NIFFER AFUNGUKA NINA MAHUSIANO NA ALIKIBA NDOA NI MWAKA HUU/NIMENUNUA SAA YA MILIONI 6 DUBAI.

Ойын-сауық

East African number one KZread channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande

Пікірлер: 20

  • @user-fz3eo1my7y
    @user-fz3eo1my7y Жыл бұрын

    Ni shifa niffer na alikiba shabiki yenu number one

  • @olicendayihimbaze4074
    @olicendayihimbaze407411 ай бұрын

    Nampongeza Niffer kua Mke wa King Kiba

  • @BongoPlus

    @BongoPlus

    10 ай бұрын

    ACHA HIZO MKE WANGUU BUAANA LOL

  • @zakariamachibula1776
    @zakariamachibula1776 Жыл бұрын

    🔥🔥🔥

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo Жыл бұрын

    Mtoto yuko vizuri hata Amina pia ni mbati..

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 Жыл бұрын

    Wallahi utakuja kulipa vile unavyo mfania Amina wallahi tena

  • @sadasylla7310
    @sadasylla7310 Жыл бұрын

    Mbona we dada mbaya ila poz ndo zina ku push

  • @umsulaiman7468

    @umsulaiman7468

    Жыл бұрын

    We malaya tu yatakwisha hayo hashuo tu

  • @user-ns4oj9cw1j
    @user-ns4oj9cw1j Жыл бұрын

    Si mzuri km mkewe Amina jamani

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Жыл бұрын

    Hilinizimwiiiii

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo Жыл бұрын

    Sheria wanne

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 Жыл бұрын

    Nimzuri sana❤

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 Жыл бұрын

    Tatizo wabongo hamuendi bila Kiki

  • @shadyaomary
    @shadyaomary Жыл бұрын

    Herman from Zambia Ali na niffer wanaendana Sana

  • @BongoPlus

    @BongoPlus

    Жыл бұрын

    hmmmm na mkewe je ?

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 Жыл бұрын

    Huyu dada anakimbilia kiki kwa alli kiba

  • @helenkambi3918

    @helenkambi3918

    Жыл бұрын

    Kweli kabisa

  • @dijahmriri523
    @dijahmriri523 Жыл бұрын

    Kwani wameachana na patric kanumba eh aya maisha jamani

  • @umsulaiman7468

    @umsulaiman7468

    Жыл бұрын

    Ah pozi kama jidume tu mbona ulibishi eti huna mahusiano

Келесі