Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary

#TheChanzoDocumentary
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: TheChanzo
INSTAGRAM: thechanzo
FACEBOOK: theChanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved

Пікірлер: 84

  • @selelilumambo2157
    @selelilumambo2157Ай бұрын

    what a talent in his heart oscar kambona angekuwa rais hii nchi ingekuwa na uchumi mkubwa kutokana na utajiri ilionao, madin , vivutio maziwa nk. ndio maan alipinga ujamaa sera ya chama kimoj aliona mbali sana

  • @hemedjackson2261

    @hemedjackson2261

    Ай бұрын

    Ww bwana kin tundu lisu blaaa blaa nying

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Жыл бұрын

    Tatizo kubwa la Kambona alikuwa hajajikwamua kifikra. Nyerere alimwamini sana Kambona lakini baadaye kambona kwa kutaka ku-advance ubepari alijikuta njia panda! Mohammed, asante sana kwa kuwaelezea watanzania hususani vijana ambao wamezaliwa baada ya multi-party system Tanzania. Oscar alirudi Tanzania kwa humanitarian reasons, Nyerere alikubali Kambona arudi kwa sababu tayari alikuwa ni mgonjwa.

  • @Njasulu
    @Njasulu Жыл бұрын

    Makala nzuri sana, tunaona historia kama hizi ziendelee kuletwa katika mwanga. Aidha siasa za mlengo wa kushoto si ukomunisti bali ubepari 1:01:11

  • @farajiissa560
    @farajiissa56028 күн бұрын

    Genious

  • @SonofNyanda
    @SonofNyanda Жыл бұрын

    amazing jornalism my favorite Tanzanian news outlet;Vienna

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 Жыл бұрын

    Chanzo tv. Utambulisho wenu uwe ni huu.maana sio wote wanapokea umbea na Mambo ya hovyo mitandaoni.

  • @thomjunior9947
    @thomjunior9947 Жыл бұрын

    Thanks kwa makala hii brother.. keep up the good work

  • @Manasehphilip404Alfa
    @Manasehphilip404Alfa Жыл бұрын

    Iko vizuri sana hii makala...mmefanya research ya kutosha...kudos kwa Chanzo

  • @kaburumacha315
    @kaburumacha315 Жыл бұрын

    Asante sana kwa makala hii. Nilikua na kiu ya huyu mwamba aliemnyima Mwalimu usingizi.

  • @FrankJulius-ou7op
    @FrankJulius-ou7op Жыл бұрын

    Oscar was a hero but never outshine your master ...

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Жыл бұрын

    Tunashukuru kwa makala nzuri

  • @abbytv4659
    @abbytv4659 Жыл бұрын

    Kubwa sana hii

  • @khalifamuhudi2235
    @khalifamuhudi2235 Жыл бұрын

    Laiti kambona angepata nafasi nchi ingekua mbali

  • @maghanighanichali9519

    @maghanighanichali9519

    Жыл бұрын

    Mbona Mbambabay hakukuwa na chochote? alibadililishwa akili na wazungu huyu Kambona.alikuwa na uchu wa madaraka huyu Kambona.

  • @khalifamuhudi2235

    @khalifamuhudi2235

    Жыл бұрын

    Unajua tatizo letu watanzania tumelishwa sumu mbaya yakuamini kua mpinzani yoyot wa chama tawala ni mtu mwenye uchu wa madaraka kama nihivyo basi hata hawa watawala pia ni wachu wa madaraka maana isingekua ivyo wasingekua bize kuwashukhulikia wapinzani wao badala yak wange shukhulika kutatua matatizo ya wananch

  • @user-hn6dm3ev5p

    @user-hn6dm3ev5p

    3 ай бұрын

    Kabisa ndugu km hangekuw wTu Safi wangepokezana madalaka

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao72206 ай бұрын

    Kama tungeanza na Kambona Tz isingekua hivi tungekua kama Afrika kusini

  • @rausathsued8852
    @rausathsued8852 Жыл бұрын

    Hii makala hii🏆🏆

  • @jitathminitv3429
    @jitathminitv34298 ай бұрын

    Nilikuwa natamani kumjua uyo mwamba asanthe sana chanzo

  • @itsbazil5787
    @itsbazil5787 Жыл бұрын

    Platform nyingi wanaandika makala unaona kabisa wameunga kupata pesa tuh, nimependa hiki full research let's have another one

  • @erickmmbando1909
    @erickmmbando1909 Жыл бұрын

    Nice

  • @shobimzawa
    @shobimzawa Жыл бұрын

    Shukrani sana kwa hii ✌

  • @user-bz4rx7hv1f
    @user-bz4rx7hv1f Жыл бұрын

    si msaliti

  • @NellyCastor-ny2sp
    @NellyCastor-ny2sp9 ай бұрын

    Jamani

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261Ай бұрын

    Now ndio namuelew Mzee Nyerere.❤❤

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261Ай бұрын

    Sijui kwanini mzee Nyerere hajamtia mikwaju, mn mzee Nyerere hana mbambamba ukizinguwa anakutia viboko utajuwa mwenyewe

  • @bobwangwe748
    @bobwangwe748 Жыл бұрын

    🔥🔥

  • @AlexMakoko
    @AlexMakoko4 ай бұрын

    Huyu ameitendea vyema taaluma yake❤, achana na wale chawa🤔

  • @paullutonja5904
    @paullutonja59047 ай бұрын

    👏 a very good documentary! walau na kizazi kipya kiwe na hadithi in digital form, kama hizi

  • @franciskobelo
    @franciskobelo10 ай бұрын

    Mungu amrehemu hayati kambona ni shujaa hakika

  • @tegemeomadebeli5169
    @tegemeomadebeli5169 Жыл бұрын

    Kumbe toka kipindi hicho Ukiwa na wamazo tofauti Serikali hii ya CCM ilikuona Adui mkubwa. Kambona ni Shujaa wa Nchi hii Alipigania Mambo ambayo Tulianza kuyaona mwaka 1992+

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Жыл бұрын

    Kwa Baadhi ya Audio Niliyosikia Inaonyesha Kambona hakuwa Mtu Mwenye Uwezo Mkubwa wa Kuzungumza, Hakufikia hata robo ya Charisma ya Nyerere

  • @bennyframa4505

    @bennyframa4505

    Жыл бұрын

    Ni kweli. But still he was a great prominent leader behind tanganyika independence

  • @user-hn6dm3ev5p
    @user-hn6dm3ev5p3 ай бұрын

    Kambona alikuwa shujaa sana ilasematu hawa watawala hawaitaji kukosolewa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Жыл бұрын

    KAMBOMA ALIONEWA!! HAKUKUBALIANA NA SIASA YA KUWAPORA WATU MALI ZAO!!

  • @tumazabazjabrjbr4458
    @tumazabazjabrjbr4458 Жыл бұрын

    Kwa kiburi uchawi na roo yake mbaya nyerere watanzania ikaakosa kisomo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Жыл бұрын

    🇹🇿✌️

  • @mimosapudica1894
    @mimosapudica1894 Жыл бұрын

    Oscar; Never outshine your Master...!!

  • @beeg_markfitness6706

    @beeg_markfitness6706

    6 ай бұрын

    Nyerere did and so did Nkurumah

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao72206 ай бұрын

    Kama ningekuwepo ningewa upende wa Kambona

  • @NellyCastor-ny2sp
    @NellyCastor-ny2sp9 ай бұрын

    Msaliti

  • @user-hn6dm3ev5p

    @user-hn6dm3ev5p

    3 ай бұрын

    Uliuwepo wakati huo

  • @erickcharles-300
    @erickcharles-300 Жыл бұрын

    The dar mutiny of 1964

  • @conradolomi9580
    @conradolomi9580 Жыл бұрын

    Makala imepangwa vizuri🤝💯

  • @milley7185
    @milley7185 Жыл бұрын

    ni malaya malayaaaaaaaa

  • @khalifamuhudi2235
    @khalifamuhudi2235 Жыл бұрын

    Nyerere alikua dikteta na amekwamisha uchumi wetu

  • @DUL69

    @DUL69

    Жыл бұрын

    Usiongelee kile usichokijua.

  • @tedypeter5459

    @tedypeter5459

    10 ай бұрын

    ​@@DUL69qq aww

  • @tedypeter5459

    @tedypeter5459

    10 ай бұрын

    ​@@DUL69qq aww q

  • @sonnyr1899
    @sonnyr18995 ай бұрын

    Waalim wa enzi hizo walikuwa wanafikia malengo yao ila hawa sasa Wapo bize na kutongoza vibinti wavitowe bikra tu tena nasikiya eti huwa wanashindana.

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 Жыл бұрын

    Osca kambona alikuwa shujaa

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 Жыл бұрын

    Osca kambona ni Alikuwa shujaa

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao72206 ай бұрын

    Kambona hakua msaliti na alikua hana tamaa ya madaraka ndio mana alimwambia nyerere kue na vyama vingi. Daa Kambona ni chuma kilichopotezwa na watu wenye tamaa ya madaraka...jamaa alikua mjanja sana na alikua na hakili nyingi..

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 Жыл бұрын

    Kumbe ndio maana watu waita siasa ni mchezo mchafu. Yaani kumbe uongo na siasa za uragai alianzisha Nyerere ndani ya ccm.

  • @hasnuumakame9219

    @hasnuumakame9219

    Жыл бұрын

    Kwani hujui hilo kua umafia wa CCM wote uliasisiwa na Mwalim Nyerere......Na ndio chanzo Cha hii nchi kua Rais ndio muamuzi wa Kila kitu na hapingwi kwa lolote lile

  • @TM.Sullusi

    @TM.Sullusi

    Жыл бұрын

    @@hasnuumakame9219 Halafu Nyerere alijifunza wapi?😂😂, si hukohuko ambako mnasema kuna maendeleo.

  • @m-tatu1050
    @m-tatu10502 күн бұрын

    Oscar utadhan kijana wa bongo fleva. Aliishi mbele ya muda

  • @kcstarztorch248
    @kcstarztorch248 Жыл бұрын

    Oscar Kambona

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Жыл бұрын

    PIA HAKUKUBALIANA NA UJANJA WA NYERERE WA KUPORA MADARAKA YOTE BADALA YA KUWA KIONGOZI AKAWA MFALME JEURI NA KATILI!!

  • @hasnuumakame9219

    @hasnuumakame9219

    Жыл бұрын

    True kabisa....Alipinga madaraka yote kumilikiwa na mtu mmoja..

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao72206 ай бұрын

    Harafu mambo yote aliofanya Kambona hajatajwa kabisa yani hatumfahamu kabisa

  • @tysonpuraty3098
    @tysonpuraty3098 Жыл бұрын

    *Promo sm* 🤘

  • @rajabuadam2558
    @rajabuadam2558 Жыл бұрын

    Kambona ni jasiri sana huyo ni mwamba na pia ni mfano kwa watu Roma apo ndio pakuhiga...

  • @user-hn6dm3ev5p

    @user-hn6dm3ev5p

    3 ай бұрын

    Sana Viva roma viva

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 Жыл бұрын

    Nyerere mtu alipokua maaarufu au kupendwa na watu anakuchukia tunakalilishwa tu ila Nyerere si baba wa taifa ni dhana tu ila hamna kitu roho mbaya sana

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 Жыл бұрын

    Tumemuimba Osca kambona Kama msaliti,kumbe alikuwa na mawazo chanya za kusaidia WaTZ,siasa ya ujamaa Ni chanzo Cha umaskini wa Tanzania,"Socialism is the phylosophy of failure,alisema Winston Churchill aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza!

  • @TM.Sullusi

    @TM.Sullusi

    Жыл бұрын

    Hilo swali aliulizwa Nyerere na wazungu na alilijibu kwamba siasa ya ujamaa na kujitegemea ilikua fairule. Anyway tuseme siasa ya ubepari ndo ilikua njia nzuri ya kuupiku Umasikini 😂😂, Nigeria ni Tajiri ?pamoja na mafuta yake. Vipi Malawi etc.

  • @YusufuChinengo-zn4xu

    @YusufuChinengo-zn4xu

    Жыл бұрын

    ​@@TM.Sullusi 😅

  • @meshackngaboss1236

    @meshackngaboss1236

    3 ай бұрын

    😂😂siasa ya ujamaa ni chanzo cha umaskini😂😂😂 unaijua Urusi na China et "socialism is the pslosophy of failure" yaani ubepari wa watu wachache kujilimbikizia mali ndio utajiri na usawa tumia akili na sio mihemuko yaani unataka kuniambia mfumo wa tajiri kumuibia maskini ndio mfumo bora wa kuondoa umaskini 😅😅😅

  • @brysonkaale3003

    @brysonkaale3003

    3 ай бұрын

    @@meshackngaboss1236 Tatizo la wavivu wa kufikiri Ni kuaminishwa kwamba tajiri Ni mwizi ,fisadi.Nchi yoyote haiwezi kuendelea bila kuwa na matajiri wanaoisukuma sekta binafsi,Ndiyo maana Viwanda vyote Tanzania vilikufa kwasababu hapakuawa na kiwanda Cha mtu binafsi,wenzetu Kenya Viwanda vyao vipo na vinachapa kazi sababu ni.vya watu binafsi,Tanzania siyo nchi ya kuifananisha na urusi na china,labda tujaribu Kenya.

  • @brysonkaale3003

    @brysonkaale3003

    3 ай бұрын

    @@meshackngaboss1236 Tatizo kubwa la wavivu wa kufikiri Ni kuaminishwa kuwa " Tajiri Ni mwizi,Imani hiyo bado inazagaa hapa Tanzania,uchumi wa nchi yoyote duniani unapaishwa na sekta binafsi,sekta binafsi Ni matajiri ambao wanasaidia kutoa ajira,kulipa Kodi serikali na uchumi unakua,Hakuna sababu nyingine iliyoua Viwanda vya Tanzania isipokuwa Ni kwasababu ya kumilikiwa na serikali,Wenzetu Kenya Viwanda vyao vipo na vinachapa kazi kwasababu Ni Mali ya watu binafsi,Ni kosa kuifananisha Tanzania na Urusi&China,maana china ya ujamaa Ni Ile ya Mao Zetung siyo hii ya Sasa!

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 Жыл бұрын

    Waliopigania Uhuru wote Tanzania walididimizwa sana

  • @mohamedbadbess6230
    @mohamedbadbess62309 ай бұрын

    NYERERE ALIZOROTESHA UCHUMI WA NCHI. LAKINI KWA KIASI FULANI ALILETA USAWA NA AKAONDOSHA MATABAKA KATI YA WATANZANIA. NA BORA ZAIDI HAKUWA MFISADI.

  • @mustaphamilao7220
    @mustaphamilao72206 ай бұрын

    Oscar Ali wahi kupata ujanja

  • @JoshuaDarema-ts4ir
    @JoshuaDarema-ts4ir Жыл бұрын

    Nashukur Kwa nakala huu keep it up!!!👍

  • @LugomboMaKaNTa
    @LugomboMaKaNTa Жыл бұрын

    Huyu alikuwa na njaa ya madaraka hadi kumsingizia Nyerere kuwa anaficha pesa nje! Tunamshukuru Kwa kushiriki mapambano! RIP Kambona.

  • @tumainimatandala1847
    @tumainimatandala18476 ай бұрын

    Kambona alikua influencer but Nyerere was a true Leader. Wangelewana tungekua mbali.

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 Жыл бұрын

    Kwa documentary hii Nyerere na chama chake ni useless kama angekua anajiamin angeweka vyama ving ashindane na kambona just challenge

  • @tumainimatandala1847

    @tumainimatandala1847

    6 ай бұрын

    Nikweli kabisa. Lakini nachokiona ni kimoja, kambona alikua smart na alikua na influence kubwa. Lkn hakua kiongozi bora. Kambona alikua Engine ila sio hakua na kipawa cha uongozi.

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Жыл бұрын

    alikuwa kibaraka wa wareno na makaburu wa SA kwa ufupisho

Келесі