PART 3 DR SULLE AMPINGA VIKALI MCH : NDACHA YESU SIO MUNGU | NAACHA UISLAMU

Пікірлер: 18

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa28 күн бұрын

    Mashallah Allah bless you doctor sule Najivunia kua muislam Asante Allah 🙏

  • @SaidSaigor
    @SaidSaigor27 күн бұрын

    Asante nimesilimu

  • @user-pk3ki4jc2p
    @user-pk3ki4jc2p28 күн бұрын

    Wambie ukweli japo nimchungu lakini utabaki kuwa kweli tyu, mwenyezimungu akulipe kila raheri akuepushie kila la shari katika kazi ya kuipigania Dini ya ALLAH, Inshallah.

  • @user-vv5hq9mc1k
    @user-vv5hq9mc1k24 күн бұрын

    Masha allah mwenyezi mungu atuongoze kabisa maana ndacha kazi yake ni kuhangaika wala hapati jibu mbaka siku ya kyama,na asipo silimu basi yeye na wenzake motoni labda asimu

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja199528 күн бұрын

    Masha'allah Masha'allah sheikh wetu dr sule

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp28 күн бұрын

    All tumefurahi sana Maana jamaaa kazi yake kuja kupinga tu hoja kwa akili zake Ukiwa muislam utafurahi mda wote duniani hata kama una shida

  • @nomar3708
    @nomar370828 күн бұрын

    Ndacha kahangaika sana leo, hakuweza kujibu wapi Yesu kasema yeye mungu? Hakuweza kujibu

  • @Dafetty

    @Dafetty

    28 күн бұрын

    😂😂😂 umeonaeee mie nilikua sambamba nao mwanzo mwisho

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi885728 күн бұрын

    Dr Sule Mungu akubarik san

  • @Laizer3
    @Laizer328 күн бұрын

    Wakristo hawaoni hii

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud363428 күн бұрын

    Hii habari YESU SIYO MUNGU imedumu miaka mingi. Ni wimbo wa kila siku. Wameanza kina KAWEMBA NA WENZAKE NA MAZINGE 1984 moaka leo. Dr. Sulle hawataamini labda kiama.

  • @hertierzawako8068
    @hertierzawako806828 күн бұрын

    Jesus's God ❤

  • @mkongoComedy

    @mkongoComedy

    28 күн бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @mahfudhhamisi6504
    @mahfudhhamisi650428 күн бұрын

    Mbona hatumuoni habibu mazinge?

  • @Hamis-ks1sy

    @Hamis-ks1sy

    28 күн бұрын

    Masheikh wanaojielewa wote saivi hawawezi kukaa pa1 na mchawi wa mapete ya kijinga angalia hapo utaona mwenye jina ni huyo kibaraka wake Mbogo

  • @mudiali4506

    @mudiali4506

    28 күн бұрын

    Huyu atakuja, baadae. Professer❤

  • @mahfudhhamisi6504

    @mahfudhhamisi6504

    28 күн бұрын

    ​@@Hamis-ks1sytatizo waislam tuna husda sana hatupendani sisi kwa sisi hiyo siyo sababu ya kuto kushiriki kwenye mdahalo mambo ya ikhtilafu iko mbali na mdahalo tatizo ni chuki ndo zimewafanya kuto kushiriki

  • @Hamis-ks1sy

    @Hamis-ks1sy

    28 күн бұрын

    @@mahfudhhamisi6504 hapana akhy hakuna khitilafu kwa wanazuoni wote kwamba kutmia nyota ni haram na ushirikina kwahiyo wao wakiwanae pa1 wanaweza wakahisi nawamsapoti

Келесі