NDOA YA KISIASA YA LOWASSA NA KIKWETE | Power Breakfast

Спорт

"Utakumbuka Jakaya Kikwete na Edward Lowassa (Hayati) mwaka 1995 walikuwa ni vijana kabisa. Kikwete alikuwa na Miaka 45 na Lowassa alikuwa na Miaka 42. Walijitokeza kugombea wakiwa na pacha na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kujenga ile political married yaani ndoa yao ya Kisiasa.
"Pamoja na vyanzo vingi ambavyo tumeviweka kwenye kitabu hata Mzee Kikwete mwenyewe akiwa New York University mwaka 2019 wakati akielezea maudhui ya kitabu chake akizungumza jinsi ambavyo alivyoshawishiwa na wazee kwenda kugombea Urais. Baadae alifuatwa na Mzee Samuel Sitta (Hayati) pamoja na Lowassa wanatengeza timu ya pamoja wakati ule Kikwete alikuwa kama vile hana interest ya kugombea Urais"- @luqmanmaloto- Mwandishi Wa Kitabu cha KIKWETE LOWASSA, Urafiki, Ndoa ya kisiasa, Uadui.
#PBCloudsFM
#Tumekuverify

Пікірлер: 2

  • @FrankMichael-tg4vz
    @FrankMichael-tg4vz29 күн бұрын

    Lowasa alikua mtu daaah apumzike kwa amani

  • @Timothymlamba-pq3oi
    @Timothymlamba-pq3oi9 күн бұрын

    Kikwete alikuwa muhuni

Келесі