Келесі
- 17:14
- 46 М.
- 00:40
- 53 МЛН
- 10 күн бұрын
- 00:22
- 61 МЛН
- 8 күн бұрын
- 00:19
- 3,7 МЛН
- 18 күн бұрын
- 00:20
- 16 МЛН
- 16 күн бұрын
- 2:09:55
- 1,3 МЛН
- 4:58
- 15 М.
- 9:08
- 3,9 М.
- 8:58
- 667 М.
- 5:24
- 3,4 М.
- 17:14
- 15 М.
- 9:44
- 976 М.
- 5:30
- 148 М.
- 00:40
- 53 МЛН
- 10 күн бұрын
Пікірлер: 53
Namuguu awabariki kwanyimbozur xanaa kwamajina natwaa John Hagare kutokaa kanixaa wa divestistr wasabato bugarikaa mwazaa
ubarikiwe
ilimpasa safi sana mungu awabariki sana nyakato natamani niwape zawadi ila cjui ifikaje mwalimu wa kwaya hii respect to u kweli umetunga pia natamani kuwaona nitawatembela watumshi wa mungu. hao sorolist nimewakubali
Fikeni mbali sana wapendwa
Ni kwaya niliopenda Sana nikiwa Nyakato Tanzania. Mungu awabariki Sana.
Kwaya hii inanibariki sana
Amen blessed brothers , nimewamisi sana but true niyawaona from Canada
Nabarikiwa sana
Naomba wimbo wenu unaoutwa Miaka Elfu 1000
Nyimbo nzuri sana. I am blessed, be blessed too Nyakato and all believers. Amina
@estaseleman3520
4 жыл бұрын
Bwana awabark
Mbarikiwa sana kwa kazi yamungu nyimbo zinafanya burudani ktk changamoto zetu za maisha wakati tunasubri Mwokozi wetu arudipo mara ya pili YESU
Amina nabarikiwa sana na wimbo wa album mbarikiwe sana
Bakiriwen sana wana na binti za mungu nyimbo haikinai
mubarikiwe kwa injiri Nzuri naomba mzidi kutubariki kwa njia ya nyimbo nzuri
nakuona mama selery Katika ubora wako!!
nyimbo zenu nzuri sana
To God be the Glory
barikiweni sana
Bwana awabariki sana .
Hello wapendwa katika BWANA mbarikiwe kwa kazi yenye tija shamban mwake naomba kuimba kwenu kuwe na kicho mkatumike kwa ajili ya maelfu wasio MUNGU ili siku ajapo YESU taji zenu zikang'ae mara mia zaidi
mbarikiwa xana
mbarikiwe sana
Inapendeza sana
Jaman nawapendaaaaaaa sana atakaesoma ujumbe huu anitext Whatsapp tafadhali
So uplifting. Be blessed
Barikiweni Sana
Mbalikiwe sana yani nyimbo zenu ni za zaman lakini sichoki kuzisikiliza hasa hii album nimependa sana bwana awe nanyi pia nimefurahi wanawake bado mko vzuri mnazngatia maadili ya kiadventista nywele hamsuki safi kabisa bwana awabaliki
Mbarikiwe Sana, Bwana awe nanyi
listening now
Amena Nyakato choir, nyimbo zenu zinaujumbe mzuri najisikia kubarikiwa.
@yohanamgengelemafwili3976
6 жыл бұрын
amina
@mbalalilubango6567
5 жыл бұрын
Mubarikiwe jaman kwa kazi yake muuba
Mbarikiwe Sana
mbalikiwe sana
wanatisha
mbarikiwe
Good songs
@charleslazaro6044
4 жыл бұрын
Amein
Amina
Kinondoni
are love that?
Kuna ule unaimbwa watu wengine ni wagonjwa hospitalini hawajiwezi inaitwaje???
amina
Aaaamen
T
Naweza pata huu wimbo wa kanisa nimeupenda mno.....my watsapp number ni 0655080806
mbarikiwe sana
Kinondoni
amina
@mayungamsimbila886
7 жыл бұрын
Amina
@saidishamte9329
2 жыл бұрын
Jamani nabarkiwa sana tena sana nimebatinzwa nyakato mwanza nika amia dar hipo cku ntaruditu namukumbuka sana mama Edema Edward musimaminz wangu nawapenda sana nyakato