wanasema unashindana nao,,wanadamu wana mawenge😭

  • @najimamw3141
    @najimamw31412 жыл бұрын

    Nakuelewa sana harmo pole kwayalikusibu pambana wewe kweli ni jeshi

  • @RAYVA
    @RAYVA2 жыл бұрын

    je t'aime konde 👑👑👑👑👑👑 king of Tanzania

  • @christinajackson6014
    @christinajackson60142 жыл бұрын

    Tatizo la Diamond anatamani asikike peke yake ila yaye sio Mungu songa mbele utashinda ndio maana Alikuba hana time nae

  • @user-po8hz7xw9j

    @user-po8hz7xw9j

    2 жыл бұрын

    Roho mbaya ikizidi unakuwa mchawi

  • @shukurubahalira2591
    @shukurubahalira25912 жыл бұрын

    Tu est une grande star, tu nous parles les mots concrets. Tu avais le droit de quitter WCB

  • @AlexSmith-en1rs
    @AlexSmith-en1rs2 жыл бұрын

    Ndio maana mimi bado nashikilia msimamo wangu kuwa diamond ndio aliua yamoto band na ndio maaana akachukuwa mbosso mungu atamlipa mungu anamuona mungu atamshushaaa maaana yeye ndio alimpandisha

  • @burhanngomile6216

    @burhanngomile6216

    2 жыл бұрын

    Sio ya motto band pekee had tmk na tip top

  • @user-po8hz7xw9j

    @user-po8hz7xw9j

    2 жыл бұрын

    Kweli kabisa mmeongea ukweli

  • @siyaringo1267
    @siyaringo12672 жыл бұрын

    Love you,my brother konde,God is everything

  • @pendozenda5764
    @pendozenda57642 жыл бұрын

    Konde gang forever ❤️❤️❤️💪💪

  • @onesmoshayo7880
    @onesmoshayo78802 жыл бұрын

    Harmonize Jeshiii

  • @fozatv214
    @fozatv2142 жыл бұрын

    Damn!!!Be honest today you got my respect bro never give up

  • @sedjotshomba4867
    @sedjotshomba48672 жыл бұрын

    Mambo ni moto🔥🔥🔥🔥

  • @agapejosephke5339
    @agapejosephke53392 жыл бұрын

    What I got is Simba is that master that doesn't want to be outdone. I think if you're the king of the pride, just don't build and crush - they're not coming for the throne but seeking growth beyond what you can offer. Keep the pipeline flowing and the kingdom will be stable.

  • @elogeruhimbasa8667
    @elogeruhimbasa86672 жыл бұрын

    Wcb akubaki mashabiki tena tupo Na wewe harmoniz

  • @azizasaid5255
    @azizasaid52552 жыл бұрын

    Ongea . Sema ukweli daimond hapendi apitwe na msanii yeyote.

  • @mwanajumasaid1983

    @mwanajumasaid1983

    2 жыл бұрын

    Kabisaa my

  • @anniehance8620

    @anniehance8620

    Жыл бұрын

    Akionaa anapitwaaa tuu atafanyaa juu chinii had ahakikishe mamaee 😏😏😏

  • @ezekielraymond8749
    @ezekielraymond87492 жыл бұрын

    Pambana bro ALLAH akulinde

  • @amerntrendstv75
    @amerntrendstv752 жыл бұрын

    Inauma sana💔😭😭😭

  • @martinmgaya2276
    @martinmgaya22762 жыл бұрын

    Me nimemwelewa Sanaa konde boy

  • @danielaudax6755
    @danielaudax6755 Жыл бұрын

    nilikuwa napenda wasafi ila kwa hili dar nipo konde boy big up sana mungu akutangulie

  • @Jostany
    @Jostany2 жыл бұрын

    KONDE GANG FOR EVERYBODY

  • @khadijajumahamisi1721
    @khadijajumahamisi1721 Жыл бұрын

    Daah wenimti mwanaume kamili hamonize keep going 🔥

  • @kentken1479
    @kentken14792 жыл бұрын

    Waah pole Ila never give up

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana24022 жыл бұрын

    Why why why,never give up

  • @gonga1986
    @gonga19862 жыл бұрын

    Acha tabia ya uchonganishi utaishia vibaya sana hii Dunia ya Mungu..Hamo

  • @lukiusdeogratias7493

    @lukiusdeogratias7493

    2 жыл бұрын

    Wewe ulikuepo ebu vunga

  • @Mariot130
    @Mariot1302 жыл бұрын

    Ukweli humueka mtu uhuru thank you kondeboy

  • @asmaabeid2117
    @asmaabeid21172 жыл бұрын

    Anderea kupambana tupo nyuma yko. Love you

  • @neymardekutele8452
    @neymardekutele84522 жыл бұрын

    Diamond na Harmo wote wakali wapige kazi tu

  • @sircoven2250
    @sircoven22502 жыл бұрын

    RESPECT Harmonize

  • @TobiasKhatete
    @TobiasKhatete2 жыл бұрын

    noma...clean video + audio

  • @jumakizwezwe6426
    @jumakizwezwe64262 жыл бұрын

    Daaa keep it up broo🙏

  • @amoswankara3863
    @amoswankara38632 жыл бұрын

    pole sana harmonize

  • @memesandmovi3s407
    @memesandmovi3s4072 жыл бұрын

    Shusha begi bro alf wakupe maji ya kunywa ili tuendelee

  • @mwanajumasaid1983

    @mwanajumasaid1983

    2 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @nai7876

    @nai7876

    2 жыл бұрын

    🤣🤣🤣

  • @hussenhemed1050

    @hussenhemed1050

    2 жыл бұрын

    Huyo mwanajeshi

  • @silaskalanda

    @silaskalanda

    9 ай бұрын

    This is the comment I was looking for😂

  • @habbyhalawa5266
    @habbyhalawa52662 жыл бұрын

    I trust you any moree konde wallah I know ww n mpambanaji Allah atazid kukupigania n kamwe hakun yeyote hatakaye kusambalatisha kwa uwezo wake inshaa allah cz ur fighter proud ov you Mmakonde zaid napend venye uko n Imani y Allah😘😍

  • @jonesjose5781
    @jonesjose57812 жыл бұрын

    You are very talented harmonize you are going far

  • @jestermgaya4583
    @jestermgaya45832 жыл бұрын

    I lov u harmonize but never give up fanya mziki utatok achna na kiki zakipuuz kama izo nyimbo zake zenyew hazielewek pambana mjeshi 🤝🤝🤝pamoja broo💪💪💪

  • @shaabanayoub6343
    @shaabanayoub63432 жыл бұрын

    Sema moto!! Moto!! Moto!! Umewaka

  • @robiegfavour4659
    @robiegfavour46592 жыл бұрын

    Pole sana hermonize kwa mangumu uliyoyapitia bro

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana3802 жыл бұрын

    sema Harmonize sema baba

  • @nuruemmanuel6603
    @nuruemmanuel66032 жыл бұрын

    Pole sana

  • @zou7470
    @zou74702 жыл бұрын

    Jeshiii ndo mana nakupenda kaka we pambana bro naomba team sadala waje watwambie ubaya wa hamo kila siku ety hana fadhila

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana24022 жыл бұрын

    We love forever

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi6642 жыл бұрын

    Pole sana mjeshiii

  • @kevinryt4963
    @kevinryt49632 жыл бұрын

    Respect to Konde boy

  • @oscardintek278
    @oscardintek278 Жыл бұрын

    Hormonize tuko we shall support you fully

  • @richardluck6139
    @richardluck61392 жыл бұрын

    Nimetoka WCB , Konde gang for every body

  • @a.maparah5316
    @a.maparah53162 жыл бұрын

    Mm nilijuwa kwann umetok WCB KBL HUJASEMA HAZARANI najuwa kwann na nakwambia rayvanny atahama, zuchu atahama coz hakuna mtu anaeweza kuvumilia kuishi na mtu asotaka maendeleo yako yakuwe, mungu akupe baraka zake ww na wengine wote walokuwa ktk hali kama yako.

  • @danielmrombo
    @danielmrombo2 жыл бұрын

    I feel u bro

  • @elijahcartel6964
    @elijahcartel69642 жыл бұрын

    Very touching 😢

  • @catherinepamphili1242
    @catherinepamphili12422 жыл бұрын

    Tumekwelewa bro

  • @kibelionkabooy418
    @kibelionkabooy4182 жыл бұрын

    Pole kabisa

  • @Mariot130
    @Mariot1302 жыл бұрын

    Nilikuwa naipenda wcb kwa hili wana roho mbaya

  • @zazou4013
    @zazou4013 Жыл бұрын

    Je nous dédie tous la chanson Utanipenda chantée par Diamond. Il avait déjà un message dedans, le meilleur ami et le grand ennemie de demain disait-il. Ainsi vas la vie, suis ta propre voie et préserve toi d salir ton grand Diamond

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana24022 жыл бұрын

    Yoooo,we love U

  • @vitusemanuel7776
    @vitusemanuel77762 жыл бұрын

    Pole xana

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog67522 жыл бұрын

    Pole sana harmonize achana nao

  • @wanjirukarago9308
    @wanjirukarago93082 жыл бұрын

    Nonsense! If you don't believe na hizo uchawi na pesa mungu atakusimamia ata mimi aliniokoa katika uchawi...trust in GOD always usitishwe na upuzi kama huo.

  • @lelarubea6405
    @lelarubea64052 жыл бұрын

    Wewe unatafuta kiki ya Album imebuma

  • @YobiUvanga1235
    @YobiUvanga12352 жыл бұрын

    So touching 😥

  • @hgcbj635
    @hgcbj6352 жыл бұрын

    I love jeshii from🇧🇮🇧🇮

  • @bensonfrancis5599
    @bensonfrancis55992 жыл бұрын

    Wcb for life

  • @ranibou2133
    @ranibou21332 жыл бұрын

    Duh pole xan broo mbon cc mafanc wako tnajua boy 👉

  • @asumaninasibu9292
    @asumaninasibu92922 жыл бұрын

    Pole man

  • @lazzbishar9281
    @lazzbishar92812 жыл бұрын

    Kondeboy for everybody

  • @matatizosafari7438
    @matatizosafari74382 жыл бұрын

    I love u bro

  • @bafaello2619
    @bafaello26192 жыл бұрын

    Harmonize 💞💞💞💞💞💞

  • @sircleverd2689
    @sircleverd26892 жыл бұрын

    Asie jua shelia atakusuport kwenye Ili mi naona walikua sahii maana walikua Wanataka kukuweka sawa

  • @TiktokKenya
    @TiktokKenya2 жыл бұрын

    Part 4 haraka

  • @kelvyonwheel
    @kelvyonwheel2 жыл бұрын

    kumbe mondi n wanga😅😅😅😅

  • @kudra23
    @kudra232 жыл бұрын

    Watu ndio wali washonga nisha tembo na simba

  • @asyamgeni9819

    @asyamgeni9819

    2 жыл бұрын

    Yes na watu wenyewe ni hao kina salam na kina rayvanny huyo rayvanny ni muona alikuwa hapendi wanaona mondi anampenda harmo wao wenyewe walikuwa wanaona choyo alimpigia simu harmonize kumchora kwenye simu ili aongee maneno kuhumu daimond

  • @kadaawizaa5588
    @kadaawizaa55882 жыл бұрын

    Devol iko Nn Wapoteze washamba wasafi wote wakijua yakuchemsha wambie wajua yakufukiza.. ulio ongea all is. fact

  • @segeospatialtechnology7482
    @segeospatialtechnology74822 жыл бұрын

    Ndo maana alikiba alikataa kusalimiana na diamond kwa mkono kumbe chawi

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid26332 жыл бұрын

    Wapeleke mahakamani chawa wa WCB

  • @naizermwaiposa321
    @naizermwaiposa3212 жыл бұрын

    Jeshiiìiii wew hatali unamoyo wakitunza sili broooo

  • @sedjotshomba4867
    @sedjotshomba48672 жыл бұрын

    Leta 4

  • @vainqbfdrcongo979
    @vainqbfdrcongo9792 жыл бұрын

    Cool man ❤️❤️❤️💪

  • @papaaboy6845
    @papaaboy6845 Жыл бұрын

    Konde boy Mungu yupo naww bro 🙏🙏

  • @lionelkings3269
    @lionelkings32692 жыл бұрын

    My hate for harmonize is over by now kinde gang forever

  • @iHeizar
    @iHeizar2 жыл бұрын

    Dah mshkaji kateseka sana

  • @mwanajumasaid1983

    @mwanajumasaid1983

    2 жыл бұрын

    Sanaaaa

  • @Diasporavoice587
    @Diasporavoice5872 жыл бұрын

    Konde mwanangu mimi nishaka amuwa nitaku support mpak mwisho

  • @jeanbeby2718
    @jeanbeby27182 жыл бұрын

    Pole kaka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jacquegucha984
    @jacquegucha9842 жыл бұрын

    Waaah!

  • @shakilaburhan9552
    @shakilaburhan95522 жыл бұрын

    Yaani ndo umezidi umekichagua zaidi

  • @gonga1986
    @gonga19862 жыл бұрын

    Sasa unatuambia sisi tufanyeje..

Келесі